PART 1
Waebrania 11:3
Kwa imani sisi tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa Neno la Mungu; vitu vinavyoonekana kutoka vitu visivyoonekana.
Hebrews 11:3
3.By faith we understand that the universe was formed at God’s command, so that what is seen was not made out of what was visible.
WENGI NI WEPESI SANA KUKAA NA KULALAMIKA KWA MUNGU MAMBO AMBAYO HAWAJARIDHIKA NAYO, NA UNATUMIA MUDA MWINGI KUMSIHI AYAONDOE MAISHANI MWAKO HATA MUDA HUU-HUU.
YAANI UNATUMIA MUDA MREFU WA MAOMBI HATA KUWAZA TU KWANINI MAMBO YANAENDA HOVYO NA JINSI GANI YANA KUUMIZA NA KUKU-NYONGESHA KWENYE MAISHA YAKO, MPENDWA IBADA ZAKO ZA KINYONGE NYONGE NA KUJAA HUZUNI NA SIMANZI, ZIMEJAA KUKATA TAMAA NA MASHAKA, KUKOSA TUMAINI KABISA! YAANI UNA ENDESHWA NA HIYO CHANGAMOTO MWANZO MWISHO KINYUME NA IMANI YETU, UNA FOCUS KULALAMIKA KWA MUNGU NINI HUTAKI KUPITIA UNASAHAU KUJENGA NA MUNGU NINI UNATAKA KUUMBA NA UNAPENDA KUKI-ISHI.
SASA MBINGU ZINAKUWA SAWA ZIMEKUSOMA NINI HUTAKI KIENDELEE, LAKINI HUJA FUNGUKA BADO NINI UNATAKA HASA, MPENDWA MAOMBI YAKO MENGI YANAKUWA MUNGU MIMI NAZEEKA, KILA SIKU NAACHWA NA MABWANA, NAISHI NA UPWEKE, SINA KAZI, NADHARAULIKA YAANI UKIANZA KUSALI MALAIKA WANASEMA KUMEKUCHA, HUNA JIPYA HUNA UBUNIFU YAANI NI YALE YALE !
Elisha and the Shunammite Woman
8 One day Elisha went on to Shunem ,where a wealthy woman lived, who urged him to eat some food. So whenever he passed that way, he would turn in there to eat food. 9 And she said to her husband, “Behold now, I know that this is a holy man of God who is continually passing our way. 10 Let us make a small room on the roof with walls and put there for him a bed, a table, a chair, and a lamp, so that whenever he comes to us, he can go in there.” 11 One day he came there, and he turned into the chamber and rested there. 12 And he said to Gehazi his servant,”Call this Shunammite.”
When he had called her, she stood before him. 13 And he said to him,”Say now to her,’ See, you have taken all this trouble for us; what is to be done for you? Would you have a word spoken on your beha f to the king or to the commander of the army?” She answered,”I dwell among my own people.” 14 And he said, “What then is to be done for her?” Gehazi answered,”Well, she has no son, and her husband is old.”
15 He said, “Call her.” And when he had called her, she stood in the doorway. 16 And he said,”At this season, about this time next year, you shall embrace a son.” And she said,”No mylord, 0 man of God; do not lie to your servant.” 17 But the woman conceived, and she bore a son about that time the following spring, as Elisha had said to her.
18 When the child had grown, he went out one day to his father among the reapers. 19 And he said to his father,”Oh my head, my head!” The father said to his servant,”Carry him to his mother.” 20 And when he had lifted him and brought him to his mother, the child sat on her lap till noon,and then he died. 21 And she went up and laid him on the bed of the man of God and shut the door behind him and went out.
22 Then she called to her husband and said,”Send me one of the servants and one of the donkeys, that I may quickly go to the man of God and come back again.” 23 And he said,”Why will you go to him today? It is neither new moon nor Sabbath.” She said, “All is well.” 24 Then she saddled the donkey, and she said to her servant,”Urge the animal on; do not slacken the pace for me unless I tell you.” 25 So she set out and came to the man of God at Mount Carmel.
When the man of God saw her coming,he said to Gehazi his servant,”Look, there is the Shunammite. 26 Run at once to meet her and say to her, ‘Is all well with you? Is all well with your husband? Is all well with the child?'” And she answered,”All is well.” 27 And when she came to the mountain to the man of God, she caught hold of his feet. And Gehazi came to push her away. But the man of God said,”Leave her alone, for she is in bitter distress, and the Lord has hidden it from me and has not told me.”
28 Then she said,”Did I ask my lord for a son? Did I do say, ‘Do not deceive me?”’29 He said to Gehazi,” Tie up your garment and take my staff in your hand and go. If you meet anyone, do not greet him, and if anyone greets you, do not reply. And lay my staff on the face of the child.” 30 Then the mother of the child said,”As the Lord lives and as you yourself live,I will not leave you.” So he arose and followed her. 31Gehazi went on ahead and laid the staff on the face of the child, but there was no sound or sign of life.Therefore he returned to meet him and told him,”The child has not awakened.”
32 When Elisha came into the house, he saw the chi dlying dead on his bed. 33 So he went in andshut the door behind the two of them and prayed to the Lord. 34 Then he went up andlay on the child, putting his mouth on his mouth, his eyes on his eyes, and his hands on his hands. And as he stretched himself upon him, the flesh of the child became warm .35 Then he got up again and walked once back and forth in the house, and went up and stretched himself upon him.The child sneezed seven times, and the child opened his eyes.
36 Then he summoned Gehazi and said,”Call this Shunammite.” So he called her. And when she came to him, he said,”Pick up your son.” .37 She came and fell at his feet,bowing to the ground.Then she picked up her son and went out.
Wapendwa Elisha anakaribishwa na mwanamke Mshunami, Ana jiachia kwa raha zake ndani kwa Mshunami, Baada ya kufurahi wema wake wanajadiliana na Gehazi ambariki nini? Wana akifikiana mtoto, Wanamuita yule mwanamke na Elisha ana muahidi “MWAKANI MAJIRA KAMA HAYA UTAKUWA UMEPAKATA MTOTO WA KIUME”. Yule mwanamke anakuwa so emotional na ana msihi sana “USIMDANGANYE MJA WAKO MTUMISHI WA MUNGU”. kwa jinsi gani hiyo jambo lilivyo kuwa lie. Mchele wa kwenye maisha yake mpaka anaona kama Nabii Mkubwa kama Elisha ana mpanga panga tu na kumu suka-suka! MUNGU ANAJALIA MWAKANI MDA KAMA ULE ANAPATA KIDUME!
Mtoto anakuwa mkubwa vizuri, Sasa Siku moja anaumwa na kufariki. Mama yake anamlaza chumbani kwa Elisha kitandani na anafunga mlango na kuondoka kumsaka Elisha popote alipo.
Elisha akiwa Mlima Carmeli anamuona yule Mama na anamtuma Gehazi awahi kumuuliza JE KWEMA ATOKAKO? IS ALL WELL WITH HER ?, IS ALL WELL WITH THE HUBBY? IS ALL WELL WITH THE SON ?
Mwanamke anashupaza FUVU na kumjibu “ALL IS WELL” SASA HAPA NDIPO PASSWORD ILIPO, HILI JIMAMA LA KISHUNAMI MIND YOU LIMEACHA MAITI JUU YA KITANDA CHA ELISHA, NA LIMEONDOKA KWA KUMPANGA MUMEWE KWAMBA ANAENDA KUTAFUTA ELISHA ILA ASIWE NA MASHAKA IT SHALL BE WELL!
Anamfikia Elisha na kumuangukia miguuni, Gehazi chawa wa Elisha katika uchawa wake ana mzuia Elisha ana mwambia muache,Mungu alinificha ana uchungu sanaa, ( NJE YA TOPIC GEHAZI NA UCHAWA HUU IT’S A SHAME ALIISHIA KULAANIWA UKOMA NA THE SAME ELISHA NABII INANIUMA SANAA MAANA UCHAWA ALIKUWA ANA UWEZA.
YULE MWANAMKE ANANYOOSHA MAELEKEZO, “SIKILIZA WEWE NABII WAKATI NAOMBA MTOTO KWA MUNGU JE SIKU WAAMBIA MSINIDANGAYE MJA WENU JUU YA HIZI ISSUE ZA MTOTO? SIKUWA HIMIZA MAPEMA? KAMA MNANIPA MTOTO MNIPE NA MSINIDANGANYE KAMA HAMNIPl MSINIPE ? SASA INAKUWAJE?, TUNAFANYAJE? NA MIMI UWONGO SITAKI” NABII ELISHA LILI MSHUKA HlII SIKU SIO NDOGO.
Elisha ana mtuma Gehazi asionge na mtu yoyote akamuweke fimbo yule mtoto! , Gehazi ana tangulia! Yule Mwanamke anamuapia Elisha kama Mungu aishivyo na yeye nabiii wake hatamuacha Elisha mpaka kime eleweka, Elisha hanabudi kuongozana mpaka eneo la tukio!, Njiani Gehazi karudi kazi ime mshinda ikabidi Elisha mwenyewe aka-ikamilishe! NA ALI IKAMILISHA KUMFUFUA YULE MTOTO NA KUMKABIDHI MAMA MTU!
CHA KUJIFUNZA KWA HILI JIMAMA LA KISHUNAMI NI KWAMBA WAKATI KILA KITU KIMEHARIBIKA HAKU FOCUS WALA KUWEKEZA NGUVU ZAKE KWENYE MAMBO YALIO HARIBIKA AU JINSI GANI YAMEHARIBIKA! BALI ALIFOCUS KUMKUMBUSHA MUNGU MAOMBI YAKE YA KILE KITU ALICHO TAKA NA MUNGU ALI AHIDI KUTO MDANGANYA KUPITIA ELISHA! AKA HOJI UAMINIFU WA MUNGU UKO WAPI NA UAMINIFU WA NABll WAKE ELISHA UPO WAPI ??? NA IKAMLIPAAAA!
WATU WENGI SITUATION ZENU MUNGU ALISHA SEMA KWA NDOTO, KWA VINYWA VYA MANABII, KWA UFUNUO, KWA SAUTI NDANI YENU KWAMBA HILO SWALA ATALI MALIZA NA ATAWAPA USHINDI.LAKINI BADO MPO FOCUSED NA JINSI GANI MAMBO HAYAENDI, YANA WATESA, YAME HARIBIKA, KUFOCUS NA AHADI ZA MUNGU NA UFUNUO WAKE AAH!, NI MWENDO WA KUJIKATIA TAMAA NA KUJISONONESHA!
WATU WENGI MIMI BINAFSI NILIWAPA UNABlll WA KWELI NA UHAKIKA KATIKA PROGRAM ZA ABOVE 30 NA ABOVE 34 KWAMBA KAMA UMEFANYA KWA UAMINIFU UKATOA SADAKA YAKO KWA MOYO WA UAMINIFU MUNGU WAKO UNAE MTUMIKIA MWAKANI MUDA KAMA ULE ULE WA PROGRAM ATAKUWA AMEKULETEA MTU!
WALIO-POKEA NA KUUSHILIA ULE UNABII NA KWA KUWA WALIFANYA PROGRAM KWA MOYO NA MATEGEMEO KILA SIKU NAKULA HELA MIMI ZA SHUKRANI, WAPENDWA DINI NI NYEPESI SANAA WALA HAI HITAJI KUTUMIA NGUVU KAMA UNALIMA SHAMBA, AKILI NDOGO NA IMANI KUBWA MIXER UTIIFU WA KUTOSHA UNATOBOA.
MAELEKEZO YALIKUWA MADOGO SANA, FANYA PROGRAM KWA UAMINIFU, MUAMINI MUNGU! JUST LIKE THAT WATU WENGI WAMEVUKA, KWA WALE WABABAIFU KIPINDI KILE ALIKUWEPO NA PROGRAM HAKUFANYA KWA UAMINIFU NA SADAKA ALITOA MPAKA LEO ANAZIDI KUZEEKA BADO AKIBABAIKA TU, ANA BABAIKA MWAKA HADI MWAKA
Mambo mengi kwenye maisha yetu ni madogo lakini mtu atajitesa nayo kama sijui kitu gani, KUFANYA PROGRAM HIZI ZANGU NYEPESI KAMA UJI WA MGONJWA MTU HAWEZI NA ANAJ IPA MOYO ATAVUKA, MIAKA MITATU(3) YA UBABAIFU HUJAVUKA BASI HANDSDOWN BADILIKA FANYA PROGRAM, THUBUTU NI KUJILAAMISHA NA KUJISONESHA .
KUNA MTU ANA ISSUE NDOGO ILA KWA MACHO YA BINADAMU NI KUBWA, NIKAMWAMBIA FANYA DELIVERANCE YA SIKU 30, HAJAFANYA TANGU MWAKA JANA OCTOBER, ALAFU LEO ANANIAMBIA HAJAVUKA NA HANA PROGRESS, SASA PROGRESS INATOKA WAPI? ,YAANI MNA MASIHARA KWELI.
HUWEZI KUWA KATIKATI YA UBABAIFU MUNGU AKAKUPA AHADI YOTOTE, NI URONGOOO! LAKINI KATI KATI YA IBADA MUNGU NDIYO ANATOA AHADI, AKITOA TU WEWE NI KUFA NAYO MPAKA ITIMIE! IBADA ZAKO ZINAANZIA KWENYE HIYO AHADI NA KWENDA MBELE, KAMA NI AHADI YA KAZI UKIWA KWENYE MAOMBI NI KUMWAMBIA MUNGU HIO KAZI IWAJE NA IWE WAPI, AKUEPUSHE NA NINI KABISAA KWENYE HIO KAZI, AWAHISHE MUDA WA HIYO KAZI WALA USIKAWIE!
KAMA NI NDOA KWAMBA ATAKUJA MTU SAHIHI UNAANZA AWEJE, AWE MKARIMU SIKUPUNGUKIE CHOCHOTE, AKUSIKILIZE, AKUHESHIMU NA KUKUTHAMINI, ASICHEPUKE! WEWE NI KUUMBA TU UNACHO EXPECT SIO TENA WA KUENDESHWA NA MAMBO AMBAYO UMESHA YA SHINDA KWA DELIVERANCE.
PART 2
Mpendwa Stage ya kwanza nilikwambia ni KUMUOMBA MUNGU IN DETAILS NINI HASA UNATAKA KWENYE MAISHA YAKO DAILY, KAMA UNAVYO-LALAMIKA DAILY UNABADILI MFUMO WA UENDESHAJI WA NAFSI YAKO, UNAUMBA DAILY NA UNAACHA KUFOCUS NA WHAT IS NOT GOING RIGHT, UNAANZA KUFOCUS NA WHAT SHOULD GO RIGHT NA UNATULIA MAGOTINI PA MUNGU MPAKA AKUONESHE, HOW CAN YOU MAKE IT GO RIGHT.
Stage ya 2 ni BECOMING THE CHANGE YOU WANT TO SEE AND EXPERIENCE, HUWEZI UKAWA UNAUMBA MUME MUAMINIFU WAKATI WEWE PAMOJA NA MAOMBI YAKO BADO UNA PASHA KIPORO NA X, UNA MILIKI SPONSORS, UTA UMBA HEWAA KWANI HUWEZI KUWA UNA UMBA KIBALI NA KUKUBALIKA NA MABOSS ZAKO WAKATI JUNIOR WAKO UNA WA-TREAT KAMA TAKA-TAKA, NI MNOKO BALAA, UNAUMBA KIBALI KWA WATEJA WAKO WAKATI WEWE UKIENDA KWENYE BIASHARA ZA WENZIO NI MTEJA KICHEFU-CHEFU, TENA UNAJICHETUA MIMI MSUMBUFU SANA, HELA YAKO MTU KUILA UNAMTEMESHA NYONGO.
“YOU ATTRACT WHAT YOU DISH OUT IS THE LAW OF LIFE”
Mathayo 22:39
Ya pili inafanana na hiyo: ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe’.
WAPENDWA HAPA NDIPO UKRISTO UNAANZA KUWA MGUMU NA WAKRISTO REAL WANA JITENGA NA WAKRISTO FAKE, NA HAINA KUFOJI, WHAT YOU ARE IS WHAT YOU ATTRACT! NO JANJA-JANJA.
WEWE UNATAKA WALIO JUU YAKO WA COME THROUGH FOR YOU NA KUKU LIFT-UP NA KUKUPA SUPPORT, UKITAKA KUWA REAL NA MBINGU ANZA WEWE KUWATENDEA WA CHINI YAKO VILE-VILE UNAVYOTAKA WEWE KUTENDEWA.
DON’T START FIRES YOU CAN’T PUT OUT NOR BUILD WALLS YOU CAN’T CLIMB, KABLA HUJAMJIBU MTU SHIT JIULIZE CAN I TAKE THIS SHIT FROM ANOTHER PERSON SUPERIOR THAN ME?, FIKIRI KABLA YA KUTENDA, UKIONA KAMA WEWE UKIFANYIWA YOU WILL FEEL HORIBLE USIMFANYIE MWENZIO SABABU WHAT YOU DISH OUT IS WHAT YOU ATTRACT! MPENDWA TAMBUIA “WHATEVER GOES ARROUND COMES ARROUND”
MIMI VITA YANGU YA KUBWA YA KWANZA NILIOMBA KIBALI CHA KIUNGU KWAMBA NIKIKANYAGA SEHEMU GRACE OF GOD FOLLOWS ME, NISITUMIE NGUVU KABISA YAANI WATU WAUONE UTUKUFU WA MUNGU NA MIMI NIPONEPO HUMO.
MWANZO NILIKUWA NAJITOA UFAHAMU NAJUA GRACE OF GOD ITA NITANGULIA NAKULA ZA USO, BAADAYE NIKAJA KUJUA YOU CARRY THE GRACE OF GOD BUT YOU NEED TO ACTIVATE IT NA MATENDO YAKO, JINSI UNAVYO-JICONDUCT MBELE ZA WATU NA UNAVYO INTERACT LAZIMA UBEBE UTUKUFU WA MUNGU NA WATU WAMUONE MUNGU WAKO KUPITIA WEWE NA MATENDO YAKO KWA UJUMLA, WAKIMUONA NDIYO WATA TETEMEKA SASA!
HUWEZI KUJI PARADE KAMA PASTOR UPWIRU, AU BINTI MUHAHO, MAMA LA UONGO, DADA LA MASHAUZI, HATA KAMA UMESHAPAKWA MAFUTA NA MTUMISHI WA BWANA ,WATU HAWATAIONA ANOINTING YAKO SABABU HAIPO, ANOINTING GANI YA KUTAFUTA KWA TOCHI.
MTIHANI WA PILI ULIKUWA KULETA UTUKUFU WA MUNGU KWENYE BIASHARA YANGU, WATEJA WAJE WA MAANA, WACHANJE KADITU NA KUZOA ZOA MAKING-ME RICH IN THE PROCESS! NILIWAFUNGA NA KUWAKEMEA WATEJA VICHEFU CHEFU WA KUNIUMIZA KICHWA.
ROHO MTAKATIFU AKANISEMESHA KWAMBA NA MIMI HIVYO HIVYO NIFANYIKE BARAKA KWENYE BIASHARA ZA WATU WENGINE, MPAKA WAMSHUKURU MUNGU MIMI KUINGIA KWENYE BIASHARA ZAO.
MIMI SIOMBI PUNGUZO LA KUMBANA MTU KUNAKO MPAKA ANATAKA KULIA, INSHORT I PAY FULL AMOUNT, IWE GENGENI AU DHAHABU, MTU ANAUZA MCHICHA WAKE 1000/= TZS WEWE NA ROHO YAKO NGUMU UNATAKA ULE MCHICHA KWA 800/= TZS MPAKA ANA MLAANI MUNGU NA MAMA YAKE NA SIKU ALIOZALIWA JINSI ULIVYO CONDENSENDING AND HOW YOU WALKED ALL-OVER HER! SIO MAISHA HAYO, UNATAKIWA MTU JIONI AM SHUKURU MUNGU KUKUTANA NA MALAIKA WEWE.
USIJIENDEKEZE KWAMBA MIMI MWENYEWE MAISHA MAGUMU KWA HIYO KWA KUYAFANYA MAISHA YA MWENZIO AMBAE MAISHA YAKE NI MAGUMU ZAIDI YA YAKO KWA KUANZIA KUTAKUPA WEWE UNAFUU GANI? HIO 200/= TZS YA MCHICHA INA-KUONGEZEA NINI ZAIDI YA LAANA JUU YA LAANA AMBAZO TAYARI UNAHANGAIKA NAZO.
MIMI MAMA YANGU TUNAGOMBANA SANA, SASAHIVI KIDOGO NDIYO NYUMBANI WAMEANZA KUBADILIKA, MTU ALIKUWA MTUMISHI WA UMA UNA-LARGE PENSION NA INVESTMENT ZAKO MKUTE GENGENI, HANA UTU HATA KIDOGO NI CHEFU-CHEFUUU! TUMIA MUNGU ALICHOKUPA KUJIONGEZEA BARAKA KWA KUFANYIKA BARAKA KWA WATU WENGINE.
UPO OFISINI NAFASI NZURI LAKINI YOU CAN NEVER RECOMEND ANYONE, NEVER NA UPO BUSY NA MAOMBI UWE-ROCMENDED UN AU BOT, THUBUTUUUU
SIKU UTAKAYO BADILIKA WEWE NDIYO SIKU MAISHA YAKO YATAKAPO BADILIKA, KUNA MAMBO HUWEZI KUYAPATA KWA JINSIWEWE ULIVYO! WEWE NDIYO ADUI YAKO NAMBA MOJA (1).
MUNGU KUNA BARAKA ANAZICHELEWESHA KWAKO KWA SASA MAANA UTAHARIBU KILA KITU, INABIDI AZITENGE KWANZA NA WEWE MPAKA UJIPATE KWANZA, MAANA ZIKIJA SASAHIVI HAZIMALIZI WEEK USHATIBUA KILA KITU.
KUNA WATU WACHUMBA HAWAJI LEO WALA KESHO SIO KWAMBA MAOMBI YENU KUFIKA KWA MUNGU BADO LAKINI MIOYO NA CHARACTER ZENU HAZIPO TAYARI KUPOKEA UKUBWA WA BARAKA MUNGU ALIO WAJALIA.
BADO HAMJAKOMAAA KWENYE IMANI, BADO HAMJA PEVUKA NA BADO MPO JUU-JUUU! HAMPO TAYARI KUPOKEA KUSUDI LA MUNGU JUU YENU, UNAKUTA JITU LINA MIAKA 39 FOR CHRIST SAKE, AKIPATA MTU LEO WEEK HIYO-HIYO APIGE SIMU USIKU ISIPOKELEWE ANA-ANDIKA MESEJI 100 ANARAUKA NA KUWA HAYWIRE, ATAPANIC NA KUDATA ANAJUA KASHA ACHWA AU ANA MKE, AKIKUTA FALSE ALARM ANA-ANZA KUJICHEKESHA CHEKESHA KAMA CHIZI KAONA JALALA JIPYA YAANI MOJA CHEFUUU!
MPENDWA YAANI SHETANI HATA HA-ANGAIKI NA WEWE, ANAKUPA KAMBA TU UJINYONGE MWENYEWE IT WORKS LIKE A CHARM ALWAYS!
KWENYE MAISHA INATAKIWA UFUKIE HATUA YA KUMUAMINI MUNGU HASA PALE AMBAPO BINADAMU HAWA AMINIKI, UKIFIKA STAGE HII NDIYO MUNGU SASA ATA-ANZA KUKUAMINI NA WANAUME WAJA WAKE AMBAO AMEWAPA GODLY MISSION, ANAJUA HUTO WAPASUA KICHWA NA ANA KUAMINI WEWE KUTULIA HATA PALE AMBAPO MAZINGIRA HAYA AMINIKI, MPAKA PALE ATAKAPO FUNUA UKWELI.
MIMI SIPENDI KUWAPA STORY ZANGU SABABU EITHER YOU WILL FALL IN LOVE WITH MY CHARACTER OR HATE MY GUTS NA HII, SIO KAZI MUNGU ALIYO-NITUMA NIJE NIJINADI HUMU NA KUJI-PARADE, KANITUMA NENDA KAHUBIRI INJILI ACHA UBABAIFU LAKINI NATAKA IWAINGIE MPAKA KWENYE MIFUPA DAWA, SO NAJILIPUA TU, KWANI SH NGAPI!
MIMI MTUMISHI WENU KUBWA JINGA ENZI HIZO, NILIFANYA FANYA MAOMBI YA KUPATA MWENZA, NA THOSE DAYS WERE DARK, MTUMISHI ALIKUWA KAKOBE MWINGIRA NA WENGINE HAWANA MAJINA, SO UNAJIFUNZA MAOMBI YAKI- HARD CORE, SASAHIVI MNA MAMMY NA BADO MNA-DEKA, KUDADADEKI ZENU!
NIMEFANYA MAOMBI ALMOST MWAKA, MUNGU AKANIONESHA KABISAA NI MTU AMBAYEE ALIKUWAPO KWENYE MAISHA YANGU ILA HATUKUWA WAPENZI, MAOMBI YA ZAMANI IKAMA NILIV WAAMBIA NI HARDCORE! MPAKA UONE, HAKUNA KU-ASSUME!,THE GOLD OLD DAYS!
NA MIMI NIKAMPENDA SANA, MY TYPE EXCEPT PESA HANA YA HIVYOO MAGOMENI STYLE TULIO IKUSUDIA, HE HAD A LIFE NA HE WAS WORKING, NA MAOMBI YA ENZI HIZO MUNGU AKISEMA KITU HAKINA UBABAIFU KINAENDA KIMENYOOKA KAMA RULER, BAADA YA MUNGU KUSEMA AKAANZA KUNITAFUTA!
I WAS LIKE THIS GOD THING IS THE REAL DEAL, HE WAS EVERYTHING I EVER WISHED FOR, SASA BADALA NITULIE MAGOTINI PA MUNGU NIKASHIKWA NA KIRARU- RARUU, MUNGU HAJANIAMBIA TANGAZA KWA WATU, KIMDOMOOO KIMDOMOOO DADA, ROHO MTAKATIFU ALINI-KANYA NAKANYIKA SASA ? ORAAAAA!
PICHA LINAANZA NIMEOTA YULE KAKA AMEZAA NA MTU NA WANA MTOTO WA KIKE , WALKED ON THEM VEVE NA MZAZI MWENZIE NDOTONI ILA NDOTO ILINI PAGAWISHA SANAAA! NAVO WAAMBIA SAHIVI HATA NIOTE NIMEKUFAAA SIPEPESI KOPE KUAMINI NDOTO MNI ELEWE! SIPEPESII KILISHA NIRAMBA.
ILE NDOTO NIKAANZA KUMLAZIMISHA SASA YULE KAKA KWAMBA ANA MTOTO!YEYEE ANASEMA HANAAA, AKANIPA MPAKA MAMA YAKE NIONGE NAE AKASEMA HAJAWAHI KUWA NA MTOTO, TENA ANA TAMANI HUYO MTOTO TUMLETE SISI KWA NJIA SAHIHI!
KUANZIA HAPO AKILI IKANIKAAA KUTAFUTA TU CLUES KUMPROVE KWAMBA ANA MTOTO NA NITAPELII TU! =BADALA YA KUTULIA MAGOTINI PA MUNGU ANIONESHE WHAT IS GOING ON KWA JICHO LA ROHONI, NAMCHUKIA SHETANII MBWA YULE! BASI TUUU!
Pigola pili ni kaambiwa na watu wake wa Karibu wa wawili (2) kwamba yulle ni Malaya Mbwa, Mji kaumaliza huu anabadiliwanawake kama nguo, Ataniua kwa UKIMWI, Sababu niwatu wake wa Karibu BAAS!, ROHO YANGU IKAINGIA KUTU JUU YAKE!
Yeye anavo jitetea nazidi kumuonaaa mnafikiiina he is not even remorseful wala hato Badilika!, NASISITIZA SHETANI MIM ISILIPENDI LILE DUBWANA BASI TU LIMENIHARIBIA MAISHA NA KUNIPOTEZEA BAHATI, JINGA KABISA.
TUKA ACHANA PAMOJA NA MAONO, PAMOJA NA ISHARA DADA! PAMOJA NA MUNGU KUTIMIZA MAONO,KILA NIKIWAZA KUFA NA UKIMWI KIZEMBE KWA UMALAYA WAKE NIKA MUACHA JUMLA-JUMLA, SIKU MUULIZA MUNGU WALA MALAIKA! I TOOK MATTERS ON MY OWN HANDS!
MUDA UKAPITA NA MAISHA YAKASOGEA, TUNA SALIMIANA KAMA MASELA TU PICHA LIKAANZA YUPE MTU WAKE WA KWANZA ALIYONIAMBIA NI MALAYA MBWA AKAJA KUTAMKA MWENYEWE NILIWAACHANSI HA KUSUDI MAANA ANGEKUOA WEWE ANGEKUWA MBALI SANAA, ULIKUWA NA NYOTA KALI SANA NDIYO KUJUA KUMBE ILE STORY YA UMALAYA ILIKUWA OUT OF PURE ENVY.
MIMI MTOTO WA MIGOMIGO NINECHEZWA, AFANALEKI! NIKAJIPA MAYBE HE LIED A LITTLE, BADO KUNA SOURCE YA PILI(2), NI RELIABLE, KA-UMALAYA KAPO, MAYBE HE JUST EXAGERATED, SIKU YA SIKU YULE WA PILI NAPATA STORY KUMBE NI MWIZI ALIMUIBIA MTU MILLION MBILI(2), MUONGO HATARI, NA MLEVI, NA NDIYO MTU NILIE BASE MAAMUZI YA MAONO YA MUNGU KWENYE CREDIBILITY YA MAONO YAKE, PUMBAVU ZANGU, MBWA MIMI.
MUNGU KAMA MUNGU KWENYE KUJISAFISHA NA KUONESHA BARAKA ZAKE HAZIKUWANA HILA HATA ROBO, KUNA DADA LA DADA TUNALIITA DON-DADA, AGE GO ANA TALAKA ZAKE MBILI(2) NA WANAE SAHIVI LINAISHI KWENYE ZINAA TU, SIO SHIDA ZAKE.
AKAJA KUNIFATA KWA JEURI YA PESA KUNIWEKEA KITITA MEZANI MILLION KUMI (10) NIMKUWADIE YULE BWANA SHETANI NA NILIKUWA NA SHIDA HATARI MUDA HUO MITA KUMI (10) JAMANI NACHANGA PESA NIKIMBIE ULAYA KUTAFUTA MAISHA.
DADA ANANIAMBIA AMETUMIA NJIA ZOTE KUMPATA ZIME SHINDIKANA, YANI NIKIFANIKISHA HIO MILLION KUMI (10) SIO PESA NI UCHAFU ATANIPA CHOCHOTE NACHOTAKA, DADA YUPO KWENYE KAMPUNI YA MAFUTAA, DADA FLANI MALAYA ILA LINA ROHO YAKE, HAPO ANANIPANGA NIKAMSIFIA POCHI YAKE NZURI KATOA KILA KITU KANI KABIDHI, DESIGNER HIYO DKNY DOLLAR 300/= CHUKUA NINAZO NYINGI. NIKASEMA MSAFIRI KAFIRI KAZI YAKE NAFANYA, YULE BWEGE HANISHINDI.
NIKAANZA UKUWADI SASA, YULE KAKA ALINISHUSHA, AKANIAMBIA I’M NOT FOR SALE, SASA LAST TIME I CHECKED ALIKUWA MALAYA MBWA KWA HABARI NILIZO PEWA MPAKA NIKAMKIMBIA, HIZI I’M NOT FOR SALE NDIYO GANI TENA? MBONA SIZIELEWI DADA ANAPANDA DAU TU!
MPENDWA HUKU KAZI IMESHINDIKANA, NIKAPITA KWA RAFIKI YAKE, AKANIAMBIA HUYO SIO MWEPESI, SIO MALAYA HATA ROBO, LABDA NIENDE MIMI NIKAFANYE HIYO KAZI, DON- DADA ANASEMA SITAKI MTU MWINGINE ZAIDI YA YULE, NDIYO NIKA-IKOSA PESA MWENZENU.
OVER THE YEARS LOOKING AT EVERY THING NOW I SEE CLEARLY NILITAKIWA NIMUAMINI MUNGU NA SIO NDOTO, SIO WATU, SIO MAZINGIRA, MUNGU KAMA MUNGU ASINGEWEZA KUNIPA NYOKA WAKATI NILIMUOMBA SAMAKI, SHETANI ALINI MANIPULATE INTO THINKING KWAMBA SAMAKI MUNGU ALIE-BARIKI NI JOKA ANACONDA, NA KIKANIRAMBA!
MPENDWA WE LEARN, WE HEAL! AND MOST IMPORTANTLY WE EVOLVE TO BECOME THE BEST VERSION OF OURSELVES, SASAHIVI HATA NIOTE NAZIKWA SIPEPESI KOPE, USINGIZINI WALA NIKI AMKA! YULE BWANA HANA MTOTO MPAKA LEO
MPENDWA JIFUNZE KUMUAMINI MUNGU HATA KAMA 99% YA MAZINGIRA NA REALITY ZINA CONTRADICT MAONO NA UNABII ANAO-KUPA, NEXT TIME MNIKUMBUSHE NIWAPE STORY YA BEATRICE ALIVYO NG’ANGANIA UNABII WA MUNGU KAMA LUBA SASAHIVI ANAISHI DUBAI ANA ENJOY.