MINISTRY OF PEOPLE AND DESTINY HELPERS – SUNDAY WORD

 

(Luka 6:12–49)

Yesu ni Mwana wa Mungu!

Lakini kufanya kazi duniani alihitaji watu na alifanya kazi na watu alio wateua!
Sasa wewe unajifanya huitaji watu? Ni Mungu tuuu? Unajidanganya!

Zaburi 115:16

“Mbingu ni za Bwana, lakini dunia amewapa wanadamu.”

Dunia mungu alishawapa binadamu waitawale kitambo sanaaa!
Ukishindwa kuishi na binadamu, imekula kwako!
Mbinguni utaingia ila shuruba hapa duniani utakulaaa za kutosha kwa kushindwa kujiongeza.

 

YESU HAKURUPUKI TU!

Neno la Mungu linasema “He prayed all night!”
Usiku kucha!
AmeKESHA! AnaSALIIII!
Jinsi gani ya kudeal na watu kunataka maombi ya kutoshaaaa, na kukeshea kabisaaaa ikibidi!

Baada ya kukesha ndo sasa anachagua mitume wake—wa kufanya nao kazi hapa duniani.
Hata Mwana wa Mungu hakufanya kazi peke yake!
Wewe nanliii bwana? Unataka kujitenga tenga… madai yako introvert? 😂

 

CHOICES ZA YESU ZILIKUWA “DIABOLICAL”

His choice of men and their roles was very diabolical!
Judas aliteuliwa mhazini wa huduma!
Lakini Judas alikuwa mwizi by profession na hata hizo hazina aliembezzle!

Yohana 12:4-6

“Judas Iscariot, one of his disciples, even then getting ready to betray him, said, ‘Why wasn’t this oil sold and the money given to the poor?’
He said this not because he cared about the poor but because he was a thief. He was in charge of their common funds but also embezzled them.”

Na haikuwa issue ya watu wa uwezo.
Mathayo—mtoza ushuru—alikuwepo.
Hakupewa hio nafasi! Ilimruka kabisa!
Petrounschooled kabisaaa—ndo alikuwa kiranga wa group kuliko wote!

Matendo 4:13

“Now when they saw the boldness of Peter and John, and perceived that they were unlearned and ignorant men, they marveled; and they took note concerning them that they had been with Jesus.”

Peter hakuwa na elimu ya Pharisees wala Masadukayo—he was a fisherman.
The entire selection haikufanya sense! 🤯

 

OOOHHH MIMI MIMI…

“Ohh mimi mwanaume asiye na degree simtaki!”
Ushamkosa Yohana na Petro.
Good luck with that degree man!

“Ohh mimi watu ambao hawajasoma sifanyi nao biashara!”
Duh! Ndo maana wasomi mnaonekana kama machizi mda mwingine.
You complicate life a lot.
So you sat on an old building and took lessons from dead people… So what??

Unanataaaa kama cake!
Bank account ipo chini ya mnyama lakini busy kujishaua shauaaa!
Mashauzi yanataka pesa kaka!

 

UTANIAMBIA NINI KARIAKOO?

Kariakoo ukute kadada winga kana degree, kana kukaush uzazi:

“Msinione hivi, nina degree ya microbiology!”

Ka-fuge bacteria basi!
Nimesomaaa mimi! Mpaka chuo!
Chuo chenyewe cha kata… sister please! 😅

Unazidi kujidhalilisha tu.
Mtu unampa jiko, hilo simamia mdogo wangu!
Tupige pesa!
Anakata kuwa manager, anabaki kutumia rule of thumb:

“Wewe osha mboga! Wewe pika!”
Wewe umekaa na simu yake na kinywaji baridlll!
Kwendaaa! 🏃‍♀️

 

MAMAAA YANGU MAFIAAAA

Mimi nikisikia nataka nimpe mwanangu milioni 20 kutoka pension kama mama yako alivokupa wewe—nasisimka mwili.
Itakavyo tapanywaa na mitoto mijinga!

Mama yangu mafia!
Kwenye biashara hacheki na wowote!
Hashindwi kunikaba usingizini nikimletea ukuda.
Akiona unayumba, anaweza kutoa shea zake zote just to prove a point!

Huyu mama yangu…
Alimfukuza mtoto wake kwenye biashara akamwambia:

“Huna akili. Nenda kajiajiri.”

Na hajarejea kauli yake.
Na huyo ndugu yangu alianzisha biashara yake kwa uchungu sanaa!
Mimi na mama hatukaribishwi!
Marufuku kunusa eneo lake la biashara!
Mpaka baba akaingilia:

“Acheni jamani, kila mtu akae kwake!”

 

I NEED HER MORE THAN SHE NEEDS ME

People talk to me all the time:

“Niachane na mama kwenye biashara, she’s a psychopath!”

Wanasahau:
✅ 30 yrs experience
✅ Huge pension
✅ Several investments
She believes in me

I need her more than she needs me.
Psychopath or not—I have limited options.

 

CHANGAMOTO NDOGO TU… UNA-SUSAAA!

Mtu changamoto kidogo tu anasusa mtaji!

“Wanasemaaa! Siwezi masimango! Sitaki maneno!”

Huna pesa na hutakiii manenoooo??
Utakufaaa njaaaa.

Jifunze kwangu!
Nikisemwa—ndani ya familiaaaa na nje!
Najikaza kikike 🥹
Dhoruba inapita, I KEEP THE CAPITAL AND KEEP PUSHING.

 

FAIDA ZA KUWEZA KUISHI NA WATU

To be successful in life, you must be successful with people.
If people don’t like you—you’re finished.
Maana kila kitu unacho tamani—already exists on earth!
Magari yapo! Pesa zipo! Ardhi ipo!
Na vyote viko mikononi mwa watu.
Usipoweza kudeal na watu, you have no chance.

 

MINISTRY YA YESU ILIKUWA HARDCORE

Yesu anachagua mitume, lakini ana wa-train kwanza.
Wanazunguka nae, wanajifunza.
Yesu ana piga mzigooo kama veve!
Mitume wanaweka makutano order tu.

Wanafunzi walikuwa wengi sana, lakini alichagua 12 tuuu!
Na walitakiwa kuwa nae full-time.

Baada ya kuchaguliwa, walimtumikia kwa moyo—kasoro Judas (you know him 🐍).

Wewe unachaguliwa ofisini, unafanya kwa moyo?
Unatekeleza mlicho kubaliana?

Au wewe ni joka lenye sumu, una hujumu ofisi daily?
Under-delivering like a pro? 🤦🏽‍♂️

 

JESUS GIVES A HEADS-UP

 

Luka 6:20–23

“Heri nyinyi mlio maskini… mlio na njaa… mnaolia… watu watawachukia… lakini tuzo lenu ni kubwa!”

Yesu ana wapa heads-up—this job ain’t easy!
But it has heavenly privilege!

 

DEALING WITH PEOPLE—THE JESUS WAY

 

Luka 6:27–28

“Wapendeni maadui zenu… watendeeni mema wale wanaowachukieni… watakieni baraka… waombeeni…”

Dawa ya moto sio moto! Ni maji.

Watu wanafanya makosa—wakijifunza, ni too late kama uliwashushia makombora.

Mwanaume akikukosea—jikaze!
Usimlize kwa kashfa!
Otherwise you both end up with broken bridges and no return.
The devil wins.

 

SOMETIMES I WISH I HAD NEW HATERS!

Sometimes I wish i get new haters
Sababu old haters wameisha—wameanza kunipenda 😂
Ndo gani sasa hizi?

Ukikataliwa—acha!
Yesu anao wanaume kibaooo wa kukuoa kwa heshima.
Ukataliwe kazini—ondoka kwa amani.
Hakuna haja ya vitaaa! Mungu ana nafasi nyingine!

 

PANDA MEMA UVUNE MEMA

 

Luka 6:45

“Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema…”

Hata usali vipi!
Hata unene kwa lugha!
Hata uone mbingu live!

Ukishindwa kudeal na watu, hutakula cha mtu!
Na hakuna favor utakayopata!
Hii ndo sheria ya anga:
Panda mema → uvune mema.
Sio upatu, ni law ya Jesus.

 

AMEN.🔥

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top