UKIMTAFUTA MUNGU KWA BIDII UTAMUONA
Yeremia 29:13Mtani tafuta na kunipata, mtakapo nitafuta kwa moyo wote.Mpendwa Mungu alikuwa muwazi kwamba kumpata lazima u-invest moyo wako...
Yeremia 29:13Mtani tafuta na kunipata, mtakapo nitafuta kwa moyo wote.Mpendwa Mungu alikuwa muwazi kwamba kumpata lazima u-invest moyo wako...
Mpendwa suala la kumtafuta mungu kwa moyo wote na kwa bidii liko pale pale kama constant factor, lakini kuna other varying factors kama zifa...
Watu wengi wamenifata mama leta tibaaaa!, Unfortunately TIBA sio mistari kadhaaa ya biblia!, lngekuwa tiba ni mistari ungeshapona, Mistari m...
Wengi mna nia ya kumtumikia Mungu sanaa. Shida inaanza pale unapotaka kumtumikia Mungu ambaye humjui vizuri na hujui ana operate vipi na hut...
Mathayo 16:24-25Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake,”Mtu yeyote akitaka kuwa-mfuasi wangu, lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake,...
Mpendwa Ofcourse kila mtu anajua Pasaka ni Siku Ya 3 aliyo-fufuka Bwana Yesu. Kama tulipoishia Ijumaa kuu kwamba ALl-ISHINDA MAUTI!. Kufufuk...
Wapendwa wengi tunajua Ijumaa Kuu ni siku ya kuadhimisha kifo cha Bwana Yesu, Like he died ,but was madered actualy, kwa kusulubiwa msalaban...
Wapendwa kumuomba Mungu so shida kabisaa, lakini kupata majibu yako most of the times kunahitaji WEWE NA MUNGU MSIKILIZANE! yaani Yeye akusi...
Wengi mnaangalia wapi mlipo na mazingira yenu ya sasa na kujikatisha tamaa na kumu under estimate Mungu wenu all the time, HAMJITAMBUI.Mungu...
PART 1: FOCUS ON THE BIGGER PICTUREMpendwa andika malengo yako makuu mawili (3) na yasizidi matatu(3) ya mwaka huu, Then focus nayo mwaka mz...
Yesu amponya mtu kwenye Bwawa la Bethzatha.5 Baada ya haya, Yesu alikwenda tena Yerusalemu kuhudhuria sikukuu mojawapo ya Wayahudi. 2. Huko...
Nawashukuru kwa mliojitoa kwenye charity zetu zote za mwaka Jana!, Mungu awabariki sanaaa! Sanaaa! Ajithibitishe kwenu kama mlivo jithibitis...