lsaya 60:11
Malango yako yatakuwa wazi daima, usiku na mchana hayatafungwa,ili watu wakuletee utajiri wa mataifa, pamoja na wafalme wao katika maandamano.
TUTAANZA WEEK IJAYO JUMANNE SABABU WIKI HII NI WIKI YA PASAKA, NI WEEK KUU!SO NIVYEMA TUKAFOCUS NA JAMBO KUBWA LA PASAKA.