FOCUS ON THE BIGGER PICTURE

PART 1: FOCUS ON THE BIGGER PICTURE

Mpendwa andika malengo yako makuu mawili (3) na yasizidi matatu(3)  ya mwaka huu, Then focus nayo mwaka mzima, Shida yenu mna-focus  na mambo mengi na kwa kuangalia yalivyo sasa au yanavyoenda kwa sasa, Matokeo yake mwaka unakuponyoka hivi-hivi na hakuna chochote ulichokikamilisha au ku achieve.

 

Mpendwa haijalishi upo-wapi sasahivi au as of now status yako iko vipi!, Mungu bado yupo enzini na kinachojalisha ni je, una vision au una idea ya hata unapotaka kwenda?,  Are you going in the right directions? au una mission ya namna utafikaje huko unapotarajia au unapo kwenda? ni kweli una mission ? au  una strategy?

 

Kusema mwaka huu nitaenda kazini ila sijui kivipi, is not faith rather y0u are just being delusional, Yale ya kusema nitaolewa mwezi wa nane (8 ) lakini sijui kivipi is being panaroid and unrealistic.

 

Unakuta Mtu anakwambia Pastor mwaka huu na-amini ni mwaka wangu wa ndoa!  na una muuliza nini kinacho kupa hiyo imani? Anasema Naaamini tu!, Kwa hiyo mwaka jana ulikuwa huamini au ? Yaani unaona pattern ni ile ile mwaka jana  ambayo ulikuwa delussional na mwaka huu its worst yaani unakuwa panaroid kabisa!, You will soon start seeing things which are not there?

 

Yaani wewe yule-yule tukuite factor na iliyo constant yaani v ile-vile na ibada zako za ubabaifu, sadaka zako za low budget, tena mwaka huu you go lower na imani yako ya kupanda na kushuka ambayo for  three(3) consecutive years umekuwa una apply hizi-hizi conditions na matokeo yanatoka negative na mwaka huu unaenda mwendo huu huu  bado na uko-serious unangoja majibu positive kweli!,  Mpendwa with all due respect you are being delusional yani ni bila-bila hata ndugu zako huwa okoti!.

 

Mpendwa being realistic  una-anzia pale-pale panaponuka kwenye equation ya mwaka jana, take responsibility for your lack of achievement!, Yaani kwamba kweli sikuolewaaa  na, ni uzembe wa hali ya juu, Hadi Zinduna kaolewa!, Unajitathmini kweli sikwenda kazini ni poor performance!, It is what it is, Alafu jitafute kwanini ulipata matokeo Hafifuuuu?, Yaani Fumua fumua equation nzima!, No stone should be left untouched!, Fumua mfumo wako wote wa maisha ya mwaka jana uliosababisha lack of results!

 

Kuna mtu mwaka jana alijifelisha na kwa mambo ya kijinga tu, ya kujidekeza dekeza lakini Mwaka huu kanihakikishia yupo shakahola kwa pastor makenzi!, Ni atafunga kila week siku (3) na (4) anakula, Maombi anataka aende mlimani kabisa sema kakosa mlima ana-hamia hostel za kanisa, Akitoka kazini hosteli,  Mda wa kukaa hostel utafahamika akifika, Sala ni  tano (5) kwa siku, No excuses, No compromise, Sadaka ana kibubu kabisa akiomba anatoa sadaka humo, Zikijaaa anapeleka kwa watumishi, Yaani Mwaka huu mbingu lazima ziseme juu yake.

 

Ameniambia mwaka huu ni mwaka wangu lazima shela nivae, Nikamwambia rangi nzuri ya harusi mwaka huu ni dusty blue, Namuona kwa uelekeo huo.

 

Kuna mwingine ana kazi nzuri ila sio kihivo, Sio pesa ya kuridhika zama hizi za mama kizimkazi, Million 2 ndo mshahara wa kuridhika kweli?, Alafu ana p0tential kubwa sanaa sijui kalogwaa!, Ni mshikaji wangu sema nilikuwa namuongoza kwenye mahusiano! Alivyo ona mambo yameenda akaona mbona kama mimi mkweli, I might not be that delusional After all!

 

PART 2: FOCUS ON THE BIGGER PICTURE

Akaja mezani na zaka zake ,I want  to double the figure,I want position and tittle, She wanted the sun and the moon together na nikamwambia sawa lakini hawata amka asubuhi na ku-double mshahara, Miraculous increment!, We need to make moves, hawata amka na kukuona managerial material ni unatakiwa ufanye Moves and Deadly moves!.

 

No way-out zaka yako naila vizuri tu ila lazima uanze applications na interviews tupate offer ambayo tuta watingishia kibiriti ili wa count offer na ku-double,Inatakiwa upate Managerial offers ili tuwape jokeri kwamba wewe ni managerial material!,We should rub it in their faces kwamba you do actualy have options! Better options.

 

Na ukipata offer nzuri unaweza kuamua kuachana nao vile-vile wasikubabaishe!, So ibada zetu zitafocus kwenye destiny helpers na divine connections, kibali, open-doors na divine favor!, Wapendwa huyu asipo panda cheo na ku double mshahara uchawi upo lakini kwa mikakati hii mwaka huu ni mwaka wake kazini na mpaka kufikia hapa lazima atakuwa na Consistency kwsababu ameangalia bigger picture na Sio rahisi ayumbishwe na factor ndogo ndogo.

 

Hivyo mpendwa kuwa clear mwaka huu unataka nini hasaaa na unaj:iaka kweli sio kusemaa tu! Ukijua unataka nini itakupa clear vision, Jiulize nini kili-kukwamisha mwaka jana usivuke hilo eneo! Be very very candid with yourself, Kama zinaa ilikukwamisha!, Achana nayo mwaka huu,  Ukiendeleza mambo yatakuwa yale yale mbona na kama ni Uvivu wa ibada, Weka timetable na uifate kwa nguvu yaani Mfumo ulio-kufelisha mwaka jana achana nao weka  mifumo mipya na process mpya utapata matokeo mapya.

 

Jiulize what makes you believe mwaka huu utaolewa ?, Mwaka huu una utofauti gani na mwaka jana ?, Nakushukuru sanaa kwa hili swali ndugu chaunabe na usiependa maendeleo yangu!, Kwa taarifa yako kwanza ibada nitakazo piga mwaka huu ni mara 3 ya mwaka jana !Times 3 upooo! Sala ni 3 kwa siku, kufunga mara 3 kwa week,kanisani mara 3 kwa week, Yaani ni times (3), Sadaka za mwaka huu ziwe juu ya figure ya mwaka jana yaani Tripple ! Upoooo?Watumishi wanao nihudtjmia mwaka huu wapo wa tatu(3) na zaka ni  tatu (3), Hii tatu (3) ninavyosema nime-amua ichukue hio kauli yangu at face value!

 

Deliverance ninazo zifanya hilo eneo ni za aina tatu (3) kutoka kwa watumishi wa tatu(3) tofauti, Just inacase you know, I’m taking no chances this year!, Prophetic words ninazo tembea nazo mwaka huu ni kama  sita(6) hivi like I said this year the number of chances I’m taking in my marital breakthrough is Zerooo!

 

Kwa hiyo ninavyo kwambia huu ni mwaka wangu kuvaaa shela ichukue kama face value!, It’s not up for debate dear, Najua nachokisema na kukifanya! sina Ibada za kubahatisha mwaka huu!

10 thoughts on “FOCUS ON THE BIGGER PICTURE”

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top