MWANZO
PROGRAM NI SIKU 30
Mpendwa utaombea jambo moja (1) na kila siku utasimamia mstari mmoja na nitakuwa nikiutoa usiku, Hakikisha unashinda nao huo mstari na kuspeak over your situations, you speak it over your life, una meditate nao, In short unapita nao kweli kweli like your life depends on it!
At Day 30 madhabau yako inatakiwa iwe na maandiko 30 ambayo unayo kichwani na umeyasimamisha kwenye kwenye ulimwengu wako wa roho kwenda kufuta na kubomoa misingi ya uharibifu iliyowekwa juu yako ns madhabau za ukoo wako au zozote za giza.
Kama nilivyo waambia you should keep the fire burning kwenye madhabau yako na kuweka kuni na sadaka, siyo kila siku tunaweka kuni mpya for 30 Days!.
DAY 1
Matthew 15:13
13 But he answered and said, Every plant, which my heavenly father hath not planted, shall be rooted up.
Mathayo 15:13
Akajibu, akasema, kila pando usilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang’olewa.
MPENDWA KIRI ANDIKO HILI JUU YA MAISHA YAKO NA JUU YA KIKWAZO KINACHO KUSONGA!.
MFANO KAMA ISSUE NI KAZI!:
OMBA KWA KUSEMA; KILA PANDO AMBALO BABA YANGU WA MBINGUNI HUJALIPANDA NA LINANIZUIA KWENDA KAZINI LITANG’OLEWA KWA JINA LA YESU, IWE PANDO LA KICHAWI, KIGANGA, LAANA ZA UKOO, MIKOSI AU PANDO LOLOTE KWENYE MAISHA YANGU LINALO ZUIA MIMI KWENDA KAZINI LITANG’OLEWA KWA JINA LA YESU!
KAMA NI MAHUSIANO:
OMBA KWA KUSEMA KILA PANDO AMBALO BABA YANGU WA MBINGUNI HUKULIPANDA KWENYE MAISHA YANGU LINALO ZUIA MIMI KUFlKA HATMA YA NDOA LITANG’OKA LEO KWA JINA LA YESU!, IWE NI UCHAWI WA MAFUNDO FUNDO, SPELLS, UGANGA, LAANA, MIKOSI, MIPAKA, EVIL VAIL AU CHOCHOTE KINACHO SABABISHA SIPIGI HATUA ZA MAHUSIANO LEO KITANG’OKA KWA JINA LA YESU.
KAMA UPO ADVANCED LEVEL KWELI KWELI, OMBA UDHIHIRISHO WA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU KWENYE HIO ASSIGMENT, LIKE YOU KNOW WHO HOLLYSPIRT IS NA UMESHABATIZWA KWA ROHO MTAKATIFU, HAITAKUWA SURPRISE WEWE KU-TENDER SUCH REQUEST KWAKE, KAMA RESOURCES ARE AVAILABLE TO YOU USE THEM!
KAMA BADO TUMIA GOSPEL KNOWLEDGE YAKO, UNAJUA BWANA YESU NI NANI NA JINSI GANI ALIVYOUPENDA ULIMWENGU NA ALIPENDA TU BEEF NA SHETANI, HE COULDN’T RESIST ANY CHANCE HE GOD TO TAKE A SWING AT HIM, DISPLAY YOUR KNOWLEDGE! UNAJUA NINI CHA MAANDIKO KUKANDAMIZA PRAYER POINT YAKO!.
YOU CAN EVEN EXPAND THE PRAYER POINT NA KU-ICROSS NA MAANDIKO MENGINE YA GOSPEL IF YOU ARE THAT GOOD!,MFANO UNAWEZA KUI-CROSS NA
YOHANA 10:10
Mwizi huja tu kuiba, kuua na kuharibu; Mimi nilikuja ili wawe na uzima, tena wawe nao tele.
Bwana YESU umekuja ili tuwe na UZIMA na tuwe nao tele, Mapando yote aliyopanda yule mwovu kuzuia hatma yangu ya ndoa yango’e sasa.
Expand it further, Bwana YESU ulisema tukiomba chochote kwa Jina lako utafanya ndio naomba hili mwanao, Naamini utafanya!
TUMIA MAANDIKO UNAYO YAJUA NA YAPO NDANI YAKO AU UNA YAKUMBUKA, KAMA HUJUI ANDIKO LOLOTE NA HUJUI NAFASI YA YESU KWENYE WOKOVU WAKO NA HUJABATIZWA KWA ROHO NDUGU YANGU NAMUACHIA MUNGU.
THE MOST EFFICIENT NI UDHIHIRISHO WA ROHO MTAKATIFU MAANA YESU ALISEMA ATALETA MSAIDIZI ASHALETA LAKINI HUJUI SO TUMIA UNACHOJUA KWA SASA LAKINI JIFUNZE ZAIDI NEXT TIME.
DAY 2
John 8:36
36 So if the son sets you free, you will be free indeed.
SET ME FREE JESUS SON OF THE LIVING GOD FROM (TAJA KIKWAZO CHAKO)
DAY 3
Marko 3:28
28 “Nawaambieni kweli, dhambi zote watendazo wanadamu na maneno yote ya kufuru wasemayo, watasamehewa.
Ezekiel 18:19-23
“Do you need to ask, So why does the child not share the guilt of the parent? ” Isn’t it plain? It’s because the child did what is fair right, the child will live trully and well.The soul that sins is the soul that dies.The child does not share the guilt of the parent, nor the credit, if you live a wicked life, you’re guilty as charged. “But a person who turns his back on that life of sin and keeps all my statuses, living a just and righteous life, he’ll live, really live.He won’t die. I won’t keep a list of all the things he did wrong.He will live.Do you think I take any pleasure in the death of wicked men and women? Isn’t it my pleasure in the death of wicked men and women? Isn’t it my pleasure that they turn around, no longer living wrong but living right- realy living?
MPENDWA OMBA TOBA YA DHATI KWA DHAMBI ZOTE ULIZOTENDA WEWE BINAFSI, WALIZO TENDA WAHENGA WAKO, ZILIZO TENDEKA ENEO ULIPO NA UNAHUKUMIWA KWA KUWA TU KWENYE ENEO LILILO LAANIWA!
MWAMBIE MUNGU HUTAKI KUFATA NJIA ZA WAHENGA WAKO ZA KUABUDU MIUNGU MINGINE!, UNATAKA KUMTUMIKIA YEYE TU, WAOMBEE TOBA KWA YOTE WALIOFANYA AMBAYO YAKATOA UHALALI WA WEWE KUNYANYASI KA NA NGUVU ZA GIZA, MKUMBUSHE MUNGU DHAMBI ZOTE NA KUFURU ZOTE ZA WANADAMU ZITA SAMEHEWA KAMA YESU ALIVYO-AHIDI.
AREHEMU DHAMBI ZA WAZEE WAKO NA KUZUIA MADHABAU KUENDELEA KUKUKANDAMIZA KWA KUWA MUNGU VEVE MWENYEWE ALINENA KWA KINYWA CHA NABII EZEKIEL KWAMBA MTOTO HATALIPIA UOVU WA MZAZI WALA MZAZI WA MTOTO, ATAKAYE TENDA DHAMBI NDIYO ATA-ANGAMIA KWA NAFSI YAKE, WEWE UNAPAMBANA KUISHI MUNGU ANAVYOTAKA.
MWAMBIE MUNGU UNATAMANI KUTENDA MEMA NA KUISHI MUNGU ANAVYOTAKA LAKINI IMEKUWA SABABU YA KUONEWA NA KUNYANYASIKA NA MADHABAU KINYUME NA ANDIKO ALILONENA KUPITIA KINYWA CHA NABII EZEKIEL KWAMBA MTU AKITENDA MEMA ATAISHI, IF YOU LIVE WELL YOU GET THE CREDIT, WHERE IS YOUR CREDIT? NGUVU ZA GIZA ZINAMALIZA UJANA WAKO WOTE UKIWA MATEKA.
YAMKINI WAHENGA WAKO WALITENDA DHAMBI NYINGI SANAA NA MBAYA SANAA ZIKAWA CHUKIZO KUBWA MBELE YA MUNGU NA KUWEKA UKUTA WA VIZAZI VYAO NA MUNGU LAKINI BWANA YESU ALIAHIDI DHAMBI ZOTE NA KUFURU ZOTE ZA WANADAMU ZITASAMEHEWA.
KAMA MUNGU ALIVYO-MSAMEHE LUTU KWA AJILI YA WEMA WA NDUGU YAKE IBRAHIM AKUSAMEHE WEWE PIA KWA KUWA UMEFANYIKA MPYA KATIKA KRISTO, YOU ARE A NEW CREATION AND OLD ORDER HAS PASSED AWAY.
2 Corinthians 5:17
Therefore if any man be in Christ, he is a new creature: Old things are passed away; behold, all things are become new.
TUBU NA OMBA UPATANISHO KWA MUNGU JUU YA DHAMBI ZOTE UNAZO SHITAKIWA NAZO NA ZINATOA UHALALIWA KUTESWA NA MADHABAU KUBWA YA INEQUITY AND SINS, KAMA DHAMBI ZAKO UNAZIJUA ZITUBIE NA SIMAMA NA LILE ANDIKO LA EZEKIEL KWAMBA UNA TUBU, NA KUBADILIKA; GIVE IT YOUR ALL.
DAY 4
1 Corithians 6: 17
17 But whoever is united with the lord is the one with him in spirit.
1 Wakorintho 6: 17
Lakini mtu aliyeungwa na Bwana anakuwa roho moja naye.
PRAYER POINT
MUNGU WANGU MTU YEYOTE ALIYE-UNGWA NA WEWE, ANAKUWA ROHO MOJA NA WEWE HAWEZI KUUNGANA NA MIUNGU MINGINE, NAKIRI KUUNGANA NA WEWE KATIKA ROHO LEO HII ONDOA MUUNGANIKO WANGU NA MIUNGU MINGINE YEYOTE KWA JINA LA YESU.
DAY 5
Zechariah 4:6
6 So he said to me,”This is the word of the Lord to Zerubbabel: ‘Not by might nor by power,but by my spirit,”Says the Lord Almighty.
Zekaria 4: 6
Akajibu akaniambioa, akisema, Hili ndilo Neno la BWANA kwa Zerubabeli, kusema, Si kwa uwezo, wala si kwa nguvu, bali kwa roho yangu, asema Bwana wa Majeshi.
PRAYER POINT
NITAVUKA HII CHANGAMOTO (ITAJE) SI KWA NGUVU WALA UWEZO BALI NI KWA ROHO WA MUNGU IN THE MIGHTY NAME OF JESUS.
DAY 6
Waebrania 2: 9
Lakini twamwona Yesu ambaye alifanywa kwa kitambo kidogo kuwa chini kuliko malaika, ili kwa neema ya Mungu afe kwa ajili ya watu wote. Sasa tunamwona ametawazwa kwa utukufu na heshima kwa sababu ya kifo alichoteseka.
PRAYER POINT
I SEE YOU JESUS! KATIKATI YA CHANGAMOTO ZANGU NA KUKATA TAMAA, ALL I SEE AND HOPE IS YOU JESUS, ULIUSHINDA ULIMWENGU NA UTANISHINDIA NA MIMI.
DAY 7
Philippians 4:13
I can do all things through christ who strength me.
Ukisoma Kiswahili Neno Christ halipo, Alafu ndilo la msingi na sekondari kwenye hii issue.
UNAWEZA UKASHINDWA KUFANYA JAMBO KWA SABABU KUNA MAMBO NI MAGUMU TO HANDS DOWN KWAKO SOMETIMES KWA KILA MTU.
ONCE JESUS ENTERS THE EQUATION NEW DIMENSIONS OPEN FOR YOU!, WHAT YOU COULD’NT DOC, NOW YOU CAN DO IT AND BEYOND THOUGHT CHRIST!
HATA ULIPOKWAMA ONCE JESUS ENTERS THE PICTURE MAMBO YATAKUWA MEPESI SANA NA KILICHO KUSHINDA KUFANYA UTAFANYA.
DAY 8
Waefeso 2:19-22
19 Kwa hiyo, Nnyi sasa siyo wageni tena wala wapita njia, bali mmekuwa raia halisi pamoja na watu wa Mungu na familia ya Mungu. 20. Ninyi mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, na kristo Yesu Mwenyewe ndiye jiwe kuu la pembeni.21. Ndani yake yeye, jengo lote limeunganishwa pamoja na kusimamishwa kuwa Hekalu Takatifu la Munguy.22. Katika yeye ninyi pia mmejengwa pamoja ili mpate kuwa makao ambamo Mungu anaishi kwa njia ya Roho wake.Paulo, Mhudumu kwa watu wa Mataifa.
DAY 9
Wakolosai 1: 13
Naye alituokoa kutoka kwa nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wake Mpendwa.
PRAYER POINT
Bwana Yesu, Roho Mtakatifu maandiko yanasema tutaokolewa kutoka nguvu za giza na kuhamishiwa katika ufalme wa mwana wake mpendwa! NA CLAIM HILI ANDIKO JUU YA MAISHA YANGU SASA, JUU YA CAREER YANGU, JUU YA MAHUSIANO YANGU, (CHANGAMOTO YAKO YOYOTE) in the Mighty Name of Jesus.
DAY 10
Wagalatia 6: 17
Tangu sasa mtu asinitaabishe; kwa maana ninachukua mwilini mwangu chapa zake Yersu.
Galatians 6: 17 – 18
From henceforth let no man trouble me: for I bear in my body the marks of the Lord Jesus.Brethren, the grace of our Lord Jesus Christ be with your spirirt.Amen.Unto Galatians written from Rome.
PRAYER POINT
TANGU SASA MTU YEYOTE ASINITAABISHE KWA MAANA MIMI NI WA KRISTO NA MIMEWEKWA ALAMA ZA KRISTO
DAY 11
Mark 9:29
29.And he said unto them, This kind can come forth by nothing, but by prayer and fasting.
Ukisoma nyuma kidogo utaona hili ni jibu la Yesu, Aliwapa wanafunzi wake baada ya kumuuliza imekuwaje aina hiyo ya pepo HAIKUWAII! Yesu ndiyo akawajibu aina hiyo inatoka kwa KUFUNGA NA KUOMBA TU!.
PRAYER POINT
Bwana Yesu na Roho Mtakatifu, chochote kinachozuia hatma yangu ambacho kiligoma kutoka isipokuwa kwa mimi kufunga na kuomba mkiondoe kwenye maisha yangu sana na kuniweka huru.
DAY 12
Ezekiel 36:26
I will give you a new heart and put spirit with-in you; I will take the heart of stone out of your flesh and give a heart of fresh.
PRAYER POINT
Bwana Yesu badilisha moyo wangu unaozuia mimi kufika hatma yangu, niwekee Roho mpya amabayo itanisaidia kufika hatma uliyo nikusudia.
DAY 13
Matthew 19:25-26
When his disciples heard it, they were exceedingly amazed, saying who then can be saved?, But Jesus heheld them, and said unto them, with men this is impossible; but with God all things are possible.
PRAYER POINT
BWANA YESU YAMKINI ISSUE YANGU (ITAJE HIYO ISSUE UNAYO IOMBEA) IMESHINDIKANA KWA WANADAMU LAKINI KWA MUNGU VYOTE VINA WEZEKANA.
DAY 14
John 3: 16
16 For God so loved the world that he gave his one and only son, that whoever believes in him shall not perish but have eternal life.
PRAYER POINT
BWANA YESU MAANDIKO YANASEMA YOYOTE ANAYE KUAMINI HATO ANGAMIA,NAKUSIHI NIOKOE NA KUANGAMIA HILI ENEO!
DAY 15
Warumi 8:38-39
Kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba, wala mauti, wala uzima,wala malaika, wala wenye mamlaka, wala yaliyopo, wala yatakayo kuwepo,wala wenye wenye uwezo, wala yaliyo juu, wala yaliyo chini,, wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenga na upendo wa Mungu ulio katika Kristo Yesu Bwana Yetu.
PRAYER POINT
BWANA YESU NIFUNIKE NA PENDO LAKO ENEO LA ( UNALO LIOMBEA)
DAY 16
Ephesians 3:20
Now unto Him that is able to do exceeding abundantly above all that we ask or think, according to the power that worketh in us.
PRAYER POINT
LORD DO EXCEEDING ABUNDATLY ABOVE ALL I ASK OR THINK ENEO LA (UNALO LIOMBEA)
DAY 17
John 1: 5
5 The Light shines in the darkness, and the darkness has not overcome it.
PRAYER POINT
Bwana YESU kamwe giza halitafunika nuru yangu kwenye eneo (taja unaloliombea), Niangazie Nuru yako.
DAY 18
Yohana 19:30
Basi Yesu alipokwisha kuipokea ile siki, alisema, Imekwisha. Akainama kichwa, akaisalimu roho yake.
PRAYER POINT
BWANA YESU ULISMEA “IMEKWISHA” PALE MSALABANI, LEO HII NAKUTAZAMA WEWE KWENYE KUISHAA KWA MSIMU WANGU WA KUKWAMA WA KUKWAMA NA KUTO KUVUKA HILI ENEO MUDA MREFU.
DAY 19
Waefeso 5:14
Na kila kilichodhihirisha huwa mwanga.Ndiyo maana maandiko yanasema:”Amka wewe uliyelala, fufuka kutoka kwa wafu, naye Kristo atakuangaza”.
PRAYER POINT
BWANA YESU ANGAZIA MAISHA YANGU NA DHIHIRISHA VIZUIZI VYANGU KUNIPA MWANGA.
DAY 20
1 Peter 2:9
9 But you are chosen people, a royal priesthood, a holy nation, God’s special posession, that you may declare the praises of him who called you out of darkness into his wonderful light.
PRAYER POINT
I AM CHOSEN! I AM A ROYAL PRIEST HOOD, GODS SPECIAL POSESSION! I AM CALLED OUT OF DARKNESS IN THE MIGHTY NAME OF JESUS
DAY 21
Revelation 21:23
23 The city does not need the sun or the moon to shine on it. for the glory of God gives it light, and the lamb is its lamp.
PRAYER POINT
GLORY OF GOD SHINE OVER MY LIFE AND SITUATION (UNAYOIOMBEA)
DAY 22
Ephesians 3:20
20. Now to him who is able to do immeasurably more than all we ask or imagine, according to his power that is at work within us.
PRAYER POINT
Lord I trust in your ability to set me free in this predicament.
DAY 23
1 Wakorintho 4:20
20 Kwa kuwa Ufalme wa Mungu si maneno matupu bali ni nguvu.
PRAYER POINT
BWANA YESU NASIMAMA NA ANDIKO HILI KUACHILIA NGUVU YA MUNGU DHIDI YA VIKWAZO VYOTE VINAVYO NIZUIA KWENDA MBELE.
DAY 24
Matthew 6: 7:7-8
But when ye pray, use not vain repetitions, as the heathen do; for they think that they shall be heard for their much speaking.Be not ye therefore like unto them; for your father knoweth what things ye have need of, before ye knoweth what things ye have need of, before ye ask them.
PRAYER POINT
BWANA YESU UNAJUA NAHITAJI NINI ENEO (UNALO OMBEA) KABLA HATA SIJAKUOMBA, NI TENDEE KADRI YA MAPENZI YAKO.
DAY 25
2 Wakorintho 12:9
9 Lakini aliniambia, ” Neema yangu inakutosha, kwa kuwa uwezo wangu unakamilika katika udhaifu. “Kwa hiyo nitajisifu kwa furaha zaidi kuhusu udhaifu wangu ili uwezo wa kristo ukae juu yangu.
PRAYER POINTS
BWANA NEEMA YAKO YATOSHAA JUU YA HILI JAMBO (UNALO LIOMBEA)
DAY 26
Acts 4: 31
31 And when they had prayed, the place was shaken where they were assembled together, and they were all filled with Holy Ghost, and they spake the word with boldness.
PRAYER POINT
Bwana YESU naomba kujazwa na Roho Mtakatifu.
DAY 27
John 21:5-7
5 Then Jesus said unto them, “Children, have ye any meat?” And they answererd Him, “No”. 6 And he said unto them, ” Cast the net on the right side of the boat, and ye shall find.”THey cast therefore, and how they were not able to draw it in for the multitude of fishes.
PRAYER POINT
BWANA YESU NAOMBA MSAADA WAKO TOKA JUU KWENYE HII CHANGAMOTO NIFUNULIE NITUPE NYAVU UPANDE GANI ILI NIVUKE.
DAY 28
John 19:30
30 So When Jesus had received the sour wine, He said, “It is finished!” And bowing his head, He gave up his spirit.
PRAYER POINT
BWANA YESU KAMA ULIVYOSEMA IMEISHAA NAAMINI NA MIMI HII CHANGAMOTO IMEISHA.
DAY 29
1 Wakorintho 15:57
57 Lakini, Mungu ashukuriwe! Yeye anatupatia ushindi, kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.
PRAYER POINT
Mungu nina shukuru kwa kuwa kupitia Bwana Yesu nimeshinda na ninaenda kuvuka.
DAY 30
Revelation 21:4
4 And God shall wipe away all tears from their eyes, and there shall be no more death, neither sorrow, nor crying, neither shall there be any pain; for the former things passed away.”
PRAYER POINT
NO MORE DEFEAT FOR THE FORMER THINGS ARE PASSED AWAY!, FROM NOW ON I WILL WIN AND CONCUER IN THE MIGHTY NAME OF JESUS.
FINALE
Wapendwa cha kuzingatia, cha kwanza kabisa ni out of 30 Daily Scriptures umeondoka na ngapi na ngapi zimeishi na wewe?
Cha pili baada ya maombi marefu huwa nguvu za giza zinakimbia kwa muda, Huwaga hazistahimili, Ila mtu anabaikia VOID, Kwama wazi flani ambao bado yupo kwenye transition period!, kuna muda anaona kabisaa kama kasha vuka na kuna muda anaona babeli hii hapa, Inavuruga! Usipojaza hii VOID una hatari kubwa ya kurudi Misri.
Mfano wa kweli ulikuwa na vizuizi vya ndoa au kazi!, umepiga 30 hizo back to back!, Unatongozwa! Ila kupata kazi bado! Au kumpata mwanaume unaye mtaka wewe BADOOO!.
Sasa usipokuwa makini hii VOID ita-kukata maini na kukurudisha nyuma, Akili ni kukomaa na kupambana either hapo-hapo au usonge mbele, Kurudi nyuma ni HUGE MISTAKE!
Mimi naona kwa wanangu wa zaka ambao walifanya ile deliverance, Nguvu za giza zimeondoka! Na ushahidi upo!, Maana kama ulikuwa unaota umeolewa manake alikuwa Spirit Husband huoti tenaa!, Wala hufanyi tena mpenzi ndotoni!
Na after 1Oyrs, 8yrs, 5yrs mtu ana-anza kutongozwa upya wakati ulikuwa HUONEKANI, Pamoja na progress yote mtu anawaza MWAKA UNAISHA SIJAOLEWA!, MWAKA UNAISHA BADO KAZI SINAAA!; Come on! Cut yourself some slack, Mwaka unaanza umeolewa na jini sijui pepo, Now you are free as a bird! Mwaka unaanza hujafanya interview miaka 5! After deliverance Umefanya 6, And you flanked all of them, Either way atleast una rank green kwenye AI na kuitwa interviews! ITS A WIN!
Kuna mwanangu ali-itwa interview 6, akaniambia ana nauli ya kufanya 4, nikamwambia hizo 2 nitakufadhili mimi. Then she flunked all of them, Akawa anajisikia vibaya sana the fact nime mfadhili na haja-fadhilika, Nikamwambia Mimi niliku fadhili upate experience tu! I knew odds ha zipo upande wako! Lakini sababu ndo umeanza kuitwa cheti kimetakata, sahivi baada ya kunyolewa na Chupa Interview 6 usife-moyo. Rekebisha makosa yako, Fanyia kazi ulipo-pwaya, With time we will get better and secure the positions!
Lilikuwa swala la kutake the fall like a champion na kujipanga tu upya, Juzi kaniandikia ushubwada kwamba ana kata-tamaa, Kimepanda na kushuka, Nikaona VOID isha-mmeza! God secured you 6 interviews which you flunked maybe from lack of experience, NA MUNGU BADO HAJA KUKATIA TAMAA MANAKE UTUMISHI WAME MUWEKEA ZINGINE CALL FOR INTERVIEW MPYA!
MIMI NILITEGEMEA ATANIAMBIA KWAMBA MASWALI YALIYO-MKWAMISHA NI HAYA KA SAHIHISHA HIVI NA MIMI NIWEKE TWO (2) CENTS ZANGU TUONE TUNAONDOKAJE NA NAFASI, KWAMBA THIS TIME NIMTEGEMEE HATA AJE SHETANI MWENYEWE NAFASI LAZIMA TUCHUKUE, NIKAE MKAO WA EARLY WIN.
Lakini ndiyo nakutana na ushubwada wa mtu karudi Babeli, Kidogo nimuandikie wafadhilaka wapundaka! Ila Nikaona silence is golden.
Wanangu waliotoka delivernace na soma Siku nzima WATU WANAOKIJA SIO TYPE ZANGU, AMENI PENDA SIJA MPENDA SINA UHAKIKA KAMA NAMPENDA AU SIJUI KWA KWELI, MAMA JE NIMKUBALIE.
KWA MTU ALIYETOKA KWENYE 10 CONSECUTIVE FAILED RELATIONSHIP, SIONI JIPYA WALA CHA AJABU, ELEVENTH (11TH) TIME MIGHT NOT BE A CHARM LAKINI KEEP PUSHING, KEEP FIGHTING LIKE THE BUFFALO SOLDIERS, EVEN IF HUYO WA KUMI NA MOJA (11) NAYE NI KISHETI IT MEANS NOTHING OTHER THAN BADO KUNA WANAUME BILLION 7 TANZANIA TU, ACHA DUNIANI; FOCUS ON FINDING THE ONE YOUR HEART DESIRES!
USIYUMBISHWE NA MATOKEO UNAYOPATA, YOU CAN ALWAYS GO ARROUND YOUR RESULTS TO OBTAIN BETTER RESULTS WITH TIME, UNAPOTOKA NI MBALI KULIKO UNAPOENDA! NEVER FORGET THIS!
YOU DIDNT COME THIS FAR KUTOROKA KUWA MKE WA JINI ILI URUDI KUWA MKE WA JINI, HELL NO! YOU MUST GET TO CANAAN OR DIE TRYING!
MAMBO YA KUZINGATIA KU-DEAL NA VOID!
1.Ushafanya maamuzi ya kumfata YESU you can not allow yourself to go back on that!; Ushaamua usha amua! Kilicho Bakia niutekelezaji tu.
2 YOU ARE NOT ALONE ANYMORE !; Mwanzo ulikuwa peke yako na Umeteseka peke yako.Now you have the whole heavens at your disposal!You have God! Jesus! Holy Ghost!Angels !YOU ARE BACKED UP BY THE ENTIRE HEAVEN! HOW CAN YOU LOSE? SIO KINYONGE!
Mimi kuna competition nipo, Sasa wengi pale wana connection kasoro mimi. Na sina mashaka! MTU akaniuliza mbona niko confident sanaa na ushindi na sina mtu!. Nikamwambia mimi na MBINGU NZIMA,GODLY DIVINE CONNECTION Sasa kweli nitetemeshwe na Human connections ? Nitakuwa mlokole au mamluki wa dini? I have the strongest and most secured connection of all!.
Akaona kama dishi limeyumba Kwangu, Na nikashinda mimi kama kawaida. Akashangaaa! Nika muuliza seriously kabisa ulitegemea Mungu atashindwa na wanadamu ? Thubutuuu! Akawa very exited ! Na yeye anataka divine connection!, Nikamwambia anza na sala 5 kwa siku! Akachoka.
3 Ukianguka endelea na Safari! Usirudi mwanzoni!; Kama imetokea umezidiwa na upwiruuuu, uka-baluzaaa mambo usiku kucha! Asubuhi usianze kuwaza bora uishi kwenye zinaaa, UNA TUBU NA KUIKANA ZINAA UPYA KAMA SIYO WEWE ULIOTOKA KUBALUZA JANA YAKE, UNAFUTA NAMBA YA MBALUZAJI MWENZIO NA KUVAA COMBAT; MAPAMBANO LAZIMA YAENDELEE! ALUTA CONTINUA!
4 GIZA LIKIZIDI PAPASA NJIA IKIBIDI BUT KEEP WALKING!; Kuna muda mambo yanakuwa kimya na kama hamna hamnaaa kinacho tokea wala dalili kwamba kita-tokea kitu! WALK BY FAITH! TEMBEA KWA IMANI HUO MSIMU MPAKA UPITE! Usijiruhusu kurudi mwanzoni kabisaaa kuishi kwa mashaka na wasiwasi. WEWE MUAMINI MUNGU NA USIYA-AMINI MAZINGIRA!
Kuna kipindi nilikuwa naenda kanisani na madeni tupu, Napewa unabiii kwamba nitakuwa mkubwa sanaaa kwenye biashara, nitashika Dollar za kutosha.Mwanzoni nilikuwa naona watumishi dish Lime yumba, Hawajui wa Lisemalo! Lakini baada ya kukomaa kiimani nikawa na tembea na huo unabiii unanipa moyo na kunijenga na kuni inua nikiwa down!
Si unajua mtu akija kukudaikama mwizi tena Na cha kumpa sina, Ana harisha maneno, Najua fika moyoni SIKU ZAJA SITAKOPA WALA KUNYANYASIKA HIVI BALI MIMI NDIYO NITAKOPESHA! I JUST NEED TO BE STRONG AND SURVIVE MPAKA HUO MUDA UFIKE.
Watu tena kwa kukuvusha maini na figo, unawaambia WAKATI WANGU NA MIMI UTAFIKA TU NA MIMI, SIKU ZAJA NITASHIKA DOLLAR! And NO ONE BELIVED IT! Wananiambia shida zimeanza kukuletea wazimu.
MUNGU SIO KIJUMBE, WAKATI KWELI ULIFIKA, HAWAKUAMI NI MACHO YAO WALA MASIKIO YAO! NA HAWAKUELEWA IMEWEZEKANA VIPI ?; NO MATTER WHAT, NO MATTER YOUR CURRENT SITUATION AS LONG AS UMEAMUA KUMTAFUTA MUNGU, BASI ATAPATIKANA NA WAKATI WAKO UTAFIKA TU! NA KILA MTU HATA AMINI MACHO YAKE
5 CELEBRATE YOUR SMALL WINS!; Kila ushindi mdogo unao pata na kila hatua unayo piga Mshukuru Mungu, Hatua ndogo huletaga matokeo makubwa zikiwa consistent!
Kama ulikuwa single kabisa, Ukianza kutongozwa mshukuru Mungu na ishi humo.Ukimpata mtu na umekaaa single miaka 5 hata kama hajasema anakupa au vipi Mshukuru Mungu hata kwa huyo mtu wa kukutumia Good night na kuku uliza uko wapi?, Hata kama anasema December nakuja kwenu na ikifika haji Mshukuru Mungu hata ana wazo la mbaliiila kuja kwenu!; SHUKRANI YAKO MUNGU ANAWEZA KUIp-BLESS NA IKA TOA MIRACLE KABAMBE!
6 TENGENEZA MAZINGIRA RAFIKI YA MUNGU KUKUFANYIA JAMBO KWA HARAKA!; KAMA UNATAKA KAZI BE POSITIVE AND PASSIONATE ABOUT YOUR CAREER! CONSTANTLY APPLY JOBS! CONSTANTLY; INQURIE KUHUSU INTERVIEW ZINAKUWJAE KWA WALIOFANYA! WALIKUTANA NA CHANGAMOTO GANI? WALi ZI SOLVE VIPI! HATA MAMA WEWE HUNAITWA HIO INTERVIEW!
ACHANA NA PROCASTINATION ZA KIJINGA KUSHINDA UMEJIFUNGIA NDANI UNA ANGALIA SERIES ZA KIKOREA UNA KAZI YA KUWA KISIRANI NA MWENYE ATTITUDE NA KUKATA TAMAA HAITA SAIDIA WEWE KUPATA KAZI SANA SANA; ITAPELEKEA UPATE DEPRESSION!
KAMA HUNA MTU, BE HAPPY AND CONFIDENT IN GOD KWAMBA HAJASHINDWA KUKUPA MTU, ZUNGUMZA NA MUNGU DETAILS ZA MTU UNAE MUHITAJI! AWEJE, MWAMBIE MUNGU AKUTENGENEZE UWEZE KUENDANA NA MTU AMBAE MUNGU ANAENDA KUKUPA! AKUONESHE WAPI UFANYIE KAZI!
Tumia mda mwingi ku dwellkwenye UTUKUFU NA UWEZA wa Mungu kukufanyia jambo lako! Tafakari Mungu kafanya makubwa mangapi itakuwa hilo dogo kabisaa!
BE EXPECTING RESULTS FROM GOD, Ukifika asubuhi una mwambia Mungu,Yamkini leo ndo ile siku unaenda kunikutanisha na mwenzangu, nipo tayari na nipo uweponi kupokea Jibulangula muda mrefu! Ukipita bila bila, Jioni una mwambia Baba Yamkini leo haikuwa siku yangu lakini wewe bado ni Mungu wangu! Tomorrow I still hope in you!
NAKUHAKIKISHIA HAUTAPITA MUDA UTA PATA HITAJI LAKO SABABU UNA LI-EXPECT TO RECEIVE! Lakini uki focus kwenye SIPATI SIPATII, Nakuhakikishia hutopata kweli! Sababu mazingira yako ume ya-set kwenye kukosa kosa mda wote! Una toka huja sali na unarudi kisiraniii na husali vile ,SASA UTAPATA NINI KWA STYLE HIO? UTAKULA JEURI YAKO.