AMAZING GRACE

PART 1

Wpendwa Roho Mtakatifu amenisemesha kuna watu ambao MLISHAPEWA NEEMA YA MUNGU HAPO KABLA NA MKAITUMIA VIBAYA NA KUIFUJA,NEEMA IKA KATAA.

 

KUNA WATU MLIPEWA WANAUME WAZURI SANA MKAWAFUNDISHA MAMBO MACHAFU MATOEKO YAKE, WAKAHARIBIKA  KIASI CHA KUWAZIDI NYIE WALIMU!

 

KUNA WATU MLIPATA WACHUMBA WENGI ENZI ZENU NA MKAENDEKEZA UDANGAJI NA KUSEMA MUDA WA NDOA BADO MNAKULA UJANA KWANZA MKAWAKATAA WANAUME POTENTIAL KUJUA MTAPATA NG’OMBE LILILO NONA ZADI.

 

KUNA WATU MLIPATA KAZI NZURI MKAACHA BILA SABABU ZA MSINGI, KUNA WATU MLIPEWA NAFASI MKAZITUMIA VIBAYA NA KUZIFUJA, KUNA WATU MLIKUWA JUU KIBIASHARA MKAFUJA FUJA NEEMA ZA MUNGU MWISHO ZIMEKATA   KAMA MVUA MMEGEUKA JANGWA.

 

 

WAPENDWA INATAKIWA MRUDI MAGOTINI NA KUMWAMBIA MUNGU MLIMKOSEA NA MLITUMIA NEEMA ZAKE VIBAYA ILA MMEJIFUNZA MAKOSA YENU NA AKIWAPA TENA NEEMA ZAKE HAMTARUDIA ULE UPUUZI; MPENDWA TAFAKARI ULIVO MKOSEA MUNGU NA UTUBU KWA MOYO!

 

PART 2

MPENDWA ENDELEA NA MAOMBI BAADA YA MKESHA KATIKA KUSIMIKA IMANI YAKO NA KUHAKIKISHA UNAKUWA KWENYE FORM YA KUPOKEA MAJIBU YAKO!

 

Mimi Jana nilikuwa mtumishi, Leo sasa nimetulia kama Muumini, Mganga hajigangi Kasema Nani?, Maombi Sikuyafuta maana kuna muda nilipata ubaridi lakini ndIo kiongozi nikaFanya maamuzi magumu ya kumaliza Ibada, LEO NIPO KWENYE IBADA YANGU SOLO! Jana nilikuwa vessel, leo na mimi Msafiri.

 

WAPENDWA UNAWEZA UKAWA NA MATERIAL ZOTE NA MKEKA KAMILI NA UKAFANYA UJINGA NA USIVUKE, HAIWEZEKANI JANA KWA SPEED ILE UME-PERFECT! UNAWEZA KUWA ULI-UPIGA MWINGI LAKINI UKIRUDIA WEEK NZIMA UTAZIDI KUPATA MAFUNUO LAKINI LEO NIPO LIVE NA KESHA NA KUJIGANGA.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk