Mithali 4:23
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo, Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
Mpendwa hili zoezi lilinishinda kabisa na kuniharibia mambo yangu kwenye Deliverance Part 1, Limenirudisha nyuma mno.
I HAVE A CONFESSION TO MAKE!
SIJAMSHUSHA ROHO MTAKATIFU ILE PROPER NILIVYO TAMANI NOT EVEN ONCE OR JAPO SIKU MOJA (1) KATIKA KUMI (10) I FAILED AND FAILED.
Nothing had to do na ibada wala litrujia, I PRAYED LONG HOURS! SOMETIMES NILIKUWA NAKESHA, NA KAMA THREE (3) TIMES NILIPITIWA KIUKWELI, SO 3 DAYS WERE A NO SHOW.
Siku zingine MOYO NILISHINDWA KUULINDA, Nika-kosa peace of heart, Focus na hence Connection with the spirit.
Moyo wangu kikubwa NILIROGWA kwenye biashara zangu nili pigwa password moja matata, Jana ndo nimeiota, Alafu mimi nina investors kwenye biashara yangu na share holders wakubwa ni Mama na Baba, Unaweza kuona ni watu wawili (2) ila ni mtu mmoja mwenye ghubu hatari , MAMA!.Atakachosema Mama ujue ni kauli ya mke na ndio kauli ya Mume.
To make It worst December we had not so good year, ln-short hii January yote wananitikisia kiberiti, Na sasahivi baadhi yenu ndo MMEONA muda SAHIHI wa ku-explode, Ku-excercise ungratefulness of the highest order, Nadhani mmenishangaaa kuona sijajibu chochote na Hamjanizoea hivo.
Mimi principle yangu ya kudeal na dhoruba ni KU-IGNORE NA KUJIZIMA DATA, NA RELAX TU IN MIDDLE OF STORMS, KAMA IT IS GOING DOWN IT IS GOING DOWN.
So as my world was falling apart, I was busy praying and fulfilling Gods mission! Sina habariii.
I have a connetion with the Holyspirit 24/7 ya kawaida tu, where he reveal things to me na Sometimes namuuliza, Ananijibu, HII ni Dimension ya yale mapaji saba (7) ambayo ni Hekima, akili, ushauri uchaji wa Mungu n.k, the Sunday School / KATEKISIM material, Ambayo ni key kwenye kuendesha huduma.
Sasa kuna ile Pentecostal dimension ambayo una feel his presence live kwa wakati huo, na mnafanya mambo through impertations na manifestations, nilishindwa kuarchieve.
Nilikuwa na kila kitu cha kunifikisha kasoro nilishindwa kuulinda moyo uwe in form ya connection.
Nilikuwa naanza vizuri na vifungo ninavyo maana mguu unaanza kuwaka mto kabisa, lakini nakata njiani connections, so anakuwa his presence ipo tayari lakini MOYO HAMNA KITUU, Level ya imani inakuwa chini kusupport impertations.
Dm nyingi zilizo nikata stimu sijazijibu bado na sidhani kama nitakuja kuzijibu!, THIS YEAR I RAN FROM TEMPTATIONS!
Unajua watu mna andika manadhiri, maagano, mnapitia Process ndefu, Hapo hajafanikiwa, Akifanikiwa sasa hataki kutoa zile nadhiri!, Bulshit begins, Sasa bora uchune kimya, Mimi nitajua umefanikiwa? Akhaa!, Unaji kataaa mdogo mdogo, Nitajiongeza Lakini mtu anaona hapana, SHE HAS TO COME IN DM TO EXPRESS HER INGRATITUDE AND UNGRATEFULNESS.
Sijui ni kujizima data au kujisahaulisha kuhusu Shetani, NEW LEVELS = NEW DEVILS, BGGER LEVELS =BIGGER DEVILS
Sasa kama mimi ninaye-ishi kwenye Biblia 24/7 narogwa mpaka manga inapaa, Jamani WAR AGAINST EVIL POWERS NI ENDELEVU, YOU WIN TO FIGHT ANOTHER WAR!
MIMI MTU UNGRATEFUL NAMPENDA SANA SANA, NA UKITAKA TUPITE NJIA YA BULLSHIT HUO NI UWANJA WANGU WA NYUMBANI IM THE QUEEN.
WEWE UNAWEZA KUONA SIJAKUJIBU UKAONA POA TU! I WISH YOU WELL MY LOVE, ILA UKIRUDI KWANGU TUNANZA TULIPO ISHIA!, WHICH WAS YOU WERE UNGRATEFUL TO GOD AND ME.
Maisha ni safari!, Kuna mwanangu nilimuoza hapa hapa 2022, Mpaka leo ndoa haijajibu, Hamna mtoto, Uzuri alinipaga mpaka picha, Tulimaliza vizuri, Kuisha kwa la ndoa tumeanza la uzao, Hapo ndo Mchaka Mchaka mpaka abebe-mimba!, Itachukua wiki, miezi, miaka hatujui!, Tunalojua Mama mkwe anachonga Sana!.
Kuna mwingine Bibi harusi mwanaume baada tu ya harusi, hasimamishi akimuona mke, Na wali ab-satain!, Akawa na mashaka au mgonjwa au anazuga, HILI TUME SOLVE NDOA IPO SAFI KABISAA NA IMEJIBUUU TAYARI.
HIZI SIKU KUMI (10) LINDA SANA MOYO WAKO MAANA NDIO KIFAA CHA KUFANYIA MEDITATION NA NDO UTAKUPA CONNECTION NA MBINGU.
MEDITATION NA DHORUBA ZA MOYO TOFAUTI KABISA!, PURE HEART NDO KILA KITU, BE IMMUNE TO BULLSHIT! KIMBIA VISHAWISHI, MIMI HIZI SIKU KUMI (10) SIINGII PAGE ZA UDAKU KABISA, I DON’T WANT MY HEART CORRUPTED WITH IMPURITIES!.
KEY TO EFFECTIVE AND EFFICIENT MEDITATION IS A CLEAN PEACEFUL HEART AND SOUL!, SIKU KUMI (10) HIZI NI ZAKO KUTENGENEZA MAMBO YAKO NA MUNGU.
THERE WILL BE ENOUGH TIME FOR OTHER BULLSHIT, NDiO KWANZA FEBRUARY TUPO! MUDA WA BULLSHIT BADO UPO WA KUTOSHA.
AMKA ASUBUHI SALI ZAKO, UNAWEZA KUTUMIA FORMAT YA PART ONE (1), THEN ANZA KU-MEDITATE ZAKO KUANZIA HIYO ASUBUHI, MKARIBISHE ROHO MTAKATIFUMMEDITATE WOTE!
HIZO PRAYER POINTS UNAZISEMA KILA MUDA MPAKA IWE HAIWEZEKANI KUZISEMA TENA MAANA UMEZISEMAA! AFTER ALL KILA SIKU ZINABADILIKA.
PUT YOUR SOUL IN THE MEDITATION, MUULIZE MUNGU NA ROHO MTAKATIFU KUTOKA NDANI YA MOYO WAKO KWANI NI HILO ENEO LINAKUWA GUMU? ONGEA NA MUNGU WAKO WITH A SOUL!, PUT YOUR SOUL IN THE PRAYERS!.