Ku-key in maombi yako ni KUAMINI to the extent ya kuwa na uhakika na maombi yako ndani ya moyo wako.
Kuomba sio kazi kwani ukiwa mzoefu unaweza flow tu na rythm, Kiasi ambacho unaweza mpaka kuombea watu wengine, Unaweza kunena kwa lugha kuthibitisha umepanda RELIM lakini ukashindwa kupata motokeo halisi, kwanini? kwenye prayer uko very strong ila kwenye kupokea your game is whack, You are too weak!
Na kuna sisiambao maombi yetu ni sincere ila tu hatujajaliwa volume na tenacity ya kupiga mzigo.
Maombi ni karama na kuweza kuomba mda mrefu na kunena kwa lugha wakati unaomba ni karama kama kuhubiri au kuimba.Either you are born with it or blassed with it or your not ndio maana hata Pastor mostly anahubiri maombi ana-waachia wana maombi wenye Show zao.
Kujua una karama au huna it takes practice na kama huna karama sio kwamba hutoweza kuomba mda mrefu unaomba vizuri lakini unakuwa huna ile kiu na Ffow yako inakuwa inakuja na kukata Kama muimbaji tunasema sauti ya 10, Only perfect for bathroom edition na maombi utaomba lakini sio kupewa MIC mbele za watu uongoze maombi.
Style yoyote utakayo tumia kuomba as long as you know your limits sio tatizo, kinacho angaliwa ni scriptures base kwamba je? Umeomba in reference to maandiko? na Hicho unachoomba kimeandikwa utapata?, Na umepafuma? kwani inaweza kuwa imeandikwa lakini hujui wapi?, andiko usilolijua haliwezi kukufaa na hata andiko unalolijua je unalitumia sahihi?
Mfano deni langu la million 60 nilishawishika kupita na andiko la Elisha na Mjane, si mnajua mjane mume wake alikuwa mtumishi! na alitumika kwenye madhabau ya Elia, nikaona hapo utumishi na madhabau kama vinakuja kuja na nikitulia vinaweza leta muujiza flani amaizing, Kimfaacho mtu chake na kimfaacho mtumishi ni andiko alilolifuma lakini there was One problem, BIG BIG PROBLEM, HUGE PROBLEM.
Hayo madeni sija yapata katika UTUMISHI, Nimeyakumba huko kwenye bizna yaani when Business was Businessing nikajikuta tu MTU KATI, Nishajiweka WANTED KWAHIYO HII EQUATION YA NABII ELISHA NA ELIJAH IS NOT EQUESTIONING.
LAKINI SECOND PART YA EQUATION IMEKUBALI PALE ELISHA ANA MUULIZA YULE MAMA UNA-NINI NYUMBANI KWAKO? ( HILI SOMO LA MADENI LIPO KWENYE WEBSITE NA POST ZA CHINI TITTLE YAKE HIYO HIYO MADENI) 2 WAFALME 4:1-7
WAPENDWA NIME KEY-IN KWENYE HILI ANDIKO 100% KWA KUMWAMBIA MUNGU NINA NINI NA NINI KAMA YULE MJANE ALIVYOKUWA NA CHUPA YA MAFUTA, nime key-in KWELI KWELI unaweza ukahisi Dish limeyumba lakini moyoni mwangu niliamini na bado nimeshikilia KUAMINI, Mungu anizidishe kwenye what is left in my business kama ile chupa ya mafuta yaani nilikaza na KUAMINI like my life depends on it.
Ofcourse my life depends on this, It had to work na deni lilikuwa kubwa sana kiukweli december hii principle ILIFANYIKA KAZI, Nikalipa nusu ya madeni, Ndo limebakia nusu na uhakika March biashara ikirudi nitapunguza, Mwaka haugawanyi mimi nikiwa na hilo deni.
Ninavyosema nime key-in kwenye hili andiko basicaly lina ishi kichwani kwangu, nimelisoma kama mara kumi(10) na kulitafakari kama Mara 100 kujiamini mara 10000 yaani kwa SIKU nalisimamia mara zisizo na idaidi, nikiamka naanza nalo kabla ya kufanya chochote kwenye biashara yangu ,namkumbusha Mungu.
Mambo yakienda vizuri namshukuru Mungu kwa kumkumbusha Mungu hili, yakienda hovyo na huzunika huku namkumbusha hili hili jambo, Nakwambiaje ukisikia Gonga mpaka ufunguliwe mimi nimevunja mlango kabisa.
Mwanzo nilivyo-anza sikuona maajabu lakini nikasema NAKAZA Nikaacha kuishi kwa mashaka, woga na wasiwasi na masononeko. Mimi niku key-in hili ombi 24/7, Wenyewe wakianza ku-RAP nawaambia nashughulikia MSIWE na wasiwasi, wanakuja juu kivipi? ushaweka nyumba yako sokoni au Gari hatuoni ukiwa serious, nwaambia nimeliweka madhabauni, Wakaona sipo serious kulipa.
December nilipo lipa nusu bila mtu kutarajia ndio hawajaelewa, BIASHARA kama ilikuwa inakata roho hivi, How in the world itatoa pesa ile kwa mkupuo na bado ipo fitii? Nawaambia MUNGU NI MUNGU TU, Mmmh Wakajua nimeuza gari au kiwanja au nyumba najikosha tu aibu yangu, Wakashangaaa sijauza na wala sitauza chochote na madeni nitalipa yote.
WAPENDWA WENGI MMEFANYA DELIVERANCE KWA KIASI CHENU MMEPAMBANA, SASA KINACHOBAKIA NI KU-KEY IN KWENYE MAOMBI YAKO, KUKAZA NA KUAMINI KWAMBA NILIOMBEA HILI, NIMESALI JUU YA HILI, NIMESOTA SIKU 30 JUU YA HILI ZA KIBABE YOU KNOW WHAT I TRUST GOD ON THIS!, ACHA NIMUAMINI MUNGU JUU YA HILI AND HOLD YOUR PEACE!.
KINACHO MTOFAUTISHA MTU ANAYEAMINI NA ASIYEAMINI NI HOLDING YOUR PEACE, JE UNA AMANI NA HIO SITUATI ON YAKO? UNA AMANI NA MATENDO YA MUNGU JUU HIYO SITUATION? UNA AMANI NA MAOMBI AMBAYO USHAYAFANYA JUU YA BREAKTHROUGH YA HILO JAMBO? KAMA UKIWEZA KU-HOLD YOUR PEACE THEN YOU ARE GOOD.
CHA KUSHANGAZA WENGINE MMEOMBA MPAKA NA HOLYSPIRIT LAKINI BADO MTASHINDWA KU-HOLD YOUR PEACE, HOLDING YOUR PEACE MAY NOT COME NATURALLY KWA BAADHI YENU, HAYA MAMBO YA KUJIZIMA DATA YANATAKA ROHO NGUMU NA WATOTO WA MJINI KWELI KWELI! FORCE IT.
IKO HIVI CHAGUA MOJA JIZIME DATA NA UMUAMINI MUNGU KWA HILO JAMBO AU RUDIA HIZI SIKU 30. MIMI BINAFSI SINA BUDI ILA ITABIDI TU NIMUAMINI MUNGU KWA MOYO WOTE, KURUDIA 30 MCHEZO SIDHANI KAMA NITAFIKA HATA SABA (7) , KUNA SAFARI KAMA HIZI ZA KWENDA ONE WAY NA USIGEUKE NYUMA.
NA HIVYO NDO UNAVOTAKIWA UMUAMINI MUNGU NA UAMINI HAYA MAOMBI YAMEFANYA KAZI AS LONG AS ULIFANYA KAMA NILIVYO KUELEKEZA, YOU DIDNT CHEAT! SASA KWANINI YASIFANYE KAZI?, MOYO WAKO UKIANZA KULETA HILA ZA AINA YOYOTE, KUMBUKA KURUDIA 30 SIO LELE MAMA KAZA KAMBA HAPO HAPO IBADA IMEPITA AS NA UNACHOJUA WEWE NI UNANGOJA MAJIBU YAKO TU.
HATA SHETANI AKIKULAGHAI VIPI FOR ME I AM NOT DOING THOSE 30 AGAIN EVEN THE DEVIL CAN KISS MY BACK, AINT GOING BACK FOR FOR ANYTHING.
KAMA ULIKUWA UNAOMBEA KAZI, WEWE KAA MKAO WA KWENDA KAZINI ANYTIME SOON, WAZO LOLOTE KWAMBA HUTOENDA KAZINI KUMBUKA 30 DAYS, JIAMBIE NA KU DECREEE MUNGU NI MUAMINIFU SANAA KAMA AISHIVYO THIS TIME NAENDA KAZINI AND BELEIEVE ONLY THAT, UTAENDA KAZINI SOONER THAN YOU KNOW IT.
KAMA NI MUME NDO PRAYER POINT YAKO KANYAGA PEDAL YA SPEED, DECREE KILA ASUBUHI NA JIONI MY HUSBAND WILL FIND ME AND HE IS COMING IN MY LIFE SOON, BELIEVE IT, FEEL IT, DECREE IT, REFUSE TO BELIEVE ANY LIES FROM THE DEVIL, AMINI UMEFANYA HIZO 30 FAITHFULLY AND GOD IS A FAITHFUL GOD HE WILL SURELY BE FAITHFUL TO YOU THIS TIME! DAI HASWA, SI UMEFANYA 30? ( KAMA HUJAFANYA USIJIZIME DATA KUDAI, ACHA BANGI, ZITAKUPONZA) ILA KAMA UMEFANYA KWA UAMINIFU DAI UAMINIFU WA MUNGU NA MAANDIKO JUU YA HILO ENEO.