Marko 7:34
34 Ndipo Yesu akatazama mbinguni, akahema kwa uchungu, akamwambia, “Efatha!” yaani ”Funguka!”
I stand by the prophetic and appostolic relim, by the power of the holyghost and the authority in the name of Jesus I call upon the heavens on your case today, Kama mMungu aishivyo malango yako yote matatu uliyo andika kwenye hiyo karatasi au unayohitaji kumuona Mungu leo Efatha.
Lango la uchumi, lango la ndoa na lango la mapenzi ya mungu juu yangu . Efatha