KWA WALIOLIPA ZAKA SIX MONTHS CONSECUTIVELY
Mpendwa hakikisha umesoma injili ya Yohana, lakini ukisoma Luka au Matahyo au Injili zote tatu (3) Ndiyo safi zaidi.
WALIOLIPA ZAKA KWANGU WAPENDWA
KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE
Ndo la muhimu. Kama unalipa kwingine, itβs okay β Mungu ni yule yule kote! Sema ndo udai haki yako wakufanyie huko huko.
Maana hata walio lipa kwangu, wakihamia huduma zingine, watawashangaaa! π UTA HUDUMIWA ULIPO PELEKA MBOGA!
HATUNA KULAZIMISHANA
Na tusioombane wala kuhitajiana kuhurumiana! Wala kutumiana nyaraka ndefu kuliko za mitume.
π You had whole 6 months kuamua u-enroll to qualify for deliverance or not! And I respect your decision.
THE REALITY ON THE GROUND
Tayari nina watu zaidi ya 100! Na kati yao hao 100, labda 20 ndo wapo serious!
Wengine wengi ne tuna pimana na imani.
Last time niliweka nusu saa, haikutosha chochote. This time naweka saa nzima! That is roughly 100 hrs of back-to-back work.
And bado I gotta work to earn a decent living. I am already outnumbered β itβs only by the grace of God I may be able to pull it through!
HAKI YA KIMUNGU
Na kama umelipa zaka yako, this is not a favor.
π This is your God-given right!
Schedule appointment yako, kaa mkao wa ku-review maisha yako spiritually and expect to see the hand of God over your life!
-
Expect long time answers for intriguing questions.
-
Expect divine light and illumination.
-
Expect nothing short!
Jiandae kisaikolojia! Jiandae kiroho! Fanya toba zako zilizo nyooka! Inua reception game yako! Soma maandiko yako.
KUWA SERIOUS
Hata nikiwa naumwa, nijifanye nini, usikubali appointment yako ipotee! Niwajibishe kweli kweli.
-
Zaka yako imeliwa au haijaliwa?
-
Mbinguni zimekuona umetowa au hazijaona?
Mambo kama msumeno kukata kuwili na mimi nitakuhibisha vile vile!
Kama ni deliverance ya 2 au ya 3, hakikisha unajua unafanya nini!
Yale maandiko niliyo kupa yapo kichwani? Do you know who youβre up against or why?
π Kama hujafanyia kazi last deliverance β just donβt schedule appointment! Kiutu uzima nitakuelewa kuliko uje uniamabie hujafanya nilio kuelekeza.
HII SASA NI ONE HOUR SESSION
Sahivi nimeifanya muda mrefu β lisaa limoja β sababu we will be paying more attention to details.
We may pray together kutegemeana na kifungo. I will work harder to double down to impose Godβs authority kwenye hivyo vifungo.
Tuelewane kutegemeana na vifungo!
-
Kama kifungo cha abortion β ni wewe kutubu kwa moyo, na mimi kukutafutia scriptures strong na kuku tia moyo utubu!
-
Mimi siwezi kuwa shabiki maandazi kutiwa hamira kidogo kuumuka beseni nzima kwamba unajutiaaaa na umetubu na hutorudia tena β itakuwa upambe tu!
π Wewe ndo unajua kama umetubu au huoni kosa lako.
ISSUES ZA MAHUSIANO
Wewe ndo unajua kama umeacha zinaa au unanuka janaba muda huo wa appointment.
Siwezi mimi kushadadia wima wima: βHuyu baba sio mzinifu kabisaaa! Ana miaka 7 hajui dudu!β
Upwiru utamuua?
π Baba mpe mume wa ujana wake kabla menopause haijamkuta!
Na malaika watauliza β βAnaeongelewa hapa ni yupi? Huyu huyu mkaliwa kuikota mizungu na wanaume za watu?β
Maskini mtumishi wa watu anajichuuza kwa bei ya reja reja!
ISSUES ZA KAZI
Sawa, tuta simamisha maandiko! Tutaomba! Tutadissect!
Hata kama mzinzi β you deserve to chop a little now!
Hata kama mizimu inakudai ndo ufe njaa β kweli?
Hata kama kuna agano la mganga ndo hiyo degree iozee kwenye kazi ka kujishikiza kweli?
π Hapa tunaenda haywire on the devil!
La msingi: zaka yako imetokaaa na ikapokelewa!
Kilicoh baki ni madirisha ya mbinguni yafunguliwe juu yako.
ISSUES ZA BIASHARA
Ni haywire tu! Tuta-dissect kwa nini biashara inajaa roho ngumu! We go full force.
π You deserve to chop now!
Si umelipa zaka kama maandiko yalivyo sema???
Basi mbingu zika chop from your business. Ni muda wa madirisha kufunguka juu ya biashara zako.
SI PELLEMBA PELEMBA
Siongei hivi vitu kuwa pelemba pelemba ili mtoe zaka zaidi!
π Mkitoa zaidi mtaniua kwa kazi nzitoooo!
Zaka ina wajibu mkubwa na ina kufunga hatari kwa mtoaji. Wakati kuna sadaka zingine β wewe ni kukusanya tu na kurelax, kama za shukrani.
MAANDIKO YAPO WAZI
Na waambia sababu ni maandiko yapo wazi. Mimi nita ya enforce tuuu! Nita kazia hukumu, na kuhoji utimiaji wake β kwa kuwa wewe mtoaji umetimiza wajibu.
Malaki 3:10
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, aΕ«la.
MIMI NDO SHAHIDI WAKO
Zaka umeleta. Kama kamili sina uhakika sana β lakini kulete umeleta.
Mimi nimeilaaa! Ndo shahidi wako number 1.
Sasa ni muda kama kuhani nilie manga zako yako kuiliza: ufunguaji wa madirisha ya mbinguni umefikia wapi?
π Kama kupigwa radi kwa kuhoji, nitaanza mimi. Wewe jifiche nyuma yangu. Hukunituma, wala nini β ulitoa zako tu. Ni kiherehere changu na shobo zangu!
KWANINI SIWAFANYII DELIVERANCE WAPAGANI
Ndo maana mimi siwafanyiii deliverance wapagani wasiolipa zaka. By default wapo nje ya maandiko. Mimi nitashika wapi? Najilipua na nini? I really must have a death wish or something! Unfortunately I donβt.
π Wewe kama mpagani hutaki chako kiliwe, una kila mwenyewe sio case. Jilipue mwenyewe kuhoji: kwa mba zaka zao umezilaaa na madirisha unataka wafungue. I wish you luck!
LAKINI KAMA UMELIPAβ¦
Lakini kama maandiko yamesema ulipe, umelipaaa!
Baraka hazijaja β mimi nitajichetua kwenda front tujue shida ni nini!
Maana hata mi sipendi kula hela za mtu in vain! Andiko lazima liwe halisi, sababu Mungu sio mwanadamu aseme uongo.
π Na most times, kwenye kuhoji ndo unajua kama kuna kifungo au kizuizi kinacho zuia part ya Mungu kutimia juu yako.
Then tuna anza hapo kukifungua.
-
Kama toba β unafanya.
-
Kama maagano β unavunja na kujitenga nayo.
Jinsi kifungo kinavo kuja ndo tunavo kipokea, mpaka kieleweke.
Sometimes matatizo hayaishi instantly. Lakini ukishupaza fuvu kwa continuous mapambano β vinaachiaaaa! No retreat, no surrender.
RATIBA & APPOINTMENTS
Wale ambao mpo kwenye website tayari β nitatumia list ile ile kuwapa appointment kwanza. Maana mtakuwa mara ya 2 na 3.
Wapya β nitaanza kutoa link za website tarehe 21.
π Ukimpa mtu link yako, umpe na record za zaka za miezi 6.
After all, unawekaje misingi ya deliverance kwa udanganyifu?
DELIVERANCE RATIBA
Deliverance ni tarehe 1β14 October.
Nje ya hapo nitashindwa mimi β mpaka May mwakani.
Maana hapo naua rati zangu zote kwa week 2 nzima.
Kama muda wa mchana haukufai β chagua usiku. And vice versa.
FINAL WORD
Njoo umejiandaaa! Njoo na akili zako timamu!
Njoo na unyenyekevu!
π Tumalize hayo mambo yako fasta fasta!
Tuna mtumikia Mungu mkubwa, mwenye jeshi kubwa na track record iliyo nyooka.
Usiendeleze ubabaifu ukajihujumu!
π Hajawahi kushindwa kamwe!
Na hatoanza kwako!