SHUKRANI KWA MWITIKIO WA KITABU

Wapendwa kwa mnaotaka pre-order naombeni muwe wavumilivu, Mimi nina deadlines alafu mmetoa laki zenu, mbona patachimbika yaani mtanipeleka kwa Mange. Aidha kwa mnao-taka content nawaelewa ila One thing about me, nina ki-smart cha ku inspire watu, Sasa hivi kila mtumishi ataanza ku-publish kitabu chake,Which is very good kwa mtumishiwa Karne hii lazima a-publish kazi za kutosha.

 

Sasa sitaki ku-inspire topics na content, Ikitokea coincidence sawa, Watumishi wa bongo wavivu sana, Nigeria kila mtumishi ana Minimum ya VITABU Kumi (10) lakini Bongo Mwalimu tu ndiye  anayejitahidi kila mwaka kuachia topic kadhaa na mimi nitakoma mwaka huu nami niachie tu.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top