OPEN DOORS MALANGO / YALIYO WAZI – DAY 6

Yohana 10:9

9 Mimi ni mlango, Mtu yeyote anayeingia zizini kwa kupitia kwangu atakuwa salama, naye ataingia na kutoka na kupata malisho.

 

Kuna muda na situation there is absolutely no doors, Hakuna mlango kabisa!, Achana na malango yaliyo-fungwa! Sturucture ipo kabisa kwamba huu ni mlango sema tu unefungwa ambapo ukifanikiwa kuufungua tu umepita unakuta uko kwenye kaburi!hamna mlango wa kuingia wala kutokaaa!

 

Ukiwa kwenye situation kama hii ambapo hakuna mlango kabisa  ndiyo utaelewa hili andiko kwamba Yesu ni mlango pia, Kupitia yeye unaweza kuingia kusipo ingilika na kutoka pasipo tokeka.

 

Kuna situation umeshindwa kupenya sababu unatumia password za kufungua malango, Akili YAKO ina kutuma mlango upo ila tu umefungwa, Kumbe Plot Twist unajaribu kufungua ukuta Bwana, Ndiyo maana haufunguki! Hamna mlango kabisaaa kwako eneo hilo. Mpendwa sio kesi usipanic wala nin, Bwana yesu naye pia vile-vile anaweza kuwa mlango wako wa kuvuka hapo!

 

Prayer Point

Lord Jesus be my door eneo la kazi, Mahusiano, Uchumi niweze kuvuka hapa, Nimekosa mlango wa kupita miaka na miaka! Be my door today Lord Jesus!.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top