HAVE A PICTURE OF THE LIFE YOU WANT AFTER DELIVERANCE

Mpendwa jenga kichwani kwako picha ya maisha gani unayataka haswa baada ya deliverance, See your self in that life, kwani inawezekana na ipo ila only kuna mambo ya kiufundi unatakiwa kuyakamilisha ikiwemo kumalizana na shetani.

 

Kama nikazi weka picha kichwani kwako unaingia CRDB au CITY BANK ikiwa kama dream yako ni kuwa Banker kama dada wa mie, Kama ni ndoa weka picha upo na mumeo na chagua kabisa majina ya wanao, kama ni biashara weka picha unafungua container lako la fursa.

 

Mpendwa whatever you want imagine it, Muamini Mungu juu ya hilo like never before na jiapishe  kuwa huta-isaliti hio image inayokuja whatever may you will live to testify the greatness of God kwenye hiyo image.

 

Alafu kaa mkao wa kwenda kumaliza na na nguvu za giza once and for a ll, Ukitaka kukata tamaa rudi kwenye image.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top