Wapendwa kumuomba Mungu so shida kabisaa, lakini kupata majibu yako most of the times kunahitaji WEWE NA MUNGU MSIKILIZANE! yaani Yeye akusikie wewe na wewe umsikie yeye na wapedwa Mungu kukusikia anakusikia tena sana na kwa wepesi unless Uwe unamkasirisha makusudi, atagoma tu kukujibu lakini kusikia anakusikia muda wotelakini kukutendea hapo itakuwa changamoto kidogo.
Yohane 11:41-42
Basi, wakaliondoa lile jiwe. Yesu akatazama juu mbinguni,akasema,”Nakushukuru Baba kwa kuwa wewe wanisikiliza na najua kwamba unanisikiliza daima.
Mpendwa kimbembe kipo wewe kuzisikia Mbingu, Yamkini unajiuliza Mbingu zinasema KWELI?, Kwa watu wote like us normal people not prophets, Not wale walokole kindaki-ndaki?, Nakuhakikishia MBINGU ZINASEMA NA ZIKISEMA ZINASEMA KWA HERUFI KUBWA!, WEWE TU HUJAWA SERIOUS KUSIKILIZA MAJIBU YAKO!, Tena baada ya agano jipya MBINGU ndiyo zinasema kwa wepesi kabisa kupitia ROHO MTAKATIFU, Yaani mambo yamekuwa kitonga kabisa unless umedhamiria kutokusikia toka kwao na umetia-nia.
Zamani ilikuwa kumsikia Mungu UJIPANGE na UJIPANG HASWA, Picha linaanza inabidi kwanza upande mlimani juuu KWELI-KWELI kupata SIGNAL. Wapendwa Musa alipanda mwenzenu, lkaja kipindi cha Sanduku la agano, Linakaa Patalatifu pa watakatifu, Kuingia huko maandalizi hamnaa yaani ni Siku 7!, Kwanza uwe kuhani sio ovyo ovyo, Na hizo Siku 7 unajitia udhu tu, Na hata ukiingia wanakufunga kamba mguuni, Just inacase ukiyatibua huko ndani ikakurambaaa, Wakivuta kamba usipo respond kujitikisa wavute tu Mzoga wao wakazike alafu NEXT anateuliwa anaenda na yeye, MAWASILIANO NA MUNGU LAZIMA YAENDELEE HAIWEZEKANI TUKAE BILA MAJIBU, That is how people have always wanted answers from the heavens!No matter the cost kukaa bila majibu ni NEVER.
Mpendwa katika Walawi 10 kuna makuhani wawili, kiliwaramba, Walitibua mambo huko patakatifu, Mungu akamaliza biashara nao. Good News is you are born in better times, You have the heavens attention 24/7, Huhitaji Nabii wala kuhani kusema na Mungu kwa niaba yako!, ROHO MTAKATIFU yupo kwa ajiliyako 24/7!
Sasahivi kusema na Mbingu ni faida ZAIDI kwako na Risk ya kufanya hivo nikaribia hakuna, LABDA MWENYEWE USITAKE TU au USIAMUEEE, MPENDWA JENGA UHUSIANO NA ROHO MTAKATIFU HUTOJUTIA.
Shida ya kutegemea watu waseme na Mbingu sababu yako UTACHELEWA sana na kunyanyasika mno, WHY? KWA KITU AMBACHO MWENYEWE UNAWEZA KUFANYA ?, UNFORTUNATELY WATUMISHI WENGI HAWATAKI KUFUNDISHA WATU WAWEZE KUMU-ACESS ROHO MTAKATIFU SABABU UNAPOKUWA DEPENDENT NDIYO UNAKUWA EASLY CONTROLLED, UNAMTEGEMEA YEYE! MAMBO YAKO YATAENDA KWA MUDA WAKE NA OLE WAKO ULETE KIBURllll!TUMA LAKI 7, USIPOTUMA NDIYO SIKU ULIZIA SASA, KAA HAPO NA UBAHILI WAKO, UKUTE MTU ANALALAMIKA KUHUSU WATUMISHI WANAVO MKAUSHAAA KUMPA MSAADA, MIMI NAWAAMBIA KUTESEKA MNAPENDAGA WENYEWE.
Biblia unayo, Kusomaaa unajua na Yeye Mtumishi chochote anachokijua kajifunza kwenye Biblia ambayo na wewe uko nayo, TOFAUTI YENU NI UVIVU WAKO HUTAKI KUSOMA UNATAKA AKUSOMEEE NA KUFANYA ADACADABRA! KAA HAPOOO UONE SHOW.
ITS 2024 FOR GODS SAKE, KUNA GOOGLE, KUNA AI, KUNA YOUTUBE, UKIAMUA KWA DHATI UNAWEZA KUPATA HATA PHO IN THEOLOGY! NO ONE CAN STOP YOU, LEARNING HAS BEEN MADE VERY VERY EASY, SO MANY MATERIALS AT YOUR DISPOSAL!
LAKINI HUTAKI UNACHOTAKA NI PASTOR WAKO TU AKWAMBIE CHA KUFANYA, YAANI SPIRITUAL GROWTH YAKO INAKUWA LIMITED NA KNOWLEDGE YA PASTOR WAKO MMOJA NA BINADAMU TULIVYO KILA MTU ANA LIMITATION ZAKE, UTAANGAMIA KWENYE LIMITATION ZA PASTOR WAKO KWA KUKOSA MAARIFA! WAKATI WAKO WATUMISHI WENGI NE WAZURI SANAAA ENEO HILO.
Ni Kama uje kwangu eneola ndoto, Tuta angamia wote my wangu! Lakini the fact mimi siwezi haimaanishi eneo la ndoto haliwezekani, Mwalimu Mwakasege kufundisha sana sana katika eneo hilo, Kaandika VITABU na VITABU, Ukidhamiria kujifunza utavuka lakini hapana. Wengi mnataka yote usiku asubuhi Pastor akutafsirie, Kama kawaida Wabongo kupenda Mseleleko!
JITAHIDI KUTENGENEZA MAHUSIANO NA ROHO MTAKATIFU, KIVIPI ? HAPA NDIYO HOME WORK INAPO ANZA, KUNA VITABU VINGI SANAA JUU YA HILI NDIYO MUDA WA KURUDI DARASANI, MEMKWA SIO KITU CHA MIMI AU MTU YOYOTE KUKUFUNDISHA DAKIKA 5, INATAKIWA UINVEST MDA! YAANI MFANO WA SALAMU YA ASUBUHI, GOOD MORNING HOLYSPIRIT- Ben Hinn is best kwangu, Mwalimu Mwakasege pia ana VITABU kadha tena kwa Kiswahili!, TB -Joshua pia alikuwa ana kitabu kizuri,na Ma Pastor wengitu wame andika juu ya hili.
Mpednwa Youtube pia kuna mafundisho mengi, mengi sana kutoka sources mbali-mbali very potential, NI MUHIMU UWE NA UHUSIANO NA ROHO MTAKATIFU SABABU MARA NYINGI MAJIBU NI PROCESS HIVYO UNATAKIWA USIKILIZE MAELEKEZO YA MUNGU KWANZA, UYATEKELEZE NDIYO KATIKA KUYATEKELEZA UTA UNLOCK MAJIBU YAKO KWA UKUBWA, MPENDWA KUSHINDWA KUSIKILIZA MAELEKEZO NI KUZIDI KUCHELEWESHA MAJIBU ZAIDI NA ZAIDI.
MFANO IBRAHIMU ALIAMBIWA KICHAKA CHA KWENDA KUTOA SADAKA YA MWANAE! ASINGESIKIA AU KUELEWA NI KICHAKA GANI AKAENDA KINGINE INGEKUWA BALAA MAANA KISINGEKUWA NA KONDOO, HAYA ASINGE MSIKIA MUNGU JUU YA KUMTOLEA KONDOO, ALIEKUWA KICHAKANI JE? SI BALAA LINGEKUWA ZITO?, NI MUHIMU SANAA SANAA USIKIE MAELEKEZO YA MBINGU
KUNA WATU MMEKWAMA SABABU HAMSIKILIZI MAELEKEZO YA MBINGU, MNAOMBA SANA JUU YA HIO CHANGAMOTO LAKINI MMEZIBA MASIKIO KUSIKIA MAELEKEZO YA MBINGU KWENU, MATOKEO YAKE UMENASA HAPO HAPO, MPAKA SIKU UMPATE WA KU DISCERN KWA NIABA YAKO JUA LIMEZAMA!
KUNA WATU ILIMPATE KAZI INATAKIWA MUMTAFUTE MTU FLANI MUMPE CV ! HUYO MTU ANAKUJIA KICHWANI KILA UKIOMBEA KAZI! LAKINI NDO LUGHA GONGANA TENA NA KUNA WATU MNA SOUL TIES NA MA -EX WENU YAANI KILA UKIOMBEA NDOA UNAMUOTA EX, AU ANAKUPIGIA , AU MNAKUTANA! LUGHA GONGANA NA KUFOSI KU-DISCERN KICHIZI BOTI BILA KUTUMIA ROHO MTAKATIFU UNAJIAMBIA HUYU NDIYO MUME WANGU, KWANINI KILA NIKIOMBA NALETEWA YEYE BASI UNAJIPELEKA MZIMA MZIMA NA NAJIKTA UNATUMIKA NA SIKU AKIOA HUNA HAMU NA MBINGU KABISA. TUMIA MUONGOZO WA ROHO MTAKATIFU KU DISCERN SIO EXPERIENCE NA COMMON SENSE!
Wengi mmekwama padogo sana, Ni maelekezo madogo tu unavuka LAKINI NDIYO KIZIWI TENA, Maskini! Acha kujiendekeza!, Jipambanie! Wenzio tumefosi King hivyo-hivyo mpaka tunamtumikia Roho Mtakatifu wazi-wazi.
HATA kazini au kwenye biashara in order to lead lazima we na advantage flani dhidi ya wenzio, Hawawezi kukuachia HIVI HIVI, UKIWA SERIOUS NA KING’ANG’ANIZI UTA-UNLOCK LEVEL ZA JUU SANA IMAGINE KUMTUMIA ROHO MTAKATIFU KWENYE BIASHARA ZAKO? KAZI ZAKO? AU MAHUSIANO YAKO? THAT WILL AUTOMATICALLY MAKE YOU UNSTOPPABLE, YOU ACESS THE HOLYSPIRIT 24/7 SIO MPAKA UABUDU MASAA 3!
SASA UNAZEMBEA NINI KUJIONGEZA?, NO ONE WANTS YOU TO REACH THIS LEVEL!THE GOOD NEWS IS NO CAN STOP YOU EITHER! MAAMUZI NI YAKO UCHEZE HARD BALL OR SOFT-BALL.