1Wakorintho 4:20
Maana ufalme wa Mungu hauwi katika neno, bali katika nguvu.
1Corinthians 4:20
20 For the kingdom of God is not in word, but in power.
Hii power of the Kingdom of Heaven imezungumziwa sana mpendwa. Issue sio kujua kama ipo, Unajua kama ipo, Issue ni kuweza kui-Access hii power.
Kuweza ku-tap in this power is a process which you can follow and tap!, Sio ngumu, Just follow the instructions to the end na Hapa NDIYO shida ilipo, FOLLOW THE INSTRUCTIONS.
Unakuta hii program mtu anajiamulia kuanza Day 11, Ndio kaamua Sasa na yupo serious anafanya lakini kuanzia Day 11 na amejizatiti kupata majibu.
Haya mambo yana PROTOCAL ambazo usipozifuata hutoboi, Mimi nilitoa maelekezo kabla ya program wengi hawakufata zile preliminary na sahivi wana audacity ya kuni-laumu kwamba hawaja weza kumshusha Roho Mtakatifu.
Hujampokea Yesu kwenye maisha yako, huja surrender to Jesus! Una mambo kibao, WHO do you take the Holyspirit for ?, Kumpokea Yesu na ku-surrender your life to Jesus sio lazima kanisani, Japo ni vizuri ukifanya kanisani lakini kama kanisani unaona jau what matters ni MOYO wako kufanya maamuzi na kusimamia.
BILA KUFANYA MAAMUZI NA KUFATA PROTOCAL ZA KWENYE MAANDIKO KUNA DIMENSIONS HUWEZI KU-OPERATE! HUWEZI KU-OPERATE KWA UJANJA UJANJA, HUWEZI KU OPERATE KWA TWO FACED MODE NA MOYO WA HILA.
Wapendwa kuna mtu akaniambia mbona Mimi nimeokoka muda na nishatoa maisha yangu kwa Kristo sijawahi fika hizi Dimension kabla, Nikawambia ulifanya theoretical, Moyo ulikuwa bado huja surrender na ulikuwa na hila ndani yake, Sasahivi huna na upo moyo safi ndio maana MBINGU sasa zinajifunua kwako, Issue SIO mtumishi wala SIO nini?, MOYO wako na nafsi yako zipo kwenye Mode ya utukufu?.
WENGI MMEKWAMA HAPA KUJIWEKA KWENYE MODE YA MBINGU KUJIFUNUA KWENU, YAANI HATA UMPE MTUMISHI SH NGAPI NIULIZE MIMI!, HAWEZI KUZIFANYA MBINGU ZIJIFUNUE KWAKO.
WEWE FANYA MAAMUZI LEO HII YA KUMPOKEA YESU KAMA MWOKOZI WA MAISHA YA KO NA KU-SURRENDER YOUR LIFE TO JESUS TOKA MOYONI, NI KITU UNAWEZA KUONA KIDOGO ILA KITAKUPA MILLAGE KUBWA SANA.
KUNA WENGINE MNA-PAMABANA NA KUFIKA VIWANGO VYA MUNGU KUJIFUNUA KWENU LAKINI AS SOON AS ZIKIJIFUNUA IKAANZA NEEMA KIDOGO TU, MNA RUDISHA HILA MOYONI UPYA YANI MNA-HARIBU KILA KITU NA NDANI YA DAKIKA CHACHE UNARUDI ULIKOTOKA NA WACHACHE NDO WANA JIKAZA KUDUMU NA UTUKUFU.
MIMI NAMSHUKURU MUNGU SANAA NINA MKONO WA NADHIRI NYINGI NAZO ANDIKA ZINAPITA KWA-SABABU PIA SITAKAGI NADHIRI ZA UBABAIFU PIA, ITS PREMIUM OR NOTHING NIPO STRICT KUKUBALI KUSIMAMA NA MTU AWEKE NADHIRI, LAZIMA INYOOKE.
LAKI ]NI HAMNA ENEO NIKO DISPOINTED KAMA HILO, KATIKA KILA WATU 10 WANAORUDI KUTOA NADHIRI ZAO HAWAZIDI WA 3/4, ITS FINE SABABU MAANDIKO NAYAJUA KINACHOPATIKANA KWA PROTOCAL LAZI MA KIDUMISHWE NA PROTOCAL.
Mimi nacho umiaa ni unakuta mtu 36/37 ndo anaenda kazi ya kwanza na hana mume wala hana investment yoyote, Finaly things are working japo ndio lala salama, Badala aone amehangaika vya kutosha anyooshe kama kazi imepatikana ndoa ni swala la muda tu, watoto ni swala la muda as long as upo kwenye right Path mambo yanafunguka, Finaly, lakini yeye hila zinamrudi upya anasahau asha salimisha maisha yake kwa Yesu.
Wapendwa kuna mwanangu alikuwa kijijini faida ELIMU kitu kama hiko she is 44! Hana mume, hana watoto na ameokoka muda hakupata tu right teacher, tulipambana mpaka akapata uhamisho kwenda Chuo Kikuuu na tuli maanake YEYE.
Nilimpa maandiko kwa maandiko, ikafika mahala nikamwambia walio kufunga mafundi kweli kweli, Leta sadaka kubwa bila hivyo hii ngoma imelala, maana uhamisho ulikuja toka utumishi mpaka chuo, Chuo wakaurudisha utumishi, akatakiwa akae huko huko na nna Masters!
Akatoa hio sadaka na Dose za maandiko, Chuo ndio wakamuita na ku-reverse barua ya utumishi kwamba nafasi imepatikana na ile vita tukashinda 2022 mpaka sahivi amepata kazi mbili(2) na Mishahara miwili (2) hivyo kwenye uchumi alivuka.
Kimbembe ndoa, Tangu 2022 yupo Single na sasahivi yupo mjinii it hurts even more MAANA watu wanajua kujishaua na familia zao na tumehangaika sio kidogo, wanao mfungaga ni Majini si watu, yaani toka 2022, HII program ndio Mungu ame-muahidi atampa Mume lakini aendelee kumtumikia na Mungu akisema limeisha Namuombea tu aki-olewa akazae fasta maana she is 44 na Sina stamina ya kudeal nae tenaaa kwenye uzazi, Yupo nje ya muda kabla ya menopause, Afosi HATA apate viwili au vitatu vya Voda fasta, sasaahivi ana maternity mbili, NSSF mbili ana wasiwasi gani?
Sasa Kuna binti nilimuandikia nadhiri, hapatagi kazi lakini katika hii program kapata kazi ya kawaida sana, cha kwanza hataki kuitoa ile nadhiri of which sishangai, lakini anataka asitoe nadhiri na mimi bado nimhudumie , kwa hio akawa anatengeneza mazingira ya kwamba ana madhabu nne(4) hajui ipi imejibu, Like hawezi kutoa, Mimi nikamwambia haina shida we-toa kwingine akaseama au nitatoa 1/4 kila sehemu, Nikamwambia mimi sikusimamia nadhiri robo wakati unaweka hukujua una madhabau nne, We toa huko nimekuruhusu.
Mimi nimemuhurumia maana hio kazi ilikuwa mwanzo tu ndo kwanza vitu vimeanza, mwenzie ana kazi mbili kwa uaminifu mdogo tu na zote za MAANA, yule waleo amepata offer nne(4) na program haijaisha, vitu ndo kwanza vimeanza kufunguka, Mambo bado kwani Hana ndoa, hana mahusiano na hana hata mtoto na age go! Badala alipe nadhiri yake asonge mbele na hivi vilivyobakia mwaka umeanza vizuri kwake, Hapana lazimaaa atibueeee kila kitu, Aanze upya DONT MAKE THIS MISTAKE.
PRAYER POINT
ROHO MTAKATIFU THIBITISHA NGUVU YA UFALME WA MBINGUNI KWENYE CHANGAMOTO ZANGU KWA JINA LA YESU, I MEAN IT AND PUT IN YOUR SOUL IN IT.