SHIDA SIO MATATIZO ULIO NAVO WALA SIO MUNGU, SHIDA NI STATUS QUO YAKO TOWARDS HAYO MATATIZO.

Watu wengi wamenifata mama leta tibaaaa!, Unfortunately TIBA sio mistari kadhaaa ya biblia!, lngekuwa tiba ni mistari ungeshapona, Mistari mingapi umesimamia na kuilalia ?, Watumishi katika pande zote ulizo-pita ndiyo kusema hawakukupa mistari? THE QUESTION YOU SHOULD BE ASK ING YOURSELF IS MBONA ILI-DUNDAA?

 

Narudia pale pale HUWEZI NA HUTAKAA NA KUWA DELIVERED KAMA USIPOKUBALI KWAMBA UNA MATATIZO NA CHANZO CHAKE NI NGUVU ZA GIZA, Mpendwa ninavyosema KUKUBALI siimaanishi THEORETI-CALY, Like juu-juu tu, kinadharia ndio nakubalina matatizo!, Can we get to the part of unayaondoa sinilisha-kubali.

 

There are levels in these things, KUNA LEVEL ZA KUKUBALI UNA MATATIZO, Na level yako ya kukubali ndiyo ita determine how far utaenda na hiyo deliverance, how fast mistari ita-respond, how soon matokeo yata manifest .

 

Kuna watu wana umri umeenda lakini honestly wanaamini WAKATI WA MUNGU  bado. Nini kina-pmuaminisha wakati wa Mungu bado, Mimi na wewe hatutakaa tujue. ANA AMINI IPO SIKU ISYO NA JINA WAKATI WA MUNGU UTAFIKA NA ATAOLEWA!, SASA HII NI FALLACY KUBWA AMBAYO ISIPOKUWA ATTENDED INAHARIBU HATIMA YA MTU KABISAA,  NIMEKUTANA NAZO NYINGI SANAA!

 

Unamuuliza mtu una miaka mingapi? anasema 46, na unamuuliza kwanini unahisi Mungu hajataka uolewe mapema?, Upate Mume wa ujana wako? Katika umri wa usichana wako? Jibu linakuwaga SIJUI?Mpendwa, Sasa mtu wa hivi HUWEZI KUMFANYIA DELIVARENCE na wala usi-tegemee ajifanyie. Na Mara nyingi unakuta mtu anaishi comfortably in SIN, akisubiria huo wakati wa Mungu. HAJIBANI!

 

MPENDWA HIYO NI SABABU MOJA LAKINI WATU WAPO WENGI HAWAAMINI KWAMBA WAMEFUNGWA WALA WANAHITAJI DELIVARENCE, YAANI HUKO HAWAPO KABISA. NA MTU KAMA HAAMINI KWA KUANZIA HAWEZI KUJIFUNZA CHOCHOTE!, NA HATA AKIJIFOSI KUFANYA IBADA ANAZO ELEKEZWA HAZIWEZI KUPITAAAA! SABABU KAMA NILIVO SEMA HAAMINI KATIKA HIZO IBADA!

 

MPENDWA, NA MARA NYINGI MTU HAFIKI MWISHO WA IBADA WALA IBADA YAKE INAKUWA HAINA UHAI, NA MOYONI 80% ASHAZOEA HALI YAKE, NDIYO UNAKUTA MTU ANAJIZALIA WATOTO WAKE KILA MTU BABA YAKE MAISHA YANASONGA.

 

NA HILI LINATOKEA HATA KWA WATOTO WA WACHUNGAJI, WANA RESOURCES ZOTE LAKINI IMANI NDIYO HAWANA!,  NYIE WAUMINI MNAUMIZA KICHWA MBONA BINTI YAKE HAOLEWI KWANINI ASINPAMBANIE, BINTI MWENYEWE SASA, HANA MUDA!

 

 

Kuna watu WAMEKUBALI  NUSU!, Na wanataka kuvuka lakini HAWAPO TAYARI TO DO, WHAT IT TAKES/ KUFIKA VIWANGO VYA MUNGU ILI WAPATE KUFUNGULIWA!, Sasa HII kubali nusuuu!, Kweli nina matatizo mwenzenu. Lakini unyenyekevu wa kisaidika Mbinguni ndiyuo hakuna, ZERO (0) COMMITMENT, yaani Ataanza program! Katikati atakwambia kazi nyingi sijaweza, Au atakwambia nime-umwa!, Siwezagi kufunga!, Nasikia uchungu, Nimeshindwa kuendelea! yaani UPUUZI MTUPU!

 

Kiu na nia ya matokeo anayo lakini MOYO WA IBADA NI ZERO (0), Na hana nia ya ibada sababu amekubali kwamba amefungwa lakini HAJAKUBALI KUJITOA KIFUNGONI!, Kuliko apige mzigo atoke kifungonishe might as well stay kwenye kifungo!

 

YAANI AKIAMKA VIZURI ANANZA VITA, AKIAMKA  VIBAYA ANAJIRUDISHA  KWA  PHARAO! , Watu wa hivi siyo wa kuwaamini wala kuwategemea lakini sio wa kuwakatia tamaa na kuwa puuzia, Unaenda nao hivyo hivyo kwa kuwatia moyo ipo siku Gari litawaka akawapita hata wale waliokuwa serious. Na kuna ambao Gari linazimaaa kabisa. Mpendwa Shida ya hawa safari ya 6 month mtaenda 2 years na KUFIKA MTAFIKA ILA MMECHOKA SANA, Ndiyo Ma Bibi harusi wangu wa 2022 -2024 ndiyo kwa neema tupo kwenye mahari.

 

DEAR OUR GOD IS NOT A CHEAP GOD!, HUWEZI KUMU-IMPRESS NA CHEAP FAITH WALA IBADA HAFIFU, HUPATI MATOKEO NA HUTO PATA MATOKEO MPAKA UMJUE MUNGU WAKO NIWA VIWANGO GANI NA ANATAKA IBADA ZA NAMNA GANI KWA LEVEL GANI.

 

Mtu anakwambia mwaka wa 5 HUU sijapata Progress, Ukichunguza ndiyo Mambo yao nusu-nusu kama haya!, Hatua 3 mbele afu 10 nyuma!

 

Kuna watu wa 2022 jioni hii  ya 2024 ndiyo wanapata mtu sahihi, Hapo vi-ibada robo-robo vimejumlishwa, na imani za kibaba zimeju-mlishwa imejaaa ndoo ndiyo malaika sasa wana-ambiwa mpeni MTU sahihi yaani 2 years  KWELI MWANANGU?, Lakini afadhali mwakani tutakula mahari.

 

MPENDWA NDIYO MAANA NAWAHAKIKISHIA UKIWA CONSISTENT NA MAFUNDISHO  HATA KAMA UNAWEKA EFFORT NDOGO KIASI GANI UTAVUKA LAZIMA ILA NDIYO KWA SPEED YA KOBE.

 

Watu waliokuwa consistent tangu 2022 wamesogeaaaa, Wachache hawajapata kazi, wachache bado hana mahusiano kabisa, Wengi wana watu sahihi, mwendo wa kinyonge kwenda kwenye mahari.

 

HAYA YOOTE NI UFUJAJI WA MUNGU NA MBINGU ZAKE NA KUJIENDEKEZA NA KUENDEKEZA UPUUZI WAKO NDO KUNAFANYA MUNGU AONEKANE NIMDOGO SANA KWENYE MAISHA YAKO, MUNGU AONEKANE ANA SPIDI YA KOBE KWENYE KUKUFANIKISHA, MUNGU AONEKANE AMEKUSUSA NA KUKUTELEKEZA.

 

WAPENDWA KUNA MTU AKANIAMBIA KWENYE ABOVE 35 NIMEYATIMBA, MUNGU KANIACHA NJIA PANDA SITOBOI, NIKAMWAMBIA ACHANA NA MUNGU, USIMPIME KABISA, SINA TU WANAFUNZI KWA SASA, AKANIULIZA UNAMAANISHA NINI KWA SASA MAANA YAKE BAADAE UTAWABADILI AU, NIKAMWAMBIA MULE-MULE NACHOHITAJI KUPATA WACHACHE TU WATHIBITISHE MUNGU NI MUNGU WA KWELI, KWA KUVUKA NA WALIOBAKIA WOTE WATA REBOOT NA KUKAAA KWENYE FORM YA KURUHUSU MUNGU AJITHIBITISHE  KUPITIA WAO.

 

HATA WEWE KILA UNACHOHITAJI KIPO TAYARI, MUNGU YUPO TAYAR, MAANDIKO YA KUMPITISHA YAPO TAYARI, MPAKA NYIMBO ZA IBADA ZIPO TAYARI. KILICHOKOSEKANA NI UTAYARI WAKO Tu, SEMA SUU MUNGU AJITHIBITISHE, YAANI BADO HAUPO TAYARI UNAJIZUNGUSHA NA  MIAKA NDO INAENDA!

 

NAHITAJI MUNGU AJITHIBITISHE KUPITIA MIMI NIOLEWE 2024, HAPO HAPO MIGUU CHANU MUDA WOTE UNAPELEKEWA MOTO HATARI!, SASA MUNGU ANAJITHIBITISHA VIPI KWA MZINZI SUGU? NI UKWELI DHAHIRI HAUPO TAYARl MAHI WANGU, UNATAKA VITA NA SHETANI WAKATI BURUDNIA ZAKE PIA WAZITAKA!

 

NA HAPO HAPO HUFANYI IBADA MPAKA UJISIKIE, SASA KAMA KUNA INSTRUCTIONS AU BASI MAJIBU YAKO ATAKUPAJE NA HOTOKEI KWENYE MKUTANO WENU? AKUSIMAMISHE BARABARANI KUKUPA?, HAUPO TAYARI KIPENZI YAANI INSHORT HUNA MPANGO WA KUTEMBEA NA YESU KWNEYE SAFARI YAKO, UMEKAA KIUZUGAJI ZUGAJI AU WENGINE NATEMBEA NA YESU NA ROHO ZA UPWIRU ANATEMBEA NAZO VILE-VILE!

 

KUFUNGA NA KUOMBA UMKARIBIE MUNGU HUTAKI, NIOMBEEE WEWE, WEWE UMEONA NANI KWENYE MAANDIKO ALIFANYA MAKUBWA KWA KUOMBEWA? NANI?, KAMA UNATAKA KUVUKAA CHAP-CHAP NA HARAKA UONE MATOKEO KWANZA KUBALI BILA KUSHURUTISHWA WALA KUSHAWISHIWA NA MTU YOYOTE KWAMBA HILO ENEO UNA MATATIZO  NA UNAHITAJI MSAADA!

 

MPENDWA KUBALIKUTOKA NDANI YA NAFSI YAKO KWAMBA NIMEKUBALI KWA HIARI YANGU MIMI FLANI HILI ENEO NINA SHIDA KUBWA NA NITA-TAFUTA USAIDIZI!, KUBALI TO THE EXTENT KWAMBA UTAACHANA NA DHANA NA NADHARIA ZAKO ZOTE ULIZO SHIKA MIAKA NA MIAKA. NA KUACHA UBONGO WAKO MWEUPE KUJIFUNZA MAMBO MAPYA KAMA YANAVYO FUNDISHWA NA KUYAFANYA, INPUT IKIBADILIKA, PROCESS IKABADILIKA BASI OUTPUT LAZIMA ITABADILIKA!

 

UKIAMBIWA ACHA ZINAAA, KAMA KWELI UMEKUBALI UNATAKA KUVUKA, UNAACHA! UNAWAZA NIENDELEE KUTESEKA AU NIJIKAZE, NAKAZA ROHO YULE MTUMISHI HASHINDWI KUWA ANA NIONA NA MACHO YA ROHONI.

 

MPENDWA FANYA IBADA MARA 3 KWA SIKU, FANYAAA! SIO KUANZA OOH MY TIMETABLE! KAZI!, UNAKUWA MPOLE UNATEGA ALARM YA MAOMBI NDIYO UTAWAELEWA WALE WALOKOLE WA OFISNI WENYE CHUMBA AU KIBARAZA CHA MAOMBI KAZINI.

 

Ukifika level hii ya kukubali, your mind becomes CLEAR, Na moyo unakuwa ushafanya maamuzi! Ni akili tu kutekeleza!. At this level the lines hit different, Scriptures zinaanza ku-scripture akili mwako! Na level hii unaweza VUKA HATA kwa mstari mmoja tu, Huhitaji HATA program, Sababu Mind, Body and Soul zipo na Agenda mojaaa tu.

 

Mpendwa Level hii majaribu yataanza kuwa madogo sababu umejipata, HATA mwanaume akikushawishi uzini unaona nisha zini na wazuri nawenye hela zaidi yako!Umbwaaa achana na mimi. Nipo kwenye mission impossible.

 

Mpendwa Uchungu kwako utasahaulika, Uchungu gani? Juu ya kijibwa gani? Hakuna umbwaa ilio Hai wala iliyo kufa itakayo zuia wewe kufika hatma yako yaani hata mtu akisema ana mikosi huyu Dada, Uta mjibu MIKUBWA LAKINI NDIO NAI-ONDOA, Soon tutarudia hii topic dada ndiyo tuta conclude nani mwenye mikosi.

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top