Watu wengi ni wepesi kufanya maombi yaani unakuta muda wa kuomba mpo serious sana mnapata mpaka imeprtations, Lakini mkimaliza tu, Mnarudi kwenye content za ushubwada mnalisha akili zenu ushubwada wa kutosha mpaka Ubongo una breakdown, Matokeo yake yale MAJIBU ya Mungu hayatakaa ya manifest kuwa HALISI, kwa conditions gani za ubongo kwanzaaa?
Hapo hapo unamuomba Mungu mwanaume mwenye hofu ya Mungu lakini Wewe huyo-huyo upo kwenye page zenye content ya wanaume wanaopenda kupigwa finge,wanaopenda kwa mpalange, una LIKE, SAVE na KU-COMMENT, Ni swala la muda Utaanza kumanifest wanaume wanaopenda kupigwa fingure kwenye maisha yako HALISI.
Proverbs 23:7
7.For as he thinketh in his heart, so is he,Eat and drink, saith he to thee, but his heart is not with thee.
We unashinda kwenye Page za wanao sagana, Akili yako kidogo kidogo inapokea hayo mambo,Unaanza kuwaza Ngoja nikajaribu, Unaghairi Lakini mbegu ya wazo bovu ishaanza kuchipua ndani ya akili yako!, Siku ya Siku ukakutana na jidada lenye pesa zake ni swalala kumsukuma mlevi umo ndani, Mtu wa upinde TAYARII!. Yaani hapo-hapo unawaza wasagaji wana faidi, akili hiyo-hiyo unawaza Mungu nipe Mume mwenye hofu na uchaji wa Mungu
DEAR JUST BECAUSE YOU CAN RESIST THE DEVIL DOESNT MEAN YOU SHOULD CASUALLY HANG OUT WITH HIM!, MPUUZI HANA HARAKA NA WEWE, KIDOGO KIDOGO ANAKUHARIBU UFAHAMU UKIJA KUSTUKA IT IS TOO LATE!
Wewe upo single atleast ungeshinda HATA kwenye dating site kama ndiyo umekosaaa pa kushinda, Lakini ndiyo kwanza upo kwenye page za LOOSERS, Watu ndoa zime washinda kitamboo hiko, Ndoa zenyewe walijifosi kwa wanaume, Wakanyanyasikaaaa wee, mwisho wanaume wakawakimbia, Hizo Page ndo ume-follow na kuweka notification, Unabadilisha mikanda tu ya SLEEPING WITH THE ENEMY MCHANA KUTWA yaani Dakika 30 upo serious Mungu naomba Mume mwenye hofu na uchaji wa Mungu.
Proverbs 23:7
For as he thinketh in his heart, so is he;Eat and drink, saith he to thee; but his heart is not with thee.
MWENYEWE MDOMONI UPO NA MUNGU LAKINI MOYONI UNAWAZA WANAUME WOTE NI UMBWA, YOU CAN RELATE WITH SISTERS STORIES, THE TRUTH SHOULD BE SPOKEN AU SIO? NI SWALA LA MUDA TU HATA YULE MWANAUME MCHA MUNGU ULIE KUWA NAE ANAANZA KUWA NA MAMBO YA UPINDE AU ENEMY AU HAYO UNAYO SHINDA UNA SHADADIA ONLINE
MPENDWA WHAT YOU FEED YOUR BRAIN IS WHAT YOUR BRAIN BECOMES, HAKIKISHA UNA FEED UBONGO WAKO POSTIVITY AND GROWTH NA SIYO NEGATIVE SHIT.
1Corinthians 14:20
20 Brethren,be not chiLdren in understanding; how be it in malice be ye chiLdren, but in understanding be men.
KWENYE KUELEWA UOVU WEPESI KAMA RADI, KWENYE KUELEWA MEMA WAZITO KWELI KWELI!
Mimi Kama official SOCIAL CLIMBER nawahakikishia kuna sehemu kwenye maisha bila MINDSET MPYA hutoboi, Sasa hukuzaliwa na hiyo MINDSET for Christ sake you is 30 years old, Aquire the mindset!
UKIFIKA 30 YRS MY ANCESTORS DIDNT DO THIS AND THAT DOESN’T APPLY ANY MORE, YOU ARE THE ANCESTOR MY DEAREST, KAMA NI MABADILIKO YANANGOJA WEWE UANZISHE!
Ancestor uko busy na page za udaku, Uko busy na page za uchafu wa dunia, Uko busy na failure, Wewe mtu maisha yake ka-fail, sasa wewe ata kufaulisha vipi?, Wenzio wenye page wako kibiashara, It is all about views!, CHOCHOTE kinacho wapa views, Kama ni msago ndio wasomaji mnataka twende, Kama ushoga twendeee! Kama udangaji twendeee!
MPENDWA YAANI CONTENT NA CONTENT OOOOOH!, UKIARIBIKIWA NI MAISHA YAKO NA UJINGA WAKO HASARA KWA FAMILIA YAKO TUMEKUTANA KIMJINI-MJINI!. HIVYO MPENDWA KAMA UNA DATA ITUMIE KWA AKILI UFIKE MBALI!, DATA ZENYEWE GHALI NA BADO UNAZITUMIA KlPUUZI!
MIMI NIME FOLLOW PAGE ZA MA BILLIONAIRE MONACO HUKO, BUSINESS GROWTH, MINDSET, DINI, FASHION, LIFE STYLE, HIVYO YAANI NACHUJA NEGATIVITY ZOOOOTE.
Binti unaomba Mume tajiri, MWENZETU na sisi umezaliwa Magomeni-kota, Shule ya msingi Kayumba mpaka Chuo, Sawa dunia ili kupita ukiwa mdogo ila sasaahivi mama jitu zima, WHATEVER YOU LACKED GROWING UP COMPENSATE IT IN YOUR ADULTHOOD, HUMU TU! HUMU TU KWENYE PAGE ZA UPUUZI! UJINGA TU, KUJI-ADVANCE AAAH AAH.
Tuseme Mungu kakupa mwanaume kutoka MASAKI, Mama mkwe utaongea nae nini?, Umbea wa Mastaaa wa bongo? Yaani hawajui HATA mmoja, Ni swala la muda atajua mwanae kayavagaa na ata hakikisha huolewi, Mwanaume mwenyewe utaongea nae nini?, Instagram asilimia 90 wanaongea maisha ya watu, Hao watu wana ongelewa wanajitafuta bado, Wadangaji wasio na bahati. Yaani Uko busy masaaa 12 unamuongelea mtu humjui wala hakujui, SI BORA USALI AU KUABUDU, TAMBUA THAMANI YAKO!
MAMBO HAYAWEZI KUBADILIKA MAISHANI MWAKO UNLESS UAMUE-KUBADILIKA NA KUMRUHUSU MUNGU AKUBADILISHE.
Kuna ndugu yangu bingwa wa ku-comment, Kanitumia sms naomba mnunulie mwanao begi la shule limeisha sana, Begi la 40,000?, Umbeaaa tu, Kumtafutia maisha mwanae aah, Masaaa na masaaa anajibizana lnstagram kwa bundle la gharama.
MIMI BINAFSI NIMEKULIA USWAHILINI WITH SO MUCH NEGATIVITY AND TRAUMA, IMENIGHARIMUU SANA SANA , YAANI KUWEZA KUONDOA NEGATIVITY KICHWANI KWANGU NA STEREO TYPES NA KUWEZA KUJIPATA KU THINK STARIGHT.
IT TOOK A LOT OF FASTING NAMPlGIA MUNGU MAGOTI NIBADILISHE CAUSE I KNEW I WAS HIGHLY TOXIC, NIFANYE NIWE MPYA, UNDA NAFSI MPYA NDANI YANGU, IT TOOK HUGE SACRIFICES,PRAYERS, CONSISTENCY AND PERSISTENCE KUPATA NEW IDENTITY, NAFSI MPYA NA NEW IDENTITY IS NOT CHEAP OOH!
IT COSTS EVEN MORE KUWEZA KU-MAINTAIN HIO NAFSI MPYA NA IDENTITY MPYA, IT’S A HUGE SACRIFICE I AM WI LLING TO KEEP PAYING LAKINI I AM NEVER GOING BACK
Kama nilivyo-waambia I DELETED PEOPLE in my life who I loved dearly, but for me to become new they had to go! NOVYOSEMA HUGE SCARIFICE SIO 20,000/= TSHS , Watu ambao wanakubamba ukiwa nao una enjoy mmetoka mbali, THEY WERE TOXIC AND HAD TO GO hii Inataka ROHO ngumu kweli kweli, FAMILY which was TOXIC and NEGATIVE had to go, Men you loved and loved their wealth even more HAD TO GO WITH THEIR WEALTH OFCOURSE.
Mpendwa unafika hatua mtu akikuuliza una akili timamu KWELI ? Mwenyewe una question your own sanity, Unabakia tu kuwaza I DON’T KNOW, MIMI NIPUNGUE YESU AONGEZEKE WEWE KUWEZA?, THUBUTUUU YAKO.
HAYA MAMBO BILA KUOKOKA NA KUMPA YESU MAISHA YAKO HAIWEZEKANI, MAANA KUNA MUDA TURLY-TRULY UPO NUSU MTU NA NUSU NABII MAANA WATU WOTE USHAWATOA SADAKA UPO ALONE NA MBINGU, HAPO SASA MBINGU ZINAKUPA NEW IDENTITY !
2 Corinthians 5:17
17 Therefore,if anyone is in Christ,the new creationhas come;The old has gone,the new is here!
WEKA MAZINGIRA AMBAYO YATA-FACILITATE MAJIBU YAKO TOKA KWA MUNGU KUWA HALISI!
Watu wengi mmenasa na unabii, Mungu alinionesha, Mungu aliniambia, Prophet alinitabiria, SAWAA, JE MOYO WAKO UPO KWENYE MAZINGIRA GANI KUPOKEA HAYO MAJIBU?, MANZINGIRA YA UPINDE UPO KWENYE QUEER STAGE UNAJIULIZA UWE UPINDE AU AU USIWE JUA LIMEZAMA JIONI Hll NA MIAKA YAKO 30, MONITOR LIZARD.
Unamuomba Mungu kazi sawaaa, lakini kufanya Application aaaaah, Kutwa unabishana Hamisa kaweka BBL au hajaweka? Either way wewe itakusiadia nini na kizazi chako kwa mfano? IT MAKES SENSE WEEK UNALO FANYA PROGRAM YA PROSPERITY BLOCK ALL NEGATIVE UNNECESSARY SHIT PIGA MAOMBI NA KUFANYA APPLICATION NON STOP, UKIINGIA ONLINE NI PAGE ZA KAZI TU!UKITOKA NI MAPAMBIO, MWEZI HAUWEZI KUISHA HUNA KAZI.
UKIMUOMBA MUNGU NDOA NA MWANAUME MCHA MUNGU SHINDA UKITAFAKARI WATU WALO DUMU MIAKA 50, WATU WANAO PENDWA NA WANAUME ZAO, BE INSPIRED, Mwambie Mungu na miminibariki HIVI-HIVI, Waambie wakutamkie neno la baraka Mungu akutendee ZAIDI yao! Ikitokea umewatafakari wale walio shindwa maisha na kuishia safari njiani, NI KUMSIHI MUNGU KlKOMBE CHAO KIKU-EPUKE KABISA, THEIR PORTION SHOULD NEVER BE YOUR PORTION KAMA EAST ILIVYO MBALI NA WEST.
KAMA UNAMUOMBA MUNGU ABOUT GREATNESS TUMIA MUDA WAKO KU-FOLLOW GREAT PEOPLE!, CONSUME THEIR CONENT!. MPENDWA MIMI KWENYE THREAD HUNIKOSI KWA MO DEWJI NAVYO JIKOMENTISHA NA KUJI-CHEKESHA KAMA CHIZI KAONA JALALA JIPYA, MO SIO MCHOYO WA INSPIRATION NA MOTIVATION, I WISH BAKHRESA ANGEKUWA NAYE MTANDAONI, WE WOULD HAVE LEARN’T A LOT FROM HIM! YAANI FREE OF CHARGE NAWEKA MAZINGIRA JUST INCASE MUNGU AKIAMUA KUNI-BLESS NA U-GREATNESS BASI MAZINGIRA YAPO SHWARII KITAMBO NA MSINGI NISHAWEKA IMEBAKIA KUINUA JENGO TU.
Proverbs 4:23
23 Above all else, guard your heart, for everything you do flows from it.