30 DAYS DELIVERANCE PROGRAM (PART 2) – DAY 13

Kutoka 14:14

Mwenyezi-Mungu atawapigania, nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu.

 

Kutoka 14:14

BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.

 

Mpendwa Translation inategemea na Biblia gani unatumia, Hili andiko ni jepesi lakini ni zito, Unaweza kusema kutulia tu au kunyamaza tu, Mbona simple.

 

Complication inaanza pale ambapo ukipata changamoto unataka Mungu akupiganie hapo hapo na Mungu anangoja kuona HOW WILL YOU DISPLAY TOUR FAITH NDO AKUPAMBANIE.

 

Mungu hajashindwa kukupigania wala hajagoma kukupambania only you wont let him either hutamruhusu akupambanie au utataka u-mcontrol akupambanie, vipi kukupa outcome unayotaka wewe  SASA MAMBO HAYAENDI HIVO.

 

Mungu ametoa condition nyepesi sana ambayo ni tulia tuliii na funga mdomo huo UPIGANIWE.

 

Kutulia TULI sio kususa kufanya ibada kama Mungu hanipi kitu flani basi lbada sifanyi sikanyagi kanisani mpaka Mungu anipe Mume, How is it going for you sis!?

 

Kutulia TULI sio kuamua kuishi katika dhambi, Kama sipati Mume basi NAZAA tu watoto wangu maandiko haya kasema kuzaaa nje ya ndoa kuna mtetemesha Mungu, Thubutu zaa hata kila mtu na Baba ake.

 

Kutulia TULI sio kujaa kisirani na attitude muda wote unawafanyia watu Attitude kama wao ndo wamekunyima Mume au kazi Everyone is not safe from your attitudes.

 

Kutulia TULI sio kujitourte na kujimaliza kwa uchungu, Atleast wa juu ana tourte wenzie, They will surely pay for her misfortunes hawaji-tourte mwenyewe, Hapendezi, Hana raha, Hana amani, Amedhoofika, Give more of oppressed vibes.

 

HATA WALE WANAO JIFANYA WAKO OKAY AND UNBOTHERED NDANI YA MIOYO YAO BADO HAMNA UTULIVU, NI FUJO MTINDO MMOJA.

 

MPENDWA AND GOD WAS CRYSTAL CLEAR IN HIS MESSAGE KAMA UNATAKA AKUPAMBANIE UFANYE NINI.

 

MAANA YAKE ANYTHING LESS THAN THAT YOU ARE ON YOUR OWN SIS, IT IS THAT SIMPLE HAINA KUBEMBELEZANA TULIA MUNGU AKUPIGANIE AU PIGANA MWENYEWE.

 

Kuna mwanangu wa group la above 35 alipata kijana mzuri sana, Serna akafanya DRAMA na POWER GAMES mambo ya kipuuzi tu, Kijana alimpata December naa walipanga June mahari, Walikuwa mpaka wanaomba pamoja na amempenda,  Juzi wame  Call-it quits!

 

Nawajua mnataka ubuyu, Mnataka kujua Power Games gani? Drama gani? Well kifupi tu Bibi akitoka out, Girls Date na the guy akawa insecure na Kuna Trip walitakiwa waende the girl demanded Flight.

 

Kama mnavojua wanaume wenu wa Bongo bahiliiii hatari, Things went south, The guy ana gubu hatari and the girl kama nyie is the queen of power Games.

 

Akanitafuta usiku wa manane, I knew trouble was in the paradise! Amepanic. Tunafanyaje, Nikamwambia tunatulia tuli, She was like how ? Shouldn’t we fast or pray!, Nikamwambia hapana, We just relax and chill,GOD WILL FIGHT FOR YOU!

 

Huyu mwanaume alimpata baada ya program ya October ya LAST CALL ABOVE 35, Na haikufanya kazi kwake for some reasons, akaja kuniconfront kwamba maombi were not maombiring!

 

Kazi ngumu sana hii, acheni tu tule SADAKA za hapa na pale, Nikampa maelekezo afanye Partition ya APPEAL kwa Mungu, MAANA MAOMBI YANGU NA UHAKIKA NAYO NA YEYE AMEOKOKA MUDA HIVYO ALIFANYA KWA UAMINIFU NA SADAKA YAKE NILIKULA KUBWA TU!

 

Balaa lilikuwa zito pale ambapo angesema nirudishe sadaka sijui ingekuwaje, Sikuwa na sh 10 kipande  MAOMBI  had to MAOMBIRING.

 

MUNGU NI MUAMINIFU SANAA ILE PERTITION YAKE ILIKUWA YA MWEZI MZIMA HAIKUMALIZA MWEZI MUNGU AKAWA AMEJIBUUU! NDO KAMLETA HUYO KAKA! TULIJUAJE KATOKA KWA MUNGU.

 

EVERYTHING ABOUT HIM IS GODLY!,  MWANANGU MWALI KIGEGO NDO NAMPA KITCHEN PARTY SASAHIVI IMEBIDI NIWE KUNGWI WAKE KUMUELEKEZA, MCHAGA YULE!.

 

MUNGU AKIKUPA KITU AMEKUPA HATA KAMA KAFANYA HIZO FOUL ZA KIKE, NA UHAKIKA THE GUY WILL COME ARROUND MWEZI WA 6 MAHARI TUNAYO, SIO KWAMBA NAMUAMINI KIJANA AU MWALI WANGU KIGEGO NAMUAMINI MUNGU JUU YAO, THEY ARE GOOD PEOPLE, WOTE AGE GO, ONLY THEY CANT RESIST POWER GAMES! THEY DEFINITELY SHOULD GET MARRIED.

 

NIMEMWAMBIA TULIA TULI SASA SIJAJUA KAMA BADO MWALI WANGU KIGEGO SHE IS HOLDING IT TOGETHER AND I WON’T BE CHEKING ON HER, HAVING YOUR PARADISE DISTURBED ON A SUNDAY THE GODS DAY IS CATASTROPHIC  LAKINI WHAT DOESNT KILL HER WILL MAKE HER STRONGER.

 

WENGI  KITULIA MUNGU AWAPAMBANIE NI MTIHANI ISSUE KAMA HII MTU ATAWAPIGIA WACHUNGAJI 20,  ATA FUNGA ATA MPIGIA MPAKA EX-WAKE WAPASHE KIPORO.

 

MPE MUNGU NAFASI YA KUKUPIGANIA, MWACHE MUNGU AKUPIGANIE NA WEWEW INABIDI TU UTULIE.

 

MUNGU HAPENDI CHAOS, HUKU WEWE UNAPIGANA, HUKU YEYE ANAKUPIGANIA, UKIPATIKANA USHINDI HAPO UTAKUWA WA NANI?, WAKO AU WA MUNGU?

 

YAMKINI HUNA KAZI MDA MREFU,  YAMKINI HUNA MUME MDA MREFU NA UMEKUWA UKITAPA-TAPA NA KUPAMBANA MDA WOTE BILA MATOKEO NI WAKATI WA KURUDI NA KUMWAMB IA MUNGU NAOMBA NIPAMBANIE SWALA LA MUME AU KAZI AU MTOTO NA MIMI NITANYAMAZA KIMYA.

 

NA UACHANANE NA KUTAPA TAPA NA HILO SWALA NA UMTEGEMEE MUNGU 100%

 

PRAYER POINT

BWANA NIPIGANIE ENEO LA MAHUSIANO NA MIMI NITATULIA TULI.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top