TAFSIRI ZA NDOTO SIYO ENEO LANGU

Jamani msema kweli ni mpenzi wa Mungu eneo la ndoto sina upako nalo hata robo, Mwisho wa siku mking’ang’ania nitakuwa na wapa opinion zangu binafsi na sio revelations, Ukiacha kutokuwa na anointing pia hata juhudi za kujifunza kwa binadamu wenzangu nimeshindwa maana naona ni ubabaifu na guess work, Hamna Doctorine yoyote behind. Na baada ya kuchimba maandiko nimekuona ni pointless zaidi kujifunza maana gharama zake ni kubwaa sana kuweza ku-operate kila siku na kwa kila mtu.

NDOTO KUBWA ZILIZO-OTWA NA KUTAFASIRIWA KWENYE MAAGANO YOTE  YAANI AGANO LA KALE NA JIPYA ZILIHUSIKA NA WAFALME OR PEOPLE OF INFLUENCE NA SCOPE YA HIZO NDOTO ILI AFFECT JAMII NZIMA YA WATU FLANI.

HAKUNA NDOTO BINAFSI ZA MTU WA KAWAIDA KAWAIDA KUHUSU MAMBO YAKE BINAFSI ZILI TAFSIRIWA ZIKA-ANDIKWA KABISA SERIOUS NA KU-GO ON RECORD, THUBUTU! NA KULIKUWA NA SABABU ZA MSINGI SANA!.

Ukianza Ndoto ya Pharao, Interpretation yake ilipatikana kwa gharama kubwa sanaa za ahadi nono na  tafsiri hakutoka mikono mitupu, uwaziri mkuu siyo haba, Ukizingatia ndoto ilihusu taifa zima la Misri kwa scope ya miaka kumi na nne (14), Everything made sense kupambana kuitafsiri, Issue yote ipo Mwanzo arobaini na moja (41) soma yote.

Nebukadneza  zingatia naye hakuwa hohe-hae, Bali MFLAME pia anaota ndoto, Kama Pharao ana waita wanajimu, waganga, wanga na kila mtu ambae anajiona yupo up to the challange. HE RAISES THE STAKE FURTHER, UNLIKE PHARAO KWAMBA ANAKWAMBIA NDOTO THEN WEWE UONE KAMA UTAITAFSIRI AU VIPI, HELL TO THE NO, HATAKI UBABAIFU, UNA SIGN KABISA KAMARI YA KIFO KWAMBA AKISHA KWAMBIA HIYO NDOTO NI MAWILI (2),  UTAFSIRI UPATIE AKUTUNUKU UTAJIRI NA TUNU MBALIMBALIAU ULETE UBABAIFU USHINDWE AKUPOTEZE JUMLA-JUMLA KWA KUKUKATA KATA MAPANGA, KUDADADEKI!

WATU WACHAWI WANA ROHO NGUMU WAKASEMA WE SEMA NDOTO YAKO MKULU KUFA KITU GANI BWANI MBELE YA MITUNU NA UTAJIRI, KUFA TUTAKUFA ISSUE NI LINI, TUNAJITOA MUHANGA LETA MANENO.

MFALME YULE ALIVYOKUWA KATILI AKASEMA SASA KAMA KWELI NYIE WACHAWI NA MNA ELIMU YA GIZA NACHOTAKA NYINYI NDIYO MNIAMBI E NIMEOTA NINI?, MKIWEZA KUJUA NINEOTA NINI NA MAANA YA HIO NDOTO KWELI MTAKUWA MNAIJUA, KUDADADEKI BILA NGUVU ZA KIROHO HAPA.

Wanaleta ubabaifu kwa Mfalme na Mfalme anasema kifo tu kuwahusu, Mnajitia mnaona rohoni kumbe weupe! Alaaaa! Bahati yao Daniel anaingilia kati na kumuomba Mungu sana ndiyo ana mpa tafsiri.Na the only reason Daniel anajitosa kuwaokoa nisababu Mfalme alisha issue DECREE YA KIFALME WAUWAWE ” SO MKAE MKIJUA NEBUKADNEZA ALIPATA TAFSIRI YAKE LAKINI KWA GHARAMA GANI?, THREATENING PEOPLES LIVES REALLY ?

NDOTO ZA HAWA WAFALME ZINA ONE THING IN COMMON, WALIOTA PARABLES AU VITENDAWILI WALICHOKIONA NDOTONI SIO UHALISIA NI MAFUMBO, AMBAYO  ILILAZIMU YAFUMBULIWE!

AINA HII YA NDOTO  NI TOFAUTI NA NDOTO WALIZO-OTA KINA MAMA JUSI NA JOSEPH WAKATI MTOTO YESU KAZALIWA, HAWA WALIONA MAONO KWENYE NDOTO CRYSTAL CLEAR! NA MESSAGE ILIKUWA DIRECT AND TO THE POINT.

 

Mathew 2:12-23

And being warned of God in a dream that they should not return to Herod, they departed into their own country another way. And when they were departed, behold, the angel of the Lord appeareth to Joseph in a dream, saying Arise, and take the young child and his mother, and flee into Egypt, and be thou there until Ibring thee word: for Herod will seek the young child to destroy him.

All in all kutafsiri ndoto is not my cup of tea, Hata kama ni nyie kuwezaa? Kita mtu afanye kazi ya kuota kwa raha zake alafu mimi nifanye kazi ya kutafuta maana, Maana yajana hujaipata mtu kashaota tena tano(5) za kufululizana, ITS NOT PRACTICAL!

YOUR LIFE YOUR CHOICES, KAMA UKIAMUA KUFATILIA NDOTO ZAKO NI WELL AND GOOD!, LAKINI MIMI KAMA MIMI SINA MSAADA KWAKO, I PREFER TO KEEP MY INTERGRITY AND FEAR OF GOD!.

MAANA KUMPA MTU OPINION ZAKO NA SIO REVELATIONS NI KU ABUSE GODS TRUST,  MAANA UNACHO MWAMBIA NI JUST YOUR MERE OPINIONS, YOU COLD BE RIGHT OR WRONG! NI KAMARI, AND THEM MTU KWA KUAMINI WEWE NI MTUMISHI ANABEBA OPINIONS ZAKO KAMA REVELATION NA KU-EXPECT, ITS PURE EVIL, YAMKINI BILA HIZO OPINION ANGEFANYA MAAMUZI MENGINE!

MIMI KAMA MIMI SIPO VIZURI HILO ENEO LA NDOTO, NA KULIPA GHARAMA NA KWENDA IN DEPTH KUTAFUTA MAANA SABABU INAWEZEKANA  MFANO KWA KUFUNGA MPAKA MUNGU ASEME SIPO TAYARI, NIWE MKWELI NA UKWELI UTANIWEKA HURU.

MIMI KAMA MIMI HATA NIOTE NIMEKUFA SIPEPESI KOPE, SABABU KAMA NILIVYO WAAMBIA KUFATA NDOTO KUMENILA SANA, TENA SANAAA! MPAKA KUME NITRAUMATISE NA HIZI TRAUMA ZIMENIFUNDISHA KWA NJIA NDEFU KWAMBA NIMUAMINI MUNGU NA MAANDIKO YAKE TU WAKATI WOTE 24/7 REGARDLESS NIMEOTA NINI, MUNGU BADO ATAKUWA MUNGU NA ANA NGUVU KULIKO NDOTO NA KILICHO ANDIKWA KIMEANDIKWA,  MAMBO YOTE YATAPITA ILA NENO LITASIMAMA, NDOTO ZITA BADILIKA, ZITAZEEKA NA KUSAHULIKA ILA NENO LITA SIMAMA.

ULIMWENGU WA NDOTO NI ULIMWENGU HATARI SANA NA KU-TREAD KWENYE HUO ULIMWENGU NI KAMA KU-TREAD IN HIGH DANGEROUS WATERS, WE ULIMWENGU UNA TUMIWA NA WAFU NA WALIO-HAI UNADHANI NI WA MCHEZO MCHEZO ?, THUBUTU!, ULIMWENGU WALIO KUFA WANA TAMBA KAMA KAWAIDA NA WALIO HAI WANA PINDUKA HUMO HUMO, ULIMWENGU AMBAO TIME NA MAJIRA SIO FACTOR WALA SIO SHIDA ZAO! KUPELEKWA MIAKA 20 NYUMA SIO SHIDA ZAO.

NA KUPELEKWA MAIAKA 30 MBELE SIO SHIDA ZAO VILE-VILE, KAMA PAHARAO WAME M-DUPLICATE MIAKA KUMI NA NNE (14) MBELE KUDADADEKI, MTU KWENYE ULIMWENGU HUU KAFA SIKU NYINGI HATA WEWE HUJAMKUTA ALAFU KWENYE ULIMWENGU WA NDOTO ANAKUJA LIVE MJUKUU WANGU VIPI? MIPANGO YAKO VIPI?  YAANI ANA CHEAT TIME LIVE LIVE ILI TU KUKUPA INSTRUCTIONS ZA KIPUUZI JUU YA MKOBA WAKE ALIO UACHA.

MPENDWA UNA MKIMBIA LAKINI KAA UKIJUA MCHANA UTAKIMBIA ILA USIKU NDOTONI UTAMTAMBUA KAMA VIPI LALA KANISANI, IT IS A CHAOTIC WORLD, TO WIN IN IT IS IMPOSSIBLE ULIMWENGU UMEWAKOSESHA USINGIZI  MPAKA WAFALME ITAKUWA WEWE.

BUT NENO LANGU SIO SHERIA, KAMA UNAONA KWAKO NI MUHIMU NA UNA-RESOURCES ZA KUKUFANIKISHA ON YOUR QUEST, YOUR LIFE YOUR CHOICES! IT IS A FREE COUNTRY! LAKINI UKIJA KWANGU SITAKUWA NA MSAADA WOWOTE. MWENYEWE NIMEKIMBIA HUKO NA KUACHA MANY UNSOLVED MYSTERIES GOING DOWN IN MY HISTORY, OTHERS STAY TO FIGHT AND OTHERS WE RUN AWAY MAPEMA SANA, TUMEKIMBILIA KWA YESU! UVU!YOUR LIFE YOUR CHOICES.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top