1 Wakorintho 2:1-5
2 Nilipokuja kwenu ndugu zangu, sikuja kuhubiri siri ya mpango wa Mungu kwa kutumia ufasaha wa kuzungumza au hekima ya binadamu.
2 Kwa kuwa niliamua kwamba wakati nikiwa nanyi nitasahau kila kitu isipokuwa Yesu Kristo; Kristo aliyesulubiwa msalabani.
3 Nilikuja kwenu nikiwa mdhaifu, mwenye woga na nikitetemeka sana.
4 Kuhubiri kwangu na ujumbe wangu haukuwa na hekima na maneno ya kuwashawishi watu, bali ujumbe wangu ulidhihirisha wazi nguvu za Roho.
5. Ili imani yenu isiwe imejegwa katika hekima ya wanadamu bali ijengwe katika nguvu ya Mungu.
lmani ikijengwa na hekima ya mwanadamu inakuwa ya kuyumba yumba sana na kujifosi sana,Unasikiaa tu NGUVU YA MUNGU, Miaka inaenda na kurudi lakini huioni kwenye maisha yako.
Umejikakamua kufata hekima ya wanadamu neno kwa neno,Wapi Unaona una hamfanyi kisasa tu, Ukitaka kukata tamaaa tunakwambia NGUVU IPO, WENZIO TUMEIONA MATTER OF FACT TUNAITUMIA TUTAKAVYO.
Mtume Paul wakati ana-waandikia kanisa la Korinto ali Adresse hii issue, NILISEMA SOMA PAULINE EPPLISTLES UNAJIENDEKEZA, Na ali-waambia kabisa wazi-wazi kama ninavyo kwambia leo hii.
1Wakorintho 2:5
5 Ili imani yenu isiwe imejengwa katika hekima ya wanadamu bali ijengwe katika nguvu ya Mungu.
Bila kukutana na nguvu ya Mungu na kupata encounter Personal imani yako itakuwa ya kuyumba yumba sana.
Utakuwa na maswali mengi kuliko maji buu, Utakuwa na limited coverage kwenye eneo la imani, Sana, ni rahisi kwangu KUAMINI sababu nimeonaaa vitu ,nimesikia vitu, nime experience vitu, Hata watu wakiniona DISHI limeyumbaaa fresh tuu hainistui sababu I know I SAW WHAT I SAW, I FELT WHAT I FELT!, WHAT DO THEY KNOW ? NOTHING!
Lakini kama hujawahi kuona au ku-experience watu wakokwambia inashikwa uchizi ujue!, WHAT DO YOU KNOW ? Nothing! Unatapata-tapa hatari.
Ukikaa unaona Mungu atakusaidia bwana,Ukikaaa unawaza mbona haaminiki sana, Ukikaaa mbona haja nisiadia tangu nina miaka 23 itakuwa leo 37, Im going nuts! Crayzzzzz!, Totaly!.
THE MILLION DOLLARS QUESTION IS KAMA HIGHER POWERS ZIPO WHY CANT YOU ACCESS THOSE POWER KAMA SISI WENGINE ? AU KUNA KA-ROSTER NA HATUKWAMBII, THERE IS NO ROSTER.
Ufalme wa Mbinguni ni Ufalme makini sana, Hauwezi ku u-Access kwa janja janja, Wala Chupli-chupli, Believe me I tried, Several attempts! Hamna rushwa kule wala kona-kona.
THE ONLY WAY UNAWEZA KU-ACCESS HIZI HIGHER POWERS NI KUJIFUNZA NA KUJIWEKA TAYARI KWA ZENYEWE KUJIFUNUA KWAKO BASI NA KUJIWEKA TAYARI AS IN MOYO WAKO WA IBADA.
NDIYO MAANA TUNAWEZA KUWA KANISA MOJA KITI HIKI NA HIKI, MTUMISHI HUYO HUYO, IBADA HIYO HIYO, MAANDIKO HAYO HAYO, MMOJA AKAJAZWA ROHO MTAKATIFU LAKINI WEWE BILA BILA.
Mnanijua enzi zangu kupenda shortcut, Nikawaza kusoma Pauline Epistles zoteee 13 alafu nikapandishia matendo ya Mitume It will take forever and I don’t have forever, Hapa la mbolea nitafute mtaalamu wa kuwajaza watu Roho Mtakatifu nipite border, Nikijazwa namaliza shida zangu!
NILIBADILI WATUMISHI KAMA NGUO SIKUWAHI KUJAZWA, MWENYEWE NILIVYO JIPATA NA KUWA ADDICTED NA MAANDIKO NA NENO LA MUNGU MPAKA WATU WAKAONA HUYU DISHI LINAYUMBA MUDA SI MUDA.
KWA MAANA NILIKUWA NAWEZA KUSIKILIZA MAHUBIRI SIKU 3 NON STOP NA BADO NA KIU.
NIKAACHA CHUPLI-CHUPLI NA KUTAKA HASWA KUJUA WAHTSUP WITH THIS KINGDOM OF HEAVENS, NASIKILIZA DOCTRINES NA DOCTRINES, I WAS CONNECTED.
NDIO NIKAANZA SASA KUJAZWAA ROHO-MTAKATIFU NA KUPEWA ZILE GIFTS NA KU-OPERATE IN BIGGER DIMENSIONS BEFORE NILIKUWA NIKISOMA ANDIKO HATA SIELEWI LAKINI NOW ANDIKO LENYEWE LIKITUA TU KWENYE UBONGO LINAJIPAMBANUA KAMA CHEMICAL EQUATION.
SASA WENGI TUKIWA WA KWELI YA KUWA TUMEFANYA HII PROGRAM SABABU YA KUTAKA KUVUKA KWENYE MAHUSIANO, KUPATA NDOA AU KAZI AU HIKO UNACHO PAMBANIA NA HUJAMPOKEA YESU KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO WALA HUJA SURRENDER YOUR LIFE TO CHRIST NA HUNA INTEREST YA HAYA MAMBO KIUKWELI.
YOU CAN WAIT UPATE HIO NDOA UACHANE NA THESE PENECOSTAL CHAOS, NI SHIDA TU, LAKINI YOU CAN’T WAIT TO GO BACK TO YOUR SIMPLE ONLY SUNDAY CHRISTIAN LIFE.
I ain’t gonna lie hata mimi shida ndio zilinileta Pentekoste lakini nilivyo vikuta huku na Dimension nilizo-fika, Even if I wanted to siwezi kurudi kama zamani, yaani How?
WENGI MMESHINDWA KU-ACCESS HIZI HIGHER DIMENSIONS SABABU ROHO ZENUUU ZINA HILA NA MBINGU SIO JINGA KWAMBA UTAZIOKOTA NI EITHER YOU DO IT RIGHT BY THEM WAJIFUNUE KWAKO AU BAKI UNASIKIA IT IS STRICTLY PREMIUM OR NOTHING.
NIMEWAONGOZA HII DELIVARENCE ,WALIO JIPATA NA KUFANYA KWA MOYO WAMEVUKA PAKUBWA SANA, WALIOFANYA HATA KAMA SIO KWA MOYO WAPO NUSU YA NJIA WANAPATA POINT ZA KUTOKEA UWANJANI SIKU 30, AMBAO HAWAJAFANYA WACHA WAJIBAMBE.
UZURI WA MBINGU NI MMOJA, UNAHITAJI CONNECTION MOJA TU, JUST 1 ONLY 1 , NA MBINGU UMALIZE BIASHARA YOTE.
HATA KAMA HUJAPATA CONNECTION SIKU ZOTE 13 UKIJIPATA NA KUREKEBISHA MAKOSA YAKO UNAWEZA KUIPATA KESHO NEVER LOOK BACK ALWAYS LOOK FOR A BETTER TOMORROW ACHANA NA UZAZWA ULIO-FANYA HIZI SIKU ZA NYUMA FOCUS NA KESHO, SHOOT YOUR SHOT.
NILIWAPA MAANDALIZI YA VITU VYA KUFANYA KABLA HUJAANZA HII DELIVARENCE LABDA ULIDANDIA TRAIN KWA MBELE, RUDIA POST BADO IPO, REGROUP NA JIPANGE UPYA KUISAKA BETTER TOMORROW, GET BETTER IN YOUR GAME.
PRAYER POINT
Baba yangu uliye mbinguni ifunue nguvu yako kwangu leo hii nisitegemee hekima ya mwanadamu, In Jesus name I ask.