Galatians 5:22-23
22 But the fruit of the Spirit is love, joy, peace, for bearance, kindness, goodness, faithfulness, 23 gentleness and self-control.Against such things there is no law.
MPENDWA UKISOMA MAANDIKO KWANZA UNASOMA ILI UFAHAMU TU MOJA (1) NA MBILI (2) ZA SO CALLED UFALME WA MBINGUNI, WHO IS WHO OF THE HEAVENS ILI UWEZE KU INTERERACT NAO MIPANGO YAKO IENDE SAWA MJINI.
BAADA YA KULIJUA NENO, CHA KWANZA BAADA YA NENO KUISHI NDANI YAKO LAZIMA UPOKEE WOKOVU WA NAFSI HAPA SIMAANISHI UHAME DHEHEBU UWE PENTEKOSTE AU APOSTOLIC AU ASSEMBLIES, HELL NO! BALI UNATAKIWA KUSALIMISHA NAFSI YAKO KWA YESU NA KUFATA NJIA YA YESU NA KUPOKEA WOKOVU AMBAO UTA-AMBATANA NA KUBATIZWA KWA ROHO MTAKATIFU.
All this sio kwa ajiliya kuwa Religious Fanatic, Au Mfia dini, Au mpambe nuksiii wa dini!Hapanaaa!, Baada ya kupokea Salvation Maana yake wewe sasa mambo ya Dunia umechagua kuachana nayo na umeamua KUMFATA YESU KWA KUMPA MAISHA NA KUPITA NJIA ZAKE BILA KUSHURUTISHWA , KUSHIKWA AKILI AU KULAZIMISHWA NA MTU WALA KUBEMBELEZWA NA MTU, UMEKAA ZAKO UMEJUMLISHA, ZIDISHA NA KUGAWANYA UKAONA CHRIST IS THE TRUTH AND THE WAY OF LIFE, HAWA MBUGILA MBUGILA WENGINE TUPA KULE!
BAADA YA SALVATION MKRISTO YOYOTE LAZIMA A UNDERGO TRANSFORMATION, HII NI PROCESS NZIMA YA KUYABADILI MAISHA NA MIENENDO YAKE NA SIO KWAMBA ANA JIBADILISHA YEYE BALI NENO NDANI YAKO LINAKUBADILISHA KWA KUZAA MATUNDA YA KIROHO NDANI YAKO AMBAYO YATAKUPA UWEZO WA KUFANYA VITU AMBAVYO HUKUWA NA UWEZO WA KUVIFANYA KABLA.
Basi hapo mnawaza Fruits of the spirit zitanipa uwezo wa kufaulu interview za million 10!, Jishikilie bibie kwani Fruit of the spirit zinakupa uwezo wa kukamilisha maamuzi yako ya mwanzo ya KUMFATA YESU NA KUISHI MAISHA YAKO KATIKA NJIA ZA YESU.
KUNA MTU ALINIULIZA GENUINE QUESTION, KWELI NATAKA KUACHA ZINAA LAKINI JE COULD I MASTERBATE OR SOMETHING, MAANA YAKE UPWIRUUU PASTOR, KWA KUJIENDEKEZA HAMNA MPINZANI, KAMA KAJILI. WAPENDWA SHIDA HAMTAKI KUFATA PROCEDURE ILIYOPO NA PROCESS, HUTAKI KUOKOKA LAKINI UNATAKA TRANSFORMATION! HUWEZI KUTOBOA SABABU BADO HUJAKOMAA KIIMANI KUZAA MATUNDA YA KIROHO YATAKAYO AID HIO TRANSFORMATION
WAPENDWA UPWIRU HAUNA TIBA HATA UKIOA AU KUOLEWA, EVERYDAY UTALUTANA NA PLATE NUMBER “E” NA UTAZITAMANI VILE-VILE, MOYO MDANGANYIFU UTATAMANI HATA ULIOKUTANA NAO ZAMANI AND AS YOU AGE LIFE HAPPENS YOU CARE EVEN LESS ABOUT QUALITY OF MEN, NO STANDARDS WHATSOVER
Kuna mtu akawa anasema NIKIOLEWA NAACHA ZINAA, Si kila siku natolewa upwiru, Nikizini itakuwa kujiendekeza kwa hali ya juu, Moyoni tukasema HUJUI ULI-OMBALO; Mungu akujalie Uwe-stuck na one person mwaka tuuu, unalala nae na kuamka nae, alafu ndiyo umegundua mambo yote aliyokuvutia nayo ni PACKAGING NA BRANDING tupu, Hata lolote, Na vile kashakupata he is not even trying again, ANAKUPIGA NA THIS IS THE REAL ME, Kudadadeki, Na ndo till death do you apart!
Kama ukiwa single ni Maluuni-maluuni unalala na watu 10 ukiolewa and then marriage happens utalala wa watu 100, YAANI UTAFUNGULIA MBWA!; UKISHINDWA KU CONTROL UPWIRU AS A SINGLE WOMAN JUA KWENYE NDOA NDIYO UTAGONGWA-GONGWA MPAKA NA BODABODA NA TAKA TAKA ZOTE ZA DUNIA HII.
After the marriage fever is gone and life is lifing, Shit is going down, SLEEPI NG WITH THE ENEMY EVERY NIGHT, KUDADADEKI, KUNA SIKU TULIKUWA TUNAONGEA SISTERLY TALK,WATU WENGI WALI-ADMIT MARRIAGE CHANGED THEM TO NEW DEVLISH HUMANS, KUNA DHAMBI HAWAKUWAHI KUZIFANYA KABLA YA NDOA ILA BAADA YA NDOA TOO MANY SKELETONS IN THEIR CLOSETS, WATU WENGI KABLA YA NDOA HAWAKUWAHI KUTOA MIMBA ILA NDANI YA NDOA WANA ZIPOROMOSHA TU, WATEJA WAKUBWA WA UTOAJI MIMBA NI WANA NDOA!
WEWE SAHIVI NI WOMAN OF PRONCIPLES AND STANDARDS, WOMAN OF CLASS NA AFTER 4 KIDS, EMOTIONAL TOTURE, YEARS OF SLEEPING WITH YOUR ENEMY, UNGRATEFULLNESS KWAKO; MWANAUME NI YULE ANAE SIMAMISHA MASHINE, TO HELL WITH CLASS AND STANDARDS! WHERE DID THEY GET YOU IN YOUR FIRST MARRIGE, THEY GAVE YOU THE DEVILS OWN NDIYO MAANA UNAKUTA WATU NDOA ZIPO NA KAZINI ANA MUME WA KAZINI VILE VILE KUJIPOOZA MAANA DOSE NI NENE NYUMBANI UNA AMUA TU UTII KIU YAKO.
Mimi ndiyo maana sitoi ushauri wa ndoa, Misingi ikibaribika mwenye haki atafanya nini? Yaani ushauri wa ndoa unakuwaga LOSE LOSE SITUATION, Ukikomaaa mishale, Uki divorce mishaleee! No matter what losing is a must!
Kuna mtu alisema ameolewa Bikra, Na yeye ataondoka duniani na head count moja!, Baada ya kunenepeana na uzazi, Mume hamshikii usiku, head count sasahivi inaenda 10 and counting, Late start but trendenemous finish, Wale wote alio wanyimaga ashawatafuta na kuwapa, Tuma muuliza msimamo wako wa head count 1ulikufa wapi? Akasema women should not count their sins rather repent, SAWA WE ARE ALL SINNERS LAKINI TUNA ZIDIANA! e
ONLY THROUGH SALVATION NDIYO UTAWEZA KU-BEAR FRUITS OF THE SPIRITS AMBAZO ZITAKUSAIDIA KWENYE TRANSFORMATION PROCESS OF WHICH NENO LA MUNGU NDANI YAKO LITA KU-TRANSFORM KUWA NEW CREATION IN CHRIST JESUS CAPABLE OF LIVING CHRIST LIKE LIFE.
Kuna watu hawa dumu kwenye mahusiano sababu THEY JUST CANT LOVE, Na upendo husamehe ujinga ujinga, huvumilia, hau ulizi maswali, hufurahi, Hujali, Unajikuta mwanzo ulikuwa hutaki upumbavu na huweziii kupendaaa, Lakini baada kuzaa matunda ya kiroho unakuwa na UPENDO KWA WATU WOTE! JUST LIKE JESUS!
Kuna watu hawapendi vyeo sababu ni JEURI na VISIRANI Mpaka ma Boss zako wakiwaza kisirani chako kuku pandisha cheo sio kweli!Mvivu!Unajivutaaa! In short hujatambui, Njaa na dhiki za kuhitaji hio promotion unayo kuliko malezo, Ila your dubious nature can notlet you shine!
Ndiyo maana watu wanao Lipa zaka wanapata sana increment na promotion sababu wamekuwa Serious na Mungu na wameanza kuzaa matunda ya kiroho ambayo yanawapa millage kwenye dunia ya mwili, Unakuta mtu hununiii hovyo, huna kisirani kwa wateja, ulikosewa huweki rohoni, Uki-andikiwa mikazi unacheka cheka kama chizi kaona jalala jipya.
Mpaka ma-Boss wanajiuliza huyu mbona kama tulimfanyia Roho mbaya kuto m-promote in time hiviii! Embu promote her ASAP!; Hata kwenye ndoa mna acha kugombana sababu una amani ipitayo amani zote, Akirudi saa 10 anakuta kinote chakula kipo kwenye friji baba watoto, You ask nothing you demand no explanations whatsoever! ALL YOU WANT IS PEACE AT ANY COST!
Unamtishaaaa, Anawaza Kama hataki KUNIUA huyu arithi mali basi she has hit the rock bottom, She is divorcing me! Finally she is going toleave me for good, Afu mbona kama sija-jiandaa kisaikolojia, Hapo ndo unakuta mtu saa 10 yupo nyumbani, Najumuiya ana-anza kwenda!
KUNA VITU SAHIVI UNA VIFANYA LAKINI UKIZAA MATUNDA YA ROHO STIMU NAVYO UTAKUWA HUNA, Kwa mfano zamani ukikutana na mwanaume Chupi inalowa mtoto wa kike, mwali kigego umekimbia na shamba za kungwi, Unaji peleka na kujilegeza na kujilengesha, Show una ikamia kama kesho hakunaaa!
Lakini uki-OKOKA na kubatizwa kwa Roho Mtakatifu, Upwiruuu wote una unakaushwaaa Automatically, Hata ukimtamani huyo kaka leo mchana, usiku unaoteshwa ANA MKE, WATOTO NA HIV JUU, Nyege zote zinakuishaaa! Upwiruuuu una ku-pwiruaaa mwenyewe, KUDADADEKI!
ZAMANI NILIKUWA NAWAPIGIA KELELE BANENI MIGUU SAHIVI NAWAPIGIA KELELE MUOKOKE SABABU NAJUA UKI-OKOKA UPWIRU UNA KAUKA WENYEWE KAU-KAU ACHANENi NA NENO LA MUNGU!
Kuna watu wengi ambao wapofiti kiimani na wana discern info from the spirit world kupata mwenza sio mchezo, UKIMCHUNGUZA BATA HUTO MLAAA, NA SPIRIT RELIM INA KUBWAGIA FILE KAMA LILIVO AMUA KUSUKA AU KUNYOA
Mimi nacho washaurigi ni kuwa EVERY SAINT HAS A PAST NA EVERY SINNER CURRENTLY HAS A FUTURE TO BECOME A SAINT, Ila Kiukweli Stimu zina KATIKAAA ukimjua mtu, Na sisi tunao ona future ndiyo kabisa, The gift is too heavy, Ushaoneshwa udhalimu wake wotee atakao kufanyia mbele ni una anzaje kukubali! Udhalimu au Upweke, Chagua moja.
Mark 11:12-25
12 On the following day,when they came from Bethany, he was hungry. 13 And seeing in the distance a fig tree in-leaf, he went to see if he could find anything on it.When he came to it,he found nothing butleaves, for it was not the season for figs. 14 And he said to it, “May no one ever eat fruit from you again.” And his disciples heard it.
HUU MTI ULIKUWA NA MAJANI UKATOA ILLUSION KWAMBA UNA MATUNDA. YESU ALIVYOJUA KWAMBA KUMBE HAUNA MATUNDA NI MAJANI MATUPU AKA ULAANI UKA NYAUKA!
WAPENDWA SASA KUNA BAADHI MME OKOKA MUDA NA MNA JIIDENTIFY KAMA WAKRISTO LAKINI MMEGOMA KUZAA MATUNDA YA KIROHO NA KUBAKIA MAJANI MATUPU AS IN MASHABIKITU WA DINI LAKINI REAL TRANSFORMATION HAKUNA, NDIO MAANA MMEJIKUTA MNA NYAUKAAAA KATIKA WOKOVU! WOKOVU WENU IS NOT WOKOVURING!