PROCESS BAADA YA MFUNGO

Wapendwa Siku 30 zimeisha haikuwa rahisi lakini tumepambanaaa! Mungu nimuaminifu zimeishaaa, Sasa tunakuja kwenye the easy part, The hard part ilikuwa hizo 30 za masaa 12 kavu kiasi ambacho watu mpaka tumezeeka sura!

 

Mpendwa sasa rudia pale ulipo Andika prayer point / goals zako, Ulihitaji Mungu akutendeee nini? Mpaka ukafunga, Refresh ile list

 

ALAFU KESHO NITAKUPA MAELEKEZO, KAMA HUKUFUNGA USIDANDIE HIZI AFTER STEPS IT WONT WORK, ANZA TU KUANZIA DAY ONE (1), KUNA MWANANGU JANA KANIAMBIA YUPO DAY  THREE (3), BETTER LATE THAN NEVER.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top