Roho Mtakatifu amenipa andiko la kusimamia kesho nzima, ni refu kwa KWELI lakini worth it!.
Ni ahadi ya Mungu kwako wewe uliye fanya Deliverance kikamilifu! Siku 30, Mungu anaangalia neno lake ndani ya mtu apate kulitimiza,Yeremia 1:12 .
Na hili neno Roho Mtakatifu ametupa na likikaaa ndani yetu Mungu Baba atalitimiza.Kama hujafanya Delivarence au umeruka-ruka usihangaike kufanya Day 30, Ni kukosa haya na there is no shortcuts, Anza Day One fanya kikamilifu.