LET THE FIRE IN YOU BURN (SUNDAY WORD)

Romans 12:11

11 Never let the fire in your heart go out, keep it alive, Serve the lord.

 

Warumi 12:11

11 Juhudi yenu isipungue, moto wenu wa kiroho uendelee kuwaka mkimtumikia Mungu.

 

Moto ndani yako wa kumtafuta Mungu usipokuwa makini utazimika, na ukizimika umekwishaaa, Ndiyo maana Mtume Paul alijua zima-moto zipo nyingi sana duniani anakwambia hakikisha huo moto hauzimi, endelea kuchochea ,endelea kuweka kuni, endelea kumwagia petrol, fanya ufanyalo but keep the fire burning, kama unavyo jua kumtafuta tu Mungu sio rahisi na mwenyewe aliweka wazi kabisa hato patikana kizembe.

 

Yeremia 29:13-14

Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.

 

Mit 8:17

Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.

 

On several counts on several scriptures Mungu alikuwa muwazi he aint cheap to find, Hapatikani kiholela, kama unataka kumpata weka bidii ya kutosha, Weka moyo wote. Sasa ukiwa mdogo moto wako wa rohoni kuzima sio rahisi, kuumtafuta Mungu sio kazi! Huna madeni na Mungu!, Hujawahi kumsubiri Mungu stand kwa moyo wote alafu uone kama hatokei and it goes down unadhalilika kinoma.

 

Ofcourse  moto  ndani ya  mtu hauzimi mara moja au kwa tukio moja, Even matokeo mwa 4/5 atleast, Ni series  baba lake, season  kama 5!, Left by god!, Alafu leo mimi naleta story gani hapa mama lake. Mpendwa wengi in our 20’s we were church girls, lakini na uhakika leo jumapili in your 30’s na 40’s mna kitambo kirefuuu toka mmeenda kanisani yaani the scriptures are not scripturing anymore, unaona wanakukausha uzazi tu, Moto umezima na majivu yashakuwa ya baridi mpaka barafu, Hakuna hata dalili kwamba kuliwah ikuwa na moto hapa hakuna, Life Happened!.

Mpendwa at one point in life, life happened na after that nikama mtu alichukua glacier from antactica na kuzima moto wako wa rohoni kiasi kwamba umebakia mshabiki wa dini na sio mwana dini  yaani unashabikia zako matendo ya Mungu kwa watu wengine, akitenda kwa wengi ne inatosha sio lazima atende na kwako!

 

Mpendwa ukiwa mdogo badoooo hujakutana na maisha uso kwa uso utaona, we are just being dramatic, Kumbe life ndiyo drama lenyewe, Na Bado hujaona baba mtoto wako alie kuomba umzalie kwa mahaba yote anaona mtu ambae hajawahi kuzaaa!, Hujaona watu waliofeli wenye degree za chupi wana shika nafasi nzuri na kulipwa vizuri wewe hata kazi hupati.

 

Bado hujaona mumeo wa ndoa mna watoto wa 3 anaoa tena, Death never did you apart, purely side chick, Hujaona mtu ulie mpenda na kumkabidhi moyo wako wote anaufanyaaa dekio, Hakiutaki wewe wala mtoto ulie mzaa, just like that! Hamna baya lolote ulilo mfanyia basi tu, Hujaona unafanya kazi kama punda vyeo wanapanda wengine!

 

Jamani fire extinguishers kwenye haya maisha ni nyingi sanaaa, Yet still mtume paul ana sisitiza huo moto usizime yaani How?, Mimi mwenyewe moto wangu ushazimikagaaa mpaka nikasahau kabisa naa nilifika stage ole wake mtu ajaribu kuuwasha ni ama zake ama zangu, Nilikuwa staki moto yaani sitaki mambo ya kuamini na kutegemea vitu visivo tegemeka.

 

Mpendwa baaadae sana ndiyo nika figure out the whole thing kwanini shetani kama shetty yupo invested sana kwenye kuzima mioto ya watu??? Na kwamba god as god can never do anything to disappoint you, Just shetani playing smart to out-smart you in your own game! Na ku figure out his malice labda roho mtakatifu akusaidie. Mjinga yule yupo smart sanaaa!!!!

 

Mpendwa shetani anaweza kuona una motoooo hatarllll kuombea kazi!atakupa kazi ambayo utadhalilika na kufa moyo, Alafu atakunyanganya then hutajipata tena utajikatia tamaa moja kwa zote na hapo ndo atakuwa amekushi nda mazima.

 

Anaweza kukupa ndoa ya maana na nzuri, then akamtumia yule mwanaume akutese kweli-kweli mpaka moto wotee na kiraruuu raruu cha ndoa vikuishe alafu basi, Uukipewa talaka ndo uzeee huo, Huta thubutuuu kuwaaamini wanaume tena.

 

Anakupa mwanaume wake anae mcontrol, unamtambulisha kwenu afu anakuacha kwa aibu ya ukoo, The  devil will always  be devling, Hata maandiko yameweka wazi ni muongo wa kutupwa na kazi zake kuuu ni kuua vitu na kuaribu ( kill and destroy).

 

Yohana 10:10

10 mwizi huja kwa nia ya kuiba,kuua na kuharibu. Nimekuja iliwatu wapate uzima, uzima ulio kamili.

 

Ujinga ni kukubali kudanganganyika, kuharibiwa mambo yako na kufa kwenye maeneo flani, unavoacha kupambana na kufosi kingi na kukaa kama kubwa jinga kukubaliana na hukumu ya shetani ndo uboyaaaa na ufalaaa wenyewe, Ndo ushampa shetani ushindi wa mezani kususaaaa na kujikatia tamaaaa sio suluhisho.

 

Mpendwa ukifuatilia walio wa fanikiwa eneo wewe ulioshindwa walivipiga vita kwelikweli mwendo wakaumaliza vizuri yaani killing and destroying zilifanyika kama kawaida lakini huko kaburini walipowekwa they kept the fire wakarudia mapambano tena na tena mpaka wakatoboa.

 

Waulize watu walio olewa kama mume wake ni high school sweetheart? Thubutu, Walivunjwa vunjwa mioyo at one point,walidhalilika,walijeruhiwa,waliumizwaaaa nafsi zao,wengine mioyo ishakufa on the process na unashangaaaa anawezaje kuishina Mume ana cheat na hana pressure?, Bado hujasemaaa mpaka usemeee lakini what do they have in common ? They never gave up, They kept their fire  burning kwamba shela  kuvaaaa  ni lazimaba kuna wengine ana achika huku badoooo mbishiiii! Anaenda kuolewa sehemu ingineeeee! No retreat no Surrendar!

 

Yanni ukipewa file la mtu na mumewe walikopita mpaka kuoana unasizi ni hatari laiti kama wangeendekeza kuyabeba yaliyo wakuta huko nyuma wote wangekufa waseja, Maana ni mazito ya kutisha yanamkuta mtu, lakini they never blame god and keep the fire burning.

 

Kuna mwanangu ni  HIV postive mwaka juzi akaniambia hivi mama na mimi nitapata mtu kama mimi? Sitaki kuua watu ( ofcourse times have changed kinga zipo lakini she was not comfortable) nikamwambia ukikaza utapata sahivi katolewa mahari walikutana agakhan kwenye kuchukua dose, imagine mtu alipewa mpaka gonjwa bava kisa haya haya mahusiano na bado shela analikamia.

 

Leo jumapili hiii nakukumbushaaa kwamba whatever happened in your life mpaka moto ukazimaaaa happened! Siwezi kukudanganya kwamba kuna jambo linaweza kufanyika kufuta hiyo historiaaaaa!                                                    kilicho tokea kimesha tokea, La msingi ni kukubaliana na hali halisi kwamba kilitokea na kimepita.

 

Chukua kiberiti na mafuta ya taaaa washa moto wako mwenyewe japo ulizimwa na watu!, Alafu rudi vitani go in war to take back everything you ever wanted and more, Na most of all hakikisha huo moto hauzimi, Hakikisha unauwekea kuni za kutosha na unauchochea upya.

 

Kama ulikata tamaaa ya kazi anza kutuma application kama huna akili, kama ulikata tamaa ya mahusiano na umesusa mpaka kumuomba mungu hilo eneo anza upyaaaa kuliombea mara 3 kwa siku!, Chochote ambacho moto wako ulizimaaaa, chukua kiberiti ujiwashi eee mwaya! Hakuna atakae kuja kukuwashia! Na hakikisha this time hauruhusu mtu wala chochote kuuzima.

 

3 thoughts on “LET THE FIRE IN YOU BURN (SUNDAY WORD)”

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top