30 DAYS DELIVERANCE PROGRAM (PART 2) – DAY 15

Yeremia 32:27

Tazama, Mimi ni BWANA Mungu wa wote wenye mwili, je kuna neno gumu lolote nisiloliweza?.

 

KUNA MAMBO MAWILI AMBAYO HUWA MNA-CHANGANYA, KUNA JAMBO KUKUSHINDA WEWE NA JAMBO KUMSHINDA MUNGU, HIVI NI VITU VIWILI TOFAUTI.

 

UNAWEZA KUONA NI JAMBO LILE LILE LAKINI NI MAMBO MATATU (3) TOFAUTI, I SAID THREE (3) SIO TYPO, PAY ATTENTION.

 

Jambo la kumshinda Mungu mpaka sasa HAKUNA, Yaani HAKUNA wala halijawahi kuwepo hata hayo yanayo-kuumiza kichwa bado sana kumshinda Mungu, Tena sana.

 

Jambo ku-kushinda wewe hiyo ni kawaidaaa sana, Tena sio jambo moja au mawili niya kutosha na hakuna la ajabu katika hilo kwani kila mtu anajua kama mambo yasha-kushinda mwenzetu, It is not news!

 

Mambo kushindikana pia hii dimension ipo sana tu, Mambo hayaja kushinda wewe in-such, rather YAMESHINDIKANA yenyewe yaani yapo nje ya uwezo wako, huwezi kulaumiwa wewe.

 

Mfano swala la mtoto, hawawezi  kusema wameshindwa kupata mtoto, Ila wanasema imeshikana wao kupata mtoto kwasababu NYINYI kama NYINYI hamna say kwenye hilo la mtoto ni kudra za Mungu Inatokea tu odds hazipo upande wenu na mambo yameshindikana not anybody’s fault  yanashindikana.

 

Hapa ndiyo balaa linapoanzia la watu kushindwa vitu, au vitu vyenyewe tu kushindikana vinapelekea mtu ankosa uelewa na kumlaumu Mungu kwamba ndo amesababisha vishindikane na Mungu kwasababu hajasababisha vishindikane ukimlaumu nikazi bure umekosea approach ya swali huwezi kupatia jibu sahihi.

 

Kwa mfano una miaka 40 hujaolewa, It is between the two reasons which are Either umeshindwa kupata Mume au imeshindikana wewe kuolewa zote ni possibility na Mungu hataki uolewe can never be a possibility, Yaani kwanini asitake? na alishamaliza kujibu hili kwenye several scriptures. Hivyo umehsindwa kuolewa as wewe ndo uliyetibua Bwawa, Una-record chafu ya kugawa hovyo mama huruma, Una gubu, Una hasira, Mkorofiii, Mtata, Una  matusi, Malaya  mchafuu, mlevi, hujitambui, HAPA UNAJILOGA MWENYEWE YAANI UJINGA UNAO MWENYEWE USITAFUTE MCHAWI NANI,  JUST LOOK IN THE MIRROR.

 

Ilmeshindikana kuolewa as wewe ni mtu safi una kazi yako, una adabu, una hekima, Una sali zako sana, You do your part lakini the Ndoa is not ndoaring!, Watu wamejaribu kufanya matchmaking na kukuozesha lakini bila-bila hapa tunasema IMESHINDIKANA KUOLEWA, Implying forces zinazo-zuia wewe kuolewa might be EXTERNAL yaani tofauti na yule mwenzio ambaye ana INTERNAL FACTORS.

 

MUNGU KATIKA HII EQUATION YUPO CONSTANT NA UWEZA WAKE UPO CONSTANT EITHER IWE SITUATION NUMBER ONE AU NUMBER TWO KWAKE IT DOESN’T MATTER, JE KUNA JAMBO LOLOTE ASILO-LIWEZA?.

 

TUNAKUJA  KWENYE MILLION DOLLAR QUESTION KAMA MUNGU ANA-NGUVU NA UWEZA WA KUKUSAIDIA KWANINI HAKUSAIDII?

 

MIMI HILI MOSTLY NA LIATTRIBUTE NA MAMBO HAYA MACHACHE!

 

1.LACK OF KNOWLEDGE ON HOW TO ACCESS GODS HELP

MUNGU AMEJIFUNUA SANA KWENYE MAANDIKO YAKE JINSI YA KUWEZA KUMU-ACCESS, AMEJIFUNUA KUPITIA SCRIPTURES NA DOCTORINES SASA KAMA HUZIJUI UTABAKIA KUKOSA CONNECTION AU KUTUMIA CONNECTION ZA KUAZIMA KWA WATU, NIMEWAAMBIA JIFUNZE KUMU ACCESS ROHO MTAKATIFU, MTU ANAONA, TOO MUCH WORK KAA BILA CONNECTION.

 

MPENDWA JAMBO LAKO HALIJAMSHINDA MUNGU LAKINI UMESHINDWA  COMMUNICATE NA MUNGU WALA KU DISCERN MAJIBU YAKO, SOMETIMES MUNGU ANATAKA KUKUSAIDIA KWELI LAKINI LUGHA GONGANA, AKISEMA AWASILIANE NA WEWE KWA NDOTO, HUELEWI WALA HUKUMBUKI NA UKIKUMBUKA BADO HUELEWI MOJA WALA MBILI  AKISEMA AWASILIANE NA WEWE KWA MAANDIKO YA  BIBLIA KUSHIKA MARA YA MWISHO SIJUI LINI?, BASI UNABII HUKO KANISANI WANAKUONA BASI?,  UMEJI-BLOCK KILA MAHALI KUPOKEA JIBU.

 

2. LACK OF CLARITY/ DIAGNOSIS OF YOUR SITUATION.

MPENDWA INAWEZA KUWA WEWE UNALIA NA NUMBER TWO SITUATION KUMBE WEWE NDO NGUVU ZA GIZA UNAZOKEMEA, SITUATION YAKO NUMBER TU AMBAYO INGEPONA KWA TOBA NA MOYO WA DHATI KUMRUDIA MUNGU, UNAPINGA NGUVU ZA GIZA BILA MATOKEO SABABU HAMNA NA UNAWEZA KUWA NUMBER TWO SITUATION UMEFUNGWA UKAKAA UNAJILAANI NA KUJIHUKUMU WEE, KUMBE NI EXTERNAL FACTORS!

 

Sipati kazi au mume, Kumbe either way HUPATI KITU VILE VILE, unashangaa watu wanazini wakipata tu mimba wanaolewa fasta, We unazini, mimba unapata mpaka watoto watatu lakini hupati ndoa hamna chochote!

 

Diagnosis Error zinaanza hutaki kumu-Access ROHO MTAKATIFU akufanyie diagnosis za uhakika una-rely kwenye Ndoto, fikra zako, unabii feki,matokeo yake unaenda Chaka kabisa.

 

GOD CAN STILL HELP YOU AND GOD WANTS TO HELP YOU LIKE NEVER BEFORE!, KAMA NILIVYO WAAMB IA JANA YOU JUST NEED ONE AND ONLY ONE CONNECTION NA MBINGU.

 

MARA NGAPI HUJAPATA, IPO SIKU YAKO AS LONG AS YOU KEEP SHOWING UP NA MUNGU ATA-UONA UAMINIFU WAKO NA ATAJITHIBITISHA KWAKO KWA UKUBWA.

 

PRAYER POINT

1. HATA HIZI CHANGAMOTO ZANGU ( ZITAJE) UNAZIWEZA BABA KUNIVUSHA.

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top