ACHA KUJIENDEKEZA UNA NAFASI KUBWA YA KUJIPAMBANIA

Time is the most scarce resource in this life, Kita mtu ana masaa 24 tu, Piga ua garagaza, Masaa ni hayo hayo 24 tu hata uwe taji ri kiasi gani, You can not manufacture time! You can’t!

Katika race against time ndo unakuta watu wanajiongeza kununua private jets iliwa fly kwa ratiba zao na kuokoa mda kidogo wa maisha yao kwa gharama kubwa za kuendesha ndege binafsi, Muda una kubana uchague moja, Kama hapa huu muda nao ongea na nyinyi ume ni cost episode za series za Kikorea au kukomaa na biashara yangu. Huwezi kuucheza mda na kuutumia kwa manufaa, Lazima Utachagua kimojaaa! Kusuka Au Kunyoa.

 

Ukielewa paradox ya muda hutasumbuka na watumishi kamwe, Jua Mtumishi akitumia muda wake mchache wa masaa 24 kukupa wewe na kuku zingatia, you better be worththe time! Sasa ili kukupa wewe huo muda kuna watu kawatelekeza, Sasa it is just a matter of time kabla Hajaona you are not serious!

 

Wewe una muda wako  na mimi nina muda wangu na wote tumepewa mda sawasawa 24hrs, WEWE TUMIA MUDA WAKO KUJIJENGA NA KUJIPANGA NA KUJIONGEZA ILA UKIENDA KWA MTUMISHI SASA KAZI INAKUWA NDOGO SANA YA KUJAZIA NYAMA KULIKO PWAYA, SIO KUTAKA MTUMISHI AANZE KUFYEKA PORI.

 

AGANO JIPYA LOTE VITABU  ZAIDI YA 27 VINAMUONGELEA MTU MMOJA TU YESU KRISTO WA NAZARETI, THE ENTIRE TESTAMENT! SOMA BASI VITABU VYA INJILI WALAU  VIWILI (2) TU UJUE HUYU YESU NI NANI NA KWANINI ALIKUJA DUNIANI  NA HIO MIAKA 33 ALIO ISHI DUNIANI ALIFANYA NINI NA NINI! ATLEAST UWE NA PRIMARY KNOWLEDGE.

 

MAMBO YA NINA MATATIZO MAKUBWA LAKINI SIJUI CHOCHOTE KWENYE DINI UNAWATAFUTA WATU UBAYA WA BURE, WOTE WANAOJUA AT SOME POINT WALIANZA KUWA SERIOUS NA INTERESTED WAKAANZA KUSOMA HENCE KUJUA! HAMNA ALIE KUWA AIR DROPED AU KUTUMIWA MAANDIKO KWA BLUE TOOTH.

 

Atleast waliokuwa formerly Muslims! Lakini nao una muuliza how long since you converted? Sio excuse!, Mtu umesoma mpaka form 4 au mpaka degree, YOU SPENT YEARS AND YEARS STUDYING AND BEING EXAMINED FOR WORDLY EDUCATION, YOU GAVE YOUR BEST! YET STILL YOU CAN GET YOURSELF TO READ ONE BOOK JUST ONE THE HOLY BIBLE! THIS IS BULL SHIT.

 

YOU WANTING AND HOPING AND PRAYING THAT THE GOD WHOM YOU DONT KNOW AND YOU DONT WANT TO MAKE THE EFFORT TO KNOW ,SERIOUSLY EXPECTING HIM TO GO ABOVE AND BEYOND FOR YOU!  NA ASIPOFANYA UNAKUWA MKALI KAMA PILI-PILI, THIS IS TOTALY INSANE!

 

Matthew 15:25-28

Then came she and worshipped him, saying Lord, help me. But he answered and said, It is not meet to take the children’s bread, and to cast it to dogs. And she said,Truth Lord: yet the dogs eat of the crumbs which fall from their masters’ table. Then Jesus answered and said unto her, 0 woman, great is thy faith:be it unto thee even as thou wilt. And her daughter was made whole from that very hour.

 

Hapa Yesu ndo aliweka record straight! Ali nyoosha, Huyu mama alikuwa ni Msidoni, Jamii ya kina Jezebel ambao walikuwa wapinzani wakubwa wa MAYAHUDI na dini yao na walikuwa ma bingwa wa kueneza upagani kwenye uyahudi, Kama Jezebel ali ua manabiiwote wa Bwana na akafanya Elia aende exile mpaka kuletewa chakula na kunguru, Sasa hawa wa Sidoni Mungu wao alikuwa Baal, Kapata matatizo asimuombe Baal anakuja kudowea huku kwa Mungu wa Israel, Ndio maana YESU alimchana live, SIWEZI KUMTUPIA MBWA CHAKULA CHA WATOTO, Akabembeleza pale YESU akamsaidia mwanae AKAPONA.

 

Watumishiwa  sahivi  hawakusaidi chochote, Nakwambia, THE ONLY WAY ATAKUSAIDIA NI ENDAPO TU EITHER UTAKUWA MTOTO WA ILE HUDUMA NA KUWA FAMILIA AU KAMA UNA PESA YA KUMPA NDIYO ATAKUPA MAKOMBO KIDOGO UPATE NAFUU.

 

NA HAPATI DHAMBI YOYOTE SABABU RECORD HAS BEEN SET STRAIGHT CHAKULA CHA MUNGU NI KWA AJILI YA WANA WA MUNGU, MTU WA NJE AKITAKA KULA AREKEBISHE NJIA ZAKE NA KUFANYA TOBA YA KWELI NA KURUDI KUNDINI.

Mimi mwenyewe I LEARNT THE HARD WAY, Mwanzo kabla sijaoka nilidhani naweza kwenda Pentekoste nikaombewa shida zangu zikaisha bila kuokoka. NILIKUWA DISAPOINTED, NILIPEWA MAJIBU MEPESI KWA HOJA NZITO NIKAPELEKWA KISIASA MPAKA SIKU NILIPO JIONGEZA KWAMBA NISIPOKUWA MAKINI HATA MAKOMBO SITA-AMBULIA HAPA WATANITOA DRY DRY.

 

MAANA YAKE WALOKOLE WANA IBADA ZA PAMOJA ZILE ZINAZO TANGWAZWA, LINASOMWA NENO ADVANCED SOMETIMES MSTARI MMOJA TU, BORA ROMANS NA LUTHERANS WANASOMA OLD TESTAMENT, GOSPEL NA NEW TESTAMENT WANATUPIA NA KAZABURI HUMO, ATLEAST YOU GET THE PICTURE.

 

WALOKOLE MSTARI MMOJA WAKIENDA SANA PARAGHRAPH MMOJA NA NIKAJA KUJUA SABABU WAPO ADVANCED MAANA KILA MUUMINI HAMNA UBABAIFU LAZIMA AMESOMA BIBLIA NA YUPO FITI INJILI ZOTE NNE (4)  NA YUPO KWENYE VIWANGO VYA FIFA IN GENERAL NO NEED YA KUSOMA SANA KILA MTU BIBLIA IPO KICHWANI.

 

Wakisoma Ule mstari WANA RUKA NAO LIVE! Praise team inapokea, Prayer team imeitika! Watu wote wapo under the influence of the Holy Spirit, Peke yako utabakia una ngaa Sharubu na kuondoka kama ulivo kuja, Wale they meet 7 times a week! Yes! Kati-kati ya week ndio wana sessions za kusoma neno na kutafakari!Wanapewa na homework kabisaa week hii Mtasoma kitabu hiki, Wanafundishwa in depth, Jumapili ni show time tu.

 

THEY PUT IN THE HOURS, WEEKLY! MTU WA JUMAPILI KWA JUMAPILI HUWEZI KUWA LEVEL MOJA NA MTU WA 7 DAYS A WEEK!, TIMES HAVE CHANGED! ZAMANI MTU ILI LAZIMU UTAFUTE MUNGU PHYSICALLY A NAPO PATIKANA, LAKINI SAHIVI MUNGU YUPO ONLINE! DUNIA IMEKUWA KIJIJINI!UPO BONGO UNA ENJOY IBADA ZA CANADA ZA BENHIN AU NIGERIA ZA REDEMERS AU WINNERS CHAPEL.

 

USIPO MTAFUTA MUNGU ZAMA HIZI HUJA AMUA TU, ILA SIO KWAMBA MUNGU HAPATIKANI! MUNGU ANAPATI KANA KULIKO ZAMA ZOZOTE ZILIZO PITA, MTUMISHI NA MIAKA 35 NINA DEGREE NINA MATATIZO SANA SAWA, INJILI UMESOMA? HAPANA MTUMISHI MIMI SIJUI CHOCHOTE! HUONI AIBUUUU KIJANA WA MAKAMO? MPAKA MIAKA 35 HUJASOMA INJILI? YOU ATTAINED A WHOLE BACHELORS DEGREE WITH OR WITHOUT HONORS LAKINI KUSOMA MAISHA YA YESU KRISTO AH AND YET UNATAKA HUYOHUYO YESU AKUSAIDIE KUVUKA HAYO MATATIZO, INTERESTI NG IN DEED.

 

AKILI YAKO INAVYOKWAMBIA UKIMWAMBIA MTUMISHI UKIMWAMBIA HUJUI KITU NI KAMA ATAKUONA  VICTIM FLANI HIVI NA ATAKUBEBA  NONSENSE, VICTIM WA UVIVU AU JEURI? NI BORA UKASOME KWANZA INJILI UWE NA IDEA HATA YA KUJIBU MASWALI YAKE KWA SHENGESHA UKIBAHATIKA HATO KUNYAKA UGAIGAI WAKO; MTAANI KAJA PASTOR MPYA TOKA NIGERIA HUKO, NDUGU YANGU KAFUKUZWA KAAMBIWA SIONI KAMA NAWEZA KUKUSAIDIA.

 

Basi kime-muuma hatari, Anasema Pastor anapenda wenye pesa, Maybe a little maana haja toka Nigeria bure kuja kungaa Sharubu mashariki ya mbali, Ila the realissue huyu ndugu yangu MBABAIFU, HAJASOMA BIBLIA HATA  MADAI SHE IS CATHOLIC, UKINIULIZA MIMI NITAKWAMBIA SHE IS PAGAN BY CHOICE, CATHOLICS USE THE BIBLE SANA KWNEYE MISA ZAO KULIKO MADHEHEBU MENGINE.

 

WANASOMA MAANDIKO MATATU (3)  NA ZABURI JUU NA WANA CROSS MAAGANO YOTE, THE STRUCTURE IS PERFECT LAKINI WAUMINI NDIYO WAVIVU, SABABU WAPO WENGI WANA MEET ONCE PER WEEK TENA KWA MDA MFUPI MAANA WANA MISA TANO (5)  HAMNA HAMNA! LAKINI PADRI HAJAKUKATAZA KUSOMA BIBLIA UKIWA NYUMBANI! UBABAIFU WAKO TU, PADRI MWENYEWE ANASOMA BIBLIA WEWE NANI USISOME?

 

MAISHA NI SAFARI YA MBINGUNI NA NAULIYAKE NI NENO LA MUNGU AMBALO HUNA NA UMEGOMA KULITAFUTA, SASA MNIGERIA ANGE MSAIDIA  NINI?; NIMEENDA MIMI NIKA MWAMBIA NAJUA HAYA NA HAYA NIMEKWAMA HAPA, TUNA FANYAJE? HOW TO DO! AKANIELEKEZA! SIJATOA HATA SH 10, SABABU KUNIELEKEZA ILIKUWA LESS THAN 20 MINUTES.

 

KWANINI ANIFANYIE ATTITUDE? MPAKA ANANI PIGIA SIMU  KUNIULIZA MAENDELEO! KAFURAHI KUNIKUTA MTU SERIOUS.

 

Yule ndugu yangu kwajuu juu tu mimi na uhakika ana spirit husband, Ana mapepo, Ana maagano ya ukoo na waganga, Ana malipizi ya dhambi! Kusonga mbele ni uongo, NA HAYA MAMBO KUJUA UNAYO SIO ISSUE, ISSUE UNAFANYA NINI KUVUKA NA KUONDOKANA NAVYO?

 

KAMA NILIVYO WAAMBIA MAISHA YA MBINGUNI NI SAFARI NA NAULINI NENO LA MUNGU! KAMA HUNA NAULI HAKIKISHA UNA ITAFUTAAAA MPAKA UNAIPATA! BILA HIVO MJINI HUTAENDA, SAWA NENO HUJUI, SI NDIO UNAANZA KULISOMA SASA! KILA SIKU CHAPTER 3!

 

MIMI WATU WENGI WANAOKIJA KWANGU WAPO 30 AND ABOVE WENGI WANA VIFUNGO DEFINATELY! ISSUE ZILE ZILE SPIRIT HUSBAND, MAAGANO YA WAGANGA, MAAGANO YA UKOO, MAPEPO, VIFUNGO VYA KICHAWI EITHER WA SPELL AU MAFUNDO-FUNDO, LAANA! MARINE SPIRITS NA EVIL SPIRITS ZINGINE.

 

KUJUA EXACTLY WHICH IS WHICH LAZIM UFANYIWE ONE TO ONE LAKINI NI KUJICHOSHA TU NA KUTAKA PERIMIUM SERVICE UKISOMA MAANDIKO SANAA YOU CAN SELF DIAGONISE! NA JAPO VYANZO VYA TATIZO NI TOFAUTI TIBA YAO NI MOJA TUUUU! UNLOCK AND MAINTAIN RELATIONSHIP NA ROHO MTAKATIFU!

 

NA HUWEZI KUWA NA MEANINGFUL RELATION NA ROHO MTAKATIFU BILA KUWA NA TABIA YA KUSOMA MAANDIKO HASA AGANO JIPYA, KADRI UNAVYOSOMA MAANDIKO NDIYO ROHO MTAKATIFU ANAJI FUNUA KWAKO NA KUKUPA ACESS YA HIS POWERS! NO SHORTCUT NO UBABAIFU, BILA KUSOMA MAANDIKO YA INJILI NA NYARAKA ZA MITUME KUPOKEA ROHO MTAKATIFU UNA JIDANGANYA MAANA WALE NDOWALITOA PASSWORD YA HUU UBATIZO MPYA WA ROHO NA KUPOKEA NGUVU TOKA MBINGUNI ZA KUWAMALIZA ADUI ZAKO NA KUPELEKA MIPANGO YAKO MBELE.

 

WANAFUNZI WENYEWE WALIPAMBANA HATARI WABATIZWE KWA ROHO MTAKATIFU! MIPANGO KAMA MIPANGO YAO IENDE PAMBANA SOMA NENO KILA SIKU, SIKILIZA MAHUBIRI, SOMA TENA NENO! UKIONA HERI KUENDEKEZA UVIVU HAKIKISHA UNA PESA YA KUWAPA INTERCESSORS NA WANA MAOMBI WAACHE MAMBO YAO YOTE KWENYE MASAA 24 YAO KWA SIKU WAKUBEBE WEWE! IT IS UNCESSESARY COST, MACHO UNAYO NA AKILI TIMAMU UNAZO?

 

KUNA WATU TOKA 2022 WANA SPIRIT HUSBAND YULE YULE ANAZIDI KUNENEPA, KUSOMA MAANDIKO NA KU UNLOCK HOLYSPIRIT KWA KUPIGA IBADA UKIWA NA UFAHAMU WA MAANDIKO HAWATAKI, UBABAIFU NDIYO WAME UKUMBATIA, WANAKAZI YA KUJITILISHA HURUMA, ONLY YOU CAN SAVE YOU!

 

SIO KWAMBA HATUWAHURUMI UONGO WA KWAMBA NITAACHA HUSTLE ZANGU NA NDOTO ZANGU NIKUBEBE WEWE KISA TU WEWE NI MVIVUUU NA HUNA HAMU YA IBADA                  JAMANI NYIE KUWEZA, SHIDA MNASAHAU KWAMBA MTUMISHI ANAONA HADI VYA ROHONI SO HUWEZI KUTAPELI WALA KUM MANIPULATE AFANYE URAHISI UNAOTAKA.

 

WEWE JIENDEKEZE WEE IPO SIKU UKIJICHOKA MWENYEWE UTAFUNGUA BIBLIA NA HAMU YA IBADA ITAKUJA TU, MBINGU HAZINA HARAKA NA WEWE.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk