Kutokana na sababu za kimaisha most of mylife nililelewa na Aunty yangu. Kuna muda ililazimu nikaishi kule na kuna muda mambo yalikaa vizuri nikaamua tu kwa hiari yangu kuendelea kukaa kule mpaka nilipo jitegemea, Like I left my family nikiwa form two (2) Baada ya hapo wazazi tukawa aquitncies, na Aunty ndio mzazi wangu mpaka alipotangulia mbele ya haki.
Aunty yangu was not a church goer but a true believer, Muda mwingi alikuwa safari za nje na ndani, Dini yake ni Catholic lakini alikuwa na extensive reach ya Pentecostal pastors, Wale the most expensive, Mwanzo I didn’t know why?.
Aunty alikuwa ana watoto wengi na wa kuwa-zaa mwenyewe wengi, wa kuokota-okota wengi, wa kubambikiwa nisaidie kama wakina sisi ndo kabisaa, She had a very big heart, Aunty yangu alikuwa mjane, Mume Wake walikuwa wanapendana sana na tajiri mno.
Unfortunately last born wake akiwa na One month , Uncle died! Just like that, alienda kazini he never came back, Car accident, It was a bad day! Na alikuwa na watoto wengi vinapishana barely two yrs, Uncle alikuwa anapenda watoto basi Aunty uzazi anao na Mume pesa ipo ,anampenda kufa ya Nini kuji bana kuzaa.
Msibani kila mtu alimuhurumia, Maana Aunty mdogo, watoto wadogo kawazaa Voda fasta alafu wamepangana na Dady is no more. Baada ya msiba life started lifing,Kupata mtu mwingine na watoto watano (5) sio jambo rahisi hata enzi zile.
Maisha yakiwa yame-mpiga watoto wawili(2) wakaanza kuumwa, Waka develop disability, As if kuwa mjane haitoshi, Life was lifing.
SHE NEVER EVEN ONCE LEFT GOD, NOT ONCE, WATOTO WALIVYOANZA KUUMWA PEOPLE AS IN VERY RELIGIOUS PEOPLE WAKAMSHAURI AENDE KWA WAGANGA, MTU ANASEMA NAKWAMBIA NA SIDHANI KAMA NITARUDIA TENA NENDA KWA WAGANGA, HAKWENDAA WATU WAKAJIONGEZA WAO KWENDA FRONT KWA WAGANGA WAKAJA NA DAWA AKASEMA NO.
WALE WATOTO WALIUGUA KIDOGO KIDOGO WAKAPOTEZA BAADHI YA ABILITY ZAO KABISAA MPAKA WAKO DISABLED. NIKAMUULIZA AUNTY UNAWEZAJE? AKASEMA MUNGU MIMI NISHAMUOMBA VITU VIKUBWA AKANIPAAAA! NILIMUOMBA NISOME MPAKA CHUO TOKA KIJIJINI AKANI FANYIA NJIA PASIPO NA NJIA, SIKUTAKA KULIMA NA SAHIVI NIPO OFISINI.
Ni imuomba Mume, akanipa uncle wenu hakuwahi kunisumbua, Nilimuomba uzao smooth MAANA Bibi yenu alipata mis-carriage kumi na moja (11), nimeomba nipate watoto jinsia zote nimepata, Mume wangu kaacha nyumba nyingi, Nimeomba cheo amenipa.
AFTER ALL THIS HOW CAN HE BE A BAD GOD ? YAANI HOW???, AFTER ALL THIS NAANZAJE KWENDA KUHANGAIKA NA MIUNGU MINGINE?, HATA KAMA BAD THINGS ZIMENITOKEA HAZIFANYI MUNGU WANGU KUWA A BAD GOD.
It is just unfortunate mambo yameenda yalivyo-enda, Bad things happen to good people but God can fix everything.
HII KAULI NAISHI NAYO, NAJITAHIDI SIYO NYEPESI LAKINI NAISHI NAYO, SO FAR IMENISAIDIA SIJAFIKA KILINGENI, NOT JUST YET.
ALL HER LIFE ALIKUWA ANATAFUTA HEALING WA WANAYE, AKISIKIA-TU MTU ANAOMBEA UPONYAJI ANAWAPELEKA WANAYE NA NAVYOKWAMBIA NIMEMALIZA WATUMISHI SAFARI ILIANZA HAPA, MAANA INABIDI MUMSAIDIE.
MNAENDA HUKU HAWAPONI KESHO MNAENDA KWINGINE, IMANI YAKE HAIYUMBI, IT WAS HER CONSISTENCY FOR ME ALIAMINI KWA NGUVU ZAKE ZOTE KWAMBA IKO SIKU WALE WATOTO WATAOMBEWA NA KUPONA ALIAMINI HIVYO, SHE BELIEVED IPO SIKU ITATOKEA.
NYUMBANI WALIKUWA WANAKUJA MA-PASTOR WA NIGERIA, ZAMBIA, CONGO, MPAKA WAZUNGU, NA HII ILI MGHARIMU SANA, HEALING IS NOT CHEAP, MWANZO ALIKATAA KUWAPELEKA WATOTO KWENYE DISABILITY SCHOOLS AKIAMINI WATAPONA TU, EVENTUALLY AKAWAPELEKA LAKINI AKAWA AMEWACHELEWESHA, HAWAKUWEZA KU-CATCH UP NA HAKUWEZA KUWACHELEWESHA ZAIDI.
NA HAPA BONGO DISABILITY SCHOOLS ZA PRIVATE ZA MAANA HAMNA IKALAZIMU KUWAPELEKA UK AU USA LAKINI KWA MSHAHARA GANI WA SERIKALI? ALAFU WATOTO WAWILI (2) , GOD MADE A WAY AKAWAPELEKA USA WOTE WAWILI NA HAWAKUPATA SCHOLARSHIP, LAKINI HAKUWAHI OMBA ADA KWA MTU, LIKIZO MAOMBI YA UPONYAJI KAMA KAWAIDA, KEEPING UP WITH THE PASTORS.
MPAKA AUNTY ANA-FARIKI WANAE WALIKUWA HAWAJAPONA, HATA YEYE ALIKUFA GHAFLA TU, ALIKUWA HAJISIKII VIZURI NIKAENDA KUMUONA JIONI KESHO NAAMBIWA KWISHA KAZI.
NONE OF THE PASTORS CAME KUMZIKA NONE, ALIZIKWA NA PADRI AMBAYE NI UKOO WA MUMEWE LIKE FAMILY PADRI.
WATOTO WALE DISABLED MUNGU ALIVYO MUAMINIFU HUKO USA WAMEPATA URAIA NA WAMEJIUNGA NA KITU KAMA JESHI SIJUI KITENGO CHA JESHI WAMEKUWA ELIGIBLE KWA MATIBABU HAYA MAPYA YA HIGH TECHNOLOGY.
WAMEWEKEWA VIFAA VYA KISASA AMBAVYO VINAWASAIDIA KU OVERCOME DISABILITY ZAO KABISA, NAONGEA NAO KWA SIMU WANA MAKE COMVERSTION, WANA DEREES ZAO.
WAMEZAA WATOTO NA WANA FAMILIA ZAO NA WANALIPWA VIZURI NA WANA MAISHA MAZURI, MPAKA WANANIPA MIMI MZIMA WA AFYA PESA ZA HAPA NA PALE, YAANI NIKIWAAMB IA NIMEKWAMA LIMEISHA.
KITU NILICHO JIFUNZA KWA AUNTY HAKUNA MAOMBI YANAYO POTEA NA ALWAYS AMINI KWENYE MAOMBI YAKO HATA KAMA KWA NJE UNAONA MAOMBIZ ARE NOT MAOMBIRING.
AUNTY ALITAKA WATOTO WAPONE SO THAT THEY CAN BE INDEPENDENT, FIND LOVE, FAMILY AND BE ABLE TO AFFORD LIFE ON THEIR OWN.
Na Mungu ni muaminifu hiko ndo kimetoke yaani madogo wana tukimbiza watu wazima, Kuna mmoja ananiambia anataka Beach property Mbweni, Mimi hata kujizima data kuzurura Beach Mbweni sithubutu.
SHIDA WENGI HAMNA CONSISTENCY KWENYE KUMUAMINI MUNGU NA KUAMINI MAOMBI YENU YAANI MTU ANASALI SIKU MBILI HAONI ANACHOTAKA KUONA BASIMUNGU NDO ASHAKUWA MBAYA HAFAI UNARUDIA ZINAA, YAANI ZERO CONSISTENCY, ABSOLUTELY ZERO.
WATU WENGI WENYE CONSISTENCY WANAOKAZA NDIO WANAOPATAGA ZAIDI YA WALICHO-OMBA, WATU NILIO ANZA NAO MWAKA 2022 NA WAKA KAZAA WENGI 2024 WAPO KWENYE MAHARI NA NDOA ZAO MWAKA HUU, HAIKUTOKEA HAPO HAPO ILA IMETOKEA.
KUNA MMOJA ANA BABY DADY WA CHUO ALIPOTEZA DIRA NA YEYE NDIO KADHAMIRIA ANAMTAKA HUYO HUYO, BINTI LUBA YULE KAKOMAA NAVYO WAAMBIA BABY DADY KALETA MAHARI TAYARI NA BABY DADY AMEOKOKA WANAFUNGA WOTE KUOMBEA HARUSI YAO JULY MWAKA HUU.
BINTI HAMNA MKESHA HAJAFANYA YULE, YANI NISIPO ONEKANA WIKI ATANIFATA DM NIRUDI KUCHUNGA KONDOO.
AMINI UMEFANYA DELIVARENCE NA MUNGU NI MUAMINIFU VIFUNGO VIMEISHA, NI SWALA LA MUDA TU MUNGU ATAKUJA KUJITHIBITISHA KWAKO KWA UKUBWA, UKIKAZA LAKINI KUMNGOJEA.