KINGDOM OF HEAVEN, UFALME WA MBINGU (SUNDAY WORD)

Mathayo 3:2

“Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia.”

 

Wapendwa hii ilikuwa kauli ya Nabii Yohana mtu aliaye nyikani, Ukiendelea kusoma ana zungumza ukoo wa YESU kama mtu aliyetabiriwa na Nabii lsaya!.

 

IN SHORT JOHN THE BAPTIST ALIMAANISHA UJIO WA YESU DUNIANI UMEZISOGEZA MBINGU KARIBU NA WANADAMU FOR EASY ACCESS LIKE NEVER BEFORE, KABLA YA AGANO JIPYA MBINGU ZILIKUWA MBALI SANA NA SIO KINYONGE KUZIFIKIA!

 

Mathayo 6:10

Ufalme wako ufike, Utakalo lifanyike duniani kama Mbinguni.

 

HAPA YESU ANAWAFUNDISHA WANAFUNZI WAKE KUSALI KWAMBA KILA WANAPOSALI  WAITE UFALE WA MBINGUNI JUU YAO NA MAISHA YAO, WAITE UFALME WA MBINGUNI KABLA HATA YA KUITISHA MKATE WA KILA SIKU.

 

Marko 1:15

Akisema,Wakati umetimia, na Ufalme wa Mungu umekaribia; Tubuni,na kuiamini Injili.

 

Point ni ile-ile ya Yohana kwamba ACESS ya Ufalme wa Mbinguni IMEONGEZWA  lakini kuipata ndio inahitaji yafuatayo:

1.UTUBU NA KUACHA DHAMBI!

2.UAMINI INJILI AU KWA WEPESI MUAMINI BWANA YESU MAANA INJILI ZOTE  NNE (4) ZINAMUHUSU YEYE TU.

 

Mathayo 6:33

Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.

 

Hapa  uwezo  na capacity  ya  Mbingu imefafanuliwa, THE PACKAGE OF KINGDOM OF HEAVENS! ETI YOTE UNAYOTAKA KUPATA SIO ISSUE ENDAPO TU UTAPATA ACCESS YA UFALME WA MBINGUNI, INSHORT UKIFANIKIWA KUUPATA NI JACKPOT BINGO, LAKINI WAMEKUWEKA WAZI KABISA NI WA KITAFUTA TENA KWA TOCHI.

 

Warumi 14:17

17 Kwa maana Ufalme wa Mungu si kula na kunywa bali ni haki, amani na furaha ndani ya Roho Mtakatifu.

 

Huyu Mtume Paul ana wachama Warumi, kwamba Ufalme wa  Mbinguni sio makulaji  na kujichana, Sio kuponda raha, sio Mali, wala sio sehemu, Sio wewe kupata kazi au wewe kuolewa, NI KUTENDA HAKI, AMANI NA FURAHA NDANI YA ROHO MTAKATIFU, Hata kama huna chochote unaweza kuwa na Ufalme wa Mbinguni na ukapata haki zako zote, Ukaishi kwa amani na furaha tele ndani ya Roho Mtakatifu.

 

Na unaweza kuwa una pesa, unakula na kunywa lakini amani huna, roho inakuenda mbio usiku na mchana, furaha huna, Mambo yako hayaendi ,haki zako una pokonywa, Ili mradi mambo yako yasiende ,wala yasisogezwe.

 

Luka 17:20-21

20 Siku moja, Mafarisayo walipomwuliza Yesu Ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi; “Ufalme wa Mungu hauji kwa kuonekana; 21 Wala watu hawatasema, “Huu hapa”  au “Ule-kule” kwa maana Ufalme wa Mungu umo ndaniyenu.”

 

Mafarisayo Bwana wanaona kama YESU Ana wapanga hivi, Wakataka fact, Unakuja ? Na Lini? YESU AKAWACHANA LIVE TU KUJA GANI TENAAA? UFALME WA MBINGUNI UPO LIVE AS OF NOW!, NYINYI TU! KAMA ACCESS NILISHA WA GRANT, NI NYINYI KUUKARIBISHA NDANI YENU!

 

1Wakorintho 6:9-10

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawata urithi ufalme wa Mungu, Wala waabudu sanamu,wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio,wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.

 

KAMA UMETAJWA HAPO JUU FANYA UTUBU NDUGU, UFALME WA MBINGUNI UPO NA UPO TELE  TUNAONA TUNATAMBA NAO.

 

UZURI WA UFALME WA MBINGUNI UNA-AMINIKA NA HAUNA UBABAIFU, KAMA UNAKUTAMBUA UNAKUTAMBUA  KAMA HAUKUTAMBUI HAUKUTAMBUI NA UFALME WA MBINGUNI UKIKUTAMBUA BASI AUTOMATICALLY NA FALME ZOTE ZA GIZA ZINA KUTAMBUA KAMA OFFICIAL MEMBER WA UFALME WA MBINGUNI.

 

UKITUMIA UJANJA WA KUJIPENYEZA KWENYE UFALME WA MBINGUNI WAKATI SIO MEMBER ITAKULA KWAKO  KWANZA NDO UTA ZITIBUA ZAIDI NGUVU ZA GIZA UNAJARIBU KUZITAPELI NGUVU ZA GIZA ? WAKATI WAO NDIO WALIO INVENT UTAPELI

 

Psalm 24:7-10

Lift up your heads,0 ye gates; And be ye lift up, ye everlasting doors; And the King of glory shall come in; Who is this King of glory? The LORD strong and mighty, the LORD mighty in battle. Lift up your heads, 0 ye gates; even lift them up,ye everlasting doors; And the King of glory shall come in. Who is this King of glory? The LORD of hosts, he is the King of glory. Selah.

 

 

Malango yana-amriwa yafunguke mfalme wa utukufu upite, MALANGO YANA KAZA NA KUULIZA “WHO IS THIS KING OF GLORY” Ndio ujue sio kinyonge, Malango ya nataka OFFICIAL IDENTIFICATION, NANI ANA ODA MALANGO YAFUNGULIWE? NA ANA ODA KAMA NANI?   HAPO MANAKE KAMA HAYAKUTAMBUI HAKIFUNGULIWI KITU.

 

Joshua 5:13-14

And then this,while Joshua was there near Jericho; He looked up and saw right in front of him a man standing, holding his drawn sword. Joshua stepped up to him and said,”Whose side are you on-ours or our enemies’?” He said, “Neither. I’m commander of GOD’s army. I’ve just  arrived. ” Joshua fel, face to the ground, and worshiped. He asked,”What orders does my Master have for his servant?”

 

Joshua anaona jitu linapita limeshika upanga unawaka hivi, anamfata. Wewe bwana mbona sikuelewi elewi, Upo upande gani bwana weye? Kwetu au kwa adui zetu? Jitu anamjibu SIKO KWENU WALA KWA ADUI ZENU, MIMI NI COMANDOR WA JESHI LA MUNGU A.K.A JESHI LA MBINGUNI SASA NIMEKUJA!, Joshua anasujudu mbele yake!

 

NDIO UJUE UFALME WETU SIO WA KINYONGE, UNA MAKAMANDA WA KlBABE WANAPITA PANGA WAZI MCHANA KWEUPE AFU HAWAJALI WALA NINI, JICHANGANYE UONE, ONCE YOU PLEAD YOUR ALLIGENCE TO THE KINGDOM OF HEAVEN YOU ARE COVERED AND INSURED BY THE HEAVEN ARMI ES! SASA KAMA DUNIANI HUNA MAJESHI NA MBINGUNI HAWAKUJUI NDO HIVO UTAKUWA KINYONGE SANA.

 

2 Wafalme 6:16-17

16. Kisha akamjibu,”Usiogope kwa sababu walio pamoja nasi ni wengi kuliko walio pamoja nao.” 17.Kisha Elisha akaomba,”Ee Mwenyezi-Mungu, umfumbue macho iliapate kuona!, ” Basi,Mwenyezi-Mungu akamfumbua macho huyo kijana, akaona farasi na magari ya moto yakiwa kila mahali katika mlima wote, kumzunguka Elisha.

 

Nabii Elisha alifanya moja ya EXTRAVAGANT DISPLAY YA JESHI LA MBINGUNI, Kijana alikuwa tumbo joto ana hanya-hanya, Elisha akamwambia TULIA DOGO, WALIO NA SISI NI WENGI KULIKO WATUPINGAO, CHUNGULIA KIDOGO, Kijana ana-blow mapigo, Maana walikuwa na magari yao ya Mbinguni.

 

ELISHA WAS ALL FOR THE KINGDOM OF HEAVEN, NDIO MAANA ALIPO YATIMBA ALILETEWA VIKOSI VYA KUTOSHA VYA JESHI LA MALAIKA, KAMA NA WEWE UME-PLEDGE ALLIGENCE KWA UFALME WETU WA MBINGUNI UKIKWAMA VIKOSI VIPO STANDBY, WEWE NI MTU WETU NA UPO NA SISI, TULIO NA WEWE NI WENGI KULIKO WAKUPINGAO.

 

MPENDWA WENGINE ALIGENCE YENU IPO KWENYE ZINAA, ALLIGENCE YENU IPO KWENYE UONGO NA UMBEA, SIKU MZINZI UKIPATA SHIDA INABIDI UITE JESHI LA DUME CONDOM AU LA MAPEPO YA NGONO YAKISAIDIE! SASA ITAKUWAJE? HUKU KINGDOM OF HEAVEN MTUME PAUL,  ASHA WACHANA WAKORINTO WAZINZI HUKO NO,  BIG NO, HUPENYI MNAO IFINYIAGA KWA NDANI WOTE INABIDI UWAITE WAMBEA INABIDI MUMWITE JUMA LOKOLE AWASAIDIE.

 

WENGI MNA HISI UFALME WA MBINGUNI UPO-UPO TU NA MUDA WOWOTE UNAWE KUKURUPUKA NA KURUKA NAO LIVE NA UKA-KUSAIDIA, MTU HUJUI KANUNI ZAKE NA KAMA UNAZIJUA HUZI ZINGATII WALA NINI, SIKU UNASHIDA UNATAKA MSAADA WA GHAFLA SANAA, SIO RAHISI HATA KIDOGO! HAUKUTAMBUI.

 

Matendo Ya Mitume 19:14-16

14 Palikuwa na Wana saba (7)  wa kuhani mkuu aliyeitwa Skeva ambao walikuwa wakifanya hivi. 15 Lakini pepo mchafu akawajibu,”Yesu namfahamu na Paulo pia namfahamu; lakini ninyi ni nani?” 16 Yule mtu aliyekuwa na pepo mchafu akawarukia akawashambulia vikali,Wakatoka ndani ya ile nyumba mbio wakiwa uchi na wenye majeraha.

 

Mtume Paul hakuhudumu wakati wa YESU, Na ameanza huduma baada ya kifo cha YESU, Sasa at the peek of his career alikuwa anatoa pepo na kutibu kwa vitambaa, Akishika kitambaa kinakuwa na upako balaa, ukimuwekea tu mtu anapona, Kama anapepo linatoka hapo-hapo! MUNGU ALIFANYA MIUJIZA MINGI MNO KWA MKONO WA PAUL.

 

Wana wa Skeva wakajiongeza kwamba na Baba yao kuhani vile-vile, Nao watoepo tupepo kidogo na lipi hapo tu pesa twa chai tu,  Kama makuhani kuwa Walawi nao si Walawi, Wamerithi nafasi na huduma ni urithi wao, Paul kwanza ni MRUMI, Na ulawi wapi na wapi.

 

Siku ya siku wakalivagaa PEPO LA KWELI, Wacha wapambane, HUKU WANATAJA PAUL NA HUKU WANATAJA YESU! PALICHIMBlKA!; Kama nilivyo-waambia UFALME WA MBINGU UKIKUTAMBUA AUTOMATICALLY NA UFALME WA GIZA UTA KUTAMBUA OFFICIALY KWAMBA WEWE NIWA UFALME WA MBINGUNI.

 

PEPO LINA WASHUSHUA WANA WA SKEVA “OYA YESU NAMJUAA FIKA NA PAUL NAMMANYA VILE-VILE LAKINI NYIE MBONA SIWASOMi? NYIE KINA NANi? SIWATAMBUI AFU NASHANGAA MNA NILETEA MFEKECHE SHENZI TYPE”; YULE MTU AKAWARUKIA NA KUWACHARAZA BAKORAA NA KUWATOA PALE UCHI WA MNYAMA, KUDADADEKI!

 

MTUMISHI MIMI MKATABA UNAISHA MWEZI UJAO NAOMBA NIOMBE WAONGEZE, ZAKA UNATOA? HAPANA! WEWE KILIPA TOZO ZA MBINGUNI HULIPII, OKAY PESA HUJATOAJE UNA UME-PLEAD ALLIGENCE KWA MBINGU? LIKE SIKU HAIISHI HUJAMSALIMU MWENYE ENZI ZAKE, SIKU HAISHI HUJAITA UFALME WA MBINGUNI JUU YAKO, KAZI YAKO NA MAISHA YAKO? THUBUTU, ALAFU UPO SERIOUS UNATAKA KUTUMIA RESOURCES ZA MBINGU? KAMA NANI?, ANAYE KUTAMBUA NANI?; MPENDWA UTAFUTENI UFALME WA MBINGUNI MKIWA NA MUDA NA NAFASI

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top