Wapendwa kuna mtu mwaka 2023 wote alikuwa analipa zaka na sadaka zote lakini maisha yake hayakutikisika na Hana lakini her faith is bleeding her dry financialy mpaka unatamani umwambie usitoe!, Aliachwa na mwanaume, kazi anayo ya serikalini lakini kwa maisha yake yaani muuza genge ana nafuu, Ana madeni hatari lakini bora afumbie mancho deni alipe zaka.
Mpendwa January niliongea na walipa zaka wote kuangalia mwaka uliopita je? zaka zao zimezaa hata asilimia (90%) na walikuwa satisfied? na wakati huu huyu akawa ananiumiza kichwa sana, Kwani imani yake na maisha yake haviendani, Mwanzo kabisa nilimwambia afanye Delivarence siku 30, PART 3 na akasema sawa.
Mimi nikamchukua at face value kwamba kafanya, Kwani ni mlokole na amempokea Yesu hivyo delivarence ile nyepesi sikuwa na shaka she can do 30, Sasa zaka kama zaka yenyewe ni ufunguo toshaaa,Ukitoa zaka mfululizo bila ibada wala nini mambo yako yanatakiwa yafunguke lakini sio kwa shoga yetu, mambo meusiii tiii.
Hii January akaniambia kwamba zaka ilimal mwaka Jana of which was not a shocker kwani mchezo nilisha uona mapemaaa sana lakini kilicho nipa mawazo ni WHY ?, Hivyo nikamwambia tuongee kiume, ushapoteza mwaka na DELIVARENCE YA SIKU 30 HUKUFANYA NA KAMA ULIFANYA ULILIPUA basi hapa ndipo akafunguka mtu mzima kisheti Oooh! kiukweli sikufanyaga nikaogopa kukwambia sijafanya jamani.
Mpendwa yaani muda huo mkataba wake umeisha wa serikalini na wameshasema February mwisho hawaongezi na anavyo nilaumu, Mama nimekupa zaka yangu mimi nitaenda wapi?, Kiukweli NILICHUKIA! na KUGHADHIBIKA sana yaani kwanini mtu anachezea pesa na maisha yake kwa uvivu mdogo sana lakini ndio mtu mzima nitamfanya nini?.
Wapendwa basi ndio akaanza January hii delivarence na kama nilivyo waambia ameokoka hivyo anaweza sana basi tu, Sasa last Week wamemletea barua wanaongeza miaka mitatu (3) mkataba, Mpaka Afisa utumishi anamuuliza una Lobby Lobby wapi? Unamjua nani huko juu kwani haiwezekani ndani ya miezi mitatu(3) zije barua mbili (2) juu yako. Aidha bila kusahau na Bwana aliyemuacha karudi na things have started moving.
NIKIWAZA MWAKA MZIMA KANITENDAAA.
MUNGU NI MWAMINIFU WAPENDWA, YEYE HUSIKIA NA HUJIBU, TUNAHITAJI KUFANYA JUHUDI TU KIDOGO YA KUJIDELIVER.