Luka 8:40–51 ISSUE ZA MDA MREFU ZINADRAIN IMANI SANA! Issue...
Soma zaidi






Mungu Yu Karibu na Wote Wamwitao
Tunayofuraha sana kukuona hapa, na tunataka kukukaribisha kwa upendo na furaha katika familia ya Mungu. Hapa, tumejizatiti kuwa sehemu ya mafunzo, ibada, na huduma zinazokujenga kiroho. Tunapokutana, tukiwa pamoja katika neno la Mungu, tunakuwa na nguvu ya kushinda changamoto za maisha.
Huduma Zetu
Pata Mafunzo, Ibada na shuhuda zitakazo kujenga kiroho
Neno la Mungu
Someni katika kitabu cha Mwenyezi-Mungu: “Hakuna hata kiumbe kimoja kitakachokosekana, kila kimoja kitakuwako na mwenzake.”- Maana Mwenyezi Mungu mwenyewe ametamka hivyo, roho yake itawakusanya hao wote. Isaya 34:16
Habari Njema
Pata habari njema kupitia Mafundisho na Program Zetu mbalimbali kuhusu Mahusiano, Uchumi na Kazi, Itakayo kujenga kiroho na kukuvusha katika mapito mbalimbali ya kimaisha
BIBLE STUDY – THE GOSPEL OF LUKE (INJILI YA LUKA)
PART I : THE GOSPEL OF LUKE Wapendwa tutasoma injili...
Soma zaidiWEWE NDIWE UJAE AU TUMTAZAMIE MWINGINE? – SUNDAY WORD
LUKA 7:17-35 Even John the Baptist had doubts! THE JOHN...
Soma zaidiSupport Huduma
SADAKA | MBEGU : +255 713 144 639 (MIXX BY YAS)
Videos
Pata Video mbalimbali kupitia Mafundisho na Program Zetu mbalimbali kuhusu Mahusiano, Uchumi na Kazi, Itakayo kujenga kiroho na kukuvusha katika mapito mbalimbali ya kimaisha
Jiunge Nasi
Kuwa mmoja wa wanafamilia wa Mungu, Kwa kutuandikia kuhusu changamoto yako sasa
