Matendo 16:25-26
Karibu na usiku wa manane Paulo na Sila walikuwa wakisali na kuimba nyimbo za kumsifu Mungu, huku wafungwa wengine wakiwa wanasikiliza. Ghafla, kulitokea mtetemeko mMkuu wa ardhi ambao uliitikisa misingi ya gereza. Mara, milango yote ikafunguka na minyororo iliyowafunga hao wafungwa ikaachana.
Mpendwa Sali kwa moyo wako woteee siku hii, huku uki-reference Mungu alicho watendea Paul na Silas akutendeee wewe, Sali mpaka malango yote ya mMagereza yako yafunguke na Minyororo ya uchumi, kazi, mahusiano ikiachie siku ya kesho, Sali kama ambavyo hujawahi sali maisha yako.