MUNGU ANAKUPENDA ISSUE NI WEWE KUPOKEA PENDO LAKE

Mpendwa No matter how you feel or think, ukweli nikwamba Mungu anakupenda sana sanaa. Issue ni wewe sasa kukubali kupendeka na kuingia kwenye mfumo wa Mungu na kuishi humo yaani the fact that huna kazi, huna maisha, huna afya, huna raha wala amani MEANS ABSOLUTELY NOTHING to God and impacts NOTHING, Haipungui pendola Mungu juu yako. Mungu sio Mungu wa kupiga magoti akiona noti, To God wewe bado ni his beloved creation.

 

Shida inaanza we don’t feel that God loves us, we don’t accept God’s love na kuamua kumuamini shetani na ma-uongo yake kwa asilimia 100%. Wengi tuna amini uongo wa shetani kwamba sisi ni wa dhambi Bwana Mungu hawezi kujihusisha na sisi, Sisi ni fungula kukosa hata nifunge au nisifunge nitakosa tu kwani Mungu ana watu wake. Mungu hawezi kunipa kazi, Mungu hawezi kunipa mume, THESE ARE ALL LIES AND TOTAL BULLSHIT!.

 

Wapendwa What makes it worse husomi maandiko ukajua Mungu kama Mungu kashasema nini juu ya maisha yako.Kwa hio inakuwa rahisi sana kwa shetani kukuchezesha ngoma yake anavyotaka.

 

Mungu amesha declare pendo lake juu yetu mara za kutosha na ameweka Mifumo kwamba hata ukimkosea vipi uweze kurudi mbele zake. Ameahidi kwamba hata kama dhambi ni nyekundu kama Damu ata iosha iwe nyeupe kama Snow, Ameweka mazingira you can always come  back if you want to.

 

Shida kubwa inakuja kwenye kuishiuna amini 50/50, Kwamba Mungu anakupenda una amini kimtindo na uongo wa shetaniuna uamininao kimtindo. Mambo no 50/50 ile pasu kwa pasu. Wapendwa Ili Mungu a-operate ndani yako kwa UKUBWA lazima uweke mazingira hayo ya kumruhusu ku-operate kwa ukubwa kwa kuwa ina IMANI THABITI na MSIMAMO.

 

Mtu anafanya PROGRAM nzima ya kazi ina maandiko hamna hamna 20, SOLID! Mistari ya KUMSIKIA MUNGU juu ya career yako, NO UBABAIFU. Akitoka hapo anakwambia NITAMKIE BARAKA, Like seriously? Yaani pamoja na maandiko 20 SOLID imani yake haipo kwenye hata andiko 1 tu kutoka Mbinguni bali imani yake yote ipo kwenye, Baraka za kutamkwa na Binadamu mwenzie! ” YOU FOOLISH GALATIANS WHO HAS BE-WITCHED YOU ?” By Appostle Paul.

 

Hata kama anaye-tamka hizo baraka yupo Rank ya Prophet still anointing ya hilo tamko haifikii hata nukta moja ya anointing mstari wa biblia. BIBLIA NDIYO NJIA YAKO YA UHAKIKA KUPATA ACESS YA MBINGUNI,; Unakuta mtu anajiliza katapeliwa pesa na Appostle kimepanda kimeshuka ila it all comes down to UVIVU WA MTU KUMTAFUTA MUNGU YEYE KAMA YEYE. Anataka shortcut ya kumu access Mungu kupitia Mtu mwingine!, As long as kwenye hio equation yako ya kumtafuta Mungu kuna BINADAMU ndani yake manipulation haiwezi kukosekana; SELFISH AMBITION HAIWEZI KOSA!

 

ACHA UBABAIFU SOMA MAANDIKO WEWE KAMA WEWE, MJUE MUNGU WEWE KAMA WEWE! JENGA MAHUSIANO NA MUNGU WEWE KAMA WEWE.

 

 

ACCEPTI NG GODS LOVE

Accepting God’s love kwa mtu inaanza na kusoma maandiko ili ujue Mungu amesema nini na anataka nini kutoka kwako for a fact.Kuvuka stage ya huyu ana kwambia hiki na Yule anakwambia kile basi tafraniii. Na yote ni miongo mikubwaaa.

 

Huwezi kupokea pendo la Mungu ambae humjui, Huo ni UONGO! Kama humjui una uhakika gani kama hata anakupenda kweli? Manake kila kitu kwenye maisha yako kina suggest otherwise!; Yaani Mtu kazi sinaaa, maisha yame ni P-Diddy, kesho yangu siijui alafu mna niambia kiwepesi Mungu ana nipenda ? Labda penzi la kichina, Ni ngumu Sana kuingia akilini, Mna nipanga panga au sio?

 

Kwenye stimu zako za kula-nduka unawaza kama Mungu ananipenda japo nukta tu basi anipe kazi nzuri au Mume; Mwanadamu usiye jipata trying to finese God for ajob and a man, VANITY UP ON VANITY!; Kinacho kutesa siku zote na kukuyumbisha na hiyo kazi na huyo Bwana sio kwamba Mungu hakupendi bali ni wewe ubabaifu wako wa kujisimamia kwenye mifumo ya shetani hivyo matokeo yake umekuwa VICTIM OF HIS MANIPULATION.

 

Mtu anataka kazi ndogo tu ya 2M lakini anavyo babaika sasa, Atafanya Program! Ataona haifanyiki! Hamalizi  Siku 7 ataishia Siku ya 3, Ataanza manipulations kutaka nikuombee mimi, Wote ubabaifu tu. HAJUI ALITENDALO.

 

 

Sawa Biblia ni msitu mnene nakubali ndiyo maana nimeku-nyofolea maandiko muhimu kwenye Program maana nikikwambia soma Biblia utapata kazi utakuwa ugaidi, YAANI PROGRAM HUFANYl NA KAZI HUPATI  TUNABAKIA KUUMIZANA KICHWA TU, MIMI NAONA VIUMBE WAZITO, VIUMBE WANAONA MTUMISHI MBABAIFU.]

 

Kama Umefanya Program zangu za Kazi, kwa Moyo wote. Fanya maliza nipime unajua nini from the Program! Nini kimeishi ndani yako baada ya kumaliza Program? Kama umefanya CAREEL LEVEL UP, Neno gani ukiondoka nalo  linaishi ndani yako mpaka siku una-staafu?; Kama hakuna ujue ulipaka rangi majogoo, Nilifanya program yako ya MTU SAHIHI, Sawa neno gani uliondoka nalo pale linaishi ndani yako mpaka siku ya ndoa yako?

 

SOMETIMES ILI NENO LINASE NDANI YAKO INABIDI URUDIE PROGRAM HATA KILA SIKU KWA MIEZI 6, SIO KUFANYA KAMA GAZETI NA KUINUA, KAMA UNA-KICHWA CHEPESI SAWA, KAMA KIZITO DO THE EXTRA MILES.

 

Yeremia 1:12

Ndipo BWANA akaniambia, Umeona vema, kwa maana nina liangalia   NENO  langu, ili nilitimize.

 

JE? MUNGU AKIANGALIA NENO LAKE NDANI YAKO ILI ALITIMIZE SASA, KUNA NENO KWELI LA MUNGU KUTIMIZA JUU YA KAZI YAKO AU MAHUSIANO YAKO NDANI YA HUO MOYO WAKO MBABAIFU HATARI?  LAZIMA UWE NA NENO LA MUNGU UNALO SIMAMA NALO MAISHANI MWAKO JUU YA KAZI ZAKO, MAHUSIANO ETC.

 

 

Mimi NENO langu ninalo simama nalo na linatimia ni ISAYA 60, Haipiti Siku sijalisimamisha hilo NENO. Na Mungu analitimiza. Jua halizami sijalikiri. MPAKA KUISHI NDANI YANGU NIMELISOMA HATARI.

 

Kwenye above 34 nili issue entire book, Lakini kuna mtu alikuwa anasumbuliwa sana na Spirit husband! Anaondoka na mstari mmoja tu na ume muweka huru!

 

1 Wakorintho 6:17

Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho moja naye.

 

AKAWA ANAKIRI  KWA U-ENDELEVU KWAMBA YEYE NI ROHO MOJA NA BWANA NA HAWEZI KUUNGANIKA NA MIUNGU MINGINE, KILA SIKU KILA WAKATI, SAHIVI KASAHAU HIYO SHIDA NENO LIMEISHI NDANI YAKE.

 

 

Ukiweza kuamini MUNGU ANAKUPENDA na UKAFUNGUA MOYO WAKO kumtafuta na kufanya Yale anayo elekeza ni rahisi kwako kuli-ishi pendo lake. Mimi hata sahivi no-pals njaaa I don’t doubt God’s love to me. Hata kitokee nini, Nitajua tu leo nimeingia kwenye 18 za yule muovu, Natokajeeee?

 

I’ m too invested in the scriptures to doubt Gods eternal love over me, Too invested! Mimi na Mungu kwenye swala la kupendana tushavuka huku kitambo, Even if nikitaka kufosi niji aminishe Mungu hanipendi Moyo wangu uta-nisaliti.

 

UKIFIKA LEVEL HIZI NENO NDANI YAKO NI JINGI NA KUBWA SO MUNGU AKIANGALIA NENO LAKE NDANI YAKO ALITIMIZE MAMBO YANA KUWA MWAKE-MWAKE.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk