WHAT IS DELIVERANCE?

PART 1: WHAT IS DELIVERANCE?

Wapendwa “Deliverance” ni very wide topic with big history na alot of controversy!, lakini kwa tafsiri rahisi kabisa deliverance ni kuwekwa huru (free), from Satanic Bondages, lmfarmity and limitations. Wapendwa wengi wana ihusisha Deliverance na kutoa mapepo!, well ni sehemu ndogo sana ya Deliverance!.

 

Watu wengi mna-kwama hapa, Just because huanguki mapepo haina maana huitaji delivarence! Huenda wewe kama wewe ni pepo toshaaa! Basi hilo la nje la nini?

 

Unakuta wewe kama wewe ni malaya mchafu huchagui hubaguiii na atakayekuzika humjui, umelala mpaka na ndugu zako umemalizaaa, na kanisani fresh tuuu!, una shake hands na Appostle bila mashaka kabisa yaani hutikisi hata kope upako kwako unadunda.

 

MPENDWA KATI YAKO NA ANAE YANGUKA PEPO, MARA MIA MWENYE PEPO MAANA ANAKUWACONTROLLED NA EXTERNAL FORCES! NDIYO MAANA HIZO FORCES ZINATIKISWA NA UPAKO LAKINI WEWE NDO CONTROLLER! AGENT OF THE DEVIL HIMSELF! NA RANK YAKO YA JUU KULIKO MAPEPO!.

 

MPENDWA YOU ARE ON THE MISSION FOR THE DEVIL!, MAPEPO YANA ORDER MAALUMU KWAMBA YOU GOOD ON YOUR OWN! NO NEED FOR EXTRA FORCES.

 

Katika hali kama hii si ajabu kukuta mtu kaokoka lakini anafanya kazi ya shetani kwa uzuri kuliko hata mganga wa kienyeji!, Sasa mtu unapeleka umalaya wako kanisani like seriously?, Mtumishi kanitongozaaa? Kanisa zimaaa akuone wewe tu?,  Na sisi waumini ndo tulikwambia umkubalie au ?,  Na Somtimes HATA sio NJAA!, Mtu anatumika tu on the mission of the devil!.

 

KAMA HUANGUKI MAPEPO DONT BE FULLED KWAMBA UKO HURU, KUNA UWEZEKANO MKUBWA UPO RANK SAWA NA MAPEPO TOFAUTI WEWE UNA OPERATE PHYSICALLY WENZIO SPIRITUALY !, DONT BE FOOLED!.

 

Mpendwa mimi sijawahi kuanguka mapepo hata siku moja!,wala kuonwa chochote na mtumishi yoyote! tena mara nyingi nafukuzwa kwa watumish, tena nilikuwa mdogo kweli!, sio vizuri kabisaa!, Just because they couldn’t read me it made them mad, Lakini nilikuwa napiga MATUKIO ya hatariii!, Aunty yangu analeta watumishi ili tu mimi nianguke mapepo anisaidieee! lakini Wataanguka nyumba nzima wakati mimi sitikisi hata kope!.

 

Mpaka kuna siku mtumishialivoona kakutana na kisiki cha mpingo akaanza kunisugua mifupa ya fahamu kichwani ilinipige tu kelele aseme pepo!, Nilipiga kelele! Ila nikwamwambia Aunty ananiumiza pepo sina ila anafanya cheap ministry!, Tumsugue yeye!, tuone kama hatapiga kelele!.

 

Wapendwa Aunty yangu alikuwa msomi akaiona ile Faulooo!, Nimeenda makongamano kwa makongamano! sikuwahi kudondoka! lakini nikitulia naona kabisa nimefungwa, nina limitations, nipo in bondage, hamna mambo yangu yanayo enda popote!, lbada na maombi nafanya sana lakini sipati matokeo yoyote makubwa ndipo nilipoona sio sifa kutoanguka mapepo!, Watumishi walishindwa kunisaidia! kwani kwangu hawaoni chochote.

 

PART 2: WHAT IS DELIVERACE?

Ndipo nikaanza PERSONAL DELIVARENCE kwa miaka miwili (2)  mfululizo, Najifunza online, Nasoma VITABU vya Ma-Pastor wakubwa!, Nasikiliza mahubiri ya Ma-Pastor wakubwa wakubwa tu.

 

NIKAGUNDUA I NEED DELIVARENCE FROM AMONG OTHER FACTORS, MOSTYLY MYSELF,  I NEEDED TO BE DELIVERED FROM MYSELF! KWANI HATA MAMBO NAYOTAKA NA KUTAMANI KUYAPATA BY THEN ULIKUWA UONGO MKUBWA NA ISINGEWEZEKANA KABISAA.

 

Wapendwa NA NDANI YA MIAKA MIWILI (2)  YEARS I ROSE FROM  COMPLETELY ZERO (0) TO HERO NA HII NI  MPAKA KESHO WATU WANASHANGAA, MAANA WALINIACHA GAP YA MIAKA  10 NA KUENDELEA HUKO NA HAKI WENGI WAO WANAAMI NATUMIA JUJU (NGUVU ZA GIZA).

 

NA WANAAMINI ZAIDI NATUMIA JUJU KWASABABU I’M LIKE A DIFFERENT PERSON, WELL NILISHAIKANA NAFSI YANGU KITAMBO IT EXPLAINS! NA WENGINE WANAAMINI NI DELIVARENCE LIKE NILITOLEWA MAPEPOO!.

 

MIMI NILIAMUA KWA HIARI YANGU SIWEZI BAKIA MISRI KWA GHARAMA YOTOTE KAMA NI DELIVERANCE, I WILL DELIVER MYSELF OR DIE TRYING IN THE PROCESS!.

 

Iwon’t lie sio jambo rahisi na sio jambo la kutumia wiki  au mwezi!, It took me  two (2) years na nilikuwa nimedhamiria. Lakini Mpendwa If you get lucky and a real seerau   muonaji wa kweli  na asiwe hawa wa kubashiri ni rahisi sana  na utatumia mda mchache, Au kama unaweza kumtumia Roho Mtakatifu pia itakupa speed!.

 

Mimi sikuwa na luxury yoyote kati ya hizo,  Nilitimuliwa kwa muonaji na nikasema I will do it the OLD SCHOOL WAY!, Nilipitisha SAKO LA NYANI! na sikuwa na uhakikaaa!. Hivyo nikasema hapa dawa NAJIDELIVER KILA KITU!, NAPITISHA 360!,  KWA STYLE HIYO LAZIMA KIFUNGO CHANGU NITAKIFUMUA HUMO NA VINGINE AMBAVYO SIJAFUNGWA, TWO BLESSED  YEARS AND IT WORKED.

 

WAPENDWA SHIDA NI KWAMBA WATU WAKINIULIZA NINI HASA AU MAOMBI YAPI HASA NDIYO YALINIFUNGUA HONESTLY SIJUI KWASABABU NILIPITISHA SAKO LA NYANI YAANI NILISAKA KILA KIZUIZI AS  POSSIBLE KWENYE MAISHA YANGU!.

 

KIUKWELI WATU WANANIONA SINA USHIRIKIANO ILA UKWELI NDIO HUU !  KUHUSU HIYO MIAKA MIWILI  YEARS NA PENS DOWN KWENYE KITABU CHETU.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top