DON’T LET THE WORLD CHANGE YOU

 

Huu ni ujumbe wangu kwako kuiaga 2024, Learn from Jesus, He changed the world and not once the world changed him!

Wapendwa Judas alijaribu kumsaliti YESU ila in the end akajikuta amejisaliti yeye mwenyewe mpaka kujinyonga, Pamoja na yote YESU bade hakuwa na ubaya nae, Regardless ya watu wengi, hawakumfanyia YESU poa bade alitoa na kutoaa na kutoa mpaka Siku ya mwisho ana kamatwa anamponya mtu sikio na kuwaambia wanafunzi wake wacheze chini.

 

Yamjini watu wana kufanyika UBAYA UBWELA, Usiruhusu ubaya wao ukushushe Level yao, BE YOU, CONTINUE GIVING AND DOING GOOD DEEDS, UBAYA WAO UTA-CATCH UP NAO NA WEMA WAKO UTAKURUDIA!

WENGI WENU YOU ARE NOT NATURALLY EVIL AND BAD PEOPLE, UBAYA TU WA DUNIA UMEWABADILISHA KATIKA HARAKATI ZA KUWA DEFENSIVE, FEAR NO EVIL!KEEP DOING GOOD DEEDS AND FOLLOWING THE PATH OF CHRIST.

 

Isaya 25:7

Naye katika mlima huu ata-uharibu utando uliowekwa juu ya watu wote, na utaji ule uliotandwa juu ya mataifa yote (MTUMISHI TUMIA KISWAHILI HAYA SASA UTANDO MNA UJUA?)

 

Isaiah 25:7

7 And he will destroy in this mountain the face of the covering cast over all people, and the vail that is spread over all nations.

 

MUNGU WA HAKI TUNAYE MTUMIKIA LEO IKIWA SIKU YA MWISHO YA 2024 AKA HARIBU UTANDO WOTE NA MIFUMO YOTE YA GIZA INAYO HARIBU MAISHA YAKO NA KUZUIA MAMBO YAKO 2024 KWA JINA LA YESU, MOTO WA ROHO MTAKATATIFU UKAVUE HIKO KIVULI / SHELA ULILO VIKWA ILI  USIONEKANE  WA THAMANI NA UZURI WAKO KWA LENGO LA KUKUPAKA UBAYA KWA JINA YESU,  MOTO ULAO UTEKETEZE KILA ROHO ZA KUFISHA ULIZO WEKEWA ILI UKATALIWE NA KUKOSA VIBALI MBELE ZA WATU KWA JINA LA YESU.

I STAND BY THE PROPHETIC AND APPOSTOLIC RELIM AND CALL FORTH A NEW BEGGINING FOR YOU IN ACCORDANCE WITH THIS SCRIPTURE IN THE MIGHTY NAME OF JESUS

 

2 Corinthians 5:17

17 Therefore, if anyone is in Christ, the new creation has come: The old has gone,the new is here.

 

Isaiah 65: 17

“See,I will create new heavens and a new earth.The former things will not be remembered, nor will they come to mind.

May the Lord God your God, CREATE NEW EARTH for you, where you will be happy, full of hopes and peaceful in the Mighty name of Jesus!

I stand by the Prophetic and Apostolic Relim to CALL AN END of your former world, ambayo wewe ni kuteseka, kukataliwa, kukosa kibali, kusononeka, kuhuzunika, kunyanyasika na kuhangaika in the mighty name of Jesus!

 

Hosea 12:13-14

13 And by a prophet the Lord brought Israel out of Egypt, and by a prophet was he preserved.

 

AS YOUR PROPHET ICALL UPON GOD MY GOD OF ISRAEL TO DELIVER YOU FROM YOUR FORMER WORLD AND CREATE A NEW EARTH FOR YOU WHERE YOU WILL BE A WINNER AND A CHILD OF GOD IN THE MIGHTY NAME OF JESUS CHRIST!

YOUR FORMER WORLD ENDS NOW IN 2024 KAMA MUNGU AISHIVYO, FORMER SORROW, HEARTBREAKS, MANYANYASO NA MAHANGAIKO WILL NO BE REMBEMBED IN THE MIGHTY NAME OF JESUS.

 

Isaiah 22:22

Na ufunguo wa nyumba ya Daudi nitauweka begani mwake;yeye atafungua wala hapana atakayefunga;naye atafunga wala hapana atakaye fungua.

 

Isaiah 22:22

22 The key of the house of David,I will lay on his shoulder; So he shall open, and no one shall shut; And he shall shut, and no one shallopen.

 

I STAND BY THE PROPHETIC AND APOSTOLIC RELIM AND CALL FORTH THE KEY OF DAVID, IN THE MIGHTY NAME OF JESUS I OPEN YOUR DESTINY WITH THE KEY OF DAVID, RECEIVE GRACE TO MARRY AND ACHIEVE MARITAL SETTLEMENT, GRACE FOR CAREER DOORS AND GET THAT JOB, GRACE OF BUSINESS FAVOR AND PROSPER IN THAT BUSINESS,GRACE IN CAREER FOR PROMITIONS,GRACE FOR FRUIT IF WOMB, GRACE FOR HEALING AND ANY GRACE YOUR HEART DESIRES.

“HE SHALL SHUT AND NONE SHALL OPEN”, IN THE MIGHTY NAME OF JESUS I STAND BY THE PROPHETIC AND APOSTOLIC RELIM BY THE KEY OF DAVID I SHUT DOWN PERMANENTLY ALL THE EVIL POWERS BEHIND YOUR SORROW, LACK OF PROCESS, LONELINESS, POVERTY AND NO PEACE.

I CALL FORTH FOR YOUR NEW BEGINING AND NEW EARTH IN THE MIGHTY NAME OF JESUS.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk