Mpendwa katika maombi kuna dimensions kuu tatu (3 ) ili kupokea MAJIBU halisi ambazo ni:
1.Ibada ya maombilazima iwe sahihi interms ya scripture reference na doctorines na moyo wa ibada wa muombaji.
2. Mbingu kupokea maombi yako na kuachilia majibu!.
3.Ni uwezo wako na utayari wako wa kupokea hayo majibu na kuya sustain yaweze kudumu.
Wengi mnahisi mnakwama Dimension ya 1 na 2, Ile a kwanza (1) kama unaomba mwenyewe Accapela kutoboa ni ngumu MAANA hujui Doctorines na hujifunzi yaani unaomba gizani lakini if you have a good teacher anafanya all the ground work anakupa mkeka wewe nikuserereka tu.
Mfano ukiomba mwenyewe kumshusha Roho Mtakatifu ni mtihani, lakini umepewa maandiko yale-yale yamepangwa vizuri kwa mtiririko ume-unlock new relims,ndio maana mtu akiniambia naombaga tu mwenyewe namhurumia sana, It’s like unataka kushiriki World Cup bila kocha yaani kushinda ni uongo utachezea MPIRA ila ligi za chini.
Wengi mnahisi namaba mbili (2) NDIO shida ilipo, Mnalia na MBINGU hamna hamu nazo, Sio kwa kuwatoa DRY mfululizo, Lakini katika factor hizo 3 hamna kitu constant kama mbingu na ni cha uhakika na kuaminika, Believe me, yaani hazina ubabaifu hata chembe lakini WENGINE ndiyo mmekomaa mpaka kupata impertations kwenye maombi yenu, Hio nikukuonesha tu Mbingu hazina JELOUS NA WEWE.
Wengi mna kwama kwenye namba tatu (3), Asilimia 80% na mna nikata sana steam, yaani sana na mnanivunja maini, Unajua bora mtu alete UBABAIFU Stage 1, unajiambia hayupo serious ataji bebaa lakini mtu kafunga mpaka amekata weight, SADAKA katoa, lakini bado receiving game yake ipo weak sana, Maji buu anakata njiani na wewe kukosa MAJIBU, It makes me a bad teacher, Bad pastor, Bad Person nimekula SADAKA zako bure, hamna maajabu! it makes me bad in everything.
Watu wananhisi mtu anaweza kuacha huduma sababu sadaka zimekata, Mungu ana njia-zake za kutulisha, He promised tutakula madhabauni na he always deliver. Kinacho fanya watu waache huduma ni waumini wababaifu au weak wasio zaa matunda, KILA SIKU NAKWAMBIA UTAENDA KAZINI ALAFU HUENDI POPOTE WHAT DOES THAT MAKE ME?, NOTHING SHORT OF A PATHOLOGICAL LIAR.
Maana yake inakuwa I LIED TO YOU NOT ONCE NO TWICE, ITS A HABIT, THE CONSISTENCY OF 2 YEARS OF TELLING BOLD DAY LIGHT LIES IS ALARMING.
NDIO UNAKUTA MTU ANAACHA HUDUMA SIO SABABU YEYE KAMA YEYE HAJAMUONA MUNGU AU HAJAUSHUHUDIA UKUU WAKE LAKINI AMESHINDWA KUUONESHA KWA WENGINE AND IN THE PROCESS UMEONEKANA PATHOLOGICAL LIAR, IT BECOMES TOO MUCH, UNA SHATTER!
SASA KAMA NILIVYO-WAAMBIA I HAVE BEEN THROUGH THE WORST, HUO UBABAIFYU WENU WA KUSABABISHA MAJIBU YAISHIE NJIANI HAUNI BABAISHI NA WALA SIWAKATII TAMAA, HATA KAMA TUTAFIKA TUMECHOKA SANA ILIMRADI TUFIKE TU, ILA KUISHIA NJIANI HAPANA!
Namba tatu (3) ni Dimension hatari sana maana sio ngumu lakini sio rahisi na uzembe mdogo tu unatoka kwenye reli, HAPA INABIDI TUSAIDIANE, SOMETIMES MUWE MNATUHURUMIA SISI WATUMISHI, TUSHAKUBALIANA UTAPATA KAZI INABIDI UKAZE IMANI UPATE, UKILEGEA TU AUTOMATICALLY MIMI NAKUWA MUONGO MAYBE WEWE HUNIONI MUONGO JE NDUGU ZAKO? SI WANANIONA MUONGO PRO-MAX, MWISHO UNASABABISHA MUNGU AONEKANE NAYE MUONGO MUONGO.
WENGI MNASALI KWA MOYO SANA NA KWA IMANI KUU LAKINI PROGRAM IKIFIKA MWISHO MNASHINDWA KUSIMAMA KWA IMANI NA MAOMBI YENU KUPOKEA MAJIBU YEN, LEO NI SIKU YA TATU (3) TU TANGU MAOMBI YAISHE LAKINI UTAKUTA MTU HAKUMBUKI HATA ANDIKO MOJA KAMALIZA DELIVARENCE PROGRAM, HAKUNA HATA ANDIKO MOJA LINAISHI NDANI YAKE KUTOKA MFULULIZO WA MAANDIKO NILIYO REFERENCE, DAY 3, WEEK 2 NA HAKUMBUKI HATA KAMA ALIFANYA PROGRAM.
MPENDWA YALE MAANDIKO SIJAKUPA KAMA CLISHEE TU, NIMEKUPA KAMA KEYS ZA WEWE KU-KEY IN ZIISHI MOYONI MWAKO NA KUKUFUNGULIA MAMBO YAKO ILI UWEZE KU RELEASE MAJIBU YAKO YAWE HALISI LAZIMA UWEZE KU KEY-IN ZILE SCRIPTURES ZIISHI NDANI YAKO KAMA ULITUMIA KWA MUDA MFUPI ZIKAKUPA IMEPERTATIONS UKIZITUMIA MUDA MREFU AUTOMATI CALLY ZITAKUFUNGULIA MAMBO YAKO.
LAKINI UNFORTUNATELY NENO NJE YA MAISHA YAKO HALIWEZI KUKUFAA KITU, NENO LINALO KUFAA NI LILE LINALOISHI NDANI YAKO, OKAY HUKUWA UNALIJUA LAKINI NIMEKUPA BURE NA KULIFANYA LIISHI NDANI YAKO NI MAAMUZI YAKO NA JUHUDI YAKO, MIMI SIWEZI KULIINGIZA KWA BLUETOOTH YA UBONGO, NO BODY CAN! ITS YOUR MIND YOUR RULE!, YOU AND ONLY YOU HAVE POWER ON THAT!
VITU VYA KUZINGATIA MAJIBU YAKO YAWE HALISI:
1.IMANI YAKO JUU YA MUNGU KUFANYA HILO JAMBO ISIWE YA KUPANDA NA KUSHUKA ILA IWE KAMA USO INAPANDA KILA WAKATI.
MPENDWA WENGI MKIMALIZA MAOMBI MNAKAA IDLE SO MNAKUWA HATARINI IMANI ZENU KUSHUKA, NDIYO MAANA UNAAMBIWA UKAE NA WATU AMBAO MNA MTAZAMO MMOJA NA MIMI NAKWAMBIA KAZI UNAPATA, MUME UNAPATA KWA SABABU SPIRITUAL NIMEONA COAST CLEAR, UNAKAA BARAZANI KWA WENYE MIZAHA UNAAMBIWA BINTI MLOKOLE NDIYO KAKUPA HIO IMANI? KWANI YEYE ANA KAZI GANI?, KWANZA ANA VINGASTI KAMA SABA (7), BASI HAPO ASHAKUWEZA IMANI YAKO KAIZIMA KAMA SWITCH, UNASAHAU KAMA WEWE ULIMUOMBA MUNGU ALIYE JUU NA DHAMBI ZANGU HAZIZUII CHOCHOTE KWENYE MAOMBI YAKO, NA MIMI KUWA SINA KAZI HAIFANYI CREDENTIALS ZAKO KUWA VOID AU UWEZO WAKO KAZINI KUWA NULL, HAMNA MUINGILIANO WHAT SO EVER, MIMI KUWA SINA KAZI HAIFUTI DEGREE YAKO NA HATA MIMI NINGEKUWA WORLD BANK MANAGER BADO WEWE UNGEKUWA UBAONI VILE VILE, MIND THE BUSINESS THAT PAYS OR WILL PAY YOU IN THE FUTURE.
UKIFANYA MAOMBI KAA NA WATU WATAKAO KU-BOOST IMANI YAKO NA KUKUONGEZEA IMANI, KAMA SHUHUDA ZA WENGINE NA MAFUNDISHO ZAIDI, IMANI IONGEZEKE UMKARIBIE MUNGU ZAIDI NA KUFIKA RELIM MAJIBU YAKO KUWA HALISI.
2 IMANI YAKO JUU YA MAOMBI NA MAANDIKO ULIO TUMIA KUOMBA HIKO KITU IWE THABITI.
WAPENDWA MSICHANGANYE, NAMBA MOJA NI IMANI YAKO JUU YA MUNGU KUFANYA HILO JAMBO, NAMBA 2 NI IMANI YAKO JUU YAKO KWA JINSI ULIVYOFANYA ILE IBADA NA PRECISION YA MAANDIKO ULIYO-TUMIA KUKUPA MAJIBU, NAMBA MBILI (2) HUMTAZAMI MUNGU NA UTUKUFU WAKE INDEPENTLY LAKINI UNAMTAZAMA MUNGU IN-RELATION KWA UAMINIFU WAKE KWA NENO LAKE, KWAMBA HATA KAMA ANAANGALIA NENO LAKE APATE KULITIMIZA BASI WEWE HILO NENO UNALO MOYONI NA LIMEJAA TELE.
TUNARUDI PALE PALE HAKIKISHA SCRIPTURES ZINAISHI NDANI YAKO, UTAFUTE MAANDIKO MACHACHE UKOMAE NAYO MPAKA YAISHI NDANI YAKO, DAY 1-20 NINEKUWA NAKUPA MAANDIKO TU KABAMBE, UKIFANIKIWA MOJA TU KUISHI NDANI YAKO UMETOKA, MFANO;
Yeremia 32:27
Tazama, Mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili, je! kuna neno gumu lolote nisilo liweza?
Mpendwa wewe ukashika hilo tu na kuliamini kwa siku unalikiri hata mara 20, Mungu ninaye-kutumikia wewe ni Mungu wa wote mwili hakuna jambo usiloliweza. Bwana HATA la kazi unaliweza, Nitaenda kazini kabla mwezi haujaisha, HATA la ndoa unaliweza nitakutana na Mume WANGU mwezi HUU, Unakiri mpaka moyo wako upate amani yaani In no time vitakuwa halisi.
3 KUISHI KAMA UMESHAPATA HIVYO VITU TAYARI.
Mpendwa haiwezekani kabla ya program you cry yourself to sleep, After the program you cry yourself again, Hii maana yake humuamini Mungu, wala maombi, wala mimi Mtumishi, Unaamini kwenye your fears, Kusali juu ya jambo kunatakiwa kukupe amaniya hilo jambo.
Kuna mwanangu akafanya program ya prayer to be found by your husband, Kanipa na SADAKA kubwa tu!, Leo hio ndiyo kamaliza program, hapo hapo ananiambia NA MASHAKA SANA, HAPA KUNA KITU KITAKUWA HALISI KWELI? NIMEJITAHIDI KUMHAKIKISHIA MUNGU NI MUAMINIFU.
MPENDWA UMEOMBA SIKU 30 HIYO NDOA AU KAZI AU MTOTO SASA KILICHOBAKI NI KUWA NA AMANI NA HILO SWALA KWAMBA MUNGU NI MUNGU WA WOTE WENYE MWILI, HUYO MUME NI AMONG WENYE MILI, HAO HR NI AMONG WENYE MIILI, YOU HAVE FASTED AND PRAYED ABOUT IT, MAMBO YATAKUWA MAZURI TU.
MPENDWA POKEA MAJIBU MAZURI KWA IMANI KWANZA NA KUWA POSITIVE NA MAMBO KUWA HALISI, KAMA NI KAZI ANZA KUWAZA NGUO UTAKAZO VAA OFISINI, UKIPATA MSHAHARA UTAFANYIA NINI NA UFURAHI KATIKA HAYO MAWAZO SABABU MUNGU ANA AMINIKA KAMA NI MUME , ANZA KUWAZA UTAZAA WATOTO WANGAPI? GAUNI GANI LA HARUSI SABABU MUME KUJA NI UHAKIKA NA YOU PRAYED AND FASTED ABOUT IT KWANINI ASIJE, UKIWA KWENYE RELIM HII MAMBO YATAANZA KUWA HALISI IN NO TIME.