Luke 5:13-14
13 Jesus reached out his hand and touched the man. ” I am willing,” he said. “Be clean!” And immediately the leprosy left him.
14 Then Jesus ordered him,” Don’t tell anyone, but go, show yourself to the priest and offer the sacrifices that Moses commanded for your cleansing,as a testimony to them.”
Luke 13:10-17
10 And he was teaching in one of the synagogues on the sabbath.
11 And, behold ,there was a woman which had a spirit of infirmity eighteen years, and was bowed together, and could in no wise lift up herself.
12 And when Jesus saw her, he called her to him, and said unto her, Woman, thou art loosed from thine infirmity.
13 And he laid his hands on her: and immediately she was made straight, and glorified God.
Hizi issue mbili (2) zinalandana lakini hazi-husiani, Kuona zina husiana lazima usome kwa kutuliza kichwa sana, sana. Na usome English version na iwe ya King James Version ( KJV), lakini ukisoma version zingine ujumbe unakuwa very unclear.
Kwenye Cases zote mponyaji ni Yesu Kristo na waliponywa wote waliokuwa na maradhi deadly deadly, Similarity ya haya matukio mawili (2) inakuja YESU anatamka nini kabla haja release healing?
KWENYE LUKA YESU ANAMWAMBIA YULE MKOMA “TAKASIKA” TUUU, NA UKOMA GO AWAY , SASA JIULIZE KUNA RELATION GANI YA UTAKASO NA KUONDOA KWA UKOMA ?
Ukija kwenye case ya Mwanamke, Yesu ANA CAST OUT OF HER SPIRIT OF INFAMIRTY KWANZA Woman,” Thou art loosed from thine infirmity.” , ALAFU NDIYO ANA PROCEED KUMUWEKEA MIKONO NA KIBIONGO KINA NYOOKA.
Ukiwa unabuluza unaweza usione connection yoyote kati ya haya matukio mawili, lakini ukituliza bichwaaa hilo likatulia utaona YESU KABLA YA KUDEAL NA UPONYAJI WA MWILI AMBAO NDIYO ULIKUWA EXPECTED NA KUNGOJEWA KWANZA ANAANZA NA UPONYAJI WA ROHO ZA WAHUSIKA KWA KU ADRESS SPIRITUAL ISSUES BEHIND HIZI PHYSICAL DISEASES.
WAPENDWA MFANO KWA YULE MKOMA ANAMTAKASA KWANZA KUANZIA ROHO NA AUTOMATICALLY MWILI NAO UNA TAKASIKA. KWA MWANAMKE AKAMTENGA YULE MWANAMKE NA ROHO YA INFARMITY ILIYO MSUMBUA MIAKA 18 THEN NDIYO ANA MUWEKEA MIKONO KUMPONYA KIBIONGO NA KUMNYOOSHA MGONGO WAKE.
Watu wengi mnakuja kwangu ”Nataka kazi mtumishi “, Nataka ndoa, nataka cheo, uzao, jua na mwezi vyote mnataka nyie, Issue inakuja HAMPO TAYARI KU-DEAL NA MAMBO YA KIROHO YALIYOSABABISHA MPAKA UKAKWAMA PHYSICALLY HILO ENEO.
UKIONA ENEO UMEKWAMA KIMWILI LEO HII JUA USHAKWAMA ROHONI MIAKA MINGI ILIYOPITA, KUKWAMA PHYSICALLY NI MANIFESTATION TU YA SPIRITUAL FAILURE NI YA MUDA MREFU, NDIYO MAANA WENGI HUWAGA HATUELEWANI, MAANA WEWE UNATAKA KUKWAMUA ISSUE PHYSICAL LAKINI MIMI NAKWAMBIA ANZA KUJIKWAMUA SPIRITUALLY LUGHA ZINAANZA KUGONGANA, MAMA MIMI NATAKA KAZl TU SITAKI KUOKOKA! I’M HAPPY BEING ROMAN AND LUTHERAN!
Sasa being Roman or Lutheran doesn’t warrant you to be BIBILE ILITERATE AND SPIRITUALY WEAK, The Roman Church is an Appostolic Church as in Kanisa Katoliki la Kitume, Sasa how can you identify as Roman Catholic na hao Mitume hujasoma waraka hata mmoja ?
Wale wanao nisikiliza na kurekebisha mambo yao kiroho ni swala la muda tu, mambo yao ya duniani yanaanza kwenda vile walikuwa wana kusudia.
MPENDWA TENGENEZA MAMBO YAKO KIROHO, THEN AUTOMATICALLY NA MWILINI YATA ANZA KWENDA VILE WEWE UNA KUSUDIA, TAMBUA NI UONGO MTU MWENYE ROHO DHAIFUUU AWE NA MATOKEO THABITI.