BILA DELIVERANCE SAHAU KUHUSU RESTORATION

Wapendwa nime waahidi wale mliojipata na mko serious na hatma zenu kuwa mwaka HUU tutapambania Restoration na ni team effort sio wewe urelax na kuniuliza mimi restoration inaendaje? kwangu Maisha ni safari na restoration imekula nauli.

 

RESTORATION IS A PRODUCT OF DELIVERANCE!

 

Wengi mmejaribu kufanya Restoration juu ya infamarmity, vizuizi na vifungo vyenu ndio maana hamkufika popote ghafla tu unatoa karata ya Restoration HOW ?, Yaani ulale na vifungo uamke na Restoration! , THERE ARE PROTOCAL IN THESE THINGS!, ITIFAKI LAZIKA ZI ZINGATIWE AND PROTOCAL IS WHAT YOU DONT FOLLOW MATOKEO YAKE UNATESEKA MIAKA NA MIAKA.

 

Kuna mtu alikuwa hana kazi miaka saba (7) ana kazi ya kuzurura MAKANISANI na kwenye makongamano yaani amepita pita kwenye makanisa na hakupata matokeo kwasababu alikuwa hasemi ukweli kwamba kazi ya kwanza alimkosea Mungu mpaka akamkosea tenaaa, Akawa anajaribu kupandisha jokeri la Restoration wakati kwenye principles za kiroho Restoration sio jokeri, kwamba unapanda popote!.

 

Nami nikamwambia fanya Career Hel! Akagoma, Nikamwambia kaa bila kazi, Haupo serious.Basi Njaa ilipo mzidi akaja kunegotiate kwamba anavyoona yeye Career Hell is beneath her! Oooh!, Nami nikamwambia wewe njia yako si mwaka wa saba (7) huu upo nyumbani?, I think  ten (10) years will be pretty average kuwa bado nyumbani, huku na huku nipe program nyingine, Nikamwambia zipo Open jibambe kupitia www.mlokolebinti.com

 

Basi akaniambia atleast pray for me,we fast together, Tunaamka saa 9 usiku tunaomba wote, nisaidie. Nami nikamwambia sifanyi any of those!, Not because I don’t care but it is not what you need! yaani akawa convised simpendi na sitaki kumsaidia niki Post ushuhuda wa kazi lazima aje inbox, yaani una-mkereketa anaongea shit tu! sawa sisi tuna damu ya kunguni.

 

Alafu uzuri SHUHUDA ni screenshot sio maneno yangu kwamba natia chumvi, Mtu anasema kabisaa nilifanya program flani lakini haoni yaano ana ngang’ana tufunge wote na niwe namuombea saa tisa (9) usiku! eeh! It’s her confidence and persistence, Yaani nakataa leo anakuja tena na mimi nipo vizuri! Sifanyiii!.

 

Basi akaja kuniuliza kwanini unakataaa kunisiaidia?, Nikamwambia kwasababu najua inatakuwa upite wapi na Hamna spiritual base ya kuprocess unachotaka na matokeo unayotaka.

 

Wewe mpaka leo umeombewa na watumishi wangapi? katika miaka  hii saba(7), Huwazi kwamba maybe you are moving in a wrong direction?, Maybe what you need is not other people prayers rather it’s about time to face your career past and charges and take responsibility? yaani alistuka umejuajeee about charges?, So all this while you know about these charges?, Flani kamwambia about me najua ana kufollow,  Kwa SABABU unanihukumu na vile vitu ndio maana hutaki kuniombea saa tisa(9) usikuu! eeh! yaani aliji maliza! Ila amekomaaa nimejuaje!

 

Mpendwa nikamwmabia kuna njia nyingi za kujua, Anza na Experience na Mungu ni mwaminifu sana kwa watu wake, Hawezi kuku roastisha miaka  saba (7) bila sababu after he came through the first job, It’s a wield guess you did dispeakable things, Ulimuasi Mungu! Probably uliroga sana kwenye hiyo kazi, Ukalala na Maboss na huku lipa 10% ya zaka, I’m still guessing.

 

Nikamwambia huu ubatili wote unataka kupandisha karata ya Restoration juu yake na upo serious, Na una with-hold information na kuwa manipulate watumishi wafanye prophecy ya restoration juu YAKO, Who do you take God for ? A joke?, The only Restoration you will see ni katika MANENO YA BIBLIA! Unless ypu take full responsibility of your past, akasema nitafanya hio career hell.

 

Akaanza Career hell, Akaanza delivarence za kwenda kwa waganga, Alikuwa na ma-Abortion! waume za watu! Yaani ana CHARGES kama zote llilazimu afanye ile Complete ya Siku 30! na akaendelea na toba ya Siku 30! akaanza kuzilipia sadaka alizotoa kwa waganga kiukweli alijipata akaacha JANJA JANJA!

 

Wapendwa akiwa katikati ya Process ya kujideliver akaanza kupata Interviews na akapata kazi tena after seven (7) years za jobless! na kikubwa akaacha shortcuts.

 

RESTORATI ON IS A PRODUCT OF DELIVERANCE!

 

HATA YESU KABLA HAJAPONYA WATU NA KUWAFANYIA RESTORATI ON ALIWAFANYIA DELIVARENCE! SASA KWANINI UTAKE MTUMISHI APINDISHE PINDISHE MAMBO?

 

But I want you to know that the Son of Man has authority on earth to forgive sins so he said to the paralyzed man,”Get up,take your mat and go home. Then the man got up and went home” (Matthew 9:6-7 )

 

Yesu ana-mdeliver kwanza yule mtu aliyepooza kutoka kwenye kifungo cha dhambi kwa kumsamehe dhambi zake ndipo ana mponya na kumfanyia restoration ya Afya yake.

 

Wapendwa mara nyingi Yesu aliwaambia watu wake IMANI YAKO IMEKUPONYA! Maana yake aliwafanyia Delivarence au kuwafungua kupitia imani walizo kuwa nazo, then baada ya hapo Restoration ndo ilifatia nao wakathibitisha kweli wameponaaaa.

 

WAPENDWA NALETA PROGRAM YA COMPLETE DELIVERANCE KUANZIA JUMATANO, NI SIKU 30! ITAKUWA NA BATCH NNE (4) KILA WIKI KIPENGELE KIMOJA, SASA KAMA UNATAKA RESTORATI ON HII MWAKA HUU 2024 ANZA NA DELIVARENCE.

 

SASA JITAFUTIZE SABABU USIFANYE DELIVARENCE  NA USHUPAZE SHINGO KUNGOJA RESTORATI ON,MUDA UNAOUCHEZEA NI WA KWAKO NA HATMA NI YAKO! YOUR LIFE YOUR CHOICE SIKU THELATHINI (30) SIO NYINGI NA BADO TUTAKUWA NDIO KWANZA FEBRUARY.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top