NO MORE DELAY (PART 1 & 2)

RUDISHA TUMAINI (HOPE) NA EXPECTATIONS (TEGEMEO) KWA MUNGU

PART 1

Maombolezo 3:18

Nimewaza “Nimekata tamaa kabisa,tumaini langu kwa Mwenyezi-Mungu limetoweka.”

 

Mpendwa usiwe Kama huyu mlalamikaji au muombolezaji, Baba mkavuuu huyuuu, Sijui kilimkuta nini hadi kuandika kitabu kizima akilalamika na kuomboleza tu, Mmmmh!Bora huyu kitabu kimoja wewe malamiko na ombolezo la  moyo wako tunaweza kupublish volume 8 za malalamiko.

 

MAPITO NI SEHEMU YA MAISHA YA  BINADAMU NA WAKRISTO KWA UJUMLA, ISSUE UNAPITAJE HAYO MAPITO?, HATA KAMA UNAPITA MAPITO  HAITAKIWI KUWA KINYONGE.

Mapito kupitia una pitia lakini refuse to be intimidated by them, Broken  by them, reduced  to nothing by them, NEVER EVER GIVE IN NO MATTER WHAT?, Una miaka 48 hujaolewa na ni jambo ambalo ni lakini MUNGU WANGU BADO NI MUNGU NA YUPO ENZINI.

Umemaliza 2010 mpaka leo kazi huna si Bora asingesoma mwenyewe yupo serious atapata kazi kwa mambo YANAVYOENDA  umri wa kustaafu  utamkuta pale-pale hana kazi, Sawaaaa!, Lakini  Mungu bado ni Mungu na yupo enzini.

 

Philippians 1:20

20 I eagerly expect and hope that I will in no way be ashamed, but will have sufficient courage so that now as always Christ willbe exalted in my body, whether by life or by death.

 

Haijalishi umepitia Nini, Au umekuwa na Nini, The fact bado upo hai maana yake una nafasi nyingine ya KUTEGEMEA NA KUTUMAINI KUPOKEA TOKA KWA MUNGU!

 

Acts 3:1-8

One day at three o’clock in the afternoon, Peter and John were on their way into the Temple for prayer meeting. At the same time there was a man crippled from birth being carried up. Every day he was set down at the temple Gate, the one named Beautiful,to beg from those going into the Temple.

 

When he saw Peter and John about to enter the Temple, he asked for a handout. Peter, with John at his side, looked him straight in the eye and said,”Look here.” He looked up, expecting to get something from them.

 

Peter said,”Idon’t have a nickel to my name,but what Ido have, I give you:In the name of Jesus Christ of Nazareth, walk!”, He grabbed him by the right hand and pulled him up. In an instant his feet and ankles became firm.Hejumped to his feet and walked.

 

Mpendwa uki-isoma kwa kiswahili kidogo translation zime pwaya hutaipata kama ilivyo tokea, Peter na Yohana wanaenda zao hekaluni kwa ajili ya ibada!, Muda huo Yesu alisha-kufa na wameanza kukinukishaaaa mtaani wao ndiyo TALK OF THE TOWN! Kila mtu anawajua hawana shekeli lakini wana ROHO MTAKATIFU.

 

Mpendwa achana na Peter and John Sasa take into context Situation ya yule MTU aliye-pooza, Kwanza AMEZALIWA amepooza, Hivyo maisha yake yote YEYE ni kuwekwa hekaluni aombe CHOCHOTE kitu kwa ajili yake na wanao-mtunza, TUMAINI LAKE NA TEGEMEO LILIKUWA NI KUPATA HELA YA KULA TU, Hii ni Despite hali yake ya kuzaliwa hivyo alikuwa serious KWELI-KWELI kwenye kutegemea kupata CHOCHOTE kutoka kwa watu ambao ni binadamu tu wanaingia na kutoka hekaluni.

 

WEWE UNA BACHELOR DEGREES WITH HONORS FROM PRESTIGIOUS UNIVERSITY, BUHERI WA AFYA LAKINI UMEKATA TAMAA YA KUPATA KAZI, MONITOR LIZARD!

 

YOU ARE YOUNG AND BEAUTIFUL OF CHILD BEARING AGE, UMEKAMILIKA VIUNGO VYOTE NA OF SOUND MIND, FROM A GOOD FAMILY AND BACKGROUND LAKINI UMEKATA TAMAA YA  KABISA, WENGINE MASHAFANYA MAAMUZI MAGUMU BORA NIZAE WATOTO WANGU TU NA USHAAANZA KUZAA, YOU EXPECT TO RECEIVE NOTHING FROM GOD SO FAR!, A MONITOR LIZARD!

 

UNAWEZA KUWA SIO MLEMAVU WA MWILI ILA NI MLEMAVU WA AKILI!, MWENZENU ALIZALIWA MLEMAVU MWILI MZIMA WA KUBEBWA NA KUWEKWA TU MLANGONI JAPO ALIKUWA HAMJUI MUNGU WA AGANO JIPYA HE EXPECTED TO RECEIVE SOMETHING FROM FELLOW HUMAN BEINGS, MKAVUUUU! ANAWAKAZIA MACHO WATOE CHOCHOTE KITU! ALAAH!

 

ANAWAKAZIA  MACHO PETER NA YOHANA MITUME MPAKA INA WAPENYA! NA PETER ANAMWAMBIA TAZAMA, NA YEYE ANATAZAMA NA KUZIDI KUWATUMBULIA MACHO AKITEGEMEA KUPOKEA CHOCHOTE KUTOKA KWAO! HATA KAMA PESA HAMNA NIPENI MLICHO-NACHO SIO KUNIACHA DRY MWANENU.

 

SASA WATU WA LIOKATA TAMAA SIWATAKI KWENYE MKESHA WANGU, UKIJA KWENYE MKESHA NJOO UKITEGEMEA, KUPOKEA, A MONITOR  LIZARD, UBABAI, ULEMAVU WA AKILI USIJE NAO, WEWE NJOO NA JAMBO MOJA TU, KUTEGEMEA KUPOKEA MAMBO YAKO YALIYO CHELEWESHWA!

 

SASA MIMI KAMA PETER  SINA ATA  SH 10 YA KUWAPA MTATUE VIPENGELE VYENU LAKINI MIMI NA UFALME WA MBINGUNI TUNAO-REPRESENT TUTAWAPA TULICHO NACHO AS LONG AS YOU EXPECT TO RECEIVE SOMETHING FROM THE HEAVENS.

 

PART 2

Delay sio eneo rahisi ku-deal nalo, Ni rahisi kukata tamaa, Hata kwenye maandiko watu waliopitia delay walikiona,Hasa hasa agano la kale kabla tiba Ya Delay haijafika duniani.

 

Ukiangalia Musa anatumwa na MUNGU wa Baba zake kwa Pharao akamwambie ujumbe wa Mungu LET MY PEOPLE GO, Japo ujumbe niwa Mungu Pharao aliona kama wana mpigia Mbuzi gitaaaa!

 

Wana-anza kwenda kwa Pharao Sura ya 5 kuondoka ni Sura ya 14, Ndio mjue issue za Delay SIO nyepesi, The fact Umeomba huko nyuma hukujibiwa haimaanishi hutakaa ujibiwe, Na kususa kuomba ndio mwanzo wa delay kustawii yaani Itakufurahisha.

 

YAMKINI KUNA WATU WAMEGOMA KUKUACHIA UENDE NA KUFIKIA HATMA YAKO MUNGU ALIO KUKUSUDIA NA WAMEKUFANYA MTUMWA KWA KUKU DELAY, mLEO USIKU MUNGU ATA WAAMB IA WAKUACHE  UENDE AU MAPIGO YA MUNGU YATAWAHUSU NA WATALAZIMIKA KUKUACHA UENDE!

 

Mwambie Mungu, kuanzia sasa wewe ni mtu wake na Farao yoyote anae shikilia hatima YAKO yoyote iwe ya ndoa, kazi, uzao, biashara, elimu au CHOCHOTE kilicho delay maishani mwako AKUACHE UENDE ILI UKAMTUMIKIE MUNGU WAKO SASA KWA JINA LA YESU!

 

I STAND BY THE PROPHETIC AND APOSTOLIC RELIM BY THE POWERS THAT RAISED JESUS FROM THE DEAD COMAND NGUVU ZOZOTE AU CHOCHOTE KlNACHO DELAY HATMA YAKO KATIKA ENEO LOLOTE KWENYE MAISHA YAKO TO, LET THE GODS PEOPLE GO SO THAT THEY CAN SERVE THEI R GOD FROM NOW ON.

 

Hosea 12:13

Then by a prophet the LORD brought Jacob’s descendants out of Egypt and by that prophet they were protected.

 

I STAND BY THE PROPHETIC AND APOSTOLIC RELIM KWA JINA NA MAMLAKA YA YESU NAKUITA SASA TOKA KATIKA HIO DELAY YA NDOA, KAZI, MAHUSIANO, AFYA, UZAO, ELIMU AU  CHOCHOTE KILICHO CHELEWA MAISHANI MWAKO, I CAST OUT ALL SPIRITS O DELAY FROM YOUR LIFE IN THE MIGHTY NAME OF JESUS!, NAKUFUNIKA KWA DAMU YA YESU KUANZIA SADA DELAY WILL.

 

NEVER BE YOUR PORTION, BY THE POWER OF HOLY GHOST I DECREE AND DECLARE PROGRESS KATIKA HILO ENEO, BIG PROGRESS IN THE MIGHTY NAME OF JESUS, PROGRESS AMBAYO ITAONEKANA KWA MACHO, DIVINE PROGRESS, KAMA MUNGU AISHIVYO UTAVUKA NA KUPIGA HATUA HILO ENEO KWA JINA LA YESU.

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top