HAKUNA KITU KITATOKEA MPAKA SIKU UTAKAYO ANZA KUWA NA IMANI NA MUNGU JUU YA HILO JAMBO KUTOKEA
Mpendwa unaweza kuwa na imani na Mungu in general, kwamba yupo na heavens and hell are real, LAKINI KUMUAMINI KWENYE MAMBO YA NDOA SIO YA KWELI, Hata kwa mbali!. Mtumishi akisema Mwaka huu naona utaolewa, Hata kama ulipanga kutoa sadaka ndiyo hutoi kabisa, Unaona kupelembana kumeanza, Msio olewa simameni au piteni mbele, Unasema OVER MY DEAD BODY.
You ain’t a bad person nor are you an unbeliever! lakini imani yako ina dimensions INA ENDESHWA ZAIDI NA WHAT YOU CAN SEE, DALILI NA VIASHIRIA!
Hebrews 11:1-3
Now faith is the assurance of things hoped for, the conviction of things not seen. For by it the men of old gained approval. By faith we understand that the worlds were prepared by the word of God, so that what is seen was not made out of things which are visible.
Waebrania 11:1-3
Kuwa na imani nikuwa na hakika ya mambo tunayo tumainia; kusadiki kabisa mambo tusiyoyaona. Maana wazee wa kale walipata kibali cha Mungu kwa sababu ya imani yao. Kwa imanisisi tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa Neno la Mungu; Vitu vinavyoonekana kutoka vitu visivyoonekana.
2 Corinthians 4:18
18 while we look not at the things which are seen, but at the things which are not seen. For the things which are seen are temporal,but the things which are not seen are eternal.
WAPENDWA HII NDIYO PASSWORD KUBWA SANAA YA KUVUKA KIIMANI, MARA ZOTE USI FOCUS KUANGALIA VINAVYO ONEKANA MAANA UNAWEZA KUVIONA VIZURI NA VIKA KUPELEKA CHAKA MOJA LA HATARI, VINAWEZA KUONEKANA KWAKO ILA VIKAWA ILLUSION TU PICHA KAMILI LINAKUJA!
KAMWEEEE, USIBASE IMANI YAKO KWENYE MATOKEO AU MAZINGIRA UNAYO YAONA, UNAWEZA KUPIGWA KATA FUNUA MOJA TAKATIFU IKAKUACHA MUTILATED AND NEVER THE SAME AGAIN.
Mara nyingi picha linaanza na kuamini ” THE UN SEEN” kwamba Mungu ni muaminifu atanipa mtu sahihi, Anafanya program na sadaka yake ananipa naila vizuri tu nimepakwa Mafuta kwa among kazi zingine ikiwemo hiyo ya kula kwa niaba ya Bwana, Kama unaona tunafaidi KARIBU, Mavuno ni mengi watendakazi ni wachache. All this time huyu mtu ANAFANYA YOTE HAYA KWA KUAMINI VISIVYO ONEKANA!
Lakini akija mtu na Negativity yoyote tu lina ungua yanabakia majivuuu, Hapa wasio-onekana wanaonekana wapuuzi sisi watumishi wao ndiyo tunaonekana Bangi watu. Mtu yule yule uliyekula Sadaka yake anakupiga na ‘”‘UMEONA WAPI NAMKATALIA MWANAUME SEX WAKATI MIMI SINGLE MOTHER ?, KIVIPI? ATANIONAJE ?” Moyoni nasema “”OLE WNAGU MIMI NILIYEKULA SADAKA YA BINADAMU GAIDI NA INANITOKEA PUANI!” , HOW DARE SHE DOWN TALKS ON THE HEAVENS AND WALK ALL OVER SCRIPTURES LIKE ITS NOTHING!
Kwasababu sasahivi dunia inakuonesha huyo Bwana unaye muona mtu kumbe Wolf unaona wasio onekana na visitor onekana ni “TOTAL BULLSHIT”.Huyo Bwana unae muona ndiyo REAL DEAL na hata akwambie ujinga gani as long as BWANA ni REAL basi hata ujinga wake ni VERY VERY REAL, Come on ! KWANZA HAMUONEKANI NA MAMBO YENU HAYA ONEKANI.
Mtu yule alifanya Program kwa moyo anakupiga IT’S 2025, HOW CAN YOU TELL A GUY NO SEX Unawaza DO THESE WHICH HAVE AN END ?, DEFINITELY NOT!, Mtu kashalala na wanaume thelathini (30) , Wachumba kumi (10) lakini bado AKILI HANA HATA ROBO.
Mtu anafanya interview ya kazi akiambiwa tu NOT SELECTED, Just like that all their faith is gone with the wind just like that because of those two (2) Words!, YAANI HIZO WORDS ZINA POROMOSHA IMANI YA MIAKA NA MIAKA, Mpaka nakuuliza ” WAS THE FAITH REALY THERE TO BEGIN WITH ?” I DON’T THINK SO.
Wengine wata kaza-kaza hapo kidogo, Mwanaume akitoa posa tu, Kwishaaaa kazi! Hata Mahari haita fikiwa! Miguuu Chanu, UMEONA POSAAA! KOSA LA JINAI “NAMKATALIAJE KASHA NIPOSA?”
KAMA ILI KUKUTOA KWENYE RELI ALL THAT IS NEEDED NI KUONA SHETANI ATAKUONESHA MAMBO MAZURI,YA KUFURAHISHA NA KULIWAZA MPAKA UTAFURAHI, WEWE SI UNATAKA KUONA?, BASI MAMBO UTAYAONA!, ISSUE NI KUWA JE ULICHOKIONA NIKWELI AU JUST AN ILLUSION ?
NDIYO YALE YALE “MUNGU KANIONESHA FULANI NDIYO MUME WANGU UNAENDA UNAPIGWA MASHINE KISAWA-SAWA NA KWA JINSI MWANAUME MWENYEWE ANAVYO KUPELEKEA MOTO ANAJIHAKIKISHA HATA KAMA MBINGU ZIMECHIZI ABADAN ASILANI WEWE SIO MKE MWEMA ATOKAE KWA MUNGU!” SIO KWA STYLE ZA KIDELILA NA KIJEZEBEL UNAZO MPA.
I SWEAR NILIONA YULE NI MUME WANGU, HATUJAKATA KUONA UMEONA, UTATA ULIOPO NI NANI ALIE KUONESHA?, SHETANI ALIJUA MAONO KICHWANI, CHUPI UVUNGUNI KWANINI ASIKUONESHE CHAAP KWA HARAKA?
UMEFUNGA SIKU THELATHINI (30) UPATE KAZI NA WEWE, NDOTO MOJA TU TENA YA KIWAKI, UMEFELI INTERVIEW! KWISHA, ULICHO KIONA NDIYO ULICHOAMINI, HUTAKI KUSIKIA LA MUHAZINI WALA MNADI SWALA.
Hutaki kusikia la Yohana Mtume wala Isaya Nabii, ulichokiona ndiyo umekiamini. Mimi mtu mjinga hivi huwaga sihangaiki nae, Ana ni fujaaa! WEWE KAZI YA MIEZI SITA (6) IFUTWE NA NDOTO MOJA (1) AAAH THUBUTU! YEYE NA SHETANI WAKWENDREE WAKAFIE MBELE, NI RAHISI KWAKE KUMUAMINI NDOTO ALIYO-OTA AMELALA KULIKO SIX (6) MONTH OF OUR HARDWORK? THEY DON’T DESERVE ME AS THEIR TEACHER, FORGIVE ME HOLYSPIRIT!.
WENGI WENU MNATESWA NA UPUUZI NA UPUMBAVU MDOGO MDOGO SANA, NA UNA WATESA KWELI-KWELI, MNA NYANYASIKA HATARI, MNA PELEKESHWA SANA NA MAMBO YANAYO ONEKANA NA KUJIKOSESHA MAMBO MAKUBWA YALIYOFUNGU LENU AMBAYO HAYAJA ONEKANA, MKITEKENYWA KIDOGO MSHAJICHEKESHA KWA SHETANI.
MNAFANYA IBADA NUSU-NUSU NA KUJITESA BURE NA KUJISHINDISHA NJAA KIPUUZI, MTU UNAJUA KABISA KWA KUJIENDEKEZA SIKU SABA (7) HUTOBOl ILA UTAFUNGA SIKU TATU (3), SHETANI ATA KUTEKENYA NA WEWE UTAISHIA HIZO HIZO TATU (3) ,WEEK IJAYO UNAANZA MFUNGO MWINGINE AMBAO NAO HUO UTAFUNGA ROBO!, IBADA ZENU ROBO ZIMEJAA KUJIENDEKEZA NA SELFPITY, NO REGARDS WHATSOVER KWA WASIO ONEKANA NA VISIVYO-ONEKANA.
UKIFANYA DINI CONTRARY NA MAANDIKO NA MAAGIZO YA MUNGU LAZIMA ITA KUSHINDA TUUU, KAMWE HUWEZI KUIPELEKA DINI IENDE UNAVYOTAKA WEWE, JUST BECAUSE UNAENDELEZA ZINAA BASI UNATAKA DINI IWEZE KU-ACCOMODATE UPWIRU WAKO , THUBUTUU! ITAKUWA DINI ITAKUWA UPUUZI! NDIYO MAANA WEWE UTAMZALIA MTOTO NA JUST FOR THE DEVILTO GLOAT ATAMUOA MTU HANA NAE MTOTO WALA HANA UHAKIKA WA KIZAZI CHAKE, MWENYE LIUZAZI LAKO HUKU UTACHEZEA SHILINGI CHOONI.
Waebrania 11:1
Kuwa na imani ni kuwa na hakika ya mambo tunayotumainia; kusadiki kabisa mambo tusiyoyaona.
Zingatia KUWA NA HAKIKA NA KUSADIKI KABISA KABISAA mambo usiyo yaona!
JUST BECAUSE UKO FOURTY (40) NA HUONI HIYO NDOA KWANZA HATA BWANA MWENYEWE HUNAA IT DOESN’T MEAN HIO NDOA HAIPOO, KICHWANI KWAKO INAWEZA ISIWEPO SI HUJIELEWI LAKINI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO, ULIMWENGU WA VISIVYO-ONEKANA IPOOO NA INA TARADADI.
SISI WENYE MAONO TUNAIONA AS CLEAR AS THE SUN, HATA MAPEPO KWA WALE WAKO NAVO YAKIPANDA YANAONGEA WAZI-WAZI “TUMEFUNGA ASIOLEWE, ASI PATE MUME, ATAVUKA KIMAISHAAA”, Mume yupi tenaaa na wewe kichwani mwako unachoamini hakuna mume wala ndoa, Hata mapepo yana kushinda kwa imani! Anyway sababu yamepiga ramli na KUCHUNGULIA hatma yako.
Unaweza kuwaza okay fine I give you benefit of the doubt Maybe I was wrong Mume yupo na kazi ipo, Na wenzangu Mungu amewanyima kuona visivyo-onekana, NAMPATAJE HUYU MUME AU HII KAZI?
Waebrania 11:1
Kuwa na imani ni kuwa na hakika ya mambo tunayotumainia;Nkusadiki kabisa mambo tusiyoyaona.
MUNGU ANAKURUDISHA PALE PALE PALIPO KUSHINDA MWANZO, KUWA NA HAKIKA MIA ASILIMIA KUWA MUME YUPO, NDOA IPOOO UNAYO NA UTATAMBA NAYO SOOON, KAZI IPO UNAYO NA UTATAMBA NAYO, HUAMBIWI KITU NA MTU WALA HUSIKII LA MTU, ILIVYO ANDIKWA KUSADIKI KABISA HAWANA UTANI NA WEWE, MBINGU HAZICHEKI NAWOWOTE ZINATAKA USADIKI KWELI-KWELI.
KUJICHETUA UNA IMANI IS THE EASY PART, THE HARD PART IS TO PROVE YOUR FAITH TO GOD IS REAL REGARDLESS THE TRIALS AND TRIBULATIONS, YOU SNOOZE YOU LOOSE! HAPA NDO WENYE ROHO NGUMU NDO TUNAO FAULU, WADEKAJI YOU WON’T LAST A SECOND, SABABU SHETANI ANA THE RIGHT AND PERFECT PORTIFOLIO OF PEPOLE KUKUHAKIKISHIA HAKUNA LOLOTE
It will be your own mother telling you “UNAZEEKA NDOA VIPI ? AU ZAA TU WATOTO WAKO” Kama Mchanga kiimani Utaona Mama ananipenda na hanitakiI mabaya, For Christ sake she is my Mumy!, She gave birth to me ananitakia tu mema ni mzingatie, Kwa sisi wakomavu unajua tu your mother is possessed, ALAS the devil in her is the one speaking, You rebuke it! ukimzingatia na kuzaaa siku ukimkuta ana waambia wadogo zako “Mjitunze muolewe msiwe kama huyu single mother wa humu nakutuletea aibu hapa” You will wish it was still the devil speaking! Nope! It’s the real her this time!
Shetani atamtuma ndugu yako wa damu aliye ofisini kukukatisha tamaa kazi hamna, Na hata kama zipo wewe huwezi kupata kwani ushindani ni mkubwa sanaa, WEWE KUWA WINGA TU, Hata kama application zako hazijibiwagisahivi wata kujibu YOUR APPLICATION WAS UN-SUCESSFUL basi tu kuku kata maini na kukunyofoa figo.
IT WILL BE YOUR OWN PEOPLE TELLINNG YOU THAT YOU WILL BE NOTHING AND YOU WILL GO NO WHERE NA WATAKUWA NA VALID REASONS, VERY VERY VALID! SASA NI JUU YAKO UNA WAAMINI WANAO-ONEKANA AU WASIO-ONEKANA?
Unaweza kumuona Bwana kaja kwenye Maisha yako uka HADAIKA kuzama kwenye dimbwi la zinaaa. Kumbe kaja kwa MUDA MFUPI TU! Chapa ilale, Kaja kuwa funzo kwenye maisha yako na sio Mume, “FOR WHAT IS SEEN IS TEMPORARY” Ukaacha kuilinda imani na uhusiano wako na Mungu ambao Mungu angekupa Mume wa Kuzikana nae, Mume wako wa maisha yako! Zije plate namba F,G,H za Pisi Kali, Gen Z, Gen A Mume yuko na wewe mpaka mzikane uanze wewe au yeye! “FOR WHAT IS NOT SEEN IS ETERNAL”
SIKU ZOTE BASE IMANI YAKO KWA MUNGU, UWEZA WAKE, UTUKUFU WAKE NA UTAKATIFU WAKE NA UAMINIFU WAKE! LINDA MAHUSIANO YAKO NA MUNGU KWA GHARAMA ZOZOTE, WEKEZA MUDA NA RESOURCES KUYAJENGA NA KUYAIMARISHA HAYO MAHUSIANO WHILE DRAWING CLOSER AND CLOSER TO GOD EACH DAY, UTAANZA KU EXPERIENCE UTUKUFU WAKE KWENYE MAISHA YAKO YA KILA SIKU!
HATA SHETANI AKIJARIBU KUKUYUMBISHA HUTAYUMBA SABABU IMANI YAKO TAYARI IMESHABASE KWENYE VISIVYO-ONEKANA NA IMESIMAMA DHABITI UONE AU USIONE CHOCHOTE KWAKO MUNGU NI YULE YULE, UTUKUFU WAKE NA UWEZA WAKE NI ULE ULE! UNACHO TUMAINI UNAKI TUMAINI NA UNACHO SADIKI UNA KISADIKI NO MATTER WHAT! IMEISHA.
MWANAUME AKIKWAMBIA NO SEX HAWEZI SIO SHIDA ZAKO, HAKUWA SAHIHI! ATAKUJA MWINGINE KUTOKA KWA MUNGU ASIE-ENDEKEZA UPWIRU NA KAMA MUNGU AISHIVYO ATAKUJA! MAMA ZETU WALIO-OLEWAJE ? TENA HATA SHULE HAWAKWENDA MASKINI, WAKIKUPIGA NOT SELECTED, MUNGU BADO NI MUNGU NA ATAKUFANYIA NJIA PASIPO NA NJIA, KAZINI KWENDA NI LAZIMA SIYO OMBI.