I DECLARE AND DECREE MUNGU WA HAKI AJITHIBIBISHE KWAKO KAMA ULIVYO JITHIBITISHA KWAKE.

ISAYA 60

1 Ondoka, uangaze kwa kuwa nuru yako imekuja na utukufu wa BWANA umekuzukia. 2Maana, tazama giza litaifunika dunia na giza kuu litayafunika makabila ya watu; Bali BWANA atakuzukia wewe na utukufu wake utaonekana juu yako.3 Na mataifa wataijia nuru yako, na wafalme kuujia mwanga wa mapambazuko yako.

 

UTUKUFU WA BWANA UKAWE JUU YAKO, JUU YA KAZI YAKO, JUU YA UCHUMI WAKO, JUU YA AFYA YAKO, JUU YA MAHUSIANO YAKO, JUU YA UZAO WAKO, JUU YA MAISHA YAKO KUANZIA SASA IN THE MIGHTY NAME OF JESUS. UTUKUFU WA MUNGU UKIINGIA MAISHANI MWAKO UOVU WOTE UTAKIMBIA HAUWEZI CHANGAMANA NA UTUKUFU WA MUNGU.

 

4. Inua macho yako, utazame pande zote,wote wanakusanyana, wanakujia wewe, wana wako watakuja kutoka mbali, na binti zako watabebwa nyongani.5. Ndipo utakapoona na kutiwa nuru, na moyo wako utatetemeka na kukunjuka.

 

MNAOMTAZAMIA MUNGU KWA AJILI YA UZAO, MUNGU ATAKUPA WATOTO SIO MTOTO, WANA WAKO WATAKUJA KUTOKA MBALI MAANA YAKE NI WENGI SIO MMOJA, NA HAWATATOKA PALIPO ZOELEKA WATOTO KUTOKA BIOLOGICALLY, WE JUA WATATOKA MBALI, WAPI? ELEWA TU WATATOKA MBALI NA MBALI YA BIBLIA JUA TU SIO KARIBU, SO HATA KAMA HOSPITAL WAMESEMA UZAZI WENU HAUFAI KITU, HAIWEZEKANI BADO MUNGU AMESEMA WANAO WATATOKA MBALI WATAPITIA TU KWENYE HIZO REPRODUCTIVE ORGANS. HATA KAMA UKOO WENU NA NYONGA ZENU HAZINA LINAGE  YA MALE CHILD UTAPATA MALE CHILD SABABU HATO-TOKA KWENYE NYONGA ZENU.

 

BINTI ZAKO WATABEBWA NGONGANI, MUNGU ATAKUPA WATOTO NA ATAKUPA JINSIA ZOTE DESPITE MPAKA KABLA YA DELIVERANCE UKOO WAKO ULIKUWA NA VIFUNGO GANI NA ULIKUWA NA MASHTAKA GANI, AU NGUVU ZA GIZA ZIMEFANYA NINI?.

 

NDIPO UTAKAPOONA KUTIWA NURU NA MOYO WAKO UTATATETEMEKA, HALELUYAH, SIO TU UTATIWA NURU KIIMANI. UTAIONA HIO NURU NA MOYO WAKO UTA-TETEMEKA NA KUKUNJUKA KUTOKANA NA KUONA MUNGU ANACHO ENDA KUKIFANYA JUU YAKO, UTATETEMEKA KUONA UTUKUFU WA MUNGU UTAVYONG’AA KUPITIA WEWE.

 

6.Wingi wa ngamia utakufunika, Ngamia vijana wa Midiani na Efa, Wote watakuja kutoka Sheba, Wataleta dhahabu na uvumba, na kuzitangaza sifa za BWANA.

 

7  Makundi yote ya Kedari yatakusanyika kwako, Kondoo dume wa Nebayothi watakutumikia, juu ya madhabahu yangu kwa kibali Nami nitaitukuza nyumba ya utukufu wangu.8. Ni nani hawa warukao kama wingu na kama njiwa waendao madirishani kwao.9.  Hakika yake visiwa vitaningojea, Na merikebu za Tarshishi kwanza, Ilikuleta wana wako kutoka mbali, Na fedha yao na dhahabu yao pamoja nao Kwa ajili ya jina la BWANA, Mungu wako, Kwa ajili yake Mtakatifu wa Israeli, Kwa kuwa amekutukuza wewe.

 

10. Na wageni watajenga kuta zako, Na wafalme wao watakuhudumu, Maana katika ghadhabu yangu nilikupiga, Lakini katika upendeleo wangu nimekurehemu.11. Malango yako nayo yatakuwa wazi daima, Hayatafungwa mchana wala usiku, lli watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa, Huku wakiwaongoza wafalme wao.

 

GOD WILL FAVOR YOU, UTAPATA KIBALI CHA MUNGU KATIKA KAZI ZAKO NA BIASHARA ZAKO, MATAIFA WATAKULETEA  UTAJIRI PAMOJA NA WAFALME WAO, KWA KUWA MUNGU AMEKUTUKUZA NA KUKUPA KIBALI UTAPATA KIBALI MACHONI PA-WATU SI KWASABABU YAKO BALI KWA SABABU YA MUNGU NA UTUKUFU WAKE ULIO JUU YAKO SASA, WAGENI WATAKUBARIKI NA KUKUNUFAISHA PAMOJA NA WAFALME WAO, PEOPLE WILL FAVOR YOU MY DEAR! PIPOZ WILL FAVOR YOU!

 

MALANGO YAKO YATAKUWA WAZI DAIMA, ITS AN OPEN DOORS SEASON MY DEAR SIO KITU KIDOGO, MALANGO YAKO YOTE YALIYOFUNGWA UKASHINDWA KABISA KUYAFUNGUA HATA KWA SHOKA, HATA KWA SADAKA YA KUJIMALIZA, HATA MFUNGO WA SIKU 100, HATA KWA  MIKONO YA MANABII HATA KWA NINI, MUNGU ANAENDA KUYAFUNGUA NA KUYAACHA WAZI DAIMA HALLELUYAH, WAZI KABISA.

 

THIS MEANS NO MORE STRUGLING FOR YOU, MALANGO YA KAZI NA CAREER YAKO WAZI, UTABADILI KAZI KAMA NGUO, MALANGO YA MAHUSIANO YAKO WAZI KABISAA YOU WILL GET TO PICK WHICH HUSBAND TO MARRY, MALANGO YA UCHUMI YAKO WAZI, ITS AN OPEN SEASON MY DEAREST!

 

12.Kwa maana kila taifa na ufalme wa watu wasiotaka kukutumikia wataangamia, Naam, mataifa hayo wataharibiwa kabisa.13 Utukufu wa Lebanoni utakujia wewe, Mberoshi na mtidhari na mteashuri pamoja, Ili kupapamba mahali pangu patakatifu, Nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu.

 

14    Na wana wa watu wale waliokutesa watakuja kwako na kukuinamia; Nao wote waliokudharau watajii-namisha katika nyayo za miguu yako; Nao watakuita, Mji wa BWANA, Sayuni wa Mtakatifu wa Israeli. 15. Na kwa kuwa umeachwa na kuchukiwa, Hata ikawa hapana mtu aliyepita ndani yako, Nitakufanya kuwa fahari ya milele, Furaha ya vizazi vingi.

 

16.Utanyonya maziwa ya mataifa, Utanyonya matiti ya wafalme; Nawe utajua ya kuwa mimi, BWANA, ni mwokozi wake, Na mkombozi wake, Mwenye enzi wa Yakobo.

 

17Badala ya shaba nitaleta dhahabu, Na badala ya chuma nitaleta fedha, Na badala ya mti, shaba, Na badala ya mawe, chuma na tena nitaifanya amani kuwa kama msimamizi wake, Na haki kuwa kiongozi wako. 18.Jeuri haitasikiwa tena katika nchi yako, Ukiwa na uharibifu hazitakuwa mipakani mwako; Bali utaziita kuta zako, Wokovu, Na malango yako, Sifa.

 

UTANYONYA TITI LA WAFALMEE, KIBALI CHAKOHAKITAKUWA CHA DUNIA HII TENA, NA UTAJUA KUWA MUNGU KWA HAKIKA NI MUNGU WA YAKOBO!    UTAPATA VIKUBWA NA VIKUBWA ZAIDI NA ZAIDI VIKUBWA MPAKA JEURI ITAPAKI MABEGI YAKE NA KUONDOKA KWENYE ANGA ZAKO DAIMA, HAKUNA ATAKAE KULETEA JEUR, KWA KIPI ALICHOKUZIDI KWA MFANO? JEURI YENYEWE ITAKUKIMBIA KILA UNACHOTAKIWA KUPATA UTAPATA ZAIDI NA ZAIDI.

 

19    Jua halitakuwa nuru yako tena wakati wa mchana,Wala mwezi hautakupa nuru kwa mwangaza wake;Bali BWANA atakuwa nuru ya milele kwako,Na Mungu wako atakuwa utukufu wako.20    Jualako halitashuka tena,Wala mwezi wako hautajitenga;Kwa kuwa BWANA mwenyewe atakuwa nuru yako ya milele;

 

FROM NOW ON GOD IS GOING TO BE YOUR LIGHT, MAISHA YAKO HAYATATEGEMEA MWANGA WA DUNIA WALA MAJIRA YA DUNIA HII TENA, WEWE NI KUSHINDA JANUARY TO JANUARY, WEWE NI KUBARIKIWA JANUARY TO JANUARY, WEWE NI KUINULIWA UTUKUFU MPAKA UTUKUFU.

 

Na siku za kuomboleza kwako zitakoma.21 Watu wako nao watakuwa wenye haki wote, Nao watairithi nchi milele, Wao nichipukizi nilio-lipanda mimi mwenyewe, Kazi ya mikono yangu mwenyewe,Ili mimi nitukuzwe .22. Aliye mdogo zaidi atakuwa elfu, Na mnyonge atakuwa taifa hodari Mimi, BWANA, nitayahimiza hayo wakati wake.

 

MUNGU WAKO ALIYE JUU UNAYEMTUMIKIA ANAENDA KUJITUKUZA KUPITIA WEWE KUANZIA SASA.

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top