KUZALIWA KWA YESU NI KUZALIWA KWA TUMAINI JIPYA (SUNDAY WORD)

Wapendwa mimi binafsi siku aliyo zaliwa YESU ni muhimu sana kwangu, na ni moja ya siku zinazo nipa tumaini jipya maishani kila mwaka, Mpendwa ukisoma AGANO LA KALE, maandiko yanaongelea kabila la Waisrael na uhusiano wao na Mungu, Agano la kale as much as it was very insightful and informative it had many loose ends, Many un answered questions! Mambo mengi yalikuwa 50/50  sana.

Agano jipya lote kuanzia injili mpaka ufunuo ALL THAT IS WRITTEN WAS WRITTEN ABOUT JESUS, Na kwenye agano jipya ndio haswa shit starts getting real, MWANA WA MUNGU NDIYO ANAINGIA KWENYE EQUATION RASMI SASA BRINGING THE MIGHTY, THE POWER AND THE GLORY, ANALETA NEW DIMENSIONS ZA KUACHA KU-WORSHIP KWENYE MILIMA WALA YERUSALEM NA KU-WORSHIP IN TRUTH AND IN SPIRIT, ANATOA ACESS YA HOLY GHOST, UKIKAZA UNWEZA KUFIKA LEVEL ZA JUU JAPO BINADAMU UKA OPERATE NA THE GLORY! THE MIGHTY AND THE POWER MPAKA WATU WAKA KU-OGOPA.

Wapendwa bila agano jipya you will always play for the defensive dimension, Ungoje shetani akutungue wewe uji-defend, Wakati ukijifua na agano jipya you will play on the OFFENSIVE dimension, Unapeleka moto just because you can and you feel like it, The Appostle style, No one will dare offend nor try you, They know ALL HELL WILL BE LET LOOSE ON THEM.

James 4:7-8

Submit yourselves therefore to God. Resist the devil, and he will flee from you. Draw near to God, and he will draw nigh to you.

THE MILLION DOLLAR DOCTORINE TO ANY CHRISTIAN NI KUJUA KWANINI YESU ALIZALIWA? NA SIO KUFATA MKUMBO KUSHEREKEA MASSIAH KAZALIWA WAKATI HUJUI HATA MAANA YA MASIAH, HUO NI USHABIKI WA DINI, NA HAUTAKUSAIDIA KITU, DINI YA KUEGESHA SIO DINI KNOW YOUR FACTS.

MPENDWA UKIJUA KWANINI YESU ALIZALIWA UTAJUA MANUFAA YAPI UNAWEZA KUYAPATA KWA KUZALIWA YESU, UTAJUA NAMNA GANI UNAWEZA KUMTUMIA YESU KUVUKA HIYO JELA AMBAYO UPO.

YESU ALI ZALIWA KWA MADHUMUNI YAFATAYO ;

1.YESU ALIKUJA AS TRUE THEOLOGY OF GOD.

Yohana 1:14

14 Nena akawa mwanadamu akaishi kati yetu akiwa amejaa utukufu na kweli.Tuliona utukufu wake,utukufu wa Mwana pekee wa Baba.

Wapendwa kabla ya ujio wa YESU kuna binadamu na manabii walisha uona utukufu wa Mungu kupitia maono na njozi among them ni Nabii Ezekiel, Isaiah, Elia, Elisha, Yakobo,  Gideon, Yoshua! Wengi walishapata encounter na utukufu wa Mungu, Lakini zilikuwa kwa kutambo kifupi na hamna consistency hivyo, utukufu walio ujua wao ulikuwa vipande vipande tu.

On other hand YESU Akitoka Mbinguni, kona zote za Mbingu anazijua na viumbe wote wa Mbinguni wana mjua nje ndani. Mpaka shetani akamjaribu kwa kumwmbia kama vipi mshkaji jirushe tu mpaka chini si malaika wata kudaka.

YESU alikuja kufunga na kufundisha THEOLOGIA YA KWELI KWAMBA MUNGU NI NANI?, ANATAKA NINI TOKA KWETU?, ANA UWEZO GANI?, ANATAKA MAHUSIANO YA AINA GANI TOKA KWETU? AKA SIMIKA TRUE THEOLOGY KUHUSU MUNGU HAPA DUNIANI SABABU ALIONGEA ANACHO KIJUA KAMILI NA ANACHO KIJUA KWA UHAKIKA NDICHO ALICHO KIONGEA.

 

2. ALIKUJA KUSAHIHISHA MISCONCEPTIONS KUHUSU MUNGU ZILIZO KUWEPO

 

Musa ali-mdescribe Mungu kama BURNING BUSH, REALLY MOSES ?, Description ya Nabii Ezekiel was even more complicated than explanatory kupitia Ezekiel 1:1,26; Prophet Isaiah nae anatoa maono yake ya kumuona Mungu kwenye Isaiah 6:1- 5!; Ambapo kusoma utasoma ila utakacho ambulia ni fascination yake tu ya kushuhudia utukufu na hofu yake kwamba pamoja na unajisi wake ila Mbingu ameziona, Nothing that can help you see the glory also, Nabii Miccaiah  kwenye 1 Wafalme 22:19, Ana muona Mungu LIVE na ana-detail maono yake, Yet again hayo maono yana address one issue interely and that’s it.

So of all people JESUS had the correct concept of who God is, anataka mahusiano gani na sisi, na jinsi gani ya kumjaribia Mungu zaidi, Kwa hii ndiyo maana alizinguana sana na Mafarisayo kwenye issue kibao kama kuponya Siku ya Sabato, Kuwaruhusu wanafunzi wake wavune Masuke wale waki ivunja Sabath!

Matthew 12:3-8

Jesus said, ” Really? Didn’t you ever read what David and his companions did when they were hungry, how they entered the sanctuary and ate fresh bread off the altar, bread that no one but priests were allowed to eat? And didn’t you ever read in God’s Law that priests carrying out their Temple duties break Sabbath rules all the time and it’s not held against them? ” There is far more at stake here than religion. If you had any idea what this Scripture meant-‘I prefer a flexible heart to an inflexible ritual’-you wouldn’t be nit picking like this. The Son of Man is no yes -man to the Sabbath; he’s in charge.”

 

3.ALIKUJA KUTENGENEZA MODEL YA VICTORIOUS LIFE;

 

Kabla ya kuzaliwa kwa Yesu KULISHINDA GIZA ILIKUWA IMPOSSIBLE, Hata sasa kushinda uovu bila YESU ni UONGO, Babu zako walipelekeshwa na giza, baba zako walipelekeshwa na giza, wewe una pelekeshwa na giza, GIZA SIO JEPESI KWAMBA ULISHINDE KIZEMBE, UMELIKUTA LINA TARADADI NA UTALIACHA, SHETANI UMEMKUTA NA MAMLAKA YAKE NA UTAWALA WAKE WA GIZA NA UTAMUACHA NAO.

Mwamba peke yake JESUS CHRIST OF NAZARETH NDO ALIKUJA DUNIANI AKAFANYA NAYE BATTLE YA MAN TO DEVIL MIXER GOD TO DEVIL NA AKA SHINDA, KABLA HAJAPAA ZAKE MBINGUNI AKAWAACHIA WANAFUNZI WAKE NA WAFUASI MKEKA ‘”‘DEFEATING THE DEVIL”, AMBAO IN REALITY NI INJILI!

ILE MWAMBA NISHAMPIGA NJE NDANI NA MFUMO WA KUMFUMUA KUTOKA KWENYE MAISHA YENU NI HUU, ZANA NI HIZI JINA LANGU, DAMU YANGU, NAWAONGEZEA NA MSAIDIZI ROHO MTAKATIFU, DIAL YA JESHI LA MALAIKA BADO IPO ACTIVE, ISITOSHE MIMI NAPAAA KWENDA KWENYE MICHAKATO YANGU MBINGUNI LAKINI 24/7 MKINI POKEA NA KUNIPA MAISHA YENU NITAISHI NDANI YENU, NA YULE MJINGA NISHAMPIGA NJE NDANI MBELE YENU NA NIKIKIHI NDANI YAKO ATATOKA NDUKI, HANA JEURI YOYOTE KWANGU, THUBUTUUU YAKE!

MAISHA YA USHINDI NA MFUMO WA YESU NI UJI NA MGONJWA, HUWEZI KUISHI MAISHA YA USHINDI BILA KUJUA MODEL YA YESU ALIYOMSHINDA NAYO SHETANI NA KUI-ADOPT KWENYE MAISHA YAKO, MODEL YA SALVATION NDIYO ROAD TO VICTORIOUS LIFE, NI KUSHINDA JUMATATU MPAKA JUMATATU, UNAINULIWA UTUKUFU MPAKA UTUKUFU SHAITAN RAJEEM KAMA HAKUONI VILE SABABU ANAJUA MODEL YA SALVATION UKO NAYO AND YOU WON’T HESITATE TO USE IT AGAI NST HIM, KWENYE BALL LA KIROHO TUNASEMA IMEKUWA “PENALTY”.

1 Corinthians 1 5:57 – But thanks be to God, Who gives us the victory through our Lord Jesus Christ.

Philippians 4: 1 3 – I can do all things through him who strengthens me.

John 1 6: 33 – I have said these things to you, that in me you may have peace. In the world you willhave tribulation. But take heart; I have overcome the world.”

 

4. YESU ALIZALIWA KUJA KUTUKOMBOA NA UTUMWA WA DHAMBI;

 

Binadamu dhambi ishamkolea na kuishinda dhambi na ilivyo tamu alisha shindwa, Amejaribu wee lakini imeshindikana, Ndiyo maana hata wewe HUTAKI KUOKOKA WALA KUMPOKEA YESU ILA UNATAKA KUISHINDA DHAMBI EMBU KWANZA NICHEKE KICHINA, Sio kweli mwanangu!

Mtu kabisaa ana dhamiria kwa wema bila KUMPOKEA YESU ana-acha zinaa, Tunakupa wiki tatu (3)’ Shetani anakupa JOKERI yule crash wako anakuja ,”VIPI DADA MLOKOLE UTATOA HUTOi?” KWISHAAA KAZI.

YESU ANAPAMBANA NA VISHAWISHI VYA KUISHINDA DHAMBI MPAKA ANATOKA JASHO LA DAMU BUSTANINI, FA-MASIHALA NA DHAMBI?

DHAMBI ILISHA TUSHINDA BINADAMU WOTE, MUNGU ASHAKASIRIKA AKASHUSHA GHARIKA,  AKACHOMA MIJI YA SODOMA NA GOMORA, ASHASHUSHA MARADHI YA KUTISHA, LAKINI WAPI, BINADAMU NA DHAMBI NI MKATE KWA CHAI, HAKUNA BOFLO GUMU MBELE YA CHAI.

MFALME SULEIMAN WAMEENDA VIZURI KAMPA MAHEKIMA KAMA YOTE, UTAJIRI NDIYO USISEME, AMANI HAKUWAHI KWENDA VITANI HATA NUSU SIKU,  LAKINI WAPI?, MWISHO KAISHIA KUTUMIKIA MIUNGU MINGINE CHEZEA UTAMU WA PAPA ZA WANAWAKE WA KIGENI?, WAKAISHIA MUNGU KU-URARUA RARUA UFALME WAKE NA KUMUACHIA KITI KIMOJA KWA AJILI YA MFALME WAKE DAUDI.

WENGI MNA SEMA MUNGU AKINIBARIKI MALI SITATENDA DHAMBI KABISA, KWANINI NITENDE ?, KWA TAARIFA YAKO PESA NA MALI ZINA AMPLIFY TU WHAT KIND OF A PERSON YOU ARE, KAMA WEWE UNA DHULUMU 20,000/= TSH, NDO UTAKUWA MUAMINIFU KWENYE MILLIONI 200? SIO KWELI, KAMA ZAKA HALALI YA 80,000/= TSH HUTOI NDIYO IFIKE ZAKA YA  MILLIONI 5 UTATOA ? SIO KWELI, KAMA HAPO UMEPAUKA UNAGAWA HOVYO HOVYO KWA WATU WA HOVYO HOVYO KWA SABABU ZA HOVYO HOVYO NDIYO UWE UMETAKA SASA NA UMEPATA INFLUENCE NA UMEWEKA TAKO LAKO DADA LA MTURUKI UNATAKIWA NA WATU WA MAANA KWENYE TAIFA HILKI WA SABABU ZA MAANA NA MALIPO YA MAANA NDIYO KUSEMA UTAKATAA? THUBUTU YAKO, NDIYO UTAGAWA KAMA MBWA

 

BARAKA ZA MUNGU ONLY ZINA AMPLIFY WHO YOU ALREADY ARE, KUNA WATU HAWANA KAZI ILA WANA LIPA ZAKA, AKIBANGAIZA ZAKE HUKO AKAPATA MAOKOTO MAANA HANA MSHAHARA ANAENDA SAWA SAWIA NA MUNGU, AKIAMINI IPO SIKU MUNGU ATACHEKA UPANDE WAKE, NA INAFIKAGA.

MWINGINE ANA MSHAHARA MKUBWA ILA YUPO BUSY KU-EXPLAIN KWANINI KARUKA ZAKA KAMA ZOTE WHICH IS FINE TO ME, SI MTU MZIMA UMEAMUA KWENDA SOLO, SIO KESI, LAKINI ANATAKA KU-FINESE HUDUMA ZA KIROHO, APEWE HUDUMA ZA KIROHO ABARIKIWE ZAIDI ILI AKWAPUE  ZAKA ZAIDI.

MIMI BINAFSI NAJIOMBEA SANA, NISIWE BLINDED NA BARAKA ZA MUNGU WALA NISIBABAISHWE NA NEEMA KUNIZIDIA, NAOMBA BARAKA ZA MUNGU ZISINITOE KWENYE RELI, NIBAKIE NAJUA NAFASI YA MUNGU KWENYE MAISHA YANGU NA NISIJE KUMLETEA MAZOEA YA AINA YOYOTE NIKARUDI ALIKONITOA.

Mathew 20: 28

28 Even as the Son of man came not to be ministered unto, but to minister, and to give his life a ransom for many.

Yesu alikuja kuishinda Dhambi kwa ajili yetu, MKARIBISHE YESU KWENYE MAISHA YAKO MUISHINDE DHAMBI PAMOJA NA KU-ACHIEVE VICTORIOUS LIFE.

Hebrews 2:14

14 Since the children have flesh and blood, he too shared in their humanity so that by his death he might break the power of him who holds the power of death-that is, the devil.

 

Colossians 1:22

22 But now he has reconciled you by Christ’s physical body through death to present you holy in his sight, without blemish and free from accusation-

 

MERRY CHRISTMAS TO YOU AND YOUR FAMILY.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk