Mpendwa suala la kumtafuta mungu kwa moyo wote na kwa bidii liko pale pale kama constant factor, lakini kuna other varying factors kama zifatazo!
- KWANINIUNAMTAFUTA MUNGU ?
Wapendwa unka mtu alinikaba koo kwanini amefanya program moja na ndugu yake, Ndugu yake akavuka akavalishwa Pete na kisha kuolewa lakini yeye mpaka leo yupo!, Sasa ime-muuma sana.She knows program zangu zinafanya kazi, Kwanini kwake zinadunda? Tunakuja sasa kwenye VARYING FACTORS!, Wengi mnamtafuta Mungu na kuweka bidiii na MOYO woteee lakini ALL FOR WRONG REASONS! Unamtafuta Mungu kwenye mahusiano sababu UMEZEEKA, UMECHOKA DHARAU, UPWEKE UNAKUTESA, SHIDA NDIYO INAYO KUFANYA UMSAKE MUNGU KOKOTE ALIPO KWA GHARAMA ZOZOTE
Ofcourse kuna dimensions Mungu amejifunua kama ni mkombozi wa shida na taabu za watu wake. Na several times ame-waokoa waisraeli toka taabuni lakini ukimtafuta Mungu kwa Dimesion hii unaweza kumpata lakini kuna issue moja ya kiufundi, GOD ALWAYS TAKES HIS TIME KWENYE SUALA LA KUOKOA! HE IS NEVER IN A HURRY, HATA ukiangalia kwenye maandiko time-line ya watu kumlilia Mungu na Mungu kuja kuwaokoa ni MUDA WA KUTOSHA. He always takes his time! Always.
Ukipita njia hii kikombe cha DELAY lazima ukinywe, SIO KWAMBA HAKUSIKII AU HANA MPANGO WA KUJA, LIKE I SAID HE ALWAYS TAKES HIS TIME!, KAZA TU MOYO NA USIKATE TAMAA! KUJA ATAKUJA.
Ukiangalia timeline Waisrael wanamlilia kwa uchungu mpaka anamtokea Musa!Delay waliikoga wanazengo, Ukiangalia timeline ya Waisrael kupelekwa mateka Babeli, mpaka Mungu kuwaokoa, Walikaaa Babeli miaka 400!, Walipita manabii wa kutosha hapo kati!, Delay lili-taradadi!
Manabii wa kutosha walipambania hili Jahazi. Nabii Zephaniah, Jeremia, Obadia, Habakkuki wote walikuwa kabla ya Jerusalem siege!, Kile kipindi wanajiandaa kwenda Babeli!, Kabla mji wao hujaanguka rasmi, Na Wafalme wao kupelekwa utumwani Babeli, Nabii Ezekiel alihudumu Babeli kabisaa!
WENGI MNAMTAFUTA MUNGU KWA DIMENSION HII NA WENGI MNAKINYWEA KIKOMBE CHA DELAY KAMA ILIVO KAWAIDA YA HILI CHOCHO, LAZIMA UTAKUTANA NA DELAY USO KWA USO!
NDIO MAANA MTU ANAE JUA MAANDIKO ANAJUA THE ONLY WAY YA KUIKWEPA DELAY NI KUPITA NJIA ZINGINE SIO HII.
Njia nyingine nikumtafuta MUNGU kwa kujua ni nani na anaweza nini na wewe unamtafutia huo uweza Wake!, MPENDWA UGUMU WA NJIA HII INATAKIWA UTOE FOCUS YAKO KWENYE SHIDA ZAKO NA MISALABA YAKO, UWEKE FOCUS YAKO KWA MUNGU WAKO!
HAPA UNA ACHANA NA KUWA MLALAMIKAJI, YOU DONT CARE ANYMORE WHATEVER THE HELL IS GOING ON IN YOUR LIFE NA UNA INVEST MDA WAKO KU MSTUDY MUNGU . MPENDWA UKIFANIKIWA KUMJUA MUNGU KWA UNDANI NA KUMSOGEZA IN YOUR FAVOR NIRAHISI SANAA!, SABABU UNAJUA EXACTLY HOW! SABABU UNA UHUSIANO NAE, MNAJUANA! AAH !KUMBE FAMILIA.
Shida wengi wetu tunakurupukaa tu, hatujui Mungu ana operate vipi, na unamsogeza vipi in your favor anajilipua kumsogeza, Hatikisikii.Wengimtu umekuja na shida zako za ndoa za kazi za afya! Mtumishi najua chocho la wokovu ni konkidizer!, Hutoboii!, Nakupitisha huku ili ujifunze kuhusu Mungu!, Thubutuuu!, Wewe mwingineee!, “I KNOW GOD!, Namjuaaa Mungu!, Nimezaliwa KKT/ Pentekoste! I just Need to move him hapo tu kwenye ndoaaa!, Hapo tu If you can assist I will be glad ”
Hapo Mtumishi ndiyo anapokuwa GAIDI!, Okay if you know him MOVE HIM IN YOUR FAVOR Hawezi, Mnarudipale pale! “Ndiyo maana nimekutafuta mtumishi!, Ningeweza nisinge-kusumbua!”. Okay! Kama you don’t know about God, I’m happy to teach you!, Mnarudipale pale!. I KNOW ABOUT GOD LIKE I SAID I GREW UP IN CHURCH HIVYO NIFUNDISHE THE HUSBAND PART TUU”
Ndiy maana Mnigeria alitufukuzaaa, Mambo kama haya ilitakiwa atucharaze na bakora kabisaa, HONEY YOU CANT MOVE GOD IN YOUR FAVOR BECAUSE YOU DONT KNOW GOD, IF YOU KNEW GOD MOVING HIM IN ANY DIRECTION WILL NOT BE AN ISSUE FOR YOU. YOU CANT SHIT BECAUSE YOU DONT KNOW SHIT!, IF NOT WORSE YOU DON’T WANT TO LEARN SHIT!
HAPO NDIPO MTUMISHI UNAJIKUTA MTU KATI!, MTU ANATAKA KUFANYA KITU AMBACHO HAKIJUI NA HATAKI KUJIFUNZA NA KIFANYIKE PERFECTLY!. MPENDWA HAPO NDIPO UNAFUKUZWA SASA HEKALUNI, KI-STYLE BWANA EEEH TAFUTA MTUMISHI MWINGINE DEAR , MOYONI ANA MALIZIA AMBAYE ATAFANYA HUO UPUUZI UNAOTAKA.
THE FACT KITU UMEFANYA MIAKA NA MIAKA HUPATI MATOKEO YA MAANA ILITAKIWA TU UJIONGEEE KUNA MAHALA UNA KWAMA NA KUKOSEA, MAYBE UONGEZE ELIMU NA UJUZI WAKO ANGLE HIO! NA WENGI SIO KWAMBA MAANDIKO MPO EMPTY SET KABISAA!, MNAJUAAAA! LAKINI KUNA MAENEO MMEPWAYA, SASA UNAPOFOSI UTOE MATOKEO WAKATI KUNA INFORMATION IME PWAYA, LAZIMA UTAISHIA KUWA FRUSTRATED!
MUNGU NI MUNGU MWENYE UTUKUFU, NGUVU NA UWEZA! 24/7! NA HIVYO NDIVYO ALIVYO BY NATURE TU, NDIYO ASILI YAKE!NA MUDA WOTE AMETARADADI KWENYE KITI CHAKE CHA NEEMA NA REHEMA, UKITULIA NA MAANDIKO UTAGUNDUA KUNA BINADAMU WAME WEZA KU ACCESS HUU UTUKUFU NA NGUVU NA WAKAVITUMIA IN THEIR FAVOR!
MPENDWA UTAGUNDUA KUNA WATU WALIKARIBIA KITI CHA REHEMA NA NEEMA WAKAPOKEA REHEMA NA HURUMA ZAKE KWENYE MAENEO FLANI AMBAVYO VIKAWAPA MABADILIKO YA GHAFLA SANAA, MATOKEO YALIPATIKANA INA A FLASH OF A SECOND! ABSOLUTELY ZERO (0) DELAY !
KWA HIYO UKIJUMLISHA NA KUGAWANYA NA KUZIDISHA UTAJUA KUWA MUNGU AKIWA MKUBWA TATIZO LINAKUWA DOGO SANA.
Ukirudia shida shida zako, maana yake MUNGU AKIWA MKUBWA NDANI YAKO MAANA MATATIZO YAKO YA MAHUSIANO NA UCHUMI AUTOMATICALLY YATA SHRINK!, ALL YOU HAVE TO DO IS INCREASE GOD IN YOUR LIFE!
Mungu haongezeki kwa ujanja na siasa!, Thubutuuu! anaongezeka kwa kuongeza ufahamu wa maandiko juu yake, anaongezeka kwa kuongeza mda wa kumu abudu! unarudi kwenye zile 24 hrs zako! Ngapi Mungu ana occupy!, Ukizi-ongeza, Mungu ata-ongezeka!
I know god from sunday school teaching is knowing god to the level of no impact!. Mfano wengi mnajua kumuabudu Mungu nikuomba nyimbo za kusifu na kuabudu!, partly yes! Lakini true worship ni matendo yako ya kila siku mwili unataka uangalie connection ukikataa sababu mungu hapendi, hiyo sasa ndiyo true worship! Njaa inakwambia iba bwanaa! Kwanza una doko tu!
Ukikazaa ndiyo true worship!, upwiruuu unakwambia utaniua, come on kidogo kastue, ukikazaaa ndiyo true worship, hata jioni ukisema Lord I worship you ina uzito kama wote! Ukienda kupooza upwiruuu jioni lord i worship you! Shetani anasema sister please!, same mouth imelamba lolo! You got no shame!??
Ujue wengi sababu hamumjui Mungu ndiyo maana kuna vitu mnafanya comfortable, unamuona mungu kama mjomba wako! Na Mungu anakuacha sababu anajua hujui ulisemalo wala ulitendalo na ukiwa na shida zako wembe ule ule, hujui ulisemalo wala ulitendalo, ndiyo maana hata umsogezeee vipi kazi buretu!Upo kwenye no respose zone!
Ukianza kujifunza sasa kuhusu mungu woga utakuingiaaaa! Hutakuwa careless tenaaa! Na utaacha masihara na Mungu!Utanyoa brazilian wax yako safi utaingia mpaka guest na uta toka hujazini, thubutuuu yako! Upwiruuu unao! Mwanaume una mfeel ile mbaya lakini kitu kinachoitwa hofuuu ya Mungu kita ku-balance akili zako!
Hapo MNASEMA malizaaa kabisaa Mungu tunamjuaje????, Mungu huwezi kumjua kwa post moja Ya lnstagram!, Anza kusoma maandiko!, Kadri unavosoma ataanza kujifunua kwako kidogo kidogo, Usuals BILA kusoma maandiko Walau chapter 1 tu!
Never miss prayer time, Muslims wanatoboa 5 times a day, Ile Alfajiri ndiyo kiboko, Saaa 11 mtu ana amka kusaliii tu!, JINSI gani Mungu ni wa muhimu kwake kulikousingizi, Wewe hamna hamna toboa 3 tu kwa SIKU sio mbaya, No show muda wa sala ziishe kabisaa.
Tafakari maandiko kichwani mwako, Ndipo utaanza kupata ufunuo, maono na unabii muda wa kutafakari ushubwada tafakari maandiko, Tafakari ahadiza MUNGU juu YAKO ,Tafakari unabii juu YAKO! Kiri maandiko juu yako. SOON UTAJIKUTA UNA-INULIWA UTUKUFU MPAKA UTUKUFU.