30 DAYS DELIVERANCE PROGRAM (JINSI YA KUFANYA MEDITATION)

Mpendwa Meditation maana yake unatafakari hili andiko SIKU nzima na kusukuma hizo prayer points.

 

PART 1 Ulikuwa unagonga just 2 hrs minimum you are done, Lakini PART 2 you do 24 hrs baby! 24 hrs!.

 

Akili yako iwe ime-Focus kwenye Utukufu wa Mungu na Hilo andiko na Prayer Points  basi.

 

Like you are realy partitioning God all day kuhusu  situation yako, andiko na kwanini au JINSI gani Utukufu wake uta-move on your favor na Kama hau-move atleast akuoneshe WHY? ALL DAY SWEETY! FOR 10 DAYS!

 

Ukifanya inavotakiwa utakuwa EXHAUSTED sio kidogo, It is DRAINING na utajisikia very weak, Possibly kahomaaa ka mbali, Kaza kamba mpendwa.

 

NA UKI MPETITION VIZURI, HE WILL MOVE IN YOUR FAVOR! AND IF HE MOVES UTAJUA, MAJIBU YA HAYA MAOMBINI INSTANT!.

 

Mfano kama ni kazi,Utaitwa interview au utapata MAJIBU ya kuitwa kazini.Kama ni mahusiano mtu atajitokeza, THE ANSWERS ARE MIRACULOUS AND IN EXPLAINABLE, OOOH! YOU WILL KNOW IT IS GOD! and DEFINITELY NO DOUBTS!

 

Haya mambo kidogo yanataka discipline na ni RELIM ya juu sana, My kind of prayers, Maana yake unatumia imani kubwa na msuli mdogo, Plus Ilove instant results and Miracles!

 

Wengi naona mnaleta madeko na kujiendekeza, Haya mambo na RELIM za juu tofauti, Ukiletaaa upuuzi HUTAPATA Connection na RELIM ya juu, Siwapi nyama rather I teach you how to hunt.

 

Kuna level za results zinakuhitaji upande RELIM za juu, Usipojifunza kupanda sahivi utapanda lini ?

 

Haya mambo ni nia tu, Na upate mwalimu willing kukuelekeza! I have absolute faith in you! Totally and Completely!.

 

LIKE WE ALL KNOW NO BODY WILL GO HIGHER RELIMS FOR YOU! WHY ARE YOU WILLING TO FAIL YOURSELF?

 

MWAKA JANA UMEJIENDEKEZA UMEFELI, MWAKA JUZI HIVYO HIVYO NA JUZI YAKE FOR YOU IT IS PATTERN HONEY! HAI-ITAJIKI RAMLI KU PREDICT NA MWAKA HUU NOVEMBER KWAKO KUTAKUWA HAMNA JIPYA!

 

TUNARUDI RUDI PALE PALE UNAVO SEMA UNAAMINI MWAKA HUU LAZIMA UPATE NDOA AU KAZI AU UNACHO TAMANI, NINI KINA KUAMINISHA?

 

KAMA NI EMPTY BASE LESS FAITH AMBAYO HAIPO BACKED UP NA IBADA FACTUAL WE KNOW FOR SURE YOU WILL CONTINUE TO DELIVER WHAT WE EXPECT OF YOU, WHICH IS NOTHING, WE AS YOU! ME ! AND THE POPLE!

 

MPENDWA YOU CAN ONLY CHANGE THE RESULTS WHEN YOU CHANGE THE PROCESS!

 

Kuna watu amateurs kabisa, Wamepambana mpaka wameweza ku connect na presence ya Holy Spirit, THEIR LIFE WILL NEVER BE THE SAME!, HELL NO! THIS YEAR THE WILL BREAK THOSE PATTERNS IN DAY LIGHT! SABABU WAME WEZA KU ACCESS HIGHER POWERS, THEY ARE GOING PLACES FOR REAL!

 

Hii Meditation is ever higher! Lakini watu wame pambana mpaka wamepatia, Kuna mtu namsaidia toka 2022, Kwenye Ndoa amevuka harusi yake iko in Process lakini hapatagi kazi despite her First Class GPA! Jana ame-Manifest nguvu ya Mungu na kupata impertations ya kitu kamali ROHO lime-toka na ameteseka sanaa on the process.

 

UJUE NYIE WEPESI WA KUJILIZA NIMECHOKA NIMECHOKA ILA NI WAYEYUS HAJI, KADRI NAVOFANYA HUDUMA NIMEKUJA KUGUNDUA KATIKA WATU 100 WANAO JILIZAAA KUCHOKAA LABDA WA 5 NDO WAPO SERIOUS.

 

UTAAMINI KWENYE GROUP LA LAST CALL KUNA WATU 35 AND ABOVE 200, LAKINI WANAO FANYA DELIVARENCE   HII HAWAFIKI 50, NDO UTAJUA HAMNA KUCHOKA NI MAAMUZI TU YA KUISHI NA SITUATION FLANI, VITOTO UNDER 27 NDO VINAGONHA PROGRAM NA KUPATA MPAKA IMPERTATIONS KWENYE MEDITATION.

 

THEY DONT HAVE TO SABABU MUDA BADO HAUJA WAHUKUMU, WANAO MKONONI ILA WANAFANYA BECAUSE THEY CAN, AND IT IS NEVER TO EARLY FOR SPIRITUAL WANA NI BARIKI SANA.

KUNA POSSIBLITY KUBWA YA HUU KUWA MWAKA WAKO,    MAANA MAPEMA UMEBADILISHA ENTIRE PROCESS YA MWAKA JANA, YOU ARE A WHOLE NEW PERSON, RESULTS ARE INEVITABLE IN YOUR CASE.

 

LAKINI KUNA WALE SAME OLD BULLSHIT, SAME OLD BULLSHIT SINCE 2022! MIMI SIWEZI KUOMBA., MAJARIBU PASTOR, HASIRA NAJIKUTA TU NIMEACHA NJIANI, UCHUNGU! SIS PLEASE!.

 

YOU PLAYED BY THOSE RULES 2022 YOU ACHIEVED FATAL FAILURE! YOU PLAINED AGAI N BY SAME OLD RULES 2023 YOU ACHI EVED CATASTROPHIC FAILURE !2024 STILL YOU WANT TO PLAY BY THE SAME OLD RULES AND EXPECT DIFFERENT RESULTS.

 

EXPECTING DIFFERENT RESULTS IS INSANITY! AT ITS HIGHEST!

 

MIMI KATIKA KUJITAFUTA IALWAYS PINNED MY BULLSHIT ON THE QUALITY OF PASTOR! QUALITY OF PRAYERS! UBORA WA IBADA! IBLAMED EVERYTHING AND EVERYONE EXCEPT ME ! 9 !AND IWAS THE ONLY ONE LOSING! PASTOR HUDUMA YAKEINASONGA, NIKABADILI MAPASTOR KAMA NGUO, YET NO RESULTS WHATSOEVER.

 

NIMEKUJA  KUJUA THERE  IS NEVER A BAD PASTOR NOR WEAK SCRIPTURES NEITHER WHACK PRAYERS, AND SCRIPTURES ARE SCRIPTURES AND PRAYERS ARE PARAYERS, THE ONLY WHACK THING IS YOUR HEART! DEAL NA MOYO WAKO.

 

Wenu woteee ni mimi mmoja, Scriptures tunatumia hizo hizo wote! Litrujia tunafata hio hio! Lakini wengine wameweza kufika higher Dimension mpaka ku=Access presence of the Holy Spirit wengine hata Kope haija Blink!

 

TOFAUTI PEKEE KATI YETU NI MIOYO YETU!, MOYO WAKO NDO UNA DETERMINE LEVEL YAKO YA IBADA NA YOUR SINCERITY TO GOD AND THE SCRIPTURES! UKIWA NA HILA KIDOGO TUUU MAMBO UME YAYUMBISHA.

 

MPENDWA GET YOUR SHIT TOGETHER! GET YOUR HEART IN WINING CONDITIONS! JISIMAMIE! JIPAMBANIE!.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top