Ufunuo 3:8
Nayajua matendo yako.Tazama, nimekupa mlango uliofunguliwa mbele yako, ambao hapana awezaye kuufunga, kwa kuwa unazo nguvu kidogo, nawe umelitunza neno langu, wala hukulikana jina langu.
Prayer points!
1. Bwana Yesu unanijuaaa, umeona bidii yangu, nifungulie malango ya ( vitu ulivoandika) sawasawa na neno hili asiwepo awezae kufunga. Lord open my doors
2. Bwana Yesu kama maandiko yalivyo-kiri nguvu zangu ni kidogo na zinazidi kuishia, lakini kamwe sitakukanaaa, nifungulie malango ya (Vitu ulivyoandika) Na asiwepo awezae kufunga.