POWER OF CONSISTENCY NA KUMALIZA MAOMBI

Zamani nilikuwaga kubwa jinga sana, Naanza maombi vizuri kama haya ya  thirty (30) days ila siku ya Kumi (10)  NAACHA, Najiambia hamna kilichotokea, Niache tu, hamna dalili, Upuuzi puuuzi tu, NA SIKUWAHI KUPATA RESULTS ZA MAANA WALA KU- WALK IN DOMINION.

 

Baada ya kukomaaa na kupevuka kiimani, SIWEZI KUACHIA MAOMBI NJIANI, NAWEZA KUWA MZITO KUANZA ILA SIO NIPIGE HATA SIKU MBILI(2) TU NIZIACHILIE KIZEMBE, NIKIANZA KUMALIZA LAZIMA, SHETANI SASAHIVI ANA NISHIKIA KWENYE KUWA MZITO KUANZA.

 

Wapendwwa from experience majibu ya maombi mara nyingi yanaanza katikati au mwishoni kabisa, Ni nadra mtu aseme kajibiwa Day 1 – 10,  Hata kwenye maandiko naamani  mtu wa shamu alizama mto Yordan Mara 6 out of 7 alizoambiwa na ELISHA bado mkoma vile-vile, Angeishia mara 6 ange-apia Elisha Nabii Muongo mkubwa, Mara ya 7 kitu na Box, Ukomaaa kwisha ngozi brand new kama ya mtoto.

 

Nabii kubwa lao, Elijah! Anapanda mlimani na Mtumishi wake zingatia neno mlima, Wanaenda kuomba kufungua mvua ambayo Elijah alifunga MAKUSUDI kwa miaka mitatu (3)  to prove a point!; Anafanya ibada ya almost 6 consecutive hours akiwa amebinuka ile style watoto wanabongoa alafu anakuchungulia kupitia magoti wanasema anamuita mwenzie, Hakuna mvuaa, Anaanza kumtuma Mtumishi wake akachungulie kama kuna wingu.

 

Kumbuka tunaye  muongelea hapa ni Nabii Elijah lakini anamtuma mtumishi MARA SABA, FOR 6 TIMES ANAENDA NA KURUDI KUMWAMBIA HAMNA WINGU LOLOTE KUDADADEKI, KUMBUKA MARA ZOTE HIZO NABII KABINUKA TU, YA SABA NDIYO ANAMWAMBIA NAONA WINGU KAMA KAKONO CHA MTOTO NA LIKANYESHA MVUA LA BALAA!,  MVUA MVUA HASWA.

 

UPUUZI WA KUFANYA MAOMBI SIKU 10, NHATA 29 HAUWEZI KUFIKA POPOTE, HATA MAOMBI YAWE POWERFUL KIASI GANI, YAWE ANNOINTED KIASI GANI KAMA HUNA CONSISTENCY HUTOVUNA CHOCHOTE!

 

WAPENDWA KAMA TUMEKUBALIANA  SIKU 30,  TOBOA 30 ACHA UBABAIFU NA UGAIGAI, SABABU USIPO KAMILISHA BORA USINGE-ANZA KABISA, MAANA KUTAABIKA USHATAABIKA SIKU KADHAA BORA UKAMILISHE TU!; UNASHINDWA HATA NA PETRO YESU ALIMWAMBIA UTANIKANA MARA TATU (3)  NA AKAHAKIKISHA AMEZIKAMILISHA KAMILI WENGINE MNGEKUWA PETRO MNGEISHIA NJIANI MARA MOJA (1) TU UNAGHAIRI.

 

NI UPUMBAVU NA KUJIENDEKEZA KIJINGA-JINGA, KITU USHA-ANZA KABISA UNA SHINDWAJE KUKAMILISHA? NA MTU MBABAIFU WA HIVI WATUMISHI WANA MTELEKEZA MAANA ANA KUKATA STIMU KUANZA NAE CHOCHOTE MAANA HUNA UHAKIKA WA UMALIZIAJI WAKE,  AAH! INAKATA SANA UNAJIKUTA TU UNAMPELEKA KISIASA SIASA PROPAGANDA NYINGI SUBSTANCE HAKUNA.

 

WAPENDWA KUNA WATU WAGUMU KUANZA KITU, WAGUMU KAMA JIWEEE TENA LA VOLCANO LAKINI UKI-REASON NAE AKAKUPA NENO LAKE NAANZA YAANI IMEISHA HIYO! YOU CAN BANK ON HER WORD, HATA SHETANI AENDE PERSONALLY HAWEZI KUMSTOPISHA ASIMALIZE MAOMBI, HATA AKIVUKA UNAMWAMBIA NOW ITS FINE USIENDELEE!, ANAKUITIKIA NA ANAENDELEA KAMA KAWAIDA AACHE KIVIPI SASA? MAPEPO YAKIRUDI GHAFLA ITAKUWAJE  KUACHA HAITAWEZEKANA KWA KWELI WITH ALL DUE RESPECT.

 

 

KUNA WATU WA DELIVERANCE YA ZAKA NA HAMNA DELIVERANCE INATAKIWA KUMUUMA MTU KAMA HII MAANA MIMI NIMESHIKA MPINI YEYE MAKALI, PESA NISHAKULA MIEZI SABA(7) CONSECUTIVE, NA NILIWEKA CONDITION HII  NIPATE WATU ONLY SERIOUS, SASA MTU UTATEGEMEA SABABU PESA YAKE IMELIWA NDEFU ITAMUUMA! THUBUTUUU!.

 

TULIDISCUSS ONE TO ONE MPAKA NIKAUMWA, KUMUELEWESHA MTU KWA KINA SHIDA IKO WAPI TUNA SOLVE VIPI, MPAKA TULIELEWANA VIZURI NA KWA KUANGALIA LEVEL YAKE YA IMANI NIKAMPA PRAYER POINTS, TULIKUBALIANA WAFANYE AFTER EVERY 30 DAYS ANANI PA MREJESHO; WAPENDWA KUNA WALIO ISHIA SIKU 7, WAME BWAGA PAMOJA NA ZAKA KULIWA NA NO KAMA MJUAVYO KIENDACHO MADHABAUNI HAKURUDI NG’O YAANI STRICTLY NO REFUND POLICY.

 

Na zaka ya mwezi wa 9 ameleta vizuri, Una muuliza vipi progress, Bora wa kweli anasema sija-fanya! Na mimi nakosa la kusema, Like Isaid nimeshika Mpini, Mwingine anakwambia HAMNA KITU!, KNOWING VERY WELL HAOMBI WALA HAJAWEKA COMMITMENT; IT IS BLASPHEMY! NI KUFURU, UNAJUA FIKA HUJAMUOMBA MUNGU AND ON-TOP OF THAT YOU LIE ON GOD KWAMBA HATAKI KUKUSAIDIA WHILE IT IS YOU ALL ALONG HUTAKI KUWEKA IBADA,  YOUR LIFE YOUR CHOICES!

 

MPENDWA NACHOWEZA KUWAAMBIA UPUUZI NI TASIA YA MTU NA HAINA TISA WALA CHANJO! ILA KAA UKIJUA KWENYE UPUUZI WAKO THE PERSON YOU HURT MOST IS YOURSELF, NAKWAMBIA HILI KAMA MPUUZI MSTAAFU. KAMA TUMESEMA NI SIKU 30 ZA OCTOBER KOMAA MALIZA 30 UONE KAMA ZITA KUUA, NA UKIFA SI UNAZIKWA TU KWANI SH NGAPI? SOTE NJIA YETU HIO HIO MOJA!

 

USIPOMALIZA AUTOMATICALLY HUTAONA CHOCHOTE KAMA MAISHA YAKO YA NYUMA AMBAYO HUJARIDHIKA NAYO. WAPENDWA YESU ALISEMA ATAFUNGA SIKU 40 KAZIMALIZA EEEH! KAMILI NO UBABAIFU, ESTA ALISEMA ANAFUNGA SIKU 3 KAVU, KAKAMILISHA YAANI  NO UBABAIFU, HAKUNA MTU AMBAYE ALIKUWA MBABAIFU HATARI NA MUNGU AKAMTENDEA MAKUBWA HAKUNA, SIJUI HUO UBABAIFU WAKO UNATARAJIA UTAKUFIKISHA WAPI!

 

MITUME WALIKUWA WABABIFU NA WADEKAJI HATARI WAKATI YESU YUPO NAO,U MDA WA KUKESHA WANA LALA HOVYO HOVYO! MARA WAVUNJE MASUKE KWENYE SABATO NA KULA,  WALISHINDIKANA ON HOLDING JESUS IN CONTEMPT, NDIYO MAANA MCHANGO WAO KWENYE INJILI ULIKUWA VERY SUBLIMAL, KWA LUGHA YA SASA TUNAWEZA SEMA WALIKUWA WAPAMBE TU WA YESU! AU CHAWA PRO MAX! ALIPO YESU WAPO, NDIYO MAANA HATA MAYAHUDI HAWAKUWAZA KUWA UA NA YESU, WALIONA AKIFA TICHA WAO KIKUNDI KITA SAMBARATIKA TU! HILI NDILO KOSA KUBWA LA WAYAHUDI, WALIVO ONA WABABAIFU MPAKA WANA  MKANA LIVE LIVE AKISHUHUDIA WAKAONA  HAPA BIASHARA  HAMNA.

 

BAADA YA YESU KUFUFUKA NA KUPAA NDIYO WAO SASA WAKAONA HUU NI MPANGO KAMILI, NO MORE UBABAIFU, HAPA KAZI KAZII, TWENDENI TUKAISAMBAZE INJILI KWA ULIMWENGU; YESU ALIWAAMBIA ROHO MTAKATIFU ATAWAPA, THE MINUTE WALIPOKUWA SERIOUS KUMNGOJEA NA KUMPOKEA IT WAS A DONE DEAL; WASHAFANYA MAAMUZI KWAMBA INJILI WATAITANGAAZA NO MATTER THE COST, TO SOME THE COST WAS DEATH!.

 

 

SASA WENZIO WALI VOW WATAITANGAZA INJILI MPAKA IWAUE NA MOST OF THE 11 APPOSTLES WALIOKUFA KWENYE HIYO MISSION KASORO YOHANA NDIO ALIKUFA KWA UZEE!; JUDAS ALIJINYONGA MAPEMA SANA, WALIOBAKIA WALIKUWA WANA UWAWA MMOJA BAADA YA MWINGINE LAKINI AKIFA MWENZAO LEO WANAOBAKIA WANAENDELEZA LIBENEKE, INJILI LAZIMA ISONGE MBELE NOT EVEN DEATH COULD STOP THEM, THEY LIVED TO DIE ANOTHER DAY.

 

SASA WEWE NDUGU YANGU KATIKA KRISTO FANYA IBADA SIKU 30 UJIOKOE WEWE NA NAFSI YAKO TUUU UNALETA UBABAIFU, NDIYO UTAYAOKOA MATAIFAAA KWELII?; THUBUTUUUUU! NDIYO  UTA IPELEKA INJILI MBELE KWELI? UTAKUWA MBABAIFU MPAKA UANGAMIE KABISAA KWELI?MAANA UMRI USHAKUTUPA MKONO, MA-BORDER YA KUJIOKOA TUNAKUPA KAMA HIVI PAMBANA KAMILISHA 30 TU. WAPI  HASARA KWETU.

 

TUSICHOSHANE  KWANINI HUWEZI  KUMALIZIA SIKU 30, NOT INTERESTED WITH THE DETAILS, NOT ONE TINY BIT! MAISHA YAKO CHAGUO NI LAKO! TUSIKAUSHANE UZAZI!; KAMA UMESHINDWA MAPAMBANO RUDI JELA MWENYEWE NA MAKE SURE BAADA YA KUJIREJESHA UNAJIFUNGIA GRILL LAKO NA KUJIWEKEA KUFULI, MATEKA HURU!

 

MPENDWA GIVE YOUR BEST REGARDS TO PHARAO!, “MWAMBIE PHARAO TUMEOKAAA TUNAENDA CANAAN”

 

MIMI KAMA MIMI SIWEZI KUVUMILIA KUONA WATU WANENDA CANAAN,  THE LAND OF MILK AND HONEY ALAFU NIBAKIE MISTRI NATUMIKISHWA, HATA KAMA NINGEKUWA SI QUALIFY NINGE HAKIKISHA KWENYE MSAFARA WA MAMBA KENGE MIMI NAJIPENYEZA.

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk