HAKUNA TATIZO KUBWA WALA DOGO MBELE ZA MUNGU, UKUBWA AU UDOGO WA TATIZO UNATEGEMEANA NA MTU.

 

UKUBWA WA TATIZO AU UDOGO WA TATIZO UNATEGEMEA NA MTU MWENYE TATIZO ANAJUA  NINI SO FAR, HOW FAR ARE THEY WILLING TO GO KUJUA ZAIDI, HOW MUCH FAITH ARE THEY WILLING TO INVEST KULITATUA TATIZO, UPWAGU NA UPWAGUZI WA MTU NDO UTA-AMUA TATIZO LIWE KUBWA AU DOGO!

WAPENDWA MUNGU KAMA MUNGU WEWE UNAYOTAKA NA YEYE ANATAKA HIVYO HIVYO, UKIWA SERIOUS UKAMPANGA MAPEMA HATA LEO-LEO MNA MALIZA HIYO ISSUE, UKILETA UBABAIFU HAKO KA-ISSUE KANAWEZA KUTAFUNA MAISHA YA UJANA WAKO YOTE.

UBABAIFU NI KITU KIBAYA SANA, IT IS A SUICIDE MISSION, UNAJIUA KIDOGO KIDOGO, SASA MTU UNAKUWA MBABAIFU MPAKA MIAKA 35 HUJAINGIA KAZINI, HOW ARE YOU PLANNING TO GET BACK THE LOST YEARS? YOUR PLAN SHOULD BE KUNG’ANG’ANIA MAGOTINI KWA MUNGU MPAKA AKUUE IKIBIDI ILA HUTOKI BILA KUVUKA HILO ENEO MWAKA HUU.

KILA DAKIKA UNAYOFANYA UBABAIFU UNA-IHUJUMU DESTINY YAKO, YOU MIGHT THINK YOU NEED MORE AND MORE TIME,  THE HEAVENS WILL GRANT YOU TIME! BUT IN REALITY TIME IS NO LONGER YOUR FRIEND! ITS EITHER NOW OR NEVER, HUKUMU ZA MUDA NI VERY DEADLY!

WEWE UNAWEZA KULIA NA WANGA (WACHAWI) NA MIZIMU LAKINI MCHAWI HASWA NI WEWE MWENYEWE NDIYO UNAJIHUJUMU KULIKO MAELEZO, MIZIMU NA NGUVU ZA GIZA ZINAJADILI TU ZIKUZIKE HAPA-HAPA AU ZISAFIRISHE.

MTU HUJUI KITU KWENYE DINI, WHY? YOU SKIPPED SUNDAY SCHOOL, NEVER ATTENDED CHURCH, NEVER TOOK BIBLE KNOWLEDGE, MATOKEO YAKE UMEOLEWA NA SHETANI MKE MDOGO, MAANA SIO KWA KUKUNGANGANIA HUKO! ANAKUPENDA HATARI! HATAKI UENDE KOKOTE KWENYE CHOCHOTE!

UNASHINDWA KUJIONGEZA KWAMBA SHETANI AMEFANIKISHA HILO SABABU KWENYE DINI WEWE NI ZUMBUKUKU, YOU HAVE NO ARSENAL AGAINST HIM, HUJIWEZI KWA LOLOTE ZAIDI YA KUMTII MUMEO NA KUTULIA KAMA MATEKA MTIIFU!

MATATIZO YAKO NI MAKUBWA SABABU HUJUI CHOCHOTE, BUT YOU CAN LEARN IF YOU DECIDE, BUT YOU BEING YOU WONT LEARN! WE BOTH KNOW THAT! AND IT IS SHAMEFUL!

MIMI SIJALELEWA KWENYE FAMILIA YA DINI MTUMISHI, SO? WHAT STOPPED YOU TO FIND GOD AFTER GROWING UP?; MIMI MAANDIKO SIYAJUI! USIPO ANZA KUSOMA LEO UTAKUFA HUYAJUI! UTAYAJUA VIPI ?

THE ONLY WAY MATATIZO YAKO YATAANZA KUWA MADOGO NI PALE AMBAPO UTAKUWA KIROHO KWA KUJUA VITU VIZITO NA SILAHA NZITO NZIT ZA KIROHO YAANI PALE AMBAPO UTAKUWA EQUIPED NA NENO LA MUNGU NDANI YAKO KAMA UPANGA UKATAO KUWILI STAND-BY KWA KUMFYEKA YOTOTE ATAKAYE JIPENDEKEZA ANGA ZAKO!

 

James 4:6-8

7 Submit yourselves therefore to God. Resist the devil, and he will flee from you.

 

KAMA UNATAKA MWAKA HUU 2025 UWE WA USHINDI HAKIKISHA UNAFANYA HAYA;

1. UMESOMA INJILI WALAU 2 NA KUMALIZA KITABU KIZIMA! NA KILA SIKU AU MARA 3 KWA WEEK UNASOMA CHAPTER 1

2. UANLIPA ZAKA ZAKO KWA MUNGU WAKO NA SADAKA NA MATOLEO MENGINE.

3. UNASIFU NA KUABUDU KILA SIKU! (ACHANA NA MAOMBIYA KU DEMAND VITU! MUABUDU MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI KILA SIKU KAMA DAILY HABITS)

4.MEDITATE ON THE WORD! TUMIA MUDA WAKO MWINGI KUTAFAKARI NENO ULILO SOMA SIKU HIO NA UTUKUFU WA MUNGU IN GENERAL.

5. OMBA NA KUMKARIBISHA ROHO MTAKATIFU KWENYE MAISHA YAKO KILA SIKU ! OMBA MUNGU AKUPE MAONO NA ASEME NA WEWE KUHUSU HATMA YAKO NA ANAHITAJI AKUFIKISHE WAPI NA KWANINI.

MAJIBU  YA  MWAKA WA USHINDI 2025 FROM MY PERSONAL REVIVAL KAMA INAVOJULIKANA MBINGU HAZINAGA KIPENGELE, VIPENGELE NA UBABAIFU TUNAKUJAGA NAVYO SISI BINADAMU, MBINGU ZIMENYOOKA KAMA RULA, ISSUE INAKUJA SISI KUTAKA MBINGU ZI-BEND KU-ACCOMODATE UBABAIFU WETU! THUBUTU! LABDA SISI TUNYOOKE

KIKUBWA USHINDI MUNGU ALIOAHIDI UPO PALE-PALE NA ANATAKA KILA MTU ANAE TAKA KUSHINDA ASHINDE LABDA USITAKE TU, NA NIMEPATA DIVINE INSTRUCTIONS ZA KUFANIKISHA HILI, NATUMAI MTAZINGATIA MAANA YAKE I DIDNT RECEIVE THEM CHEAP, YAANI NIMEANZA TRAINING UPYA, TENA MA-PASTOR WAZUNGU WA ZAMANI WASHAKUFA KITAMBO  MIAKA YA 1800, KINGEREZA CHAO KILE CHA “UK” YAANI KILE ORG! SERMON MOJA NASIKILIZA MASAA SITA (6) NDIYO NIAMBULIE DOCTORINE, NASOMA KITABU KIKUBWA KULIKO ENCYCLOPEDIA.

HIVYO NIKIWAPA INSTRUCTIONS MFANYE MPAKA TONE LA MWISHO LA DAMU YENU MTAPATA MATOKEO MAKUBWA, SABABU TO GET THAT INFORMATION I DID NOT CUT CONNERS, THE INFO IS WELL RESERACHED, RECEIVED BY  GODS ANOINTING AND BROUGHT TO YOU BY MY HARD GIVEN SWEAT.

MIMI KAMA MIMI SITAKI KU-GAMBLE NA DESTINY ZENU, MUNGU KANIPA KAZI NA NAIFANYA KWA MOYO KWELI KWELI, I WILL DO WHATEVER IT TAKE AND WILL NEVER CUT CONNERS NA KUCHEZEA HATMA ZA WATU KAMARI! LIWALO NA LIWE NEVER.

NA WEWE HUTAKIWI KU-GAMBLE NA HATMA YAKO KWA KUJIENDEKEZA, KUTO TII,NON ACCOUTABILITY, NA KUPELEKA MAMBO KAMA ZUMBUKUKU AND YET UTEGEMEE MUNGU ATAFANYA  MUUJIZA, SIO KWELI.

KWENYE DINI KUNA KITU KINAITWA MANTLE, ORIGIN YAKE NI ILE FIMBO YA MUSA ALIO GAWA NAYO BAHARI, MANTLE NI KITU AU VITU MUNGU ANAMPA MTUMISHI WAKE MMOJA TU! UNLESS AKUFUNDISHE HUWEZI KUJUA.

SASA WATUMISHI WA SASA KUNA MAMBO MENGI SANA UNATAKA KUYAJUA KUTOKA KWA MUNGU YA KIHUDUMA ILI UWEZE KUWAHUDUMIA WATU KIKAMILIFU, NA HAYO MAMBO UNAKUTA MUNGU TAYARI ALISHA YASHUSHA KAMA MANTLE KWA WATUMISHI WENGINE ZAMANI HIZO, WAMEANDIKA VITABU NA WANA-SERMONS KAMA 1000 DADEKI, ALAFU HIYO MANTLE UNAYOTAFUTA IPO KWENYE SERMON 1 AU 2,  UNAKULA NENO LA KUTOSHA UKIWA MBABAIFU HUTA IPATA.

NA BILA KUIPATA KUNA WATU HUTA WAVUSHA KAMWE,  IMEKULA KWAO NA KWANGU MAANA MIMI NDIYO VESSEL, NDIYO MAANA NAWAAMBIA  I DONT CUT CONNERS, MWANZO NILIKUWA NAWAAMBIA KIWEPESI TU HIO MANTLE SINA ALA ANOINTING SINA NAWAPA REFERAL KAMA HOSPITAL NENDA KWA MTUMISHI MWINGINE.

ROHO MTAKATIFU KANIZODOA HIYO SIO HUDUMA NI UJANJA UJANJA, GAMBLING WITH PEOPLES DESTINYS KIMTINDO, KAMA MIMI SINA NINA UHAKIKA GANI MWINGINE ANAYO? WHAT IF NAE HANA? KONDOO WA MUNGU ANAPIGWA DANA-DANA MWISHO ANAONA BORA AENDE TU KILINGENI, THERE IS NO HOPE FOR THE WEAK!

SO SASAHIVI NIMERUDI SHULE YA KIROHO, NAENDELEA KUJIFUNZA NA KUTAFUTA MANTLES ZA KUTOSHA ILI NIFANYE MAMBO MAKUBWA ZAIDI AND REVEAL OUR LORD JESUS MORE AND MORE TO YOU NA KUNA MAENEO KWELI NILIPWAYA SABABU SIKUWA NA MAFUNUO YA KUTOSHA  KWA HIO ILIKUWA KIPOFU ANA MUONGOZA KIPOFU.

NIKAWATUMIA KAMA BARGAINING CHIP, KWAMBA NIPEWE REVELATIONS SIO KWA AJILI YANGU BALI KWA AJILIYENU WATU WA BWANA NA MUNGU AMEKUWA MUAMINIFU NA KUNIONGEZEA REVELATIONS NA ANOINTINGS.

NA SIWAFICHI HIZI MANTLE NI KIBOKO NA HAWA WATUMISHI HAWAKUWA WORLD KNOWN FOR NOTHING, THEY PREACH AND TEACH MPAKA KUNI WAOOOH MIMI? SIO KINYONGEEE! MIMI SIO MWEPESI! NIMESIKILIZA SERMONS HATA 10,000 NA KUZIDI, MPAKA NISIKILIZE SERMON YA 1960 INI WAOOH INA MANTLE KUBWA SANA NDANI YAKE! MPAKA NISIKILIZE KITU AMBACHO SIKIJUI KABISA SIO KINYONGE, MUNGU FUNDI SANA.

KUNA MASWALIYANGU YA MSINGI YALIO NIPASUA KICHWA MIAKA NA MIAKA, NIMEFUNGA NA KUFUNGA, YAMEJI BIWA MOJA KWA MOJA NA SERMONS 2 TU KUDADADEKI NA HIZO SERMONS MOJA YA 1967!, INGINE 1970 NA KITU NA MOJA IMEJIBIWA KWENYE KITABU NACHO SOMA SAHIVI.

SO SOMETIMES SIO MAJIBU HAMNA, EITHER HUJUI KUYATAFUTA AU HUJAWEKEZA NGUVU KUYATAFUTA NA UNATAKA MUNGU AYASHUSHE KWAKO KWA NJIA UNAYOTAKA WEWE. MIMI MWENYEWE WAKATI NAANZA RETREAT NILIONA ROHO MTAKATIFU ANGE SEMA NA MIMI CHAP-CHAP INGEKUWA POA SANAA, NIMEKULA KITU CHA ENCYCLOPEDIA NA MTUMISHI ANA SERMONS KAMA ZOOOTE, JE MAJIBU YAPO? YAPOOO HASWA,  I JUST HAD TO TRUST THE PROCESS.

SO AMONG REVELATIONS NILIZO PATA KUNA KITU NAKIONGEZA CHA MONTHLY CHALLANGE, HUU SIO MFUNGO WALA MKESHA, NI CHALLANGE JAPO SIO YA TIKTOK, NAKUPA VERY SIMPLE SPIRITUAL DOCTORINES AMBAZO UTAJI-CHALLNGE MWEZI MZIMA KUZI SIMAMISHA KWENYE MAISHA YAKO NA UKIWEZA NA KU-HAKIKISHIA LAZIMA UTA SHINDA, TUNAANZA NA CHALLANGE YA MARCH!, NITAITOA LEO SAA 5 USIKU

 

MARCH  CHALLANGE

 

JUST BELIEVE

Marko 5:35-43

Yesu alipokuwa bado anaongea, watu walifika kutoka nyumbani kwa yule ofisa wa sunagogi, wakamwambia, “Binti yako amekwisha kufa”. Ya ninikuendelea kumsumbua Mwalimu?” Lakini, bila kujali walichosema, Yesu akamwambia mkuu wa sunagogi,”Usiogope, amini tu.”  Wala hakumruhusu mtu yeyote kufuatana naye ila Petro, Yakobo na Yohane nduguye Yakobo. Wakafika nyumbani kwa ofisa wa sunagogi naye Yesu akasikia makelele, kilio na maombolezo mengi.

Akaingia ndani, akawaambia,”Mbona mnapiga kelele na kulia? Msichana hakufa, amelala tu.” Lakini wao wakamcheka. Basi, akawatoa wote nje, akawachukua baba yake na mama yake huyo msichana na wale wanafunzi wake, wakaingia chumbani alimokuwa huyo msichana. Kisha akamshika mkono, akamwambia,”Talitha , kumi,” maana yake,”Msichana, nakuambia, amka!”, Mara msichana akasimama ,akaanza kutembea. (Alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili.) Hapo watu wakashangaa kupita kiasi. Yesu akawakataza sana wasimjulishe mtu jambo hilo. Kisha akawaambia wampe huyo msichana chakula.

Mark 5:36

36 As soon as Jesus heard the word that was spoken, he saith unto the ruler of the synagogue, Be not afraid, only believe.

 

BE NOT AFRAID ,ONLY  BELIEVE!. YAANI BE NOT AFRAID KWAMBA AGE GO UTAMPATA MWAUANUME GANI WA MAANA JIONI HII JUA LILISHAZAMA, JUST BELIEVE MUNGU ANAENDA KUKUPA MUME WA NDOTO ZAKO, UTUKUFU WA NYUMBA YAKO UNAOKUJA NI MKUBWA KULIKO ULIO UKOSA UJANA WAKO WOTE.

BE NOT AFRAID YOU MADE COUPLE OF MISTAKES, TRUSTED WRONG PEOPLE, AND HAD COUPLE OF KIDS WITH THEM, PEOPLE TALK KWAMBA HIO IDADI YA WATOTO SIO YA KUPUUZA, KUMPATA MTU AWAKUBALI WOTE SIO KINYONGE, BE NOT AFRAID MY SISTER IN CHRIST JUST BELIEVE MUNGU ANAENDA KUSAHIHISHA MAKOSA YALIYO TOKEA NA THIS TIME YOU WILL GET IT RIGHT, ATAKUPA MUME NA BABA WA HAO WATOTO

DO NOT BE AFRAI D HUJAWAHI KUFlKA ORAL INTERVIEW KILA SIKU WEWE NI NOT SELECTED FOR ORAL, MPAKA USHAANZA KUAMINI HUENDA KWELI WEWE NI ZUMBUKUKU NA HUNA AKILI, JUST BELIEVE GOD IS GOING TO POSITION YOU KWENYE KAZI NA SIO MRADI KAZI KAZI YA MAANA, JUST BELIEVE.

DO NOT BE AFRAID KILA BIASHARA UKIFANYA INA ISHIA NA MADENI TU, NI ULCERS KWA SUGAR NA PRESSURE, HUNA NYOTAAA YA BISHARA SHOGA ANGU HUNA, BE NOT AFRAID JUST BELIEVE MUNGU ATAENDA KUKUINUA UFIKE ALIPOKUKUSUDIA KWENYE HIO BIASHARA NA ATAKUFANYIA NAFASI SOKONI.

CHOCHOTE KINACHO KUTATIZA USIOGOPE HAKUNA KUOGOPA TENA UTAOGOPA MPAKA LINI?, ELEWA MAELEKEZO! JAMBO LA KWANZA LA MSINGI KABISA KWENYE CHALLANGE HII NI KUI-CHALLANGE NAFSI YAKO KUACHA KUOGOPA KIJINGA NA KIZEMBE KAMA KUANGAMIA NDO UNA-ANGAMIA KAMA HIVO UNACHOBAKIA UNAOGOPA NI KITU GANI ? JAMBO LILILO BAKIA NI KUSHUPAZA FUVU TU.

MSINGI WA HII CHALANGE NI KUI-CHALLANGE NAFSI YAKO KUACHA WOGA WA KIPUUZI WALA WA MSINGI, INSHORT WOGA HAUTAKIWI KABISA NDANI YAKO.

KWANINI BWANA YESU ALIMPA INSTRUCTION YA KWANZA KABISA “ASIOGOPEEEE”, WOGA NDIYO MWANZO WA UPUUUZI, KUJIENDEKEZA NA KUKATA TAMAA! NDIYO MWANZO WA ANGUKO LA MTU KABLA YA ANGUKO RASMI,  MTU AKISHA-ANGUKA ROHONI NI SWALA LA MUDA TU ATA-ANGUKA  MWILINI!

WOGA KWAMBA UMRI UNAENDA NA DALILI YA MUME HAKUNA, SINA HATA MTU, NDIYO MWANZO WA KUZAA NA MTU AMBAE ASHAKWAMBIA HATOKUJA KUKUOA KAMWEE! USINGE OGOPA KWAMBA UTAZEEKA PEKE YAKO NA MUNGU HATOKUPA MUME USINGESHUKA LEVEL ZA CHINI KABISA KUZAA NA MWANAUME AMBAE SIYE HADHI YAKO.

WOGA NDIYO UNAKUFANYA UNYOE NA KWENDA HOTELINI KULALA NA WANAUME AMBAO HUWAPENDI, ALL THEY DO IS HURT YOU ALWAYS AND USE YOU BODILY AND MATERIALLY!, WOGA KWAMBA WHAT IF HAKUNA MWANAUME MWEMA ATAKUPENDA NA AGE IS GOING HOME!

WOGA NDIYO UNAKUFANYA UTEMBEE NA MABOSS OFISINI ILI WAKU-PROMOTE, UNAONA KWAMBA WHAT IF IM REALLY STUPID AND NOT COMPETENT IN MY CAREER, CHEO MEZANI CHUPI MCHAGONI, ARV KWENYE POCHI.

WOGA NDIYO MWANZO WA   KUFANYA MAAMUZI YA KIJINGA KIJINGA NA KIPUUZI, YAANI YA KISHENZI KABISA MWANZO ITHOUGHT NI KUJIENDEKEZA TU, MPAKA ILIPO NIKUTA NA MIMI MWENYEWE, NDIYO NIKA NG’AMUA SIO KWAMBA NAJIENDEKEZA, WOGA UNANICHEZA MCHEZO MCHAFU.

UNAKUTA UNA NIA KABISAA NA UNAANZA PROGRAM VIZURI, KATIKATI WOGA HUU HAPA! UNA-ANZA KUWAZA UJINGA UJINGA, KUSHINDWA SHINDWA, MAMBO KUTOBADILIKA,  MOOD YA MAOMBI INAKATA! UNAONA BORA TU KAMA VIPI UANGAMIE TU SIO RIZIKI.

WOGA KWAMBA MUNGU ANAWEZA ASIKUPE MTU UNAKUFANYA UNA MRUDISHA EX WAKO MOYONI MDOGO MDOGO, MWISHO UNAJIKUTA MNAPASHA KlPORO! NOT THAT YOU ARE HAPPY! HAPANAA!, JUST FRUSTRATED AND DEPRESSED!

WOGA KWAMBA UNAWEZA USIPATE KAZI UNAKUPASUA AKILI UNAONA BORA ULALWE LALWE OVYO KUPUNGUZA TU MACHUNGU YA MAISHA NA JINSI AMBAVYO HUTAKI MPAKA MWILI UNAGOMA KUTOA UTELEZI , UNABEBA ZAKO VILAINISHI KABISA MAANA KAMA NILIVYOSEMA NI DEPRESSION.

KUNA MTU ALINIULIZA WEWE MTUMISHI UNAVYOHISI SISI TUNAPENDA KABISA KULALWA LEO NA HUYU KESHO YULE, HATUCHAGUI HATUBAGUI ATAKAE TUZIKA HATUMJUI, WEWE UNADHANI TUNA ENJOY KULALA NA MTU UNAJUA KABISA NI HALALI YA FLANI ALIOPEWA NA MUNGU WAKE NA MIMI NI JIZI TU LISOKUWA NA BAHATI, NA INCASE OF ANYTHING NITAKANWA UPESI KULIKO PETRO ALIVYO MKANA YESU.

WEWE UNADHANI TUNA VIBE KULALA NA JITU HALITAKI HATA KUWASIKIA WAZAZI WAKO KAMA WAPO HAI AU WAME TANGULIA MBELE ZA HAKI, LINACHO JUA NJOO GUEST FLANI CHUMBA FLANI! AS IF UNATOKA MSTUNI VILE LIKISHA MALIZA HAJA ZAKE HALIJALI KAMA UTARUDI MSITUNI AU VIPI.

NIKAMUULIZA WHY DO YOU DO IT THEN? AKAJIBU ‘”‘WE DON’T KNOW TOO”, WELL SABABU KUBWA NI WOGA UNLESS YOU DEFEAT WOGA WAKO KILA MARA UTA KUFELISHA TU! NDIYO MAANA CHA KWANZA YESU ANA MWAMBIA YULE MZEE “USIOGOPEEE”  NO MATTER MAZINGIRA WAKATI ULE YALISEMA KINYUME NA SHIDA YAKE KWA KIASI GANI.

INSTRUCTION YA PILI ILIKUWA NI “ONLY BELIEVE” UNAWEZA KUIONA NYEPESI LAKINI NAKUHAKIKISHIA NI MTITI, MWANZO MIMI NILIONA MBONA KAMA IMEKAA KIMTEGO MTEGO! “”ONLY BELIEVE!!” HIVYO TU, NO DELIVERANCE, NO FASTING! NO SADAKA ZA KUJIMALIZA, OKAY HATA KUMLAMBA LAMBA MIGUU MTUMISHI? NO! BASI HATA KUWEKEWA MIKONO! NOPEE!” ONLY BELIEVE” I WAS LIKE “MMMHHH!” IT IS TOO GOOD AND SIMPLE TO BE TRUE, LATER IF CONCLUDED MAYBE TOO GOOD TO BE TRUE BUT IT AINT SIMPLE 1 BEAT.

KWA HESABU ZANGU ZA KITAA KUAMINI MBONA KWANGU KAMA IMEISHA HII ISSUE! JAMBO DOGO SANAA! ‘”‘ONLY BELIEVE” NI KAMA IMEISHA! THUBUTU YANGU, KAMA HAPO UNAWAZA UKIANZA KU-BELIEVE BASI MKEKA UMENYOOKA, ANAKUJA MTU ANA PROPOSE AND HAPPILY EVER AFTER HII HAPA, YOU  WISH!

“ONLY BELIEVE” IS MORE OF TAHADHARI KABLA YA HATARI, ILE KWAMBA IT IS ABOUT TO GO DOWN! SMACK DOWN NDO KWANZA INAANZA, NA KIMBUNGA JOBO KINAKUJA HUKO LA KUZINGATIA KIKISHA KUKUMBA “ONLY BELIEVE” NDIYO INA APPLY SASA KUKUVUSHA.

KAMA NI INTERVIEWS “NOT SELECTED FOR ORAL” NDIYO KWANZAA ZINAANZA!, UKISHAKULA CHUMA HIKO CHA NOT SELECTED UNATULIZIA NA “”ONLY BELIEVE” KWAMBA SIO SHIDA ZANGU KAMA SINA AKILI JE?, MUNGU ATANIFANYIA NAFASI KAZINI! UNAPIGA ZAKO MOJA MOTO MOJA BARIDI, WEWE SI UMEFELI WEWE MBONA UNAJIZIMA DATA ? AREN’T YOU SUPPOSED TO BE SAD OR SOMETHING? ” ONLY BELIEVE” NDIYO INAINGIA HAPA SASA.WHY SHOULD I BE SAD ? BADO NAAMINI MUNGU ATANIFANYIA NJIA PASIPO NA NJIA, NJIA GANI SI UMESHAFELI WEWE TENA LEO-LEO, HAPO NDIYO UTAJUA “ONLY BELIEVE” INA UZITO WA TANI NGAPI!.

KAMA NI BABY WAKO WA MIAKA 3 ANA KWAMBIA RASMI KWAMBA “NAOA MWEZI WA 6! SITAKI USIKIE KWINGINE”, USIPO ANGUKA PRESSURE BASI UNA MUNGU! “ONLY BELIEVE” HAPO NDO LINAPOKUJA LILE SWALI””BELIEVE WHAT EXACTLY ? AND MORE IMPORTANTLY BELIEVE WHO AGAIN?, MBONA KAMA MAISHA YANA NIONEA?” ONLY BELIVEE MY DAUGHTER, NI AGAIZO DOGO ILA KUNA MUDA ITS LIKE ADDING INSULTS TO INJURY! ONLY BELIEVE, UTAJUA  HUJUI.

ONLY BELIEVE MUNGU ATAKUFANYIA UNACHOHITAJI AKUFANYIE UVUKE HAPO, REGARDLESS MAZINGIRA YAKO YATASEMA NINI KINYUME NA WEWE, GOD IS ALWAYS TRUE TO HIS WORD.

WHAT CAN BE WORSE IN THIS LIFE KAMA KUFIWA NA MTOTO? WHAT CAN BE WORSE KULIKO MZAZI KUMZIKA MTOTO? LAKINI MZEE WA SYNAGOGI ALIJISHIKILIA! ALIJIKAZAAA KIUME, YESU ANAPOMWAMBIA ” DONT BE AFRAID! ONLY BELIEVE” ANA JISHIKILIA HASWAAA HASWAAA! NA YESU ANA MFUFUA MTOTO WAKE!

HATA WEWE UKIJISHIKILIA HUU MWEZI WOTE WA TATU (3) UKA KAZA NA KUKOMAA NA KUTO BEND KWENYE WOGA WA KIJINGA KIJINGA NA UKA ONLY BELIEVE IN GOD KWAMBA ATATENDA KWA HABARI YA HIO CHANGAMOTO NAKUHAKIKISHIA ATAKUTENDEA ZAIDI YA MZEE WA SYNAGOGI.

ATAFUFUA HAYO MAHUSIANO YAKO, ATAFUFUA CAREER YAKO! ATAFUFUA  HIO BIASHARA! ATAFUNGUA  HUO UZAO, ATAKUPONYA HAYO  MAJERAHA, HE WILL DO EXACTLY WHAT YOU NEED HIM TO DO FOR YOU, DON’T BE AFRAID, ONLY BELIEVE.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk