Hebrews 4: 12
12. For the word of God is alive and active. Sharper than any double-edged sword, It penetrates even to diving soul and spirit, joints and marrow; it judges the thoughts and attitudes of the heart.
Victory is a product of competition, battle, war. Na lazima ihusishe pande mbili (2) zinazo pingana. ili wewe ushinde lazima kuwepo na walioshindwa, Na ili wewe uhesabike umeshindwa lazima kuwepo na walioshinda. Ni mpambano wa kukata na shoka na mshindi ni mmoja, Balaaa!
Juzi niliongelea DEFEAT na jinsi gani ya kulinda imani yako nyakati kama hizo, Wengi tumekuwa DEFEATED maeneo mengi ya maisha yetu kwa sababu mbalimbali, Baadhi tumekuwa defeated eneo la MARITAL SETTLEMENT, kumpata wa kutokana ndiyo bado. Hupati watu, au unapata watu wa ajabu ajabu, hawa eleweki , au ndiyo umeolewa vika-ishia njiani ukaachiwa na watoto, Balaa tupu! ENEO LA MARITAL SETTLEMENT BADO, Wengine kazi za maana hazipatikani, Hata kazi uliyopo unajilazimishia tu unaishi kwa kupiga magoti, Wengine vyeo havipandi, Wengine wagonjwa na Wengine uzao hamna, Inshort kila Mtu ANA MAPAMBANO YAKE MAZITO.
WHY ARE WE DEFEATED, Kuna millions of reasons which are not important kwa sasa, MUHIMU NI VITORY 2025 GOD IS GOING TO GIVE YOU DIVINE VICTORY, SASA DIVINE VICTORY REQUIRES DIVINE SPIRITUAL WORK, DIVINE LAWS AND PRINCIPLES ZIWE APPLIED, KUKUPA WEWE DIVINE VICTORY ACCORDING TO SCRIPTURE.
NA NAKUMEGEA SIRI WATU WENGI USHINDI WAO EITHER NI DIVINE OR DARKNESS BASED, DUNIA YA SASA KUSHINDA HIVI HIVI SIO KWELI, NDIYO MAANA UNASHANGAA WEWE UNAFANYA KILA KITU LAKINI WAPI?, WEWE HUFANYI APPLICATION SI UNAFANYA ILA NDO HUITWII, UMETOA MPAKA KIPOCHI MANYOYA POTELEA POTE, UPATE NDOA LAKINI WAKAOLEWA WENZIO NDIYO UJUE FORMULAR SIO KUGAWAGAWA HOVYO.
WEWE UMESHINDWA ILA MUNGU HAJASHINDWA NA HATOKA ASHINDWE, NDIYO MAANA MWAKA 2025 UNAENDA KUPIGANA VITA NA MUNGU KATIKA HARAKATI ZA KUSAKA USHINDI. MPENDWA UZURI MUNGU YUPO TAYARI KWENDA KWENYE VITA ZAKO WEWE TU NDIYO ULIKUWA HUJAJIPATA, MUNGU ALIKUWA ANANGOJA MUALIKO WAKO WA KWENDA KWENYE HIYO VITA YA MARITAL SETTLEMENT, ANANGOJA UMPELEKE KWENYE INTERVIEWS, ANANGOJA UMUITE WODINI AFANYE HEALING.
Deuteronomy 20:4
“4.For the Lord your God is the one who goes with you to fight for you against your enemies to give you victory.”
USIENDE VITANI PEKE YAKO, WENGI MNA NIAMBIA MAMA WANAUME WANAKUJA WANATAKA MZIGO WANATAKA KIPOCHI MANYOYA, SASA NA NYIE TENA KUPAGAWA MNA TOA MUNGU ALIVYOSEMA MSITOE, MNAPAGAWA NA KUINGIA MTEGO WA ADUI KICHWA KICHWA!
UNAPAGAWA VIPI WAKATI MUNGU NI YULE-YULE AMBAYE YOSEFU ALITAKA KUMKIMBIA MARIA MCHUMBA WAKE AMBAYE ALIKUWA NA MIMBA AMBAYO SIO YAKE, AKATUMA MALAIKA AKAMPIGA STOP ORDER KABAMBE YOSEFU HAKUNA KWENDA KOKOTE NA MTOTO UTALEA NDIYO ATASHINDWA KUMPIGA STOP ORDER HUYO MPUUZI MWENZIO AKUOE HATA BAADA YA KUTII AMRI YAKE YA SITA (6), ANASHINDWAJE?, KIVIPI? WEWE MTU AKIKUACHA KWA KUMNYIMA MZIGO MWAMBIE MUNGU KAMA SIKUFANYA CHUKIZO MBELE ZA MACHO YAKO BASI MAPENZI YAKO JUU YANGU YATIMIZWE, ACHA KUISHI KIBOYA BOYA ISHI KAMA UNA MUNGU.
2 Peter 3:9
9 The Lord is not slow in keeping his promise, as some understand slowness.Instead he is patient with you, not wanting anyone to perish, but everyone to come to repentance.
MUNGU HAJASHINDWA WALA HAJAKAWIA KUKUPA USHINDI HILO ENEO, HAJAKUJASIRIKIA WALA HAJAKUSUSA ANANGOJA UJIPATE KWANZA NDIYO MU UFANYE USHINDI WA UHAKIKA.
Hebrews 13:6
6 So we say with confidence, “The Lord is my helper; I will not be afraid. What can mere mortals do to me?”
MUNGU NDIYO MSAIDIZI WAKO ACHA KUISHI KWA KUNYANYASIKA NA KUWAPIGIA MAGOTI MAADUI ZAKO, WENYE MWILI WATAKUFANYA NINI?
ACHA KWENDA KWENYE INTERVIEWS UKIWA MNYONGE NA UMEKATA TAMAA, NENDA KWENYE INTERVIEWS UKIWA UMEMTANGULIZA MUNGU KAMA MSAADA WAKO, WASAIHISHAJI, WENYE KAMPUNI NA WOWOTE WANAO HUSIKA NA HIYO NAFASI YA KAZI NI WENYE MWILI TU WATAKUFANYA NINI ? HAMNAAH NDUGU!, HAWANA LOLOTE NAKWAMBIA!
1 John 5:4
4 for everyone born of God overcomes the world.This is the victory that has overcome the world, even our faith.
HAMNA MTU ALIYEZALIWA UPYA KATIKA YESU AMBAYE AMEKOSA USHINDI, HAMNAAA! “MAANDIKO YANASEMA EVERYONE BORN OF GOD OVERCOME THE WORLD” MAANA YAKE HATA WEWE UKIWA BORN OF GOD LAZIMA UTASHINDA SASA UNANGOJA NINI ?
Joshua 10:8
8 The Lord said to Joshua,”Do not be afraid of them; I have given them into your hand. Not one of them will be able to with-stand you.”
2025 SIO KWAMBA MAADUI ZAKO WANAENDA KUWA WEPESI LA HASHA, LAKINI MUNGU WAKO UNAYEMTUMIKIA ANAENDA KUWATIA MIKONONI MWAKO, HAMNA HATA MMOJA AMBE ATAUWEZA MOTO WAKO, MAANDIKO YANASEMA WOGA STOP ENGINE!”, DO NOT BE AFRAID OF THEM”
Colossians 2:15
1 5 And having disarmed the powers and authorities, he made a public spectacle of them, trumphing over them by the cross.
YESU ALIZISHINDA MAMLAKA ZENYE NGUVU NA KUZI-DHALILISHA KWA KUZISHINDA HADHARANI KWA MSALABA, SEMBUSE MAMLAKA DHAIFU ZINAZO-KUNYANYASA WEWE MY WANGU?, KWA NGUVU GANI NA MAMLAKA GANI UISHI KINYONGE NA KUONA HATA YESU HAWEZI KUKUSAIDIA, USHINDI NI LAZIMA MY WANGU, YESU KUSHINDA NDIYO ZAKE NA ATAKUSHINDIA NA WEWE.
Romans 8:37
37 No, in all these things we are more than conquerors through him who loved us.
KATIKA YESU KRISTO SISI NI ZAIDI YA WASHINDI, NA MAENO HAYA HAYATABAKIA KAMA MAANDIKO BALI YATAKUWA HALISI KWENYE MAISHA YAKO 2025.
1 Corinthians 15:57
57 But thanks be to God, He gives us the victory through our Lord Jesus Christ.