DELIVERANCE BOOK RELEASE

Nitaachia  kitabu changu cha Delivarence ya mahusiano ambacho nimekifanyia majaribia (test)  kupitia group lawakongwe, Kina matokeo makubwa sanaa! Sanaaa!, na Nitakiuza 100,000/= Tshs yaani Laki Moja ya kitanzania    unaweza kuona ni ripoff au yaani kwa maandiko gani ? na kina jipya gani ? lakini nakuhakikishia hiyo bei sijafocus  kwenye thamani ya content hata kidogo, Kila mtu anastahili kupedwa na kuwa na furaha and this is priceless, no amount of money is worth furaha na amani ya moyo wa mtu.

 

Mpendwa hiyo bei honestly ni kuwa=komesha tu uvivu wenu na kutengeneza mazingira  ya ku-feel pain ya ile laki moyaaa yako usome kitabu nukta mpaka nukta yaani kila ukiwaza  umetoa Laki yote, The book better work for you or else God knows your wrath yaani unakisoma mara 20 kwa mwaka laki utani wapendwa.

 

Niliwapa wale wa above 35 kama tester unfinished version nipime yaliyomo yamo kwenye  kitabu, Niliwapa buree ila niliwapiga non-disclosure moja ya Kiapo kwasababu niliwapa bure out of 200 people walikisoma kwa moyo na kutumia kile kitabu hawafiki  hamsini (50). Hivyo nimejifunza kupitia  makosa yangu kwamba mtu akipata bure anakosa motivation kabisaaa ya kukifunua, Wengi wanacho hawajasoma hata page moja na wana mikosi kama yote

 

Mpendwa kwa laki moja (100,000/= Tshs) na uhakika utasoma hiki kitabu chote, utawasomea na ndugu zako,uta share group zote kunikomoa, of which is a good thing kwamba injili itasonga  mbele, Vita vilivyo vizuri utavipiga na imani utailinda yaani kila ukiwaza Laki Moja yako kuna daily convictions pale utazisemaaa kwa uchungu sana,      Kwanza kitabu kwa laki moja unaanza na ile table of content mpaka nyuma ya kitabu, Sasa hii ndiyo inayotakiwa.

 

Ukiwa unaomba unamlilia Mungu, Laki Babaaaaa, Kilo nzimaaa kweli  iende hivi hivi usinifungue?,  Kama hutizami ibada yangu tizama laki baba imeteketea!

 

Wapendwa kama nilivyo waambia mwaka huu achana low cost au low budget delivarence, Don’t put a budget limit on your deliverance sababu pesa inatafutwa tu lakini results are earned, Dont put a price tag seeking your happiness or peace of mind!, Laki ni pesa nyingi sana lakini nahitaji commitment yako na extra miles kutoka kwako.

 

Mpendwa nimeweka content nyingi sana bureee hujigusi nazo na wala huoni thamani yake kwasababu nimekupa bure, Hii content ukichanga kadi yako It will be priceless to you, Hata shetani akikushawishi vipi usisome kitabu utamwambia sio kwa Laki moja! Lazima nione kwanza hio Laki nilitoa ya kazi gani? yaani Maandiko unayamezea na maji sio kwa Laki, Tena january hiii? Famasihala nini!, Ukiamka unagonga kitabu ukilala unagonga kitabu.

 

Wapendwa nchi huru hiii jamani!, Ukitaka kitabu andaa 100,000/= Tshs na ukiona Laki  ni nyingi sana kwenye internet kuna lots and lots of free content, Jibambe tu yaani ukiona nafsi yako haitaki kutoa laki usijilazimishe Probability kubwa ni hutakisoma hiko kitabu, Bora ununue bando mwaya!,

 

Lakini Mpendwa ukiona kitabu kina kuwinda nafsi yako na Laki si pesa, million deni kujitafutia Delivarence, nunua kitabu, na Laki inavouma utasoma mpaka table of Content na Epilouge.

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top