Mwanzo 30:22-24
Kisha Mungu akamkumbuka Raheli, akalikubali ombi lake na kumjalia kupata watoto.Raheli akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume, akasema, ”Mungu ameniondolea aibu yangu.”, Kwa hiyo akamwita mtoto huyo Yosefu akisema,”Mwenyezi-Mungu na aniongezee mtoto mwingine wa kiume.”
PRAYER POINT
1. Eee Mungu nikumbuke na ukubali ombi langu la kazi/ ndoa/ watoto/ changamoto yako.
2. Eeeh Mungu naomba niondolee aibu yangu.